Hakuna mtumishi aliyefurahishwa asante sana Ester Mungu akubariki kututetea
@lucaslusaluwa82764 ай бұрын
Weldone Hon Bulaya! Your presence in the house is as vital as ever...
@ShekutuKillel4 ай бұрын
Hongera mh Bulaya watanzania unawajiteea
@peninamwailunda88134 ай бұрын
Esta umeongea maneno, Mungu azidi kukupa moyo huo ututetetee hata tulio staafu, maanake hali sio nzuri
@evelinenzuguma29534 ай бұрын
Asante Ester bulaya wewe mwenyezi mungu akutangulie ! Utadhani ulikuwa ndani ya miyoyo yetu! Mwiguli mwiguli mwiguli mungu atateta na wewe!
@musa-v3f4 ай бұрын
watanzania tuchagueni wabunge wa upinzani kwa wingi kama kweli tunataka uwajibikaji bungeni na kwa serikali siku hizi mawaziri mizigo wanapigiwa makofi tu hakuna kujiuzulu tena kama zamani bunge lilivyokuwa limejaa wabunge wa upinzani
@PaskaliCharles-pz8ds4 ай бұрын
Mh Bulaya mungu akulinde Hakika unatimiza vyema wajibu wako wa uwakilishi unaongea ukweli mtupu hii CCM imetubebesha mzigo mzito sana hela yangu nipangiwe matumizi na mda wa kutumia inauma na hakuna riba yoyote itakayomnufaisha mstaafu
@oswaldtemba27704 ай бұрын
Asante bulaya Big brain. Serikali ilipe hayo madeni ya mifuko.
@oswaldtemba27704 ай бұрын
Eti muda wako umekwisha
@ValerianaKilumile4 ай бұрын
Tatizo tunaongozwa na mijitu ambayo hayana hofu ya Mungu na yanaona kama hayata kufa
@AmaniMarsha4 ай бұрын
Kama hela zipo wapeni wenyewe mnaharibu sana alaf sheria haichukui mkondo acheni dhulma...
@makungamapalala79824 ай бұрын
Mungu akubariki sana dada ester bulaya kwa kuwaambia ukweli mtupu
@mpuyamsula15864 ай бұрын
Mh nakupenda sana, umetupigania muda mrefu.mungu akubariki
@gililwise4 ай бұрын
Yaani Ester Mungu a kukubariki mnnoo
@walidmgonja36444 ай бұрын
Serikali acheni dhulma kwa wananchi wenu. Mmezungumzia PSSFlakini sijasikia mkizungumzia NSSF kwa watumishi wa sector binafsi
@SafinaAbdallah-uq6qw4 ай бұрын
Asante Bulaya
@fatmamsindi46124 ай бұрын
Ubarikiwe
@Souza_G_944 ай бұрын
Waache wanatkaa mpkaa tufikie kama Kenya ndio wataelewaa machungu wanayopitia watumishi aa Umma waambie wao kwanzaa wao kwanza wapitiwe na kikokokotoo ndo waelewaa wana make decisiions kwenye helaa za watu..
@matildamfoi83134 ай бұрын
Ahsante mwanangu Ester Mungu WA mbinguni shuka saidia waja waKo wale haki wazee wastaafu WA nchi hii hakuna mstaafu anayefurahia kulipwa 40% tena Kwa formular ya 12 na 580 Mungu WA mbinguni wabatiki wenye haki wanaotutetea
@matildamfoi83134 ай бұрын
Hivi hizi hela za wastaafu waliowekeza yangu wanaanza ajira Siyo haki yap ?hata huku kny vikoba mwanakikundi skikopa fedha huwa anarudisha na riba tunaomba waliokopa na kuwekeza kny miradi isiyo na tija warejeshe hela za waastafu hata Rais ametuonea huruma hakuna anayefurahia kulipwa 40% badala ya 50% tena Kwa formular ya 12 Kwa 580 wabunge wenye mapenzi mama na viongozi wenye mapenzi tunaomba muendelee kututetea tuoate haki yetu tuliyoifa ya KAZI kwa maisha yetu yote
@smallscaleminingsupplies96704 ай бұрын
Mwigulu angekua Kenya na hicho kiburi chake angekua kaangushwa siku nyingi sana
@LukasNyahega-ok5yc4 ай бұрын
Cha msingi nikuikataa CCM mengine badae
@masanullahuzuni4 ай бұрын
Mungu akubariki Ester Bulaya
@chrissamani79214 ай бұрын
Mnatukata tozo kwenye mafuta,harafu hizo hela hampeleki kwenye sehemu husika,miaka yote mitatu, ok basi sawa. Ahsante Ester kwa kutusanua'
@matildamfoi83134 ай бұрын
Mungu WA mbinguni tenda miujiza wastaafu WA nchi hii wapate haki Yao gharama za maisha zimepanda watu waliotumia nguvu zao kulitumikia taifa lao Kwa nguvu zao zote Leo hawana nguvu tena unawapunguzia mafao zaidi ya nusu Leo gharama za maisha zimeshuka kuliko huko tulikotoka au Mungu Baba njoo utuokoe
@silaslubisu69214 ай бұрын
Wewe mzee hili bunge huwa unaliendesha kibabe sana kama mali yako
@goodlucknnko54934 ай бұрын
Simueleeagi sana jamaa
@janethpallangyo38554 ай бұрын
Kabisa
@VumiliaMtenda4 ай бұрын
Mi simpendagi tu kwanza
@PartySekemi4 ай бұрын
Asante sana bulaya shikamoo mpina
@evelynmwaimu-vd9jo4 ай бұрын
Ccm ina mazongezonge mengi basi sasa tuwaondoe
@musa-v3f4 ай бұрын
watanzania tuchagueni wabunge wa upinzani kwa wingi kama kweli tunataka uwajibikaji bungeni na kwa serikali siku hizi mawaziri mizigo wanapigiwa makofi tu hakuna kujiuzulu tena kama zamani bunge lilivyokuwa limejaa wabunge wa upinzani
@azizakiswili90634 ай бұрын
Watu walishachoka mwili na akili kuwapaga kuongoza sehemu muhimu ni makosa 😢
@abbasisudi68994 ай бұрын
Kweli mama hii dhulma ya wazi mungu anawaona na watsulizwa mana hii dunia tunapita mamlaka ya kudumu ni ya mungu tu
@AnnastaziaRamadhan-uq4bc4 ай бұрын
Hakika mama E. Bulaya, Mungu akubariki sana. Ukweli hakuna aliyefurahishwa. Hali ni tete. Hivi badala ya kupata milioni 120.... Halafu unipatie milioni 40......Nifurahishwe!!!!!? Hebu nanyi jiwekeeni kikokotoo hicho Kwa miezi 60 tuone. Kumbukeni sisi ndio tuliowafikisha hapo. Na watendaji tuko huku nyie ni wasimamizi.
@RajabuDangi-qv2uo4 ай бұрын
Mungu wangu jamaniii kuna maisha baaada ya hapo
@mnyagamasinde68604 ай бұрын
Nakupa big up mh. Ila mmmmm
@chazyjacks6734 ай бұрын
Kichwa
@abbasisudi68994 ай бұрын
Changamoto ya hii mifuko ni sustainability na accountability haipo,kwani ili ijiendeshe sawa inahitaj investment lakin no return lazima watashindwa tu kulipa kiini cha tatizo ni uongozi uliopo kwanini inafeli kujiendesha hi mifuko,moja ya sababu ni pesa za zake kutumika pasipo pazur
@brightontibenda23464 ай бұрын
Wastaafu hata dakika moja hawajaitwa kwa KIKOKOTOO Cha 40% na kwa formulae mpya. No! No!
@gellangi96944 ай бұрын
Huyo Waziri na Serikali yake hawastahili kuwapangia Mifuko ya Hifadhi ya Jamii wawalipe nini wastaafu.Waliofurahia hicho kikokotoo Cha 40% ni kina nani na amekutana nao lini na wapi?
@RichardMadebe-f1m4 ай бұрын
Mwanangu bulaya mungu akupe maisha marefu Kwa kutetea maslahi ya waastafu huyu mwingulu atuambie takwimu hizo amezipata wapi? Akome kuumiza mioyo ya ya watumishi asijifanye yeye ndio msemaji wawatumishi ubwa huyo
@JohnMalengua-jh6ps4 ай бұрын
yote unayosema ni kweli kabisa ila, hakuna wa kutekeleza, hapo ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa utarajie atacheza
@NikoMalongo4 ай бұрын
Uwezo mdogo sana wa huyu waziri mwizi
@goodlucknnko54934 ай бұрын
Hivyo hivyo Bulaya, sisi tumekaa kimya, tunajua tu. Endelea kutetelea watumishi kamanda. Hakuna wa kuwatetelea
@clickway..4 ай бұрын
Magu aliwaonyesha njia na kuwarudishia heshima, mkamchukia, na kuamua kurudia UJINGA WENU
@mwikamwika48514 ай бұрын
2018 alikuwa Nani Rais?
@clickway..4 ай бұрын
swali lako kaulize watoto wa shule za msingi. anachokieleza mbunge ni matokeo ya serikali mbovu ya awamu ya nne swala sio Rais hapo bali UTENDAJI KAZI WA SERIKALI. Magufuli ilibidi abadilishe sheria ili kuinusuru mifuko ya hifadhi ya jamii isife.
@simonmwaliru85904 ай бұрын
Kweli Esther umewapigania wafanyakazi sana. Hawa watu ni wanyama sana,mtu anafanya kazi kwa bidii anakatwa kodi zote na bado pesa zake za mafao mnazing'ang'ania.
@evelinenzuguma29534 ай бұрын
Nawashangaa wabunge wanampitia makofi mwiguli kwa kusema ATI TUMEFURAHIA jamani hebu muone aibu hatujafuraiiiiii 😭😭😭😭
@peninamwailunda88134 ай бұрын
Huyu Mwigulu Mungu anamwona, yy anapata Bei gn Kwa siku na Kwa mwaka anakuwa amerumia Bei gn? Hajui kama hiyo pesa anayotumia ni kubwa kuliko mstaafu anayopata baada ya kutumika miaka 30...
@victorcephas36184 ай бұрын
Watumishi hatujafurahi hata kidogo 😢😢😢😢😢😢😢😢😢maisha magumu Kwa kweli nikifikiria kikokotoo ndiyo nachoka hii nchi ukitaka update furaha upate nafasi kubwa za kisiasa huko mihela ni kujipigia tu ila huku chino mmh kazi tunayo
@Sangaadam4 ай бұрын
Huyu anasema wanafuraha katoa wapi takwimu, juzi juzi tu Kuna mtandao ulitoa orodha ya nchi ambazo Wafanyakazi wake hawana Furaha Tz ilishika nafasi ya 3 Africa, (Shame!!) Kuweni na huruma mnapokua huko juu,why nchi yenye rasilimali km hii iwe na watu/ Wafanyakazi wasio na Furaha??!!
@salummohamed26894 ай бұрын
Jamani huyu Mwigulu.
@JushuaBugali4 ай бұрын
😢Asante dadaangu ester nimekuelewa kuna mabunge mengine nimzigo tuu kama yule wa mbeya vijijn sijawai kumsikia katetea watuwake mwakakesho atakuja jimbon ok
Kweli kabisa wenyewe miaka5 milioni 200 miaka30 milioni40 not fair kabisa.
@meyou-zz8mj4 ай бұрын
Alafu unakuta mtu anatetea uongozii huu kuanzia spika mpaka mawaziri wote dili…Nchi hujengwa na Bunge..
@denisjoel15924 ай бұрын
Yaan zung ww hufai kukaa kwenye hiyo nafas naomba usrudii tena hapo una ubaguz ww mzee kaa nyumbm upumzk umezeeka ulee wajukuu hiyo kqz achia wazalendo
@shamtenyambega29444 ай бұрын
HUKU DADA, natamani abaki kuwa na na chama huru, akiingia CHAMA TAWALA hataweza kuwa na maneno ya kujenga uchumi kama hayo
@selemsigala47714 ай бұрын
Kama feza ziko kwenyemifuko mbona barabara ya kutoka makongolosi kuunganisha mkiwa na ktoka lungwa mpaka ipole zimeshindwa kutengenezwa ukitokea pale darajani lungwa mpaka kmbikatoto vifusi ata kusambaza imeshindikana mungu anawaona
@franciscoivo15914 ай бұрын
Hatujafurhishwa nani alikuambia ndugu waziri
@MrKhatibu4 ай бұрын
Katika kitu wanachowaumiza wafanyakazi ni huu mfuko wa hifadhi ya jamii.
@TitoNgomuo4 ай бұрын
Huu ndio ukweli ambao serekali haitak kuusikia
@hakiyangu4 ай бұрын
Miaka mi3 mfululizo yaani miaka ya Rais Samia, mwigulu huna cha kutwambia wewe ni mwizi tu kundi lako limemhujumu Rais na kwa kua anaogopa kufa ameamua kuwaacha watanganyika viogozi wajinga kama mwigulu waiumize Tanganyika maana yeye akistaafu uraisi anarudi kwao Zenji.
@abdalahgunda13194 ай бұрын
Nchi sio maki ya mtuu ni yetu sote watanzania jaajabu mnajiita wabunge hamjekewi mnaangalia maslai nchi ikiisha rasilimali kuuzwa tumebaki kuuza watu tuu
@Kwelihukuwekahuru4 ай бұрын
Meza zinaumia
@mndambokilavo25024 ай бұрын
Mi sielewi hivi ni kwanini hii mifuko isiwekeze kwenye viwanda vya sukari maana soko lipo
@josephmchila64674 ай бұрын
Mwigulu,kwani huna ndg wafanyakazi, wafanyakazi wanatoka ya 540.Mbaya Sana hii, lakini je mbona waheshimiwa hamuhusiki kwenye kikokotoo?
@JamesChrizestome4 ай бұрын
Ehee Mwigu mbona wasema uongo aliyefuraishwa na hicho kikokotoo ni mfanyakazi yupi tueleze tukuelewe usitake kuleta siasa kwenye uhai wa watu au kwa vile wewe hupo kwenye Shimo la pesa hipo siku tutakuja kukukunbusha kauli zako hizo za kinafiki pesa yako unapangiwa matumizi ulishawai kuona wapi?
@mpuyamsula15864 ай бұрын
Hakuna mtumishi aliyefurahia. Mm sijafurahia bajeti.tunataka pesa nzetu
@malembobulongo38564 ай бұрын
Mwigulu hutufai kabisa watanzania hatukupendi
@magaigwa42043 ай бұрын
Kwanini wizara husika inaziba masikio???
@LoitushulYamat4 ай бұрын
Wabunge wa ndio mzee hawapigi makofi kwa hoja hizo nzito ndo sababu halima pekeyake ndo anapiga makofi. Tunawasubiri huku uraiani hata mpige magoti safari hii out.
@FabianMlanda4 ай бұрын
Ki ukweli siyo siri hatujafurahi kabisa Anayesema tumefurahi anadanganya
@samwelnevele77964 ай бұрын
Huyu waziri hana akili na wanamaliza mda wa wachangiaji wenye tija na nchi hii
@ShinjeMackenzie4 ай бұрын
Muda wako umeisha sasa mtowa taarifa umepokea taarifa yake wew zungu la unga?Daa huyu naye spika
@RizikiMlela4 ай бұрын
Kaka jambazi umesikia
@richardhoseni26434 ай бұрын
Mwigulu uwe na akiba ya maneno hutaishi milele
@charleschande47214 ай бұрын
Tatizo la ww Mwigulu,mwelewe Bulaya na kauli ya Rais wako siku anapokea gawio,ni nani aliyepokea kwa furaha ongezeko lako,usiindeshe nchi kama nyumba yako na watoto wako,watu wana uelewa kuliko ww
@davidjohn89084 ай бұрын
Hakika serikali hii imezidisha chuki kwa watumishi
@mjemamjema96954 ай бұрын
HIVI KUNA UHUSIANO GANI SERIKALI NA KUCHUKUA PESA MIFUKO YA JAMII? KUNA UHUSIANO GANI SERIKALI KUCHUKUA HELA MFUKO WA BIMA YA AFYA? NAJIULIZA SANA. HIVI SERIKALI YA CCM ITATUTESA WATANZANIA HADI LINI? HAIFAI KUONGOZA HATA KATA. MMESHINDWA KUONGOZA.
@richardhoseni26434 ай бұрын
Kinachoonekana ni kwamba hii nchi watawala wameshaifanya mali yao suluhu ya msiba ni kuzikaaaa CCM endeleeni na kiburi dawa yenu inakuja msiwafanye watanzania wajinga kiasi hicho na wakati wananchi ndio wanaowaweka mjini