Sugu Amvaa Bashite, Ataka Ashtakiwe, Awaponda Bongo Muvi

  Рет қаралды 134,608

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Sugu Amshambulia Bashite Bungeni, Awaponda Bongo Muvi
MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amemshambulia Bashite huku akisema kuwa mtu huyo alipaswa awe mahakamani na sio ofisini kwa madai kuwa amefoji vyeti vya elimu ya sekondari jambo ambalo ni kosa kisheria.
Hayo ameyasema leo Bungeni Mjini Dodoma wakati akichangia hoja kuhusu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Aidha Sugu amemtaka Rapa ROMA Mkatoliki ajitokeze hadharani aeleze wazi kuhusu alivyotekwa na nani alihusika ili jamii ielewe na mamlaka husika iweze kuchukua hatua ikiwemo kuwabaini waliyotekeleza tukio hilo ambalo si la kibinadamu.
Sugu aliwageukia wasanii wa Filamu Bongo ambao hivi karibuni waliandama wakipinga uingizwaji holela wa filamu za nje ambazo wanadai zinaporomosha soko la filamu za ndani. Sugu amewataka wasanii hao waache kutumika kisiasa na badala yake wafate misingi ya kazi zao.
SUBSCRIBE: / uwazi1
WEBSITE: globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpublishers

Пікірлер: 54
@saidndimbwa4976
@saidndimbwa4976 7 жыл бұрын
Eti ray anaigiza movie yeye askari na ana ndevu...toka lini askari ana ndevu...then wanataka tuangalie movie zao...dah Sugu bhana... Nakukubali sana mheshimiwa wetu...
@masungamashauri7018
@masungamashauri7018 4 жыл бұрын
Raid j.p.m.
@liberatusulaya2269
@liberatusulaya2269 5 жыл бұрын
Nakukubali sana Sugu, japo nipo mlengo tofauti, huwa nainjoy sana speech zako!! Hahhhhh
@juliuskalawa8262
@juliuskalawa8262 7 жыл бұрын
nice speech Sugu Prime Minister nnayekuona kesho
@khamissalim3934
@khamissalim3934 7 жыл бұрын
Am from kenya bur i enjoy tanzanian parliament dan ours
@liberatusulaya2269
@liberatusulaya2269 5 жыл бұрын
Yaa it's very interesting
@josphatnjenga9151
@josphatnjenga9151 4 жыл бұрын
Sugu,Heche and Bashe wako vizuri Sana.
@mosamossile9113
@mosamossile9113 4 жыл бұрын
Jamaa Ana Akir sanaaa
@saidndimbwa4976
@saidndimbwa4976 7 жыл бұрын
Bora aseme mheshimiwa wetu jongwe_... Karibu mbeya mwaka 2020...nina uhakika asilimia 100 tunarudi bungeni...
@shabanimilonge2138
@shabanimilonge2138 3 жыл бұрын
Wey
@aronadam5093
@aronadam5093 4 жыл бұрын
Mtu mwenye hakili nyingi sana
@gabrielmalecela3701
@gabrielmalecela3701 5 жыл бұрын
Siasa yenye akili+ hekima hizi ndizo harakatii zetuuu # all de best hood sugu Mr ii.
@mjedengwapoizon8726
@mjedengwapoizon8726 7 жыл бұрын
wananiita sugu....we kweli ni sugu unagalagasha kweli
@subiradalabu6616
@subiradalabu6616 5 жыл бұрын
mjedengwa poizon ..😬😬😬😬😬🙅🙅🙅🙅
@joelpaulmboyi944
@joelpaulmboyi944 4 жыл бұрын
Dah
@mangenjile6384
@mangenjile6384 7 жыл бұрын
KWELI
@jumamsulwa4597
@jumamsulwa4597 4 жыл бұрын
Bomba
@sarahomarijuma9651
@sarahomarijuma9651 7 жыл бұрын
Bashite habari ya mjini Sasa
@mosamossile9113
@mosamossile9113 4 жыл бұрын
Wew swara Tano, maswala ya hip hop unayajulia wap
@africanstears7755
@africanstears7755 5 жыл бұрын
suguuuu oyeeeee
@santyhassan4186
@santyhassan4186 7 жыл бұрын
Bashite atumbuliwe
@zuhurajoe4376
@zuhurajoe4376 6 жыл бұрын
mbeya yako baba
@colethamunishi7334
@colethamunishi7334 6 жыл бұрын
sugu hatareeeeeeeeeeeee weweeeeeeeeeeeeee
@hammerQ954
@hammerQ954 7 жыл бұрын
😊😊asee kumbe bunge ndo hivi
@victorfaliala6173
@victorfaliala6173 7 жыл бұрын
ubongo ulio shiba
@venustofurugeno4225
@venustofurugeno4225 7 жыл бұрын
hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@emmanuelnimbasa1754
@emmanuelnimbasa1754 4 жыл бұрын
Nakukubali.
@nwntz
@nwntz 7 жыл бұрын
natamani dayl kuskia hotuba zake!!
@nestormpokwa6713
@nestormpokwa6713 4 жыл бұрын
👏👊
@nicasbugambo5470
@nicasbugambo5470 7 жыл бұрын
kwiiiii kinukishe
@davismdula1517
@davismdula1517 4 жыл бұрын
Makamanda pipoooo
@africanstears7755
@africanstears7755 5 жыл бұрын
bashite😂😂😂😂😂😅😅😅😅
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 жыл бұрын
Hawa ndo walolifanya bunge liwe bunge
@liberatusulaya2269
@liberatusulaya2269 5 жыл бұрын
Wananiita Suguu !! Nani?
@yisikakabarnaba2871
@yisikakabarnaba2871 4 жыл бұрын
Hao wanaochekacheka sasa wanamikera.
@sekakigala3613
@sekakigala3613 5 жыл бұрын
Uyu jamaa anavituko sana
@mbarikiahamadjuma6824
@mbarikiahamadjuma6824 4 жыл бұрын
Napita tu
@florambwambombwambo1322
@florambwambombwambo1322 4 жыл бұрын
Sugu ndio maana mbeya wanakukubali ukivinzuri
@sarahomarijuma9651
@sarahomarijuma9651 7 жыл бұрын
Duuh Atari
@hassanafsa3850
@hassanafsa3850 4 жыл бұрын
Hatariiiiiiii
@masseanadir2904
@masseanadir2904 7 жыл бұрын
hahaha simbAchawene umefeli
@richardtungaraza7509
@richardtungaraza7509 5 жыл бұрын
Dah simba amejishtukia kua amebugi
@ahmedmsangi1653
@ahmedmsangi1653 7 жыл бұрын
😭😭😭😭😭🙊🙊🙊🙊
@florahingi162
@florahingi162 7 жыл бұрын
umeongea uhalusia kabisaa J
@ashaissakambona8560
@ashaissakambona8560 7 жыл бұрын
wewe mwwnyewe mwizi si ulimuibia wimbo wake buluu
@victorbwagila8302
@victorbwagila8302 7 жыл бұрын
Asha Issa Kambona we nae Wa Kolomoje nn!
@ashaissakambona8560
@ashaissakambona8560 7 жыл бұрын
sio wa kolomije sasa utamjuaje mwizi isipokua na yy.mwizi wa nyimbo za watu
@omyguy2940
@omyguy2940 4 жыл бұрын
@@ashaissakambona8560 wimbo gn hem tuambie?
@shaanguzo299
@shaanguzo299 4 жыл бұрын
Wana mwita suuuguu nani wanamwita suuugu suugu suuguu
SUGU: "Please Don't Shut Me! Tubishane kwa Hoja na Siyo Bunduki"
11:24
Global TV Online
Рет қаралды 466 М.
KITIMTIM BUNGENI! Wapinzani Waitwa Mbwa, SUGU Aliamsha
12:09
Global TV Online
Рет қаралды 129 М.
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 78 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 62 МЛН
Tundu Lissu Kaliwasha Tena Bungeni
7:46
Global TV Online
Рет қаралды 96 М.
Godbless Lema Aliamsha Dude Bungeni, Hali ya Hewa Yatibuka
15:51
Global TV Online
Рет қаралды 573 М.
Ni Tundu Lissu na Joseph Mbilinyi tena Bungeni leo May 5 2017
11:11
Millard Ayo
Рет қаралды 1,4 МЛН
MWANZO-MWISHO: Mbunge Mnyika alivyotolewa Bungeni na Askari
10:23
Millard Ayo
Рет қаралды 356 М.
FULL VIDEO: Ilivyokuwa mpaka Wabunge wa Upinzani wakatoka nje
19:02
"Unapotangaza mtu aje Polisi saa 5, wewe ni nani?" - MBOWE
12:00
Millard Ayo
Рет қаралды 692 М.
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 78 МЛН