FITNA ZA MAJADIDA QASSIM MAFUTA NA WENZIWE || Muhammad Bachu. TANGA MJINI.

  Рет қаралды 26,228

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Күн бұрын

Пікірлер: 180
@salimmapande4668
@salimmapande4668 Жыл бұрын
SIWEZI KUWALAUMU BAADHI YA MASHEKHE WA KISALAFI SABABU NINAWAPENDA KWA AJILI YA ALLAH KWA KUSTAFIDI KWEYE DURUUS ZAO ILA HUKU MITAANI BAADHI YA WANAFUNZI WA KISALAFI WANA GHULUWWU SANA HAWASALIMII KABISA NA UKISALIMIA HAWAJIBU HATA KAMA UNANDEVU NA HUVAI ISBAALI. ALLAH ATUONGOZE KATIKA KHERI
@imammohamedmramadhan5837
@imammohamedmramadhan5837 Жыл бұрын
Uko nashida wewe
@salimmapande4668
@salimmapande4668 Жыл бұрын
@@imammohamedmramadhan5837 Al Akhy mwenye shida ni mwenye kukataa kupokea salamu ya mwislamu mwenzake, salamu ni HAQQUN MIN HUQUUQIL MUSLIMI
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 Жыл бұрын
Huu uongo SALAFI gani huyo ww acha chuki
@salimmapande4668
@salimmapande4668 Жыл бұрын
@@ahmadzubeir3363 kuvaa isbaal ni kuvaa kanzu yenye kuvuka kifundo cha mguu
@salimmapande4668
@salimmapande4668 Жыл бұрын
@@wazirihamisi6484 fanya uchunguzi kabla kuhukumu
@saidmuhama9846
@saidmuhama9846 Жыл бұрын
Allah akupe afya na akuongezee maarifa. Kwahakika sisi tunazingatia na tunajifunza mengi kupitia mihadhara Kama hii. Baatakallah feekum wajazaakumullah khairaa.
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi Жыл бұрын
Allah akuzidishie, akuongoze na akupe uwezo zaid mpk majadidah wote waache ujadidah na wawe ktk hakki inshaallah
@khadijasaid5065
@khadijasaid5065 Жыл бұрын
Mungu akuhifadhi shekhe Muhammad bachu Mungu akuzishiye ilmu zaidi tunafaidika sana kukusikiliza mawedha yako Alhmdulilahi khadija said Nahdi mld kenya
@aliy3303
@aliy3303 Жыл бұрын
Allah bless you and protect you
@iqramufilipo4437
@iqramufilipo4437 Жыл бұрын
Allah akubaliki tulikuwa tunashindikizwa kuwanamisimamo zidi ya watu wabidaa pasi na kujuwa mipaka na ndugu zetu wa answary pasinakujua mipika allh akulipe heri
@user-qw6cn9ie8x
@user-qw6cn9ie8x Жыл бұрын
Eeeeeeh Simba Masha Allah.Allah atakulipa na kazi yako
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 4 ай бұрын
Wallahy hiki kikundi kimetupa mipaka kweli, wachape hawo shekhe mpk akili na hakki iwafikie, yani mwenendo wao tofauti, masalafi wa kweli wamekujq na ufahamu mpya hawa mabwana,udai wao ni salafi lakini matendo yao yako mbali na usalafi, tunamshukuru sana shekhe salehe utheimin allah amrahamu uko alipo, katuachia usia na fatuwa kubwa sana dhidi ya hili kundi na dalili zake, wallahy hawa mabwana allah awaongoze katika kweli, hakika dawa wanayoenda nayo haendani na usulubu wa wema walotangulia bali wao ni kikundi kilichojiweka katika sehemu moja wakajiona wao ni bora kuliko wengine wamejipa pepo wakiwa duniani hali ya kuwa mcha mungu amjuwa allah, lakini wao wametupa mipaka kuwatowa watu na maduwati, na walinganizi katika sunna na kuwatia upotevuni,kwanza wenyew kwa wenye wamejeruhiana sijui nani kasalimika, kama mafuta mwenyew na genge lake wana red card, kutoka kwa watu wa moshi,na baramika nao wamrrudisha red card kwrnye hajjawila yani wao wao tuu,hutowana katika uwanja wa sunna na kuitana mahizbi, hivi mafuta kwa mujibu wa hawa hawa wanaojiita masalafi kalimwa card hawamuhesabu salafi,na yy kawashushia red card wenziwe na ninyi so masalafi😂😂😂 wananivunjaga mbavu sana hawa watu,hasa unajiuliza huwo ndo ulikuwa mwendo wa wema walotangulia maswahaba na tabihina walitowana katika hakki kama haww mabwana pamoja na utofauti wao swahaba baadhi ya mambo waliswali pamojq hakuna alomwwmbia mwenzie ww so swahaba ww so katika sunna, hakuna hikko kitu sasa ukichunguza vzr ndo utagunduwa hawa wanaufahanu mpya kabisa na usalafi.ushauli wangu warudi katika njia ya sawa usalafi haupo hivyo.
@abeidmohamed2100
@abeidmohamed2100 Жыл бұрын
Barakka wallah fyk mungu akupe barka .na akuzidishie uwaelimishe jamaa wasio jua
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 Жыл бұрын
Mlikuwaa wapi kipindi ukhawaarij umechachamaa, Allaah akaleta taufiq yake Kwa kuleta watu kama abul fadhil wakarudisha hali ya hewa na hata shukrn hmna
@yusuphkhan8963
@yusuphkhan8963 Жыл бұрын
Achakutudanganya watu waliacha ukhawarij Kwa kupelekwa jela tena pamoja na jela lakin watu Bado Wana misimamo yayoo shekh serikali ndo imeondoa hilo jambo
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Жыл бұрын
Abdul fadhil sinimtu wakutangaza chuki tu kama nyie wapambe wake ALLAH AMUHIFADH shekh wetu Muhammad bachu
@abdulmwakubambanya9091
@abdulmwakubambanya9091 Жыл бұрын
jazakh Allah Khair sheikh
@tawfiqmoeva5982
@tawfiqmoeva5982 4 ай бұрын
MashaAllah Allah kuzidishie ilmu pamoja na sisi 28:54
@abutafawa
@abutafawa Жыл бұрын
Qur'ān Al-Hashr 59 Ayah 10 وَٱلَّذِينَ جَآءُو مِنۢ بَعْدِهِمْ يَقُولُونَ رَبَّنَا ٱغْفِرْ لَنَا وَلِإِخْوَٰنِنَا ٱلَّذِينَ سَبَقُونَا بِٱلْإِيمَٰنِ وَلَا تَجْعَلْ فِى قُلُوبِنَا غِلًّا لِّلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ رَبَّنَآ إِنَّكَ رَءُوفٌ رَّحِيمٌ Na walio kuja baada yao wanasema: Mola wetu Mlezi! Tughufirie sisi na ndugu zetu walio tutangulia kwa Imani, wala usijaalie ndani ya nyoyo zetu undani kwa walio amini. Mola wetu Mlezi! Hakika Wewe ni Mpole na Mwenye kurehemu.
@ahmadijuma7703
@ahmadijuma7703 Жыл бұрын
Mashaalllah kher Alhandullah Fanya kaz ya Allah
@abul-qaassim5984
@abul-qaassim5984 Жыл бұрын
Kwahyoo sheikh Kassim alimpiga mawe barahiyani mche allah muhamad bachuu kuna mengin yaaatie na wew kwenye akili yako basi.
@abuyasiry5091
@abuyasiry5091 Жыл бұрын
Mashaallah Allah akubariki
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Kikubwa kuomba mwishomwema kwani hakuna mkamilifu kufitinishatu mashehe. Allah a waweke pamoja mpendane kwaajili yake na si ushabiki na misifa ya watu
@abubakarmutungi4206
@abubakarmutungi4206 Жыл бұрын
Asante Shekh kwa uzinduzi wako!Umetufariji . Allah Akulipe! Allah Akuhifadhi.
@fadhiliharuna3934
@fadhiliharuna3934 Жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu na akuepushe na fitna
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 8 ай бұрын
ALLAHUMAH amin
@khamiswaziriame5371
@khamiswaziriame5371 Жыл бұрын
Assalam alaykum warahmatullah Allah akuongoze na kukuhifadhi ktk kuipigania hii dini Nilikuwa naomba hicho kitabu kwa njia ya soft copy (Ni upi usalafita jadida)
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 Жыл бұрын
وقال علي بن شقيق - رحمه الله - : سمعت عبد الله بن المبارك - رحمه الله - يقول على رؤوس الناس : < دعوا حديث عمرو بن ثابت فانه كان يسب السلف > انظر كتاب صحح مسلم /1/16> وقال هشام بن عروة - رحمه الله - : < كان الحسن , وابن سيرين يقولان : < لا تجالسوا أهل الأهواء , ولا تجادلوهم , ولا تسمعوا منهم > . انظر كتاب تهذيب الكمال / 6 - 111 >.
@mengihashimu1081
@mengihashimu1081 Жыл бұрын
جزاك الله خيرا يا اخي
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 Жыл бұрын
Mungu akuongoze una poteza uma sana wallah
@masoudsaidmohd4661
@masoudsaidmohd4661 Жыл бұрын
Hehe. Huyu afunda miji kwene kinu. Hehehehe. Ilyi neno lya salafya jadida asili yake aswa niwaaa? Allah akuongoze kijana wa kizanxibarii.
@davidhenry6044
@davidhenry6044 Жыл бұрын
Aww,nauliza mbona kunawatu wanateleza nawakiwa wanafata manhaji salafy wananasihiwa na nijuu yao kuleta Toba natuwazingatia Bado nimasalafy kwanini nawengina walio ktk itikadi ya ahalisuna wakanasihiwa natukawapenda kadili ya Imani zao na tukachukia Kwa kiasi ya masia aliyonayo Ili kuwe (muashala) maelewano na kupunguza uadui
@habibuhassanihaji7778
@habibuhassanihaji7778 Жыл бұрын
Wee kijana muogope allah Wewe suna yako iko wap mbona hueleweki Unajichanganya tu Allah akuongoze katika sunna
@othmanali7408
@othmanali7408 Жыл бұрын
kwani wewe sunna yako ipo wapi kk .?
@yusuphkhan8963
@yusuphkhan8963 Жыл бұрын
Hapo kasoma Aya na aqwali za Wana chuoni malim we ukitaka afate Sunna ipi
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Жыл бұрын
Habibu hasani haji niwale wale wenye chuki kama mashekhe zao tu
@magangahamisi2978
@magangahamisi2978 Жыл бұрын
Naona utofauti mkubwa sana wa hikma za Almaruhuum Shekh wetu bachu na kinachoendelea
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Жыл бұрын
Kina nini kwan
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 Жыл бұрын
ALLAH Akuongeze katika Khair In sha Allah
@musazain6183
@musazain6183 5 ай бұрын
maashaa allah
@masoudsaidmohd4661
@masoudsaidmohd4661 Жыл бұрын
Yaani kilicho nishangaza zaidi ni kuwaa. Muhammad Bachu kutoka zanzibari amraddi Seikh Rabii kutoka nchi za bara arabu(bara Asia). He ivi kina sekh fauzani hii kauli ya Seikh Rabii hawajaisikia ? Na waneizungumzaje wawo. Na huyu Muhammad Bachu kamkata Seikh rabiit ilihali wapo ma sekh wengine wakisalafi wazungumza kauli zenye kufanana na kauli sheikh Rabii mbona hawazungumzii
@alitajiri1139
@alitajiri1139 Жыл бұрын
watu wakitaka kuelimika wamsikilize DR ISLAM MUHAMMAD faqat
@ummuramadhan1842
@ummuramadhan1842 Жыл бұрын
Shukran jazillah
@abdallhabinmkasibayyat6657
@abdallhabinmkasibayyat6657 Жыл бұрын
Kuna wakati mwengine ndugu yangu unaongea mama mazima mungu azidi kukupa afya na akutoe kule kwenye utoto
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Baraka llahu fik
@jumanneissa7118
@jumanneissa7118 Жыл бұрын
Huyo ni shekh wa majahili wasiojitambua masikini kijana aibu sana
@ishakafaki3501
@ishakafaki3501 Жыл бұрын
Je wewe unaelimu sahihi ya kuufunza UMMA hicho kilicho sahihi katika dini yako? Nakama unacho nahufanyi basi unajukumu kwa ALLAAH na kama huna basi tambua ikiwa hujatoa hoja na kosa la MTU basi nawewe unaingia kwenye MAKOSA na dhambi unazipata kwasababu wenye elimu wanapokosea hulipwa kwa kujifahidi kwao. Je unalijua Hilo ?
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 Жыл бұрын
@@ishakafaki3501 📩قال الفضيل بن عياض: " أحب أن يكون بيني وبين صاحب بدعة حصن من حديد. آكل عند يهودي ونصراني أَحبُّ إليَّ من صاحب بدعة. [أخرجه اللالكائي 2/638].
@saidirashid7552
@saidirashid7552 Жыл бұрын
Sindano zimekuingia vizuri unatukana sasa
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Жыл бұрын
Yy ndiyo jaahili murakabu. ALLAH AMUHIFADH shekh wetu Muhammad bachu
@saidihamisi9823
@saidihamisi9823 Жыл бұрын
Barakkallahu fika 🙏
@bensonamusavi-hy4yt
@bensonamusavi-hy4yt 6 ай бұрын
Akuna kitu unasema wewe bachu😢😢😢
@FatumaMwaduga
@FatumaMwaduga 3 ай бұрын
Kwa nini msifanye mdahalo live km wanavyodai mashia, hao kina mafuta wakiitwa tangamano kwenye mdahalo hawajitokezi kulikon!! Mnatuchanganya maamuma
@yasinitwaha3192
@yasinitwaha3192 Жыл бұрын
Nawaza sana huyu kijana anamkosoa kila sheikh kuwa hayuko sawa napata tabu kuwaza yey yuko upande gani
@khaulayahya4004
@khaulayahya4004 Жыл бұрын
Haelewekii
@masawangandomondo185
@masawangandomondo185 Жыл бұрын
ALLAH Atuhifadhi
@nassirjailan2410
@nassirjailan2410 Жыл бұрын
Shekhe Mche Allah
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Жыл бұрын
Ww unamcha ALLAH
@hassanmohdally5217
@hassanmohdally5217 Жыл бұрын
Naombaa mwenye no ya shekhe nasoro bachu anitumie ple
@muhammadmjara6776
@muhammadmjara6776 Жыл бұрын
kifaranga cha kihizibi kinawika wika kwenye mitandao duh yani kijarida chaudako ndy unasema hakijajibiwa tatiz wew mvivu wakusikiliz durus
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 Жыл бұрын
Kijinga hiki
@yusuphkhan8963
@yusuphkhan8963 Жыл бұрын
Nan alikijib mana abuu khawlaa alisema hakijajibiwa na shekh alisema wiki moja tyu atatoa kitab mpaka leo
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
KASUKU WA KIZANZIBAR!! HUYU BEI GANI?
@deathrow8004
@deathrow8004 5 ай бұрын
Kumtukana muislam ni ufasqi na kuumua ni ukafiri...MANHAJI IKO WAZI ILA WANAFUNZI MNAGHULUUW
@alitajiri1139
@alitajiri1139 Жыл бұрын
watu wakitaka kuelimika wamsikilize DR ISLAM MUHAMMAD fakat
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 Жыл бұрын
- وقال ابن عباس - رضي الله عنهما :"لا تجالس أهل الأهواء فإن مجالستهم ممرضة للقلوب"الإبانة ( 2/438).
@yahayahassani7627
@yahayahassani7627 Жыл бұрын
mashaallah
@user-zu3nt2fu3z
@user-zu3nt2fu3z 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 mtiani saana katika ulinganiaji wa leo
@saidijumahoza2456
@saidijumahoza2456 8 ай бұрын
Dah
@sulebeka7202
@sulebeka7202 8 ай бұрын
Kwan wwe bacho ivo ndio unatafuta radhi za allah au unataka uonekane kama unajua,,kwel siku yakiama utawaona baadh ya mashekhe wako moton kwasabab ya ria
@mbaroukbakar572
@mbaroukbakar572 Жыл бұрын
masha Allah
@nasirdinmohammed8741
@nasirdinmohammed8741 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/oWGrh6uqgJqdn9k Maneno ya wanachuoni juu ya shekh rabii
@mahfoudhcalender2747
@mahfoudhcalender2747 Жыл бұрын
ممتاز
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 Жыл бұрын
Popo siyako...kuwatowa watu motoni na kuwangiza motoni
@sarahkimitu1096
@sarahkimitu1096 Жыл бұрын
Pumbavu la kizanzibari kuwahi kutokea
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 Жыл бұрын
KAKA BORA UNGEKAA KIMYA TU
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 Жыл бұрын
📩قال الفضيل بن عياض: " أحب أن يكون بيني وبين صاحب بدعة حصن من حديد. آكل عند يهودي ونصراني أَحبُّ إليَّ من صاحب بدعة. [أخرجه اللالكائي 2/638].
@moussaamissi7950
@moussaamissi7950 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/ZqCzYmioaZmpoZI Kutahadharisha vijana nakubidiishana
@shamsasaeed4547
@shamsasaeed4547 Жыл бұрын
Yupo msikiti upi
@user-ch5xl9ou4w
@user-ch5xl9ou4w 7 ай бұрын
Mtoto wa bachu tubu kwa molawako wewe bado mwanafunzi usiwatie watu umbumbumbu hakuna unachoongea chamana acha ujinga masheikh wangap umewakosowa hali ya kua ww hauna elimu ya kuwakosowa masheikh hata ww unafitna kubwa tena fitna ya masih addajjal acha kuwakosoa masheikh doctor liband
@user-xh4ym6ik2h
@user-xh4ym6ik2h Күн бұрын
huyu ndio bachu sasa
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 Жыл бұрын
Wallah wewe ni jahili murakabu pamoja na Salim Barahiyan kwanza nyie inaonyesha hamchimbi mambo kiundani mwaongea juu juu tu
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 Жыл бұрын
📩قال الفضيل بن عياض: " أحب أن يكون بيني وبين صاحب بدعة حصن من حديد. آكل عند يهودي ونصراني أَحبُّ إليَّ من صاحب بدعة. [أخرجه اللالكائي 2/638].
@abdunasiriathumani9011
@abdunasiriathumani9011 Жыл бұрын
Halafu eti unajiita ni shekh wakati hata kuvaa hujui,ebu tazama kofia baada uvae kichwani ww wavaa usoni kama mwanamke amejifunga nikabu
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 29 күн бұрын
Kumtukana muislam mwenzako ni ufasiki nduguu
@jumanneissa7118
@jumanneissa7118 Жыл бұрын
Yaani hili jahili kwahyo wewe unarad Nani hapo mbona ukiradiwa unalia sana halafu unajikanyanga mwenyewe sasa masarafy hawasomeshi halafu kumbe huyu jamaa hamna kitu shekh ktk ktk hao unaowasema majadida wamempiga mwanazuoni wa sunah kama sio barahiyani loo humu hamna kitu kwl
@saidijumahoza2456
@saidijumahoza2456 8 ай бұрын
Hamna kitu hapo rudi akasome kijana
@abdunasiriathumani9011
@abdunasiriathumani9011 Жыл бұрын
Unataka umaarufu bachu!!fahamu umaarufu haupatikani kwa kumpiga radd mtu lkn utapatikana kwa ikhlasi,naamini ipo siku allah atakuporomosha ukasahaulika kabisa,maana hatujui km markaz yako iko wapi watu wanakujua kupitia matandao,na hao wakina kassim mafuta wanafahamika kupitia elimu zao ebu tazama tofauti iliyopo
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 Жыл бұрын
Kipumbavu hiki kijamaa
@yusuphkhan8963
@yusuphkhan8963 Жыл бұрын
Acheni ushenzi huwezi skiliza pita na mia
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Жыл бұрын
Qasimu mafuta ya taa ndiyo anaeutaka umaarufu ila sio shekh wetu Muhammad bachu. ALLAH AMUHIFADH.
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Жыл бұрын
Hizo ndiyo fitna za salafiya.jadidah
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 Жыл бұрын
Huyo anatafuta ajira answari Hana lolote la maana njaa mbaya sna
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 Жыл бұрын
Kabisa kaka kinatoa da’wa ya kutafuta umaarfu kijahili kweli hiki kitoto
@yusuphkhan8963
@yusuphkhan8963 Жыл бұрын
We hangaika tyu mwenzako elimu alio nayo huna nawao mjua hata ww hawakujui
@ahmedrageahmedrage9134
@ahmedrageahmedrage9134 Жыл бұрын
Jizushiii jikubwaaa
@masoudhassanomary1544
@masoudhassanomary1544 Жыл бұрын
Wewe ungefuata aqidaah ya Baba yako ucngekuwa unachanganya mambo
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Жыл бұрын
Kachanganya nini kwani Amepiga madufu au
@Abuuabdillah259
@Abuuabdillah259 Жыл бұрын
Haka nako huwaga kaongo sana alafu kanajitia ilmu lakini hamna kitu
@yusuphkhan8963
@yusuphkhan8963 Жыл бұрын
We mwenye elim yako kakae hapo utufundishe mana huwez Jua mtu kama Hana kitu kama ww so mjuzii
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty Жыл бұрын
Kati ya Qassim Mafuta na Barahyan nani alieanza kumletea mwenzake fitna kwa wanafuatilia mambo watajua.
@ashrafuyusufu9344
@ashrafuyusufu9344 Жыл бұрын
Huyu muhammad bachu kama bendera tu anafuata upepo huku yupo huku yupo
@masoudsaidmohd4661
@masoudsaidmohd4661 Жыл бұрын
مجمج
@OmarAbuumuwiya-kw3ij
@OmarAbuumuwiya-kw3ij 8 ай бұрын
Kwakweli ww ni fitna kubwa wajinga ndo watakukubali ni wajinga Allah atulinde na fitna zako ww sio salafi bali nimropokaji tu
@allymahaba3425
@allymahaba3425 Жыл бұрын
Kichaa huyu kapewa rungu. Anapiga hovyo hovyo tu.
@hatibuyusufu4668
@hatibuyusufu4668 Жыл бұрын
Sasa nyinyi masalafi sindo wagombanishi wakubwa
@abuufawzan4289
@abuufawzan4289 Жыл бұрын
Moja katika majina ya Quran ni alfurqaan maanayake ni kufarikisha baina yaqqi na baatwil na watu wahaqqi na watu wa baatwil.
@assaneanli2625
@assaneanli2625 Жыл бұрын
Mche mola wako, usifanhe mawaidha ili upate followers, subscribers, sheikh Abu fadhil Allah anlipe kyeri, ni miougoni mwa watu Wana athar kwa dawa Yao ya salafy, Acha upinzani na itikadi ya Barahiyani.
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi Жыл бұрын
Kwanza fikiria kabla ya kusema huyu sheikh bachu anachokiongea ni sahihi kabisa masalafii jadidah ndio ambao wanaigawa dini muache aongee ukwel na aweilimishe w2 kwn masalafii jadidah wanajiona dini wameshushiwa wao ukwel uwache uwe ukwel tu hata km unauma allah akuongoze na allah ndie mlipaji na ndie anaijua ukwel kuhusu yupi sahihi...
@ishakafaki3501
@ishakafaki3501 Жыл бұрын
ALLAAH AKULIPE dhambi na Moto ikiwa yeye sio Nia yake kupata hao sabscriber? Please jibu tujue ? Ulipwe dhambi na mto?
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi Жыл бұрын
@@ishakafaki3501 yaan nyny masalafii jadidah subhanallah munamtihan mkubwa na haswa kw mabwana zenu kina kassim mafuta yaan munamuona km mtume yaan munahis kua yy hakosei llte hemu jielewen na kuwen ktk hakki kwn allah ndio ambae anategemewa sio binaadam ww ukiona kua huyu bachu anakosea bx yapaswa kuonana nae ili umkosoe sio kupakazia tu hlf ww huwez kunipa dhambi wala moto kwn ww huna cheo chchte zaid ya kua ww ni maji machafu ya manii tu,allah ndie atakaenilipa na ndie anaejua kua nani yupo sahihi ila masafii jadidah mumeharibu sana uislamu
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi Жыл бұрын
@@ishakafaki3501 kwa iyo ww umechukia kwa bachu kuweka maraidha ambayo anaongelea ukwel ktk youtube ulitaka aweke wp hlf ww hukulazimishw kuskiliza ww ukiona hichi sio hakki bx mtafute kw hoja au kaa kimy tu ila usiongee utoporo. Nakuombea kw allah akuongoze
@ishakafaki3501
@ishakafaki3501 Жыл бұрын
@@khalifa_kuchi akhhy Mie nimemuliza huyo aluesema shekh kwamba anata sabscriber ndo nimemuliza je apate dhambi ikiwa shekh sio Nia yake? Mie nipo pamoja na haki Kaka angu katika Imani 🙏
@mahammoudhaji
@mahammoudhaji Жыл бұрын
Ww unaiamsha fitna iliolala
@studentofknowledge2099
@studentofknowledge2099 Жыл бұрын
Wewe mwenyewe ulianaza kubali unashindwa sasa , sasa si unawakata wengine.
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 Жыл бұрын
Acha kutoa da’wa za kutafuta sifa da’wa zako haziathiri Hazina ikhlaswi juha wewe
@yusuphkhan8963
@yusuphkhan8963 Жыл бұрын
Daaah!! Mpka unajua kama hatoi Kwa ikhlasii ajabu
@yusuphkhan8963
@yusuphkhan8963 Жыл бұрын
Kakae pale utoe yako yenye ikhlasi daaah! Shekh umenishangaza Sanaa mpka unajua kama mtu Hana ikhlasii
@jumanneissa7118
@jumanneissa7118 Жыл бұрын
Jahil murakab
@rajabumbendenga5480
@rajabumbendenga5480 Жыл бұрын
ni kweli mmebakiwa na barahiyaan haaaa haaaaa umefanya nukuu kwenye kijarida chake ili umfurahisheeeeeee
@fadhilimussa5067
@fadhilimussa5067 Жыл бұрын
Kijarida cha udaku
@yusuphkhan8963
@yusuphkhan8963 Жыл бұрын
Ndo wameshindwa kukijibu hicho kijarida Cha udaku
@kondoatown8765
@kondoatown8765 Жыл бұрын
Ya Allah tazama huu umma. Yaani kijana aliyetekwa na matamanio kiasi kwamba anaweka super black ndevu bado watu wanamshabikia. Huwezi fananisha thamani ya ngamia mtoto aliyeacha kunyonya na donge LA ngamia lililotunga mimba ndani ya masiku machache , shekh Qassim atabaki kuwa lulu kwa walioongozwa na Allah .
@Muhammad_Nassor_Bachu_.
@Muhammad_Nassor_Bachu_. Жыл бұрын
Mche mola wako, ipo siku Allah atakuuliza kuhusu hii kauli yako, je upo tayari kutoa ushahidi kuwa sheikh anapaka super black?
@saidimuslim4505
@saidimuslim4505 Жыл бұрын
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. msamehe bure akhy el habiib
@alimohdkhatib2443
@alimohdkhatib2443 Жыл бұрын
Muogope Allah ya akhii dhibiti kiungo hiki . Ulimi.
@mjedamjeda4734
@mjedamjeda4734 Жыл бұрын
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. ربنا يبارك فيك يا اخي العزيز acha naye maana watu wa vijiji hawezi elewa
@suleiman5257
@suleiman5257 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi tunakupata vzuri na unaeleweka kabisa
@niyonzimawarda8167
@niyonzimawarda8167 Жыл бұрын
Wasumbufu sana hao masalafy, tume wakaribisha kwetu Burundi wiki 1 tu takriban ila wametuachia fitna kubwa. Tuna taraji kuwa mufti wetu hato rudi kuwa ruhusu tena nchini mwetu
@sidrasidra8616
@sidrasidra8616 Жыл бұрын
Hivi unajua nin maana ya salafi!? Ni wao binafsi si usalafi!? alafu mbona fitna ilikuwepotu kitambo kuchaguliwatu kwa mufti yalipitikana mangapi hadi serikali ikaingilia kati!
@badrumulinda7349
@badrumulinda7349 Жыл бұрын
Kikubwa ni kusoma dini na kumuomba mungu akakupa hidaya.
@bintukhuwayled2122
@bintukhuwayled2122 Жыл бұрын
Haki ni haki tu hâta mkiipinga na Allah mjuzi wa kila kitu
@mahibdalali
@mahibdalali Жыл бұрын
Vipi shekh wangu kwemahukoo burundi
@abdallahmoussa614
@abdallahmoussa614 Жыл бұрын
waliacha fitna gani?
@twahaabrahman5725
@twahaabrahman5725 Жыл бұрын
Muhammad Bichwa (KASUKU)
@fadhilamaulid9843
@fadhilamaulid9843 Жыл бұрын
Tushamfahamu kwa ulivyomwita bado tunasubiri jina la mama yako hatumfahamu
@jechasuleiman5532
@jechasuleiman5532 Жыл бұрын
Usimumbue sio sahihi kumwita Muhammad bichwa kama ww muislam muombe msamaha na uombe mghfira kwa mola wako, ni Bora kukaa kimya.
@saidirashid7552
@saidirashid7552 Жыл бұрын
Sindano zimemuingia ana haki ya kulia sababu zinaumiza tutumie tusi lengine tafadhali hili halitoshi
@jumakiuta6093
@jumakiuta6093 Жыл бұрын
Baraka llahu fik
MAJIBU KWA MUHAMMAD AL-HATIMIY | SEHEMU YA TATU |Muhammad Bachu
1:19:00
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 29 М.
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 92 МЛН
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,4 МЛН
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 56 МЛН
TANZANIA YAINGIA BALAA SHEIKH KUBATIZWA NA KUMTUKANA MTUME MUHAMMAD
43:48
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 8 М.
CHANZO CHA MAJADIDA KUMTOWA MUHAMMAD BACHU KWENYE MANHAJ YA AHLU-SUNNA WAL-JAMAA.
36:22
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 65 М.
MAJIBU YAKITAALAMU KWA SUFI MUONGO YUSUF DIWANI || Muhammad Bachu || 21/5/2023.
47:05
BILA WOGA SHEIKH MUHAMMAD BACHU AMTAJA ADUI MKUBWA ZAIDI JIJINI TANGA
33:33
2. MAMBO YA KUFANYA UNAPOKATALIWA KIMFUMO  || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE || TABORA
1:27:14
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 11 М.
MAJIBU KWA MUHAMMAD AL-HATIMIY|SEHEMUYA KWANZA| Muhammad Bachu.
1:06:36
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 31 М.
Raddi juu ya Uongo wa Muhammad mafuta kwa Sheikh Nassor Bachu||Muhammad Bachu.
41:39
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 92 МЛН