Naj ni msanii wa bongofleva ambaye wengi walianza kumuona kwenye video ya Tabasamu ya Mr. Blue na sasa ni msanii na nyimbo zake, makazi yake yalikua Uingereza lakini sasa hivi amerudi nyumbani Tanzania kufanya muziki rasmi.
Пікірлер: 145
@nonenone49544 жыл бұрын
Big up sana Millard ayo mtu wa nguvu💪
@Abby_Shawn_KE8 ай бұрын
Interview zuri sana kigori, Mahusiano yako na BARAKA yalisitiri kwetu
@ashamohammedashamohammed74018 жыл бұрын
nakukubali sana bor kwa kazi yako, mwenyezi mungu akuzidishie
@AK-qm3rk8 жыл бұрын
Bless u sweetheart , ur right on point . I adore you coz your natural and u keep it real , u ain't fake and ur talking nothing but the truth. bcoz most of ppl talk rubbish and lies when are been interviewed so thumbs up babes and keep the spirit . One love Alicia U.K
@kidychidystarnyamwez94395 жыл бұрын
Kuma tamu San ndomana miladi Anaona Aibu mwangalieni machon comment Apo kamaumeona miladi
@SaumHassan-w6m11 ай бұрын
Najma Dattan my Fav artists 🎉
@mgenisalim68309 жыл бұрын
Millard Ayo ninapenda vipi una confidence na uko professional I just love how you do your work unatu inspire wengi keep up da hard work
@khamisimshindo71999 жыл бұрын
Uko sawasawa Millard Ago Kazi nzuri saaana hongera mungu akujaalie.
@emanuelelius9906 жыл бұрын
ongela sana umeongea reality kuhusu ukweli wa mahusiano yako big up sana sister
@anithaasajile13219 жыл бұрын
I luv the way she toks na vile anaprounce English words..,really empressive
@millardayoTZA9 жыл бұрын
+Anitha Asajile Thanks for watching Anitha wangu!
@anithaasajile13219 жыл бұрын
+Millard Ayo aww asante Millard gudnyt
@mikonosalamaonlinetv90728 жыл бұрын
Kaka we ni noooouuummaaaa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa big up kwako Mtu wangu wa Nguvu
@yu-jb1wy9 жыл бұрын
great job millard I enjoy watching your interviews you are calm and polite fantastic job
@nictopdollar11549 жыл бұрын
I love and respect what you do.hongera sana....keep up the good work
@seifrashid19669 жыл бұрын
Millard!! Unajua unaenspire vijana wengi na mm nikiwa miongoni mwao?? Bigup mtu wangu wa nguvu
@nuruabraham37697 жыл бұрын
uko vizuri sana na kazi yako, big up brother.
@mohammedrashid77359 жыл бұрын
milard ww ni star huwez amin kuna cku huwa naagalia interview zako tu na na huyo naj she is beautiful n very natural
@mariammapunda24656 жыл бұрын
Nice, she have acomfedence 😄😄😄😄😄😄
@lilianmwinamila95068 жыл бұрын
I love naj....& I like when she say "nanini nanini "😘😀
@saidikobossa74899 жыл бұрын
Mimi ni kinda of mvivu kuwatch news ama habari habari, but since I have subscribed in your site, I have been updated hadi naogopa. Thanks for keeping me updated.
@mboyajackson45749 жыл бұрын
Congratulations Bro....Utakuwa King wa media soon....hata Oprah alianzia chini.
@happinesslyimo26128 жыл бұрын
nice work Millard..much appreciate u.
@veronicamabina389 жыл бұрын
wow its a nice interview. ..well done millad I love yo work keep it up....
@anithaasajile13219 жыл бұрын
luv u Millard,luv ur work kwakwel
@millardayoTZA9 жыл бұрын
+Anitha Asajile I love you too Anitha, asante sana kiukweli kwa upendo wako na support yako kubwa pia, thanks for watching
@collinsfernandes69529 жыл бұрын
nampenda Naj, i wish to meet and know her better and better
@dailypay9528 жыл бұрын
love her
@UgandanAllstar8 жыл бұрын
mtoto anatema #yai la ulaya sio mchezo
@shamimubinkhamisi87199 жыл бұрын
utafanikwa t dada inshallah asnt millard ayo mungu akujalie kaz yko
@mayapillay12928 жыл бұрын
Nice interview I like it big up millard ayo
@mankaraphael28609 жыл бұрын
Nimeipend..Nice interview..😍😍
@jesca06019 жыл бұрын
blessings millard thank you
@anwarbabas20328 жыл бұрын
Safiiiiiii milady mungu akuongoze zadi.
@gideonkabuko9 жыл бұрын
wow very nice........interview
@abdalahhassan18288 жыл бұрын
safi sana kaka kazi nzuri
@davidphares53167 жыл бұрын
ukweli tuseme millard ayo uko vizuri ktk maswali yako uulizi mambo ya umbea we unauliza maisha yanaendaje like that sio wengine wangeuliza mapenz mwanzo mwisho
@jasminguyo94617 жыл бұрын
shez cute I love her
@jacklineemmanuel57248 жыл бұрын
Nimependa kazi yako
@aqlammushi75266 жыл бұрын
Nice
@Lusegere8 жыл бұрын
hongera dada god billis you
@newtannewtan16066 жыл бұрын
I appreciation ma bro xo cool interview
@tonyjah25469 жыл бұрын
good sana br ni nakupata fit buda bos
@sharifunurdini32406 жыл бұрын
blue jinga kweli unamwachajee mtoto mzuri kama huyooooo
@eliudoginia77203 ай бұрын
Sure mazee
@eliudoginia77203 ай бұрын
Afutena ukiongezea pia kwao zipo
@hawahamisi62379 жыл бұрын
NYC job kaka Millard ayo.
@millardayoTZA9 жыл бұрын
+Hawa hamisi Thanks Hawa wangu
@esheseif94279 жыл бұрын
i love you Naj
@hadijambwana7698 жыл бұрын
wooow upo juu @millard ayoo
@bestyhaule62568 жыл бұрын
kazi nzuri broooo
@stellajohn45949 жыл бұрын
kazi Nzur millard
@ungitours8 жыл бұрын
good job millard ...
@mariammahaba56619 жыл бұрын
gud job.millad.lv u naj
@millardayoTZA9 жыл бұрын
+mariam mahaba Thanks Mariam mtu wangu! nimeiona comment yako
@mariammahaba56619 жыл бұрын
U r wlcm my dear
@bettysalvatory91369 жыл бұрын
iwishing one day to work with u millad keep it up
@brigittelotika64109 жыл бұрын
Wow Big up saana mirdayo
@annamallya81088 жыл бұрын
I lyk da way u talks@ Millard ayo
@martindondi98908 жыл бұрын
talk*
@kenyamoja9618 жыл бұрын
Haha'''''
@rehemafredrick55088 жыл бұрын
cute Naj
@sigifridyfranky80807 жыл бұрын
Naj ni mkalisana
@alineniyonkunda85149 жыл бұрын
millardayo nakipenda Sana kipindi chako
@mtotowaspurs8 жыл бұрын
No heart feelings, nice one .!
@godwinalexis7588 жыл бұрын
Millard ayo mupo vinzuli. sana mume tulia kwa kuhoji hamuna papala
@lightnesslema22717 жыл бұрын
milard lv u
@mussamalick10456 жыл бұрын
Penda sana huyu mrembo hasa the way anavyoongea
@getruderaphael11468 жыл бұрын
mirrad kp it up umetsha, a like tha way u tok
@youngchibudy21056 жыл бұрын
broo kaz nzuri
@yasminkituku38759 жыл бұрын
napenda kazi yako millard ayo
@cheedvevo5 жыл бұрын
How did mr blue dated with someone who had 16 years old 😭😭 how old he was 😂
@salmasalma63489 жыл бұрын
upo vzr kaka millard ayo., nakipenda xana kipindi chako..,
@millardayoTZA9 жыл бұрын
+Salma Salma Asante sana kiukweli mtu wangu Salma! asante kwa kuniandikia na kutazama pia
Hawa madem wanachachawa sana maisha wanapenda attetion ndomna hjui anachotak kla kitu anatak kufanya kajiunge n ww upate umaarufu hn jengne hwa n maroll model wa kadashian hawa wanapenda attetion n mafanikio hawajui wafanye nn mhm mashaka
@rahmaally81527 жыл бұрын
fun death ni nzuri mnoooooo
@zimboj52786 жыл бұрын
duuh mtt wa motoooo
@saifsalum72229 жыл бұрын
good job
@johnsonayo9 жыл бұрын
nice brother
@mbeyacitygang35346 жыл бұрын
Upo fresh
@Justinndalama015 жыл бұрын
Naj kazaliwa mwaka gani
@jimrodjonas82368 жыл бұрын
xo nic naj with Millard
@shedyjr32279 жыл бұрын
big up jamaa.. ila kiukweli natamani siku moja kuona interview ya mwamba joh makini asee nitafurahi sana bwana milady--- harafu pia ukipata nafasi muulize hili swali..harakati za muziki walianza na bonta toka muda gani?
@maliusmart22byabu398 жыл бұрын
Gud at all
@cannethchristina36329 жыл бұрын
kaz tam xana mirad ila namzimiaga xana Naj
@miltonwangila60569 жыл бұрын
Umedigtika sana
@dct4lif9 жыл бұрын
Cool gal
@mzenji9 жыл бұрын
Adnan kama hawa St Louis Hakuna. :)
@dct4lif9 жыл бұрын
mzenji Hakuna au washatumika sana ?
@faridarashid68719 жыл бұрын
gud job
@happybrown84248 жыл бұрын
Nying mnooo mpk ktk sentenc ambazo hazihitaj obvious..
@mohammedrashid77359 жыл бұрын
naj will get over him, i saw u da other time in sporah show its just like u cant stand without her.but we 've all been guilt take it easy n move on never liik back
+josephine mwelu Thanks Josephine mtu wangu, nimeiona comment yako na kuipokea kwa moyo wote! nashkuru
@josephinemwelu5819 жыл бұрын
Anytime brother tuko pamoja
@johnwilliam40298 жыл бұрын
unajitahidi kias
@monthermonther92329 жыл бұрын
ilike u millard ayo uko na sauti poa
@Aboubakarimsangi11149 жыл бұрын
That British Accent mixer na kiswahili ipo soooo cul... nieipenda hii interview
@heppymunisi3776 жыл бұрын
doh hizo ni nywele zako
@229axb78 жыл бұрын
What's the language?? Pretty
@maryangela1076 жыл бұрын
huyu dada muongo hana 24 ila so mbaya unamiaka 33 unajuwa kipindi mista bluu anaimba Huo wimbo mimi nilikuwa na miaka kumi na nikikuangalia kwenyeyhuo wimbo ndo ulikuwa nahiyo miaka 24 duuuu muongo dada wewe
@markphilipo36366 жыл бұрын
Hahaha
@eliudoginia77203 ай бұрын
Yenyewe huez Kwa na video vixen mwenye umri ya chin ya 18 hpa Africa
@winfridermustafa76068 жыл бұрын
Oya kaka me napenda sana kpnd chako na nafatiluaga sana tu, ila me naomb moja tu nataman kutFut kick na haminize jaman nampenda Rayvan cjui nifanyeje
@hassankadogo38779 жыл бұрын
kwani upo
@abeidmayanga8098 жыл бұрын
siyo siri naj umeongepoa kinoma sikutegemea nilikuwa najua nawewe nikamwehumwehu gud
@happybrown84248 жыл бұрын
Obvious 30 ktk interview nzima jmn
@bettylozie90388 жыл бұрын
happy brown 😃😃😃😃😃😃
@jeandaviddavid27106 жыл бұрын
Her name?
@angelntandu46488 жыл бұрын
wapi wewe Naji ulikuwa unampiga blue mizinga ya laki saba akakukimbia.
@benymikael32198 жыл бұрын
RR
@ezlonlony35887 жыл бұрын
Ga
@ezlonlony35887 жыл бұрын
Hahaahahaa
@hajimohammedy65467 жыл бұрын
kaka we nikingsheeeeeedah
@hajimohammedy65467 жыл бұрын
haaaaahaaaa
@forextanzania98146 жыл бұрын
Like like like zmezid acha ushamba wewe
@ndayizeyeezechiel85986 жыл бұрын
Wewe badilisha lugha sababu sisi siwasomi sista
@saitotisaitoti67346 жыл бұрын
Nani kakwambia kujua lugha ndio usomi? Hata wewe ukiamua kujua lugha yoyote unaweza kwa kujifunza tu.tena unaita mtu anaejua anakufundisha
@amanimariki46719 жыл бұрын
kama Ariana Grande vile. kama mapacha
@samak51939 жыл бұрын
unaenda na kasi ya kidigital joh
@millardayoTZA9 жыл бұрын
+sama K Thanks mtu wangu Sama K! asante sana kwa kutazama
@josephinenawapendasanamung99838 жыл бұрын
+Millard Ayo ilove u
@lilreyz3816 жыл бұрын
Naishi Pia ulaya watanzania wengi tukija ulaya tunakimbilia computer studies and graphics design😂😂