#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 42,545

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

#EXCLUSIVE: QUEEN MASANJA AFUNGUKA KUTOVAA STARA - ''MWANAMKE USIOGOPE KUANZA UPYA''...
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 229
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@fatimahwazir9179
@fatimahwazir9179 Жыл бұрын
Hi Habari, sorry napata je no ya uyu dada queen?
@user-md6ll9mm2m
@user-md6ll9mm2m 8 ай бұрын
Maashallh dadaangu umeweza mungu akutie nguvu ktk upambanaji wako
@bahatirobert1009
@bahatirobert1009 Жыл бұрын
Ishi utakavyo qeen ,mbinguni unaenda mwenyewe,na watoto unalea mwenyewe,ko go on❤❤❤❤
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 Жыл бұрын
Jichanganye mdogo wangu maisha yaendelee kambi popote unavaa kawaida tu kwani kuweka nywele vizuri kuna ubaya gani. Bila ya mme inawezekana. Pambana na enjoy maisha utajua hujui.
@deboramartin8111
@deboramartin8111 Жыл бұрын
Kwanza qeen ni mkristu alikuwa muislam alipokuwa na doctor mwaka ndio kabadili dini acheni kumfuatilia mdada was watu
@ndohoriomsacky445
@ndohoriomsacky445 11 ай бұрын
Wanaume mnakosea Sana mnapo oa mke mpe elimu y kimaisha mpe frusa mkeo usimbane mkeo mpe nafasi y kufanya biashara mpe mtaji mkeo kidogokidogo mke anaweza akaona vingi vingi biashara mkafanya wote mke na mume mkafanikiwa siyo ukambana asifanye kazi alafu unamuolea mke huku unamdharau siyo vizuri mpe mkeo elimu ykujituma aone vingi vyakufanya
@rithaferdinand3738
@rithaferdinand3738 Жыл бұрын
Ila kuna watu wanajua kuwahukumu wenzao kaaah, hv nyie mabaya yenu nani anawahukumu? Mungu ni wa wote jamani, kila mtu ana imani yake. Hongera sn mdada na Mungu atazidi kukubariki dada.
@mgayamecky7380
@mgayamecky7380 Жыл бұрын
Manamsema sana dada wa watu ohh anatembea uchi alivyokuwa kwa dr mwaka na huku alipo wapi alikuwa anaenda utupu mwacheni mtu aishi maisha yake mlitaka apate kichaa cha ndoa hebu mwachen apate fresh air ,dada piga kaz fanya kile kinachokupa furaha ilmradi humuumiz mtu
@kapingalucy2707
@kapingalucy2707 11 ай бұрын
Kabisaa amuuzi mtyu wala MUNGU.anapambania Maisha ya Wanae Nayeye Mwanadamu kila ulifanyalo awezi lizika lazima watasema Tyuu
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 11 ай бұрын
Kiumbe mwanadamu muacheni alivyo. Ya kwetu hatuyaonagi
@naturelle1097
@naturelle1097 Жыл бұрын
Kweli sijui wanaume wanangaliaga nn this woman is 10/10
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 11 ай бұрын
Hawajui wakitakacho
@marianajohn5415
@marianajohn5415 11 ай бұрын
Queen is 100/100 she is soooo perfect ! Mungu akupe mume sahihi dada 🥰❤️
@amaningalla9420
@amaningalla9420 Жыл бұрын
Queen nakuombea sana usipande na mambo mengi ,chukua machache sana panda nayo juu,mungu akuongozee
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 Жыл бұрын
Anatapa tapa huyu.Nahic anavstress anahitaji ushauri nasaha
@mgayamecky7380
@mgayamecky7380 Жыл бұрын
@@hawaamohammed6687 kweli wanawake tunachukuana sana loh
@khadijamahmoud4365
@khadijamahmoud4365 Жыл бұрын
Ni kweli anatapatapa kwa standard yake hakupaswa kuingia huku kwenye uigizaji wengi wana tabla za ajabu wanalalana wenyewe kwa wenyewe, anaepinga hili atakua ameamua tu lkn ndio ukweli, alitakiwa afanye biashara na matangazo yenye heshima sababu yuko kwa ndoa zaidi ya miaka 10 sio msichana tena
@kapingalucy2707
@kapingalucy2707 11 ай бұрын
​@@khadijamahmoud4365Kwa Hiyo Bibi Mwenda Analalana uigizaji unakila staji silazima uwe msichana Ila kikubwa ajieshimu na kuekti sehemu zenye heshima Na Maadili ili airline heshima Yake na kutomkosea MUNGU ,
@tukuswigaikasu5227
@tukuswigaikasu5227 7 ай бұрын
​@@hawaamohammed6687 khaa mtu anatafuta riziki yake halali mwasema anatapatapa na stress. Kama ni hivyo basi watapajitapaji tupo wengi mjini hapa
@BhokeWarioba
@BhokeWarioba Жыл бұрын
Kila mtu anaishi apendavyo nakupenda buree da queen
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Wajina 😂😂
@JulianaMushi-nq3kc
@JulianaMushi-nq3kc Жыл бұрын
Naona sura ya zari kwa mbali mara inakuja mara inakataa
@gracemsalila7735
@gracemsalila7735 11 ай бұрын
Kweli
@ChristinaOnditi-el3xo
@ChristinaOnditi-el3xo Жыл бұрын
Ila jamani mwaka kapoteza dhahabu, mrembo,kauli njema na mwenye akili tulivu,pole sana Dr mwaka, natamani mrudiane huyu mwanamke SI wa kumpoteza tafadhali
@bakariomari8758
@bakariomari8758 Жыл бұрын
Sasa, dhahabu ni ipi hapo
@julianapeason6254
@julianapeason6254 Жыл бұрын
@@bakariomari8758 kama unamwona wa maana mchukue wewe ukae nae kwenu🤣🤣🤣🤣🤣
@bakariomari8758
@bakariomari8758 Жыл бұрын
@@julianapeason6254 sasa mm jamani mtu mkongwe yule nimpeleke wapi mabinti walojaa tele
@julianapeason6254
@julianapeason6254 Жыл бұрын
@@bakariomari8758 ndo nawe ushangae watoto wamejaa tele uhangaike na bibi
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 11 ай бұрын
Kizuri anakijua alichukuwa nacho akakiacha
@user-nk3ei2vb5i
@user-nk3ei2vb5i Жыл бұрын
Uyu Dada ni mzuri
@queenlinda255
@queenlinda255 Жыл бұрын
Wajina utafika mbali mno na doctor mwaka uko aliko anajuta MUNGU akuongoze vyema in sha Allah
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 11 ай бұрын
What is delay is not denied ❤❤❤
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 Жыл бұрын
igiza my wenye wivu wajinyonge
@bahathmuro7145
@bahathmuro7145 11 ай бұрын
Tena hata aolewe sisi tutashika pembe Mwanaume ana wanawake wengi na hata akiachana na kuwa na mwanamke mwingine hawamjadili kuwa mtovu ila mwanamke sasa amoveon weeeeee utajuta kuzaliwa!
@annalyimo8462
@annalyimo8462 11 ай бұрын
Daaa huyu dada nimempenda anajua kutafuta
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Mashallah,umenenepa Dada.
@gabbyhenrgy1157
@gabbyhenrgy1157 Жыл бұрын
Mbn kavaa vizur sana au avae magunia 😳 kisha achika na msisahau kabla ya kuolewa alikua na maisha yake na ndo haya anayaishi sasa. Muacheni afanye yake kwa amani katoka Misri jmn mpeni kiti apumzike msisahau na maua yake ya kunukia vizur 😊
@sedekiabilijite5516
@sedekiabilijite5516 Жыл бұрын
Umeongea point kabisaaaa!!! Ametoka misiri , ndoa ikisha kuwa mbaya haina tofauti na misiri😂😂😂😂😂😂😂😂
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 Жыл бұрын
Ama kweli mwanamke ni kiumbe dhaifu na ambaye hubadilika kulingana na mazingira alionao kwa kipindi hicho. Hii ni utashi wangu na siyo sheria.
@Kidotii
@Kidotii Жыл бұрын
You very right! Chochote utakachompa au kumsababishoa mwanamke atakizalishaa mara Mia!😊
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 11 ай бұрын
Dhaifu maana yake ni Nini,binadamu anaishi kutegemeana n'a mazingira n'a siomwanamke
@fatmaabdi7192
@fatmaabdi7192 11 ай бұрын
Ooooh kama karudi ktk dini yake ya zamani hapo sawa
@abdullayahya8717
@abdullayahya8717 Жыл бұрын
Sofitanzania@ hebu muache mwanamke mwenzio! Comments zako zaidi ya 10 kumsema dada wa watu mbona amejieleza vizuri tu.
@khadijamahmoud4365
@khadijamahmoud4365 Жыл бұрын
Hakuna cha kujieleza ndio ukweli huyu kwa standard ya maisha aluyokua na mume wake si kijana sana alitakiwa achaque kazi za kufanya sio kucharuka kama hv huyu kama ana stress anataka kuwaaminisha watu kua yuko happy lkn sio kweli huku ni kucharuka hasta ukizingazia kua amekua muislam uislam una mipaka yake, na ww ni muislam unajua hilo
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
​@@khadijamahmoud4365sasa hapo kacharuka nini mbona wivu wa wazi kabisa nimeamini mchawi wa mwanamke ni mwanamke khaa 😮
@cookwithdoublev2654
@cookwithdoublev2654 11 ай бұрын
@khadijamahmoud4365 huna akili wewe ni mpuuzi wa mwisho yani mtu anatafuta ugali wa watoto wake unaingiza mambo yakidini bila shaka wewe ni mwanamke gol kiper wewe hunakazi yakufanya zaidi yakugogwa na mwanaume wako ndio maana unaleta makasiriko sasa apo amecharuka ni nini na yupo kazini anaingiza pesa zakulisha wanae au ulitamani umuone analia mitandaoni kila siku kuomba msaada na anamikono na miguu yake acha roho mbaya fala wewe huna akili taira wa mwisho unaleta mambo ya mipaka ya dini kwenye riziki za mtu mwingine unajielewa kweli wee fala sana 😂
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 Жыл бұрын
mnalazimisha ajistiri kwani lazima nani aloenda kaburini na kurudi kusema kuna zambi nyingi.acheni uboya kama mnaona donge jistirini nyie 😏😏😏hamna lolote na wengine hata kuswali hawajui kutwa kubadirisha mabwana ,wasikuzingue queen kama vipi rudi kwenye dini yako, tafuta pesa dada achan na maboya hao kwanza hawana msaada wanaongea midomo mirefu .
@adamndilanna1562
@adamndilanna1562 Жыл бұрын
Akuongoze Allah
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Sasa Stara ni lazima huwezi juwa utafia wapi
@joyce55727
@joyce55727 Жыл бұрын
​​@@khadidjasuleiman8006apo yupo uchi??
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 Жыл бұрын
@@joyce55727 watu wana wivu kweli sio lazima usikut hao wanaojistili wamalaya hatari
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
​@@joyce55727ndo tushangae wivu mbaya jamani
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Stara ni lazima hatta kwawasio kuwa uislam mbona mwabishana kha 🙌
@Kalssambabo-gv6uh
@Kalssambabo-gv6uh Жыл бұрын
Sheytwan kishaa tawala dunia
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
Kwa hiyo hapo yuko uchi
@cookwithdoublev2654
@cookwithdoublev2654 11 ай бұрын
Unashida kichwani wewe sio bure kama unaijua stara mitandaoni unafanya nini bahna wee peleka mahubiri yako yasiokua na tija kahaba mmoja tu wewe umemuandama binadamu mwenzio kumuhukumu kama wewe ndio Mungu unaejua haki na baya na zuri ni lipi peleka usenge wako na umasikini wako uko babu ee usituchanganye kahaba mmoja wee😂😂😂😂😂
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 10 ай бұрын
Hii ndio sababu mungu anachukia talaka ,ulistirika ss unajivua
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 11 ай бұрын
❤❤go on
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 10 ай бұрын
Naona mtangazaji analazimisha ujibu unajutia maisha ya NDOA....! Bi dada Nyota yako imeng'ara mshukuru MUNGU, ila jihadhari sana usiwatie wanawake wengine ujinga....NDOA NI STARA, bila ndoa stara hakuna, hautakua na tofauti na MPIRA wa KONA.!
@juliethmunhambo4116
@juliethmunhambo4116 11 ай бұрын
Tusihukumu maana hata sisi sio wakamilifu mbele ya Mungu
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 10 ай бұрын
Kapotea njia
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 Жыл бұрын
😊❤
@CatherineKabelege-te3yo
@CatherineKabelege-te3yo 8 ай бұрын
Big up sis
@RahmMudram-ys5pt
@RahmMudram-ys5pt 11 ай бұрын
Allah akuongoze jmn dunia imeisha
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Жыл бұрын
Kwin we Ni mkristo ishi kikisto aliye kusilimisha kakuacha ishi vile moyo wako unataka
@khadijamahmoud4365
@khadijamahmoud4365 Жыл бұрын
Hata wakristo wanatakiwa kujistiri hakuna kitabu kimeruhusu mwananmke kujianika sana
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
​@@khadijamahmoud4365halafu wewe dada mbona unaroho mbaya sana na wivu wa wazi kumchukia mtu pasipo na sababu ni matumizi mabaya ya moyo au ndg yangu mchawi khaa sasa hapo kajianika vipi jamani halafu wewe si mwanamke au jina tu punguza kijiba cha roho utakufa vibaya pia mwogope Mungu pia maana mwenye mamlaka ya kuhukumu ni Mungu na wewe
@OmanOman-bm1lr
@OmanOman-bm1lr Жыл бұрын
Wanawake wapambanaji wote ndoo tunamuelewa nini Ana maanisha
@kapingalucy2707
@kapingalucy2707 11 ай бұрын
Haswaa
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 11 ай бұрын
🎉🎉🎉
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr 11 ай бұрын
jumbe kweni mdogo ata kwa doctar cheni
@enockmaige8936
@enockmaige8936 Ай бұрын
Hivi mnaosema hajistri jaman kwa hyo ss wakristo wote ni wadhambi muacheni dada wa watu apambanie wanae kwani kajiuza mpumzishen bas😢😢
@user-gr2ec5uj1s
@user-gr2ec5uj1s Жыл бұрын
Asma rajabu uko muzuri wambie kilamtu ataenda nalwake wanamuonea wivu mdada wawatu mzuri mwenyewe wacha waseme Queen wape kba ngozi mbwa izo zinzo koment ujinga
@madamaisha1641
@madamaisha1641 11 ай бұрын
Shaitwani rajiim,mnafiki wewe subiria kidogo moto wa Allah unakusubiri
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 11 ай бұрын
You are not God.fool
@pengefeza2563
@pengefeza2563 11 ай бұрын
Shindwa wewe peleka laana zako kwa familia yako
@juliethmunhambo4116
@juliethmunhambo4116 11 ай бұрын
Usimuhukumu si vyema,naomba umwachie Mungu tu
@petronillajosephat91
@petronillajosephat91 11 ай бұрын
Kafie huko shetan la kike lililokimbia kuzimu peleka milaana yako kwenye ukoo wako nyoooo
@madamaisha1641
@madamaisha1641 11 ай бұрын
Mashaitwani wenzake wamekuja juu hahahaha imewagusa sana ila moto wa Allah unawasubiri wahuni wakubwa
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Hivi huy ndie Ex wa mwaka au wamefanan mnijuze
@nailaomar4810
@nailaomar4810 Жыл бұрын
Ndio
@user-ei7br1fw9m
@user-ei7br1fw9m 10 ай бұрын
Kwa hiyo mtu akivaa hijabu ndio mkamilifu na hana dhambi?
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Mihani umepoteza stara jamani kwa pesa
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Na stress pia zinachangiya
@greysonkisinda7390
@greysonkisinda7390 Жыл бұрын
​@@khadidjasuleiman8006 mi sjaelewa kwan ana stress za nini?
@nesymichael4286
@nesymichael4286 Жыл бұрын
Eti kuachwa na dk mwaka mbna ashasahau 😂
@greysonkisinda7390
@greysonkisinda7390 Жыл бұрын
@@nesymichael4286 stress za kuachwa mpaka leo jaman mbn ni mda sasa
@jackiefredrick586
@jackiefredrick586 Жыл бұрын
Kapoteza stara ipi
@rahmahersi6584
@rahmahersi6584 Жыл бұрын
Kuna wakati nilisikiayeye hakukulia Kwenye Uislamu. Sijui kama ni kweli.
@maryamathman8917
@maryamathman8917 Жыл бұрын
Yeah yy sio muslim alifanya kuslimu alipo olewa so vile ameachika amerudi kwa dini yake
@nailaomar4810
@nailaomar4810 Жыл бұрын
Subhanaallah
@khadijamahmoud4365
@khadijamahmoud4365 Жыл бұрын
Hajarudi ktk ukristo na hajatamka hilo achen kumsingizia
@shamzone388
@shamzone388 Жыл бұрын
@@maryamathman8917haja sema kama karudi dini ya kikiristo yupo ni muislam
@rahmahersi6584
@rahmahersi6584 Жыл бұрын
Samahani hakuna mtu Atakaye mhukumu binadamu Mwenzake. Elena sentensi inasema nini?? Kuna swali kabla ya hapo Mimi nilitoa nyongeza. Swali ilikuwa kwanini Avue hijabu kwa ajili ya Majukumu anayoanza Kuyafanya.??? Soma comments.
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Жыл бұрын
Jmn hijabu sio utakatifu Kuna watu wanavaa hijabu lakini Ni wazinzi,wambea, wanafiki
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 Жыл бұрын
washamba achana nao usikute wanamuonea donge
@pendokomba8322
@pendokomba8322 Жыл бұрын
Tena sanaaa ni wachafu kwelikweli
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 Жыл бұрын
@@pendokomba8322 binadamu wana wivu sana kujistili huko kwiyooo
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Kujistiri ni hijabu kuzini au kusengenya ni kufanya zambi utapambana na Mungu ila hijambu ni stara na kwenda uchi ni zambi kama hizo ulizozitaja
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
@@pendokomba8322 wewe sema tu unalopenda ila hijambu ni stara ya mwanamke tena kufanya uchafu hio ni zambi lakini stara ni kustiri mwili kwa mwanamke sema hamulitaki basi ila usiseme porojo
@pendodaniel3612
@pendodaniel3612 11 ай бұрын
Wamuweke huba pia
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Dunia ishakubadilisha
@Kalssambabo-gv6uh
@Kalssambabo-gv6uh Жыл бұрын
Yee ndio kabadilika dunia ipo vile vile
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 11 ай бұрын
Mmxiuuu
@florencemeza6540
@florencemeza6540 11 ай бұрын
Mrembo wa kisukuma watu wana .akasiriko juu hako achana nao songa mbele weMZURI MDOGO WANGU
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Sio kila fursa kuzikimbilia huko.bongo movie uhuni mtupu
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mtihani ewe mola wetu tusamehe waja wako maana duniya imesha tufunika
@Muslim-gs6rn
@Muslim-gs6rn 11 ай бұрын
Ameen😢😢😢❤
@aliemdogo
@aliemdogo Жыл бұрын
Ishi utakavyo wasikuendeshe hao wapuuz
@Kakwasi
@Kakwasi 9 ай бұрын
Maisha niyake Queen tena umemuacha mume wa kiislamu Sasa uko huru
@faridaally-jp1gx
@faridaally-jp1gx Жыл бұрын
Daa maskini anajiona kawini maskini kuvua hijab mmmh
@irineemanuel9749
@irineemanuel9749 Жыл бұрын
Huyu ni mkristo hijabu la nini .amerudi kwenye ukristo kwani unatakaje
@estherjustine8251
@estherjustine8251 Жыл бұрын
Hijabu ni nguo tu km nguo zingine, issue ni roho ya mwenye kuvaa ijabu, km ni chafu hiyo hijabu haimpi kuwa Mtakatifu Wengi wa wavaa ijabu tumewaona kwa matendo yao yako kinyume na Mungu ......umalaya, uzinzi, uchawi, wezi nk
@bennamush4616
@bennamush4616 10 ай бұрын
Dah mpaka mandonga anaigiza 🤣🤣🤣
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 11 ай бұрын
Nyota imeng'ara kwako umakamo 😂
@moudys
@moudys Жыл бұрын
Kwani kipaji chake hapo hukiona kila mwanaume anakiona ni namna kila mwanaume vile ataweza kumshawishi akitumie kipaji chake.
@elineswai2933
@elineswai2933 11 ай бұрын
Ulianza kufanana na mmeo had midomo
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Mnamlazimisha avae mashuka shuka kwa ni mwarabu huyo ? Tanzania si nchi yakidini watu wanaoumizwa na swala la mavazi waende wakaishi Afghanistan au Brunei au Somali katika kundi la alshaab
@harodphilipo8228
@harodphilipo8228 Жыл бұрын
Kwaiyo mnatakaje sasa nyie mnao mjaji kuhusu dini hebu tembeeni mbele
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Sijui Barnaba naye akiachwa atarudi kanisani 🤫🤭🤔🤧😪😬
@lelaiddy6856
@lelaiddy6856 Жыл бұрын
Labda
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Жыл бұрын
Kabwela taratibu na mbavu xangu.
@khadijayusuph2634
@khadijayusuph2634 Жыл бұрын
Hilo ni jibu mbona😂
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
@@yukundapeter8200 nawaza kwa sauti tu mwayego 😶
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
@@khadijayusuph2634 nafikiria kwa sauti shangazi madodo urojo
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Mtihani utu wamwanamke unazidi kupotea
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 Жыл бұрын
Mwanzo ulikuaje😏
@syliviakente9460
@syliviakente9460 10 ай бұрын
Huyu alibadili dini.kuolewa na Mwaka
@Kakwasi
@Kakwasi 9 ай бұрын
Vizuri ako huru.
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
Queen ishi maisja yako..utupu utupu utupu upi huo? Mwachrn dada wa watu..mkivaa nijuba yenu mnaona mbingu hii hapa..chefuu
@QueenSophie-rj7hu
@QueenSophie-rj7hu Жыл бұрын
😂😂😂😂 agiza soda nakuja kulipa
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Kumbe Quen ulitakani maisha yakwenda utupu
@josephselesitine224
@josephselesitine224 11 ай бұрын
Kwan hapo yupo utupu muachen dada wa watu jaman
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 11 ай бұрын
@@josephselesitine224 wewe mpuuzi atikwani mpaka avuwe nguo ndio uone.kenda utupu mpumbavu we
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 11 ай бұрын
@@josephselesitine224 eti muache dadawawatu nahuko kaburini attachable kweli
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 11 ай бұрын
Halafu koma wewe kusapoti ujinga huko alikojiingiza tunasubiri azalilike
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 11 ай бұрын
@@josephselesitine224 usojielewa we sasa apo manywele wazi ndio sio utupu au ulitaka uone tako ndio ujuwe uchi mwananke viungo vyake vyote uchi usojielewa we
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 Жыл бұрын
Si lazima hijabu
@sisifaty9183
@sisifaty9183 Жыл бұрын
Sasa mnataka nini
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Kwa mwenye shahada ni lazima
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Shahada ya shule (degree) au?
@amaningalla9420
@amaningalla9420 Жыл бұрын
Nakupongeza sana kwa uamuzi wako mzuri ,wewe ni mwanamke jasiri kazana usirudi nyuma
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 Жыл бұрын
kabisa azidi kushinda hapo ili wanochonga waumie
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 Жыл бұрын
Ndio mnaambiwa kaka zetu wa kiislamu mnapowabadilisha dini wanawake mkaee nao kwa amani ili keaho muwe shahidi Ona sasa karudi kundini muacheni mrembo wa watu.
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 Жыл бұрын
enjoy queen wasikupangie maisha eti utupu? 🙄 wap alipo utupu, mwacheni, nyie msio na dhambi kazaneni kumuona yeye ndio mwenye zambi
@FatmaMohammed-ry8yo
@FatmaMohammed-ry8yo Жыл бұрын
Ww pia ni mpotovu ndio unaona km anasemwa .anakumbushwa km anapotea dini alikubali sasa ww hujitambui
@QueenSophie-rj7hu
@QueenSophie-rj7hu Жыл бұрын
Wanajikuta miungu watu,
@scholamodestus9386
@scholamodestus9386 Жыл бұрын
@@FatmaMohammed-ry8yo huyo ni mkristo unataka avae mijuba
@mgayamecky7380
@mgayamecky7380 Жыл бұрын
Alivyo kuwa kwa dr alikuwa anavaa majuba?siwalikuwa wanavalishwa vibukta ama mmesahau ila waja loh
@joyce55727
@joyce55727 Жыл бұрын
Kbs anfanye anacho taka huo utupu mm pia siuon ❤❤❤❤ Queen
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Dunia hii pesa inapoteza utu wa wamtu
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Mtihani
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Unahangaika sana dada duhh huko ulikokimbilia heshima yko ishapotea
@michaelmillinga5064
@michaelmillinga5064 Жыл бұрын
Wewe mbona unajiuza makaburini na hakuna anayekusema.. takataka kabisa wewe
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Жыл бұрын
Kaa kwa utulivu mama umri ushaenda
@allydingi9736
@allydingi9736 Жыл бұрын
Mama hii dunia unaona unaikimbiza lakini yenyewe inakukimbiza kuliko unavyoikimbiza utakuja kujuta
@QueenSophie-rj7hu
@QueenSophie-rj7hu Жыл бұрын
Dua la kuku
@neemajonas3891
@neemajonas3891 Жыл бұрын
hapana
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
M wenyezimungu atupe mwisho mwema 🤲
@scholamodestus9386
@scholamodestus9386 Жыл бұрын
Tuliza mshono nawew
@angelashitindi5427
@angelashitindi5427 10 ай бұрын
Uchawi huo
@OlgaBembeleza-eq3hx
@OlgaBembeleza-eq3hx Жыл бұрын
Huyu mwandishi sijui mtangazaji ananikera Sana...hatumii R na L Kwa usahihi eti ongela jamani khaaaa.... woiiiiiiiii sijui kasoma chuo gani
@AshaMakame-zg9xi
@AshaMakame-zg9xi Жыл бұрын
Kwani mwenzangu hizi TV on-line zinamambo hawajui Kiswahili cha mjini na huko alikotoka akija mjini sifa tu kujifunza laaa
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Ugonjwa wa Tanzania matumizi ya R na L utasikia Lais
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Ulivyovaa hijab ulikuwa nimwanqmke wastara ila sasa kama shetani wakuletwa
@QueenSophie-rj7hu
@QueenSophie-rj7hu Жыл бұрын
Ukivaa ww inatosha
@immaculathaemmanuel8240
@immaculathaemmanuel8240 Жыл бұрын
Kwani hijabu ndo linampeleka pepon au ndo linamlango wa pepon?
@pendokomba8322
@pendokomba8322 Жыл бұрын
Ushamba mzigo
@scholamodestus9386
@scholamodestus9386 Жыл бұрын
Stara ipo moyoni unavaa mishungi ila kutwa kudanga inakusaidia nini
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
😂😂😂 mtihani mi nasoma coment Stara ni wajibu
@hidayah3405
@hidayah3405 Жыл бұрын
Sasa kam kuanza upya ndo uvue hijab 😏😏😏😏😏😏
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
Ukivaa wewe inatosha mihijab yenu
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Жыл бұрын
@@masalakulwa7601 Hata Mariamu mama wa Yesu alivaa stara sasa wewe mwenzangu vp??!!
@aminamollel3571
@aminamollel3571 Жыл бұрын
Kwani kuvaa hijabu ndiyo utakaktifu?acheni ujinga acheni kuhukumu mwacheni dada wawatu aishi apendavyo acheni maneno maneno
@QueenSophie-rj7hu
@QueenSophie-rj7hu Жыл бұрын
​@@masalakulwa7601❤
@immaculathaemmanuel8240
@immaculathaemmanuel8240 Жыл бұрын
Tena hao wenye mihijabu yao wengi ndo hovyo kabisa ila waambie kujua kuhukum wenzao tu
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 Жыл бұрын
Sku ile alipotoa machozi , sababu Watanzania wengi ni madunduka. hua wanadhani machozi ndio haki walimshambulia sana dct mwaka. ila mm tokea kipindi kile niliona Huyu ana tatazo.
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Wasanii wote malaya tu
@Kakwasi
@Kakwasi 9 ай бұрын
Hatujui unachofanya kwa bedroom yako
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Manywele wazi kama jini wakuletwa
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
Sema unaona wivu
@devothamturi7571
@devothamturi7571 Жыл бұрын
Anamakasilikooo huyooo
@aliemdogo
@aliemdogo Жыл бұрын
Kwan ulizaliwa umevaa hijabu,ulitoka uchi utarud uch
@paulmushi2428
@paulmushi2428 Жыл бұрын
Ameshatoka kwenye majini hijabu ya nini? Mwache na uhuru wake na wewe Baki na hijabu yako huku ukiwa umejaa unafikhi, Hila na uzinzi Moyoni!
@faudhiamushi2233
@faudhiamushi2233 Жыл бұрын
Duh unaamini wewe ni mwema sana kwakuwa unavaa hijabu? Honestly? Kama ni hivyo utakuwa mkuu wa hayo majini bila shaka! Nani kakupa nafasi ya kuhukumu?
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 11 ай бұрын
Mbona kavaa vizuri nguo sio fupi wala maziwa kuhonekana ni very classy feminine,mzuri sana Dada wa watu na anajielewa Sana ,
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Ama kweli dunia hupoteza yule atakae kumpoteza dada ushapotea maana apo utawekwa uchi dahh
@khadijayusuph2634
@khadijayusuph2634 Жыл бұрын
Duh'" we mtu umetumwa😮unahukumu utadhani funguo za mamlaka umepewa wewe!!!😮 Isitoshe utaungua wewe ye asalimike duh'''
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,1 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 14 МЛН
BIBI HARUSI MATATANI KUACHIKA KABLA YA HARUSI
11:32
KIREDIO
Рет қаралды 143 М.
ПОДВОДНЫЙ ГЕЙМИНГ #shorts
0:22
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,8 МЛН
НИЧЕГО СЛОЖНОГО
0:21
KINO KAIF
Рет қаралды 3 МЛН
Во сколько смотришь? Заливаю в 10-22😉
0:36
Юлия Смирнова
Рет қаралды 1,6 МЛН
My wife said she wants to show me her true skills
0:27
昕昕一家人
Рет қаралды 57 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
0:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 4,2 МЛН
Would you recognize your soul mate by smell?
0:14
Den Done It
Рет қаралды 8 МЛН