Dr. Chris Mauki: Kwa dalili hizi nne ( 4 ) ni muda wa kumuacha aende

  Рет қаралды 15,767

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Пікірлер: 35
@HadijaKidunda
@HadijaKidunda 10 ай бұрын
Daah! nimepata kitu kikubwa sana Doctor Asante 🙏🙏
@veonicaanthony-pn9nu
@veonicaanthony-pn9nu 11 ай бұрын
🎉 Asantee sanaaaa kaka Cris,nimejifunza mengi kwako,naamini yatanisaidia.
@balihappy5628
@balihappy5628 6 ай бұрын
God bless you Dr
@leahmungure6538
@leahmungure6538 11 ай бұрын
May God Almighty bless you abundantly sir.Najifunza mengi mno
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 11 ай бұрын
1.kutoaminiana 2.magomvi 3.kutoelewana kwa mambo madogo 4.unapokuwa n furaha bila mwenzako
@AishaOman-qz7tn
@AishaOman-qz7tn 11 ай бұрын
Mungu akubariki sana Dc
@mbogonijoel5529
@mbogonijoel5529 11 ай бұрын
Dr Chris MUNGU akubariki maana Kila siku najifunza jambo jipya
@PhinaJose
@PhinaJose 11 ай бұрын
Asante nimekuelewa vzr sana,km ulijua kuleta hii topic.
@RajabuHassan-v2y
@RajabuHassan-v2y 8 ай бұрын
Ahsante sana
@salomewandya7257
@salomewandya7257 9 ай бұрын
Nimejifunza kitu ubarikiwe sana
@EstherWawanji
@EstherWawanji 11 ай бұрын
Thanks so much sir
@mbokamwakaje
@mbokamwakaje 11 ай бұрын
Thanks so much
@magdalenadaud2656
@magdalenadaud2656 11 ай бұрын
Allah akutunze🙏
@JescerProsper-hg1bf
@JescerProsper-hg1bf 11 ай бұрын
Duu mm mtu wangu hana ivi vyote ila yaan aonyeshi kama ananipenda nifanyaje ili nione upendo wake maana vitu vingi nikifatilia kwako vya mtu ambae akupend yeye hana nifanyeje jaman
@monicacyprian9137
@monicacyprian9137 11 ай бұрын
Badilisha hiyo negativity mind kuwa positive anza kuona mazuri na sio mabaya
@nasrakassim2623
@nasrakassim2623 11 ай бұрын
Dr christ Allah akubariki
@dickson6684
@dickson6684 11 ай бұрын
Siyo christ ni Chris
@chunanachu2529
@chunanachu2529 11 ай бұрын
​@@dickson6684lakini umeelewa au
@nasrakassim2623
@nasrakassim2623 11 ай бұрын
@@dickson6684 sawa mwaya shukran
@wardadallu1820
@wardadallu1820 11 ай бұрын
Mm nishaingia kwenye ndoa na hayo yote mwanaume anayo kwa asilimia 1800/=japo umesema aliekwenyendoa haimuhusu lkn mm namuacha aende japo hua ananambia kuachana mm na ww mbaka kifo kitutenganishe tofauti na hivo nitakuja ua mtu yani pamoja na haya kaka mm ninatafuta njia ya kumuacha
@restfulgence738
@restfulgence738 11 ай бұрын
Wewe ni mimi kabisaa😢😢
@LightnessSikoyo-gn5nh
@LightnessSikoyo-gn5nh 11 ай бұрын
Samahani mm kuna kitu nashindwa kuelewa tupo kwenye uchumba lakini nashindwa kuelewa mchumba wangu mimi ananipenda sana lakini tatizo liko kwangu ata nikiwa naye sina hisia naye kabisa sas nashindwa kuelewa nifanyaje sasa
@angelapella30
@angelapella30 11 ай бұрын
Hujampenda huyo , Yan sio wako huyo
@MagdalenaSebastian-y2f
@MagdalenaSebastian-y2f 10 ай бұрын
Unasema kwelii ni wakat wa kumuacha aende.
@HadijaKidunda
@HadijaKidunda 10 ай бұрын
Ntakipataje hicho kitabu Doctor mimi nipo DODOMA
@ChristinaPaulo-z5i
@ChristinaPaulo-z5i Ай бұрын
Aloooo yaan ninakunguruu wangu ana hizo zotee yaan ata aniumize vip haimsumbuiii yooooo let me tell u maina kuanzia leo naanza ku move on shenziiii
@MarthaGeay-qm4ob
@MarthaGeay-qm4ob 11 ай бұрын
😢😢😢Jamni daaaah!Ukweli mtupu
@KuluthumMwemtelo-i6g
@KuluthumMwemtelo-i6g 6 ай бұрын
Tulio nje ya dar es salaam tunapataje kitab
@FELISTEROuma-n4h
@FELISTEROuma-n4h 11 ай бұрын
Hello doc...nilikua nauliza if i can have private conversation with you,kindly
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 11 ай бұрын
wivu mwingi na kuwa na wasi wasi anapotoka mbali basi ni mapenzi upendo kuwa mwingi ujitahidi kuwa waaminifu na ukaribu hata mukiwa mbali kumtoa hofu mwenza wako ukiona unaaminiwa huulizwi ujuwe hamna kitu yupo tu
@kellyclassic7515
@kellyclassic7515 11 ай бұрын
dokta Leo umenigusa mimi kabisa mi na mwenza wangu hatujafunga ndoa lakin tunaish pamoja na tuna mtoto mdogo na mahali katoa lakin vyote ulivyoongelea vipo kwenye maisha yetu na huwa anapenda kweli hata nisafir na akikasirika huwa anasema yan ukiwa haupo mi nakua na Aman sas nifanye nn hapo?
@christinaanatory1962
@christinaanatory1962 11 ай бұрын
Vumilia dada
@ashnaom2270
@ashnaom2270 11 ай бұрын
Samahan nais ujataja Ving ila ACHA aende tu kwakwel
@RoseMrio
@RoseMrio 11 ай бұрын
mung wng dokta mm akujb kt utazan bubu ukikoxea kdg knyongo na atalipiza hatuelewan tena kama mwanzo kwa xx nna Aman at kwa yal anafanya nahc nami nimo aende t
@Zaburi-
@Zaburi- 11 ай бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
Dr. Chris Mauki: Dalili 5 kwamba upo kwenye mahusiano feki
31:04
Chris Mauki
Рет қаралды 477 М.
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 147 МЛН
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 13 МЛН
Elza love to eat chiken🍗⚡ #dog #pets
00:17
ElzaDog
Рет қаралды 9 МЛН
LIFE WISDOM:MUEPUKE MTU WA NAMNA HII - JOEL NANAUKA
12:03
Joel Nanauka
Рет қаралды 22 М.
Dr. Chris Mauki: Siri Za Wapenzi Wanao Dumu Pamoja
8:32
Chris Mauki
Рет қаралды 11 М.
JOEL NANAUKA - MUDA SAHIHI WA KUKAA KIMYA
8:09
Joel Nanauka
Рет қаралды 95 М.
Dr. Chris Mauki: Sababu 5 kwanini mnagombana hovyo
11:45
Chris Mauki
Рет қаралды 133 М.
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
Dr. Chris Mauki:  Mambo 5 ya wanawake yanayo waudhi wanaume
10:15
Chris Mauki
Рет қаралды 254 М.
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 147 МЛН