DR.SULLE NATOA ZAWADI YA GARI LANGU ATAKAYE JIBU SWALI HILI/MBINGU ILI.......

  Рет қаралды 179,443

ISLAAH ISLAMIC  TV

ISLAAH ISLAMIC TV

Күн бұрын

Пікірлер: 419
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 11 ай бұрын
Msifu Yesu kristo mwokozi wako. Amen.
@nafisatwahir
@nafisatwahir 7 ай бұрын
Imekutachi sanaa pole
@johnkwetukia9585
@johnkwetukia9585 Жыл бұрын
Yesu alisema kipofu akimuongoza kipofu mwenzake wote watatumbukia shimoni
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 11 ай бұрын
Tutaenda Mbugani kwa jina la Yesu kristo mwokozi. YESU alitoka Mbinguni mwanzo wa Elimu na vyote. Amen.
@emmyndunge6406
@emmyndunge6406 10 ай бұрын
Kabisa
@salminathuman3023
@salminathuman3023 9 ай бұрын
Mbugani😂😂
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w 2 ай бұрын
Mbuga ya Serengeti, ngorongoro au manyara!!???.
@rashidjumanne5798
@rashidjumanne5798 19 сағат бұрын
😅😅😅😅​@@KhamisAli-r1w
@JamesMatiko-i2z
@JamesMatiko-i2z 11 ай бұрын
Pole sana kwa Dr sule mambo ya kimungu hayana usmi
@Majiimiraji99
@Majiimiraji99 9 ай бұрын
Allah atujalie sote waislamu tufe katika dini yetu sahihi ndani ya mioyo yetu amiin thumma ❤❤🎉🎉
@EricManirakiza-g6d
@EricManirakiza-g6d Жыл бұрын
Sheikh Allah akujalie mayisha malefu tuzidi kufata mafundisho kutoka elimuyako🙏❤️💯
@mnyamwezijuma1140
@mnyamwezijuma1140 Жыл бұрын
Wewe utakua Ni kafiri
@mnyamwezijuma1140
@mnyamwezijuma1140 Жыл бұрын
Uelewa wako Ni mdogo Sana
@maase2023
@maase2023 Жыл бұрын
Watanzania sisi kila anaevaa kanzu na kofia basi ni shehe hivo lazima aungwe mkono
@nafisatwahir
@nafisatwahir 7 ай бұрын
Mmmh poleni imewagusa😂😂😂
@rashidibrahim8316
@rashidibrahim8316 Жыл бұрын
Dr Sule mungu akupe umri mrefu na kila utakacho fidunya wa akheira.
@Zuhuraseifukaranje
@Zuhuraseifukaranje 9 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu, Kwa tunaoelewa tunajua uislam ndy Kila kitu hai wengine ni WA bishi tyu hatuwez kukasilika ote
@ndayisengashabani-d3h
@ndayisengashabani-d3h Жыл бұрын
Assalam ghalayikum warahmatullah wabarakatuh Allah akwongeze umuri ukiwa mwema na kutowo elimu amina
@zwuenakhalfan2098
@zwuenakhalfan2098 Жыл бұрын
Mashaallah Dr Al haji Sule Mungu akubarik na akupe umri tuwill wa Afya uzidi kutupa elmu Allahu Akbar swala Al Nabii Mohamad (SWA) AMIIN
@ZumairaHasani
@ZumairaHasani Жыл бұрын
Mung akupe mwixho mwema
@MwajumaZeddy-un3lx
@MwajumaZeddy-un3lx Жыл бұрын
shekh allah akulinde navijicho nakupe umri mrefu
@jumasabuni3297
@jumasabuni3297 Жыл бұрын
Sh haueleweki jaman ww acha kpga porojo na Mungu wa Mbinguni akusaidie uufahamu ukweli kwa kufunuliwa na Roho Mtakatifu, lakini punguza kiburi na ufahamu wako ktk mambo ya Kiroho
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 Жыл бұрын
Mzee wetu uko fiti sana❤, ALHAMDULILLAH.
@danielmpelegwa5014
@danielmpelegwa5014 8 ай бұрын
Dini inayochangamana na majini na viongoz wake waganga wa vitabu wanaamulu majini kwa kitabu hicho alafu wanategemea kuiona pepo, never njia ni kristo YESU, Only that.
@godfreyalex5319
@godfreyalex5319 8 ай бұрын
Tumsifu Yesu kristo, Bwana Yesu asifiwe, Mungu ni mwema kila wakati na kila wakati Mungu ni mwema. Yaani nyie watu wa Mohammad mnataka kumpeleka Mungu shule? Mmelaaaniwa? Yohana 1:1-4, Yohana 1:10-11
@nshimyumuremyieric8434
@nshimyumuremyieric8434 2 ай бұрын
Dr Sule Amini Yesu kwasababu Ni Mungu Muhammed amezikwa huko uwarabuni utamusifu age nabado anasubiria kwenda kurizwa zabi zake ?
@salimkarisa2849
@salimkarisa2849 Жыл бұрын
MashaAllah shekhe wetu. Mafunzo yako mazuri sana.Naomba kujaribu swali lako moja hilo la arshi ya Allah ilikuwa juu ya maji kabla ya kuumbwa mbingu. Maji yalikuwa hali ya kigesi, maana maji yakiwa katika hali ya kigesi hayahitajii chombo.
@HusseinKoja-ww7gi
@HusseinKoja-ww7gi Жыл бұрын
Tunaelezwa mbingu zipo 7 na ardhi ni 7 na tunaamini mbingu zipo juu swali juu ya mbingu ya saba kuna nini na chini ya ardhi ya 7 kuna nini
@saimonjoseph2833
@saimonjoseph2833 11 ай бұрын
Weislam bhana wabaguzi sna wana mambo ya ajabu kutwakucha wanaponda dini yaki kristo harafu wakristo walivo wastaarabu hawataki kujibishana wakristo hawana roho kama hiyo roho yakichawi mnashindwa kumsifu Mungu na mtume wenu mna pondea dini yawenzenu vile hamjielewi
@nshimyumuremyieric8434
@nshimyumuremyieric8434 2 ай бұрын
Wewe muwongo sana Yesu kasoma kumbe wewe muwongo kbsa
@MakrinaLuoga
@MakrinaLuoga Жыл бұрын
TORATI. 18:18. 19. Hakuwa na haja ya kusoma. Maana mungu aliyatia maneno. Yake. Kinywani mwake yesu Kristo someni hiyo torati mtambue mamlaka aliyo nayo na yoyote Yule asiye msikiliza atakachotendewa
@VitusMakala
@VitusMakala 7 ай бұрын
Na ndiomana anasema elimu sio Hadi uende darasani
@mosesbarofa4419
@mosesbarofa4419 Жыл бұрын
We shabikia kile moyo wko kinapenda lakin yesu na muhamad n vtu viwili tofauti
@musalumbi8490
@musalumbi8490 Жыл бұрын
Dr. Sule nakupinga vikali sana kuhusu Yesu na Muhammad kutosoma. Yesu alisomea sheria za Kiyahudi na Taurat. Haijalishi ikiwa alikaa darasani au la, alibobea katika kuifahamu Taurat ndio maana akawa miongoni mwa manabii walioitwa waalimu bora. Mtume Muhammad alibahatika kumpata mwalimu bora kuliko waalimu wote ulimwenguni, naye ni Jibril a.s ambaye kutoka kwake aliisoma Qur'ani na kuwa mwalimu bora zaidi kuliko mwalimu yeyote
@SostenesNgonela
@SostenesNgonela 11 ай бұрын
Wabongo wanaamin huyu anaejisifia kwakuwa na magar SS hatuna shida yagar tunataka wokovu mungu na gar lako tofaut
@kilofaqacumar6294
@kilofaqacumar6294 Жыл бұрын
Sisi kama watu wa mkoa kaskasini mwa keñya tunaunga mkono sh sule mungu akuzidisie afya na umri kutufundisha waislamu
@maase2023
@maase2023 Жыл бұрын
Ww nawe ulichojifunza ni nn hapo? Au mnapenda kusifia sifia tu hata bila kusoma! Au hamsomi na kuijua quraan nyie?
@nafisatwahir
@nafisatwahir 7 ай бұрын
​@@maase2023sasa ww waumwa na nini ukweli au sifa??chakusifiwa kisifiwe tu upo jomba
@maase2023
@maase2023 7 ай бұрын
@@nafisatwahir sijajua maelezo yako yanalenga nn maana huielezi vizuri
@isaackmlayy6228
@isaackmlayy6228 11 ай бұрын
yesu alikuwa anajua kusoma na kuandika Muhammad alikuwa hajui kusoma
@SociedadeSust1234
@SociedadeSust1234 Жыл бұрын
Allah akuifadh Dr sulle
@CharlesMangumba
@CharlesMangumba 8 ай бұрын
Mm takujibu, ila kwa sababu umejipanga kubisha utakubali,, takujibu swali la jua,
@Herimornchriston
@Herimornchriston 11 ай бұрын
Jaman hatutaki ufahari wakidunia? Gari la nini sheikh ? Uliza swali acha ahadi za kidunia katika mambo yaKimungu !!!
@ommykhan1748
@ommykhan1748 Жыл бұрын
#Allah akuzidishie 🙏Asante kwa #elimu !!🙏🙏
@allythabiti8150
@allythabiti8150 11 ай бұрын
Duh sheikh uko vzr.
@SwediKatuga
@SwediKatuga 10 ай бұрын
Maashaallah shekheletuu iloo
@MosesKaponda-wx5vy
@MosesKaponda-wx5vy Жыл бұрын
Wewe ieshem sana Imani ya watu ebu fundisha waisilamu wenzeo huko kwasababu huko Kuna watu wanao taka msada pia
@aminasugale6586
@aminasugale6586 Жыл бұрын
MashAllah SubhanAllah Allah akuzidishie elmu doctor!Ameen
@emmyndunge6406
@emmyndunge6406 10 ай бұрын
Mungu aede shule ako n elimu y kutosha
@LawrenceNduva
@LawrenceNduva 10 ай бұрын
True say be blessed
@Abuu_Abibakar
@Abuu_Abibakar Жыл бұрын
Swali liko wapi??? Kukaa kusikiliza watu Kama Hawa porojo nyingi hakuna utakachojifunza... والله المستعان Rekebisha aqida yako ewe mwislamu usibabaishwe na porojo nyingi.
@ImaniMfugale-hy6tm
@ImaniMfugale-hy6tm 6 ай бұрын
Yesu hakusoma shule ila elimu alzaliwa nayo
@Punda284
@Punda284 Жыл бұрын
Mambo ya kumcha Mungu Ni ya kiroho,ukitaka kuyaeleza Kwa njia ya shule lazima mwisho uchanganyikiwe,ulisema vizuri,Yesu Kristo Na Muhamad ndiyo wenye elimu,mwisho umeharibu imechukua mjibu Kwa walioenda shule ukaacha ya Muhamad Na Yesu Kristo.
@hamoudrushenya8565
@hamoudrushenya8565 Жыл бұрын
Ndo maana wajiita punda,uelewa wako mdogo mnoo,hao unaowaita wenye elimu wanatoa ufafanuzi na utafiti baada ya elimu kubwa walioipata kutoka Kwa Muhammad na Yesu(vitabu vitakatifu),bila kuwepo hivyo vitabu,wasingeweza fanya lolote.
@rashidibrahim8316
@rashidibrahim8316 Жыл бұрын
Kweli lakini wakristo hamfuati ya yesu
@ramzanqarim4977
@ramzanqarim4977 Жыл бұрын
Maswali mengine pia ni kufanya watu wasome so kusema atatoa kitu ni kufanya mtu aweze na upeo wa elimu ya dini so sio vibya maana hata shule unaweza kuambia ukipata swali utapewa buku.
@BoraApartments
@BoraApartments 10 ай бұрын
Swali Hilo namajibu yake mngu akipenda ntakufundisha
@eshasalim5496
@eshasalim5496 Жыл бұрын
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! ALLAHU AKBAR WALILLAHI AL HAMDU ❤
@mohamedikassimu7016
@mohamedikassimu7016 Жыл бұрын
Allah aendlee kukubark shekh
@HalifaSaidi-x1h
@HalifaSaidi-x1h Жыл бұрын
Maashaallah Allah akulipe kwa kiwango akitakacho kukulipa
@kituburemsangi7316
@kituburemsangi7316 Жыл бұрын
Mungu ndiye Nuru na alitamka tu na ikawa Nuru ,bila kuwepo kwa Jua na mwezi.soma vizuri mwanzo 1:1-4.
@TabuOdhiamboOmiya
@TabuOdhiamboOmiya Жыл бұрын
Wewe ndio huende usome huyu sheikh amepita kiwango chako
@barzaqtradingcompany8541
@barzaqtradingcompany8541 Жыл бұрын
أَنَّمَا إِلَٰهُكُمْ إِلَٰهٌ وَاحِدٌ ۖ فَمَن كَانَ يَرْجُو لِقَاءَ رَبِّهِ فَلْيَعْمَلْ عَمَلًا صَالِحًا وَلَا يُشْرِكْ بِعِبَادَةِ رَبِّهِ أَحَدًا
@abubakarmkude5247
@abubakarmkude5247 Жыл бұрын
insha'Allah
@JoshuaMwamala-z1g
@JoshuaMwamala-z1g 11 ай бұрын
Ndo swali hili?pole sana hata ukijibiwa uwez elewa maana upo ktk giza.
@nafisatwahir
@nafisatwahir 7 ай бұрын
Muwashitaa basi 😂😂😂😂
@NaomiRaphael-z4w
@NaomiRaphael-z4w 8 ай бұрын
Freemason wazwaz jamn hizi ni ck za mwisho wanakuja kupotosha wa2 mungu wa mbinguni awasamee
@saraaa9830
@saraaa9830 Жыл бұрын
Asante sana
@NichrousFrolian-gk1cr
@NichrousFrolian-gk1cr Жыл бұрын
Mpuuzi mkubwa wew
@fcbooktest1154
@fcbooktest1154 Жыл бұрын
Polee sana shehe
@Discover70
@Discover70 8 ай бұрын
Yesu alikuwa anaweza soma na kuandika
@amisimayani2645
@amisimayani2645 2 ай бұрын
Yesu ana jua kusoma na kuandika si kama muhamad Kwani yesu alisoma na akahandika
@daudmtoba191
@daudmtoba191 8 ай бұрын
Sisi wakristo tuna Amin yesu ni mwana wa mungu Aya nyinyi waislam mna Amin Muhammad ni mwana wanan
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube 7 ай бұрын
Mungu anazaa si ndio ? Je ni mwanaume au mwanamke na mungu anakaaga leba?
@AbubakarSadik-f1m
@AbubakarSadik-f1m 10 ай бұрын
Abubakar.sadiki.adam...wa..zanzibar..tumswalie...mtumeeee.❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@KimbilimaSocial-dy9cl
@KimbilimaSocial-dy9cl Жыл бұрын
Asalam aleykum Mtumswalie mtu wetu Mohammed swalalau haleywa Salam
@Majiimiraji99
@Majiimiraji99 9 ай бұрын
Allahumma swali Al Mohammad
@CharlesMangumba
@CharlesMangumba 8 ай бұрын
Hapo kwenye majua mengi umetupiga baba, hao wana sayansi niwaongo, hata ukataa kuwa hakuna Mungu,
@Paul-dy8nu
@Paul-dy8nu Жыл бұрын
Hakuna atakaye ingia ufalme wa Mungu bila ya kupitia kwa mwanawe yesu kristo umsifu muhamed ama ngombe mbali njia ni moja kupitia mwanawe yesu kristo aliye kunja kurundisha uhusiano wa Mungu na binandamu kwa kuwa huo uhusiano ulikua umeharimbiwa na shetani maanake Mungu akamtoa mwanawe wa kipekee
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w 2 ай бұрын
Mungu hana mtoto, mkubali mungu na ukubali yesu (issa) ni mtume wa mungu na umfate kiumbe bora kuliko wote yaani MUHAMMAD.
@Paul-dy8nu
@Paul-dy8nu 2 ай бұрын
@@KhamisAli-r1w Uko sawa kweli ,unajua unachokisema Mnafuata mafundisho ya shetani kwanini simguate yesu kristo mkaridhi ufalme wa mbinguni Na msipo fanya ivo bila shaka ni motoni sikudanganyi
@stephanebulambo3855
@stephanebulambo3855 Жыл бұрын
Wewe kila ukitowa swali anaye jibiya unampa zawadi la gari nikusema wewe una ma gari mengi na mimi nakwambiya kuwa wewe ni rafiki wa ulimwengu kwa kuwa kila unachokiitaji ulimwengu unakupatiya ila juwa kuwa wewe ni aduwi wa Mungu.
@EmmanuelMandela-f7k
@EmmanuelMandela-f7k Жыл бұрын
Shikeni sana elimu asiendazake maana ndoufunguo wamaisha sasa wew umesoma unawadanganya wenzako wasiende shule hamna kitu
@omanoman2044
@omanoman2044 Жыл бұрын
Maashaallah tuko pamoja
@Oman-z4q
@Oman-z4q Жыл бұрын
Mashallaah nilitaman yasiishe haraka aya mawaidh
@Ustadhtwahirbinshabani
@Ustadhtwahirbinshabani Жыл бұрын
Allah aendeleye kutupeshia ufaamu wa dini yake
@bennyjoram9030
@bennyjoram9030 Жыл бұрын
amina
@qh3rm0h4m3d
@qh3rm0h4m3d Жыл бұрын
Allahu Akbar ✨
@ummyomina
@ummyomina Жыл бұрын
Mashallah Tabarakalah
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Жыл бұрын
ADAMU IBRAHIM MUSA YESU NA MUHAMMAD WOTE NI MTUME WA ALLAH INSHALLAH MUNGU ATUJAZIE IMANI,
@AbubakarSadik-f1m
@AbubakarSadik-f1m 10 ай бұрын
Tumswalie..mtume.....❤❤❤❤❤
@SwediKatuga
@SwediKatuga 10 ай бұрын
Alahumaswali aalamuhamad
@IdrisMsafiri
@IdrisMsafiri Жыл бұрын
Tumswalie mtume Muhammad s.a.w
@SEBEKUSAMAMGUTU-c4f
@SEBEKUSAMAMGUTU-c4f 10 ай бұрын
Dokta ukovizuri Allah akulipe
@mutumwinkaashura1897
@mutumwinkaashura1897 Жыл бұрын
Ma Sha Allah, Ila lazima uwe umepitia darasani ili uwe na Elimu ama kuhusu Mitume wao walifundishwa na Malaika hao Ndio walimu wao, Ima katika hizi zama ili ujulikane kuwa wewe ni msomi laziam uwe umepitia madrasa ukakaa Na mwalimu ao walimu.
@hamishatibu1007
@hamishatibu1007 Жыл бұрын
unaweza ukatoa aya pamoja na shule ambayo malaika waliwafundisha?
@mutumwinkaashura1897
@mutumwinkaashura1897 Жыл бұрын
@@hamishatibu1007 shule ili iitwe shule inahitaji mwalim na mwanafunzi na kisomo, hivyo ndivyo vitu vikuu vimeunda shule hauwezi kuwa msomi bila Kukaa mbele ya mwalim, isipokuwa tu mipangilio ya shule ndo imetafautiana.
@maestrojnr3505
@maestrojnr3505 11 ай бұрын
​@@mutumwinkaashura1897Malaika walitowa Elimu wapi?
@carolihando6271
@carolihando6271 Жыл бұрын
Huhaelewi mambo, acha kuwapumbaza watu. Linganisha mafundisho ya mwana wa Mungu na yale binadamu. Siku atakaporudi mwana wa Mungu yapo utajibu
@HalifaSaidi-x1h
@HalifaSaidi-x1h Жыл бұрын
Wewe ndo uwelewi acha wanao elewa wasikilize
@yusufathman2478
@yusufathman2478 Жыл бұрын
Soma quran vizuri sheikh.. fii sitati ayyaami.. na sio fii sitatil ayaami
@RamadanPaul
@RamadanPaul 11 ай бұрын
Channel yako imejaa waimba singer tu
@yusufathman2478
@yusufathman2478 11 ай бұрын
@@RamadanPaul mmi si muimbaji uzuri na channel yangu haina ngoma. Watetea mtu amesoma quran vibaaya
@zenaahmedi8857
@zenaahmedi8857 Жыл бұрын
Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakaatuh 😘
@frankaydeclassique6618
@frankaydeclassique6618 Жыл бұрын
Nabii Muhammad (s.a.w)alisomeshwa na Jibril alayhi ssalaam
@princeacama401
@princeacama401 Жыл бұрын
Uongo wenu
@DaisyMutai-nw4qf
@DaisyMutai-nw4qf 8 ай бұрын
Mohammed mwenyewe akuwai juwa kusoma Wala kuandika na mnamfwata,sai mnajidai na elimu 😂😂😂
@MichaelMathew-ke6bi
@MichaelMathew-ke6bi Жыл бұрын
Mambo ya Mungu aise yaache kama yalivyo.
@BenLaw_2003
@BenLaw_2003 Жыл бұрын
Neema ya mungu yatosha kukusafisha na udhalimu wote ulionao
@hassansammy1076
@hassansammy1076 Жыл бұрын
Mashaallah ❤️
@JohnMchome-t9m
@JohnMchome-t9m 9 ай бұрын
Uongo nao shule huyu ndiye alisema yesu alizaliwa miezi 6 tatizo hujui kusoma kiswahili vizuri Mungu Hana mbwembwe kama zako
@abdulmwakubambanya9091
@abdulmwakubambanya9091 Жыл бұрын
Sheikh elimu amna kwako
@MwalimuPeter
@MwalimuPeter 11 ай бұрын
Jibu jepesi, 😂😂 vya wakristo waachie wakristo na vya waislamu waachie wenyewe pia ❤
@LammarSairin
@LammarSairin Жыл бұрын
Alosema mtume hana adabu mungu amsamehe makosa yake
@AbuuLuhaidaan
@AbuuLuhaidaan Жыл бұрын
mbona hilo swali halija tolewa hilo lisilojibika
@jonasimwanzi3632
@jonasimwanzi3632 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@edwardsinkonde9878
@edwardsinkonde9878 Жыл бұрын
Kakwambia nani yesu hakusoma ange semaj imeandikwa , ina maana alieoma mahali yesu nimsomi [7]Yesu akamwambia, Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.
@maase2023
@maase2023 Жыл бұрын
Sulle ww hamna kitu elimu ndogo sana tunakuona hebu ongelea mambo ya kuuza spea tu fatwa za dini acha tu
@Blessing_uk
@Blessing_uk 6 ай бұрын
Namm ninaswar kwa huyu sheh..naomba anijb sasa kama mungu alilipua alizi ikaenda chni alafu mbingu ikaenda juu je? Muda huo jua lilikua wap???au mungu alienda kuliumbia huko juu???akinijb namupa gar na mimi..
@RehemaMohammed-wv3ke
@RehemaMohammed-wv3ke Жыл бұрын
Maashallah Maashallah 💓 ❤
@abuuzakariyalibumba6303
@abuuzakariyalibumba6303 Жыл бұрын
Masikini weeeee sule unawaongopea watu
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 Жыл бұрын
Nehema kubwa sheikh wetu.
@NininahazweDondivin
@NininahazweDondivin 10 ай бұрын
Allah ametaka kuonesha ufalme wake
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w 2 ай бұрын
Sasa kama ubongo wa kujibu swali hili haujaumbwa unaliuliza kwa Saba bu gani!!???
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w 2 ай бұрын
We endelea kumshadadia na kumshabikia, but sie tunamfuata na kumtii.
@jonasimwanzi3632
@jonasimwanzi3632 Жыл бұрын
Wewe mjinga sana kwaiyo ukifaa unaenda na elimu jamani mbona ufarume wa ngiza unazidi mh nikae tayari apa ni duniani tu utapita
@HalifaSaidi-x1h
@HalifaSaidi-x1h Жыл бұрын
Matusi yanakujaje usifosi kuelewa kama ww uelew waache wanao elewa tumsikilize alaf busara sio matus ila vijana wa hovyo ndo uwa kama wewe
@KhamisAmour-u5n
@KhamisAmour-u5n 10 ай бұрын
Makafiri waoo ni moto tuuu uko akheraa
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w 2 ай бұрын
Jipigie hela zako sele, kwenye din kuna two choices, moto au pepo hakuna kati na kati.
@MesalimRashid
@MesalimRashid Жыл бұрын
Mtume Mohamad s.a.w kasoma mwalimu wake Jibril a.s.
@zeitunMohammed
@zeitunMohammed Жыл бұрын
Maashaallah
@JuliusMarangu-l1q
@JuliusMarangu-l1q 11 ай бұрын
Ulisa pastor dacha akuchabuye
@sururukabwari
@sururukabwari 9 ай бұрын
Waambiyekweli Dr sule
@ElishaSaiti-c5j
@ElishaSaiti-c5j 8 ай бұрын
Anatukana sheee wasilamu awanamajibu
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db Жыл бұрын
Allahu Akbar
@dahero160
@dahero160 11 ай бұрын
Mi naona kikubwa katika dini ni kufnya yanayo mpendeza mungu bx ukisema ubxhne n kukosea 2 xbbu wtu walikaa n kuandka vitbu je walichukua yte au laaa
@maase2023
@maase2023 Жыл бұрын
Sule la pili nakuuliza mungu anasema yy ni Mola wa mashariki mbili na magharibi mbili je ni zipi hizo mashariki na magharibi mbili?
@SugowFarah-up3db
@SugowFarah-up3db Жыл бұрын
Unamswalia Mtume kwa qaswida ilihali yeye hakufundisha njia hiyo inamaana nyinyi mna elimu kumliko yeye??? Je nyinyi mna elimu kuwaliko maswahaba??? Je nyinyi nyinyi mna elimu kuwaliko mataabi'iyn??? Je nyinyi mna elimu kuwaliko maimamu wanne waongofu? Wale wema waliotangulia wote walimswalia Mtume Muhammad kwa njia gani??? Nyinyi wa leo mnajiona mko sahihi kuwaliko wao??? Amesema Mtume صلى الله عليه وسلم من يرد الله به خيرا يفقهه في الدين Ambaye Allaah Humtakia kheri basi humfahamisha Dini yake Mkishafahamu Dini ya Allaah vizuri wallah mtaacha vituko katika Dini Ndugu zangu Mtume ameshatufundisha namna ya kumswalia wala sio style hizo mnazotetea bila elimu Mtume صلى الله عليه وسلم tunamswalia kila siku katika kila swalah wala sio siku moja kwa mwaka.
Ustaz Manis :: Signal Kemunculan al-Mahdi
48:04
Unais Mediaworks
Рет қаралды 171 М.
Муж внезапно вернулся домой @Oscar_elteacher
00:43
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН
Players vs Pitch 🤯
00:26
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 134 МЛН
Мама у нас строгая
00:20
VAVAN
Рет қаралды 10 МЛН
DR.SULLE MAJI YA  MVUA NI KIBOKO YA UCHAWI WOTE UNAOUJUA
32:27
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 49 М.
DR.SULLE AUVAA MGOGORO WA PALESTINA NA ISRAEL/USIYOYAJUA
38:31
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 69 М.
Муж внезапно вернулся домой @Oscar_elteacher
00:43
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН