Рет қаралды 6,280
Time Saleh Ali alizaliwa mzima na akaishi na uzima wake hadi alipofika umri wa miaka 12 akiwa darasa la sita, lakini kwa miaka 25 sasa amekuwa mgonjwa wa kitandani. Hapo hapo alipo, ni mtungaji mzuri wa ushairi. GG Podcast inazungumza naye. Msikilize.