Pale Mbunge anapoongea kama Raisi wa Nchi au Waziri Mkuu....Gonga like twende mbele
@dayanimwamwimbe79663 жыл бұрын
Mzeee kamanda sana
@user-jk5ir4ke3z2 жыл бұрын
Iyu mzee jamani mungu amuweke atutetee
@user-jk5ir4ke3z2 жыл бұрын
Tunaomba titibiwe bure jaman
@faustinejemsi14882 жыл бұрын
Kweli doo mana aliazia UDP
@KaburuKimath-eu5nf2 ай бұрын
Kishimba yuko sahihi japo Kuna wanaomcheka
@pascalmstaarabu43723 жыл бұрын
Wasukuma wana akili sana haijalishi wamesoma au hawajaenda darasani wanaokubaliana na Mimi wagonge like
@frankkajoba8372 Жыл бұрын
100%
@nassoroabdallah36703 жыл бұрын
Mh Rais wangu huyu mbunge anaweza kuwa mshauri nzuri Sana mpe nafasi ktk ofisi yako Kama itakupendeza inshaallah.
@husseinmkanga77943 жыл бұрын
Kishimba tajiri hana ndio maana hana shida ya uwaziri.
@saimonbundala60963 жыл бұрын
Umeona mbali sana mtu wangu👊
@hadijasaid94633 жыл бұрын
Nakupenda mbunge wetu kishimba unatuhurjmia sana wspiga kura wako natamani uendelee kutoa mada
@hadijasaid94633 жыл бұрын
Mama SAMIA mpe nafasi awe mshauri wako
@leonardemmanuel92493 жыл бұрын
CHF bima ya afya ya jamii kwa mwaka wanalipa 30000 watu 6 ,inaamaana kuwa ni 5000 kwa mtu mmoja kwa mwaka ,na mtu mmoja anaweza kuhudumiwa zaidi ya mara 4 kwa mwaka ,na kila awamu anaweza kuhudumiwa kwa shilingi 8000 kwa awamu zidisha mara 4 sawa na 32000 zidisha mara 6 sawa na 192000 kwa hali hii serikali mtaionea sana ,huu ni mfano tu ,janga la dawa hospital za serikali bado litakuwa ni tatizo
@raymondjimmy27123 жыл бұрын
Huyu Mzee ni wa kuangalia vizuri Point zake zipo strong
@jaliabahat15202 жыл бұрын
Sana nawe umeona
@robertchuma64083 жыл бұрын
Aisee Kishimba ni Kichwa cha Ukweli maana anatoa hoja na mbadala wake. He is Real Genius Professor thanks so much Professor Kishimba
@manenoibrahim9803 жыл бұрын
Yani unaweza kufikiri huyu mzee ni mwananchi wa kawaida toka kijijini kaja bungeni kuwakilisha wanyonge wenzie, big up sana kisimba
@andrewvedastus69583 жыл бұрын
You are a genius mr Kishimba, and i think you should be granted an honour to be a professor, according to your big iq! congrats.
@jericomgaya82823 жыл бұрын
Mzee wangu Kishimba namkubali kitambo sana na hajawahi kuniangusha kwa kweli! Tangu aseme mtoto umemsomesha halafu baada ya kupata kazi anaanza kukukwepa kwepa anafaa ashitakiwe! Na ikiwezekana tubadilishe utaratibu tukiwalipia ada wasaini mikataba ya kulipa madeni ya ada baada ya kumaliza chuo!! Hongera sana Mhe. Kishimba kwa strong points unazozitoa Bungeni
@fadhiliswidhun97793 жыл бұрын
Kwa utaratbu umeongea vzur sana mh mb kishimbaa afya ndyo usalamaa wetu
@loishiyesamwel13743 жыл бұрын
Kishimba upo vizuri sana, ninakukumbuka sana kuhusu swala la Elimu ya Taifa letu inavyowachelewesha vijana wetu. Haswa elimu ya juu.
@emmanueldutuleo39923 жыл бұрын
Du nakuunga mkono professer kishimba uko vizuri kabisa penda sana wewe
@issamohammed82983 жыл бұрын
Mh,Kishimba huo niukweli kabisa tunaenda Hospital unaambiwa Hakuna Netwek Mara unaambiwa Kifurushi hichi hakiwezi Kukupa Huduma Hongera sana Mh,Kishimba
@robertnicodemas58533 жыл бұрын
Tukipata wabunge 50 tu.kama kishimbi,Hakika matatizo madogomadogo inayotukabili sisi wananchi wakipato cha chini yatapungua.asante sana mh
@ndalahwadigijaga843 жыл бұрын
Mashimba oyeeee , inteligent person ,
@melasdekas8253 жыл бұрын
Hongera sana Msukuma mwenye busara. Wewe ndiye mbunge wetu mwenye kutoa taswira nzuri.
@officialsteeve23843 жыл бұрын
Kweli elimu sio kuingia darasani tu, we mzee ni genius🙏🙏
@mayasasaid77433 жыл бұрын
wake
@gracekasambala4712 Жыл бұрын
Kweli professor Kishimba anawakilisha wananchi
@nzellahhamis15043 жыл бұрын
Lamadar Hotel hujazijenga kwa bahati mbaya. Genious sanaaaaaa. Nahisi mtu smart sana aliye karibu na wewe ni KATIBU WAKO WA MBUNGE.
@titonkwabi74303 жыл бұрын
Huyu mzee ni super genius,
@benatusrupili95213 жыл бұрын
Umetisha sana mbunge 2025 tunakuhitaji ugombee urais👍👍👍👍👍👍👍
@elibarikielikana18243 жыл бұрын
Genius kama hawa wachache umefikiria parefu sana.... 🤗🤗 Serikali iangalie kwa macho mawili kabisa
@AbdulAbdul-pr9qe3 жыл бұрын
moja ya wabunge makini sana, ni swala ambalo hata mie huku uswazi nililiongelea sana masikini tunakufa kwa kukosa 50 elfu tu dah
@upendoj3 жыл бұрын
Asante Kishimba Mh.
@deusijohn38633 жыл бұрын
Asante sana hapo kwenye matibabu umegusa sanaaaaa, serikali ichukue hatua
@happynesskimt62493 жыл бұрын
Asante sana kwa kuliona Hilo mana huku yako mengi nyuma ya pazia, traffic waamishiwe hospital 🤝🤝japo😅😅😅 ila ni kweli kabisa ndio maana wengine hatuoni manufaa ya bima😢😭😭
@princejosephat83163 жыл бұрын
Hakika wewe ni mbuge wa pekee unayejua maisha ya watanzania na adha tunayoipata sisi wananchi wenu,hawa ndo wabunge wazalendo wanaofuatilia maisha ya kila siku ya wananchi wao...safii sanaaa...naktakia maisha marefu ili ufundishe wengi ktk kujenga hoja hapo mjengoni.
@ibrahimhodabaksh39393 жыл бұрын
MZEE UMEONGE KITAIFA SISI WA
@ashamaneno66393 жыл бұрын
I wish akuna mbunge shupavu kama uyu mungu akulinde ndugu yangu kila oja zako zipo vizuri saaaaaana napenda sana kusikiliza kaka.
@japhethgeriad45193 жыл бұрын
MZEE ANAJIAMINI SANA😊😊🙏🙏
@mursalsaid33273 жыл бұрын
Umeongea point , miaka iliyopita matibabu yalikua bure ,ukiandikiwa doze zote ulikuwa unapata ,hata upasuaji ulikuwa bure , lakini Sasa hivi imekuwa shida Sana ,
@leonardemmanuel92493 жыл бұрын
Nimelike comment yako japo miaka ya nyuma sikuwepo wala uhakika sina
@user-jk5ir4ke3z2 жыл бұрын
Na hapo zamani sisi tunakua ukienda hospitali unapewa dawa lkn sasa ivi msiba mkubwa afya afya ni muhimu sana
@lyimohilda78803 жыл бұрын
Umewatetea vizuri mno wanyonge kwa busara na hisia, hata Mungu amefurahi.
@ezrashukuru75113 жыл бұрын
Hallelujah.namtukuza Yesu Kristo kwaajili yako Mbunge wa Taifa
@benderamateso82442 жыл бұрын
My best Member of Parliament ever, so genius - hoja za msingi zinazogusa, kahama mnaye mbunge
@johnleonard48353 жыл бұрын
Mzee big up kwa mawazo yako maana daaah sio kwa kuwaza parefu na nimeamini utu uzima dawa
@khalidtv62003 жыл бұрын
"WANAIPITA NYAMA HAPO WANAFUATA MCHICHA PALE TENA BILA MALALAMISHI"(mwisho wa kunukuu)
@naturelle10973 жыл бұрын
😆 kwa hiari
@rafikiwildlife42633 жыл бұрын
Kahama oyeeee inapendeza sana
@victoriabayo77043 жыл бұрын
Ni kweli bima haileweki hasa tunaolipa binafsi mara usiende hosp fulani mpaka rufaa mara kifuru hiki hakina haya matibabu na umelipa laki 6 serikali iliangalie hili ni shida
@babayao37913 жыл бұрын
Huyu jamaa ni genius
@Youngkassaby2 жыл бұрын
Mashallah allah akuweke mzee wetu
@mariachombo73163 жыл бұрын
Yani wewe ni mbunge mmoja, katika wote, nakukubali sana , nitakuombea aisee uishi milele tutetee baba
@dorisjulius49512 жыл бұрын
L
@edwardmaumau94553 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mheshimiwa kishimba kwa suala la matibabu bure
@julianasanga95483 жыл бұрын
Mbunge wewe upo vizuri sana unajuwa tabu zetu huku chini tunateseka sana Mungu akutunze hakika wananchi wako wanajivunia wewe
@shabanfelix42733 жыл бұрын
Yani wakati mwingine ccm kuna wambunge wenye akili timamu nauzalendo toka nianze kusikiliza bunge uyu mzee niwakwanza kusema maisha halisi yamtanzania
@mtoto_wa_Mfalme123 жыл бұрын
Nchi Duniani zinafilisika kwa vitu viwili; 1. Vita 2. Ujenzi NOTED
@hilarykawa18803 жыл бұрын
Hii ndio maana halisi ya uwakilishi ... yani kishimba ndio man of the match kwenye bunge la Tanzania tangu kuzaliwa kwake
@felisilohay91383 жыл бұрын
Wabunge wetu wakibaki kuwa wabunge huwa wanakuwa na point sana, ila wakianza kuwaza uwaziri ndipo wanapotusahau na kila mara wabunge wa namna hiyo hoja zao bungeni ni kukejeli wapinzani na kumsifu rais na serikali. Ila huyu mzee Prof Jay ni wa tofauti sana. Excellent prof
@danielbalele70932 жыл бұрын
Huyu mh anastahili kuwa mbunge ni mshauri mzuri wa Serkali hoja za msingi zikimlenga mwananchi wa kawaida.
@pascarmwatosya68153 жыл бұрын
Safi Sana kiulahisi utaona hajaongea pointi,Ila huyu mbunge Nimekuelewa Sana Hongera sana mbunge kwa kuwa umetambua umetumwa nini na Mbos wako wabunge Kama awa ndio wanaotakiwa bungen huyu atakuwa hakupita bila kupingwa,Hongera Tena mbunge
@johnlikoo59733 жыл бұрын
Daaaah Mzeee mashimba 🔥🔥🔥
@lucasgasper52353 жыл бұрын
Ubarikiwe Mh: Juma Kishimba
@doiabel37933 жыл бұрын
Wakati ninaishi kijijin na babu yangu tulikua tukiumwa anasema mkamnunulie mgonjwa sukari akorogewe uji, kweli maisha yanabadirika sana,, kishimba ngosha wane wawiza sana ngosha.
@mariammassawe32743 жыл бұрын
Mungu hakujalie baba kweli ww magu wapili
@devothalasway7717 Жыл бұрын
Uyu ni Rais mtarajiwaa,,🙏
@bidayo10583 жыл бұрын
Huyu jamaa ni genius,💯💯💯
@jumasaid74713 жыл бұрын
Mzee nakukubali sana
@yusufaaramadhan73163 жыл бұрын
Umeona
@z.nalnabhani71943 жыл бұрын
Kweli uhai ni kitu muhimu kuliko yote
@khalfanabasi6953 жыл бұрын
Unawza mbali sana mzee kishimba nakuelewa sana sema tu hawakuelewi hao nataman raisi akuone walau uwe mshauri wake
@petrokisasi49353 жыл бұрын
Hili n wazo kubwa Sana,"Awe mshauri wa Raisi"
@jaykimoga18883 жыл бұрын
Đâh! Tunawataka hawa darasa la saba wenye busara na akili kama zote
@lewisshemboko21062 жыл бұрын
Asanteeee
@fintanmkesha10773 жыл бұрын
Mm nakuelewa Sana mzee
@yasinmtangi5140 Жыл бұрын
Mama kwanini uyu mtu haupi uazili
@briansancedo93363 жыл бұрын
Huyu mzee ni mzalendo sana anastaili kuitwa Professor hoja zake siku zote ni kutetea masikini MUNGU akubariki sana kuwakumbuka masikini tuliowengi,🙏🙏🙏👩🍳👩✈️
@ngoiedward41763 жыл бұрын
Akili nyingi sanaa
@matindembaratani62213 жыл бұрын
Huyo mbunge akili nyingi Sanaa namfatilia Sana uko vnzr
@z.nalnabhani71943 жыл бұрын
Uko vizuri
@gmdecoration60443 жыл бұрын
Mzee namuona kwenye uwaziri🙏🙏
@rahmarahma9203 жыл бұрын
Mungu akubariki Baba
@gmdecoration60443 жыл бұрын
@@rahmarahma920 🙏🙏
@johnwoshi34593 жыл бұрын
Umewalecture mpaka Basi hongera mweshimiwa JK
@naturelle10973 жыл бұрын
Safii sana !
@yasmeenaal41912 жыл бұрын
Mhe, kishimba unaongea pont zaidi ya rais nakupenda sana
@eliyahubi18873 жыл бұрын
Uko vizuri.sana kishimba. Wabunge mwengine. Ni maslahi yao tu. Afya tu ndo. Mtaji wa Maskini.
@zengomunguatuepushenajanga74163 жыл бұрын
Nakubari sana wa daraja 7 tunafaida
@babayao37913 жыл бұрын
Una akili kubwa sana @ mh kishimba........✍
@mpongomwenda15993 жыл бұрын
Nimetokea kukupenda sana lillaah kiongozi wetu.
@mohamedally15943 жыл бұрын
Hiyo Tsh 30 ya mafuta ikipanda bado ni mwananchi wa kawaida ndiye atayeilipa. Labda tufikirie watu wachache watolewe 30,000 directly kutoka kwenye posho/mshahara
@shalomizrael6673 жыл бұрын
Ahsante sana mzee KISHIMBA MUNGU AKULINDE KWA UKIGO WA MOTO, MANA MTETEA WANYONGE HAACHWI AKASTAWI.
@salmamgeta15993 жыл бұрын
Nakupenda sana sichoki kuku sikiliza baba
@mariammassawe32743 жыл бұрын
Dah kweli umeongea point baba mungu hakujalie uwe kiongozi mkubwa
@Micpaul.o2 ай бұрын
Wewe mzee ni hazina ya Taifa, ni vile tu mifumo ya nchi bado ...
@lewisshemboko21062 жыл бұрын
Sahihi sana
@shangwehalisi76593 жыл бұрын
Prof katika ubora wake
@francisrukeisa62993 жыл бұрын
Huyo mbunge Kishimba ameongea points za muhimu,wabunge wote inabidi mnakili kwakwe kwa kuzungumzia matatizo yanayotuhusu wananchi na sio kuongelea vitu visivyoleta manufaa hata kwa taifa. Kwa kweli kawapasha ukweli ulivyo.
@mariethamkulo19833 жыл бұрын
Kweli mbunge wangu safiii sanaaa
@denisosward74643 жыл бұрын
Daa nimekukubali Sana,lingine mzee wangu mashaliti ya uongezaji wa wategemezi haliko sawa (Nina mtoto jina lake moja likotofauti na langu la ukoo nimekataliwa manake Nini?)
@hadijasaid94633 жыл бұрын
Kweli mbunge wetu mwema. Wazee wanakufa kila saa hasa tinde hakuna dawa kabisa
@bakarimatamba14953 жыл бұрын
Nakukubali sana..na hili la kufa akadaiwa alipe.je hivi ni haki?
@kelluadam57903 жыл бұрын
Safi sana kishimba kwa kuwa mzalendo
@alphoncejuma96523 жыл бұрын
Mheshimiwa mbunge hongera sana kwa hoja zako msingi
@petrokisasi49353 жыл бұрын
Aisee ww Mzee n level nyingine kabisa,hoja zako zinaonyesha elimu ulonayo ya ustaarabu halisi w maisha na mazingira na sio vyeti vya mashulen,mawazo yako n mapana mno
@shabaniamadi41383 жыл бұрын
Yan Mungu amempa vyote
@allykivunja55113 жыл бұрын
Pro jumane kishimba viva
@husseinshabani95223 жыл бұрын
Wabunge kama hawa ndo tunawataka...Wakutusemea Wananchi.Mungu Akutie Nguvu.
@ambokilepaulo88763 жыл бұрын
Safi sana kishimba
@stevenleonce94163 жыл бұрын
Ukifika kwwny kilimo naomba uzungumze kwa uwazi kwa mapana zaidi naona unauelewa mkubwa na matatizo y wananchi weka namb mtandaon tuwe tunakupigia mheshimiwe. Mungu akulinde
@marleyemmanuel25463 жыл бұрын
Professor kishimba nakukubali natamani niwe mpiga kura wako unafaaa kuwa ata raisi sijui tunakukosaje huo ndo mfano wa wasomi sio uprofesa wa maneno
@johnpeterbariyeparesso64713 жыл бұрын
Mh. Kishimba mm ninawashangaa hao wabunge wanaokucheka, hivi mbunge unayecheka hoja ya mwenzako unafurahia nn? Nin kinakufurahisha? Au unamshangaa mbunge kama hayo mambo yapo jimboni? Au kwa sababu haushiki jembe na mshahara Mkubwa? Au sababu umetoka mjini? Nakuahangaa mbunge unayetukejeli. Kishimba mungu akubariki na uishi miaka 120 bungeni. Amina
@mtoto_wa_Mfalme123 жыл бұрын
Kwa nini hakuna regulatory kwenye Dawa? NOTED
@eliejenjakihoko85973 жыл бұрын
Ni kweli kabisa ninamuunga mkono mheshimiwa Kishimba alichokisema mimi binafsi kimenikuta.Nilikuwa Mwalimu katika shule za serikali katika elimu ya msingi,nilifanya kazi hadi nilipostaafu.Na wakati wote huo nilikuwa nikikatwa bima ya afya,nikihakikishiwa kuwa wakati wa kuoga bima itanilipia.Na kwa muda mbegu kwa kuwa wakati huo nilikuwa bado kijana hata kuuguaugua sikuwa naugua.Sasa nimekuwa mzee maradhi mengi ndio yanabisha hodi. Ni hivi majuzi nimekwenda hospitality naugua macho.nikaandikiwa dawa pamoja
@stevenleonce94163 жыл бұрын
Yaan we mbuge mungu akulinde kishimba kweli ww ni kati y wabunge bora sana ubarikiwe sana
@masanjasweya7033 жыл бұрын
Wasomi wengi ni mafisadi darasa la saba wapewe uwazili wanajua shida zetu wamesoma bure kwa nyerere wanatutesa leo. JPM lala salama ulijitoa kwaajili yetu.
@amosyohana53513 жыл бұрын
Kabisa kabisa kabisa
@estermathias83543 жыл бұрын
Jpm endelea kupumzika
@ikulutv6223 жыл бұрын
Shida nayo haya masheria yetu yamekaa hovyo ynamlazimisha Rais ktk kuteua Waziri angalau awe na digrii na Sana siku hizi wanajali Sana masters na kuendelea!
@collinndabi20073 жыл бұрын
Kasome na wewe
@Winstonfying3 жыл бұрын
Sasa huyo JPM si ndiyo aliwajaza hao wasomi serikalini, mpk vyuo vikakosa walimu?
@alfredsangura60803 жыл бұрын
Great speech
@wilfridaezekiel3753 жыл бұрын
Jamani huyo mbunge nampenda
@firdausfofofirdausfirdaus40403 жыл бұрын
Hapo umesema kweli nakukubali
@mosesmzakwe77743 жыл бұрын
Hongera sana Kishimba
@shabaniamadi41383 жыл бұрын
Kishimba you're Very smart God bless you
@eddydauson75253 жыл бұрын
Unapokutana na la saba kama huyu na digrii zako lazima ujikaushe
@joshuajuma29773 жыл бұрын
Hakika mungu akulinde xana angalau umuelekeze mbuge wa busanda jix yakutetea wanainch wake kuliko kufuata. Pesa
@allyathumani11953 жыл бұрын
Umetisha sana kishimba
@elizawamainge86233 жыл бұрын
Umenikosha sana.wa vijijini tupo na wewe kwa swala hilo
@mariammpangalala84233 жыл бұрын
Uko sawa Mzee wetu, watanzania wengi tunakufa kwa umasikini, uwezo wa matibabu hatuna, watu wanafia nyumbani kwa uwezo mdogo, mlitizame hilo wakubwa, watu wa hali ya chini tunadhalilika sana