HECHE: Ziko Wapi Dola MIL 500, Bora Wakoloni Kuliko Nyie

  Рет қаралды 136,943

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

HECHE: "Bora Wakoloni Kuliko CCM, Ziko Wapi Dola MIL 500?"
Mbunge wa jimbo la Tarime, John Heche, akichangia hoja katika bajeti ya wizara ya Maji na Umwagiliaji iliyowasilishwa Bungeni na Waziri mwenye dhamana, Mhandisi Isaac Kamwelwe na Naibu wake Jumaa Aweso.
lnstal GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Пікірлер: 61
@adolfkambala3214
@adolfkambala3214 6 жыл бұрын
Heche is noma ndiyo maana hawataki bunge live.
@godluckdenismalisa8736
@godluckdenismalisa8736 5 жыл бұрын
Hee mungu tupe hakili ya kujitambua watz
@allymasenti7974
@allymasenti7974 6 жыл бұрын
Mbunge wangu nakupenda sn make unasema ukweli ccm unazania kazi ni kuua kwakutumia visu hawajui km watanzania hawako gizani wengi wao salisha ona mbele
@abdallahrenatus6677
@abdallahrenatus6677 4 жыл бұрын
Mtaftie kula kumi tu.
@emmanuelndiuni1525
@emmanuelndiuni1525 5 жыл бұрын
Hongera mbunge heche
@mercybyashara9711
@mercybyashara9711 6 жыл бұрын
Well said Heche
@anithangao5950
@anithangao5950 6 жыл бұрын
uko vizuri kaka waambie hao
@martinusdamian3085
@martinusdamian3085 6 жыл бұрын
Mm nawambia hii nchi bila kupigana hakuna kitu kitaenda sawa
@juliusjoseph4005
@juliusjoseph4005 5 жыл бұрын
kweli hatutaeshimiana
@musamwafongo3430
@musamwafongo3430 5 жыл бұрын
Ningekuwa Mimi ni wewe ni NINGEMPONGEZA ....( HECHE)
@babillonbyser8250
@babillonbyser8250 6 жыл бұрын
Ccm kila leo unapandikiza mabaya mengi upinzani kuonekana ni wa kolofi hawapendi amani .Lakini ukweli haujawahi kujificha na hata jificha kamwe .Upinzani there very Genius ,Kama mtasubili na sisi tupige hatua kama walivyo wakenya wanywarwanda wa afrika kusini tutasubili sana mpk tunakufa ,ccm tukubali haitaweza kamwe ,mm nmezaliwa mpk leo hii mambo n yale yale tuu ,Matatz ya maji mpk leo hayajawahi kuisha toka uhuru ,Afrika kusini ilipita uhuru wake 1994 lakn leo afrika kusini wameendelea kutuzidi sisi ,na matatizo yote ya ubaguzi wa rangi lakn walijipanga leo taifa lao nmekua ,sisi kila kitu ni siasa elimu maji nk vinaongozwa kwa siasa ,Singapore ni kanchi kadogo sana lakn kameendelea sana ,China ilikua n moja ya nchi masikini .lakn walipopata viongozi wazalenda taifa lao nmekua taifa kubwa lenye maendeleo makubwa ,Bila kubadilisha mfumo huu wa watawala ,maendeleo tutaendeleo kuyasikia kwenye bomba
@fatmahamad2156
@fatmahamad2156 5 жыл бұрын
Tatizo dhulma imejaaa ktk vifua vyao na ktk dhulma hapawi kitu,hao wanawadhulumu wanzanzibar, wanawadhumu pia watanganyika wenzao,sasa hapa unafkir tutaenda
@maendeleowamachibya9783
@maendeleowamachibya9783 5 жыл бұрын
Xafiiiii kbxa heche
@malingazeboss9351
@malingazeboss9351 4 жыл бұрын
Serikari ya wapumbavu hii, wenye akili hatuungi mkono umavi wa CCM
@kaminyogemwachelwa9884
@kaminyogemwachelwa9884 6 жыл бұрын
Wachane .........ccm wanatia hasara taifa
@augustinomgonde1505
@augustinomgonde1505 4 жыл бұрын
Dawa ni moja tu kuwapumzisha ccm.
@josephmwita564
@josephmwita564 5 жыл бұрын
Tatizo ccm ni chaka la majambazi
@PetroMwita-yc2uy
@PetroMwita-yc2uy 2 ай бұрын
Inali
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 6 жыл бұрын
Ni shida sana nchi hii,,bado kuna mambo madogo Dogo tumeshindwa kukabiliana nayo,itakuwaje kwa treni ya Umeme au ndege za kusambaza madawa zisizo na rubani? Hii ni aibu yetu kama taifa huru!!na kwenye kulijibu swala la huduma za kijamii muhimu kama Maji na Afya utambiwa enzi za Mwalimu watu walikuwa wachache ndiomana huduma zilipatikana ikiwamo chakula mashuleni na chakula cha wagonjwa katka hospital za umma,wanasahau kama ongezeko la watu ni mtaji kwa taifa,na enz za Mwalimu hakukuwa na utalii wala makinikia.
@sarahwalles2607
@sarahwalles2607 3 жыл бұрын
A lady utaskia misukule Oooh et wapinzani wanapinga kila kitu sio wanapinga ila wapinzani wanaleta maendeleo kwa kuwaamsha watala pale waliposinzia mfano wa icho cha mwendo kasi kujengwa jangwani nikosa sana asara zake zinaonekana sasa kila mvua maji yanajaa unajiuliza uko ndani kopyuta ngapi zinakufa kbs acha magari kujaa maji ndani na vifusi vya michanga vinajaa yaan asara tupu aisee
@iddiaman6418
@iddiaman6418 6 жыл бұрын
Gud
@lucasmwakimage3708
@lucasmwakimage3708 6 жыл бұрын
Aaaaaaaaah...heche nimefurahi xana w mkali umeongea ukwl kabisa
@athumanitanuke6795
@athumanitanuke6795 6 жыл бұрын
ccm=chama cha Majambaz/majizi xo kutegemea hao Majambaz Tz haitaenda popote
@hamadshein935
@hamadshein935 6 жыл бұрын
Hamna kitu.walio kwnye sstm hawana uaminifu.
@neemayo4693
@neemayo4693 3 жыл бұрын
Hakuna maji mpaka leo kingo"ri Kibaoni hatujawai kunywa maji Safi tinakunywa ya magadi
@simionmarwa9400
@simionmarwa9400 6 жыл бұрын
Umechangia vyema Mh Heche
@jafarahmad4408
@jafarahmad4408 5 жыл бұрын
duhhhh balaaaaaaaa
@sharoondanny718
@sharoondanny718 6 жыл бұрын
Du ! HATARE eee ! !!
@rashidsuleiman2663
@rashidsuleiman2663 6 жыл бұрын
AMANI AMEWAMBIA AKILI ZAO KAMA SAMAKI😩
@amntyga1337
@amntyga1337 4 жыл бұрын
😁
@mbuganfelecian6424
@mbuganfelecian6424 4 жыл бұрын
Hapo inatakiwa udai sana
@lukamkogwe6252
@lukamkogwe6252 2 жыл бұрын
Ulitabili saivi tozo 1500 sio 50 tena
@iddimatambo1915
@iddimatambo1915 6 жыл бұрын
Myakamingi jangwani panajulikana kutokananamatatizo yakelakini tunatengeneza barabara badalayakutatua tatizolajangwani matokeoyake tanajengasehem yakulazamagali mungutusaidie sisi
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 6 жыл бұрын
Kwetu kulikua na vituo vya maji na mabomba mazur ila leo vituo hivyo ni nyumba za vijana kupumzikia /vijiweni
@kilekeremson9821
@kilekeremson9821 4 жыл бұрын
Tutawafunga wote ambao hata ikipita miaka 1000 hata mkiwa mnatembelea mkwanguju ufisad huu mtakuja kuulipia tu Wema ni akiba na ubaya ni akiba
@user-zc7ex5xt3d
@user-zc7ex5xt3d 3 ай бұрын
Àhàhah
@fatmahamad2156
@fatmahamad2156 5 жыл бұрын
Wamezoea kuwadanganya wananchi hao
@avax5717
@avax5717 6 жыл бұрын
Kamuulize babu yako vizuri kwanza kuhusu mkoloni
@tiazosalim9291
@tiazosalim9291 5 жыл бұрын
Aq.
@ebenezerfreight3309
@ebenezerfreight3309 6 жыл бұрын
Nchi hii hatari ccm janga
@iddimatambo1915
@iddimatambo1915 6 жыл бұрын
Mimikwetu songea lakini tanzanikuna watuwapnbalisana baba heche wambietu hatakamahawataki iposikuwatakubalitu hii tanzanianiyetu sioyawatu wachache tuna chop and and icon tutakachokivuna nchiikichafuka tutatesekawote
@andrewmasengeka6908
@andrewmasengeka6908 6 жыл бұрын
wajingawengi
@gastordominic410
@gastordominic410 6 жыл бұрын
Heche nakukubali next time msapot na rafiki yetu Naftal awepo mjengon
@nurukwawote4716
@nurukwawote4716 6 жыл бұрын
Sifa zote anazo shida mkala kama auko ccm wewe ni najisi
@sarahwalles2607
@sarahwalles2607 3 жыл бұрын
Hahahahaaa nimekusoma mdau alisema kweli Nyerere sifa zoooote anazo ila mkala
@williamchrispian1752
@williamchrispian1752 6 жыл бұрын
Najivunia kuwa upande WA ukweli
@adolfkambala3214
@adolfkambala3214 6 жыл бұрын
Hunasikia speech ya mtu mmoja tu kila siku zinajirudia rudia mada zile zile huwezi tofautisha hii ya lini na hii ni ya lini?noooma sana.
@shedrackmdendu2758
@shedrackmdendu2758 6 жыл бұрын
Zimeenda kununuwa ndege
@micamathew6433
@micamathew6433 5 жыл бұрын
Ww ni kichwa kwelikweli, tuwarudishe wakoloni Tanzania ili watuletee maji, mana ccm c wameshindwa??? Au vp
@riwayazakiswahilitv4635
@riwayazakiswahilitv4635 6 жыл бұрын
maccm haya
@nicevictormkalimkali3776
@nicevictormkalimkali3776 5 жыл бұрын
RIWAYA ZA KISWAHILI Tv baby nitumie namba yako nimekupenda Sana nizae na wewe
@jacksonedward201
@jacksonedward201 5 жыл бұрын
Taghamba mura
@hashimumaulidi4511
@hashimumaulidi4511 6 жыл бұрын
kaz ya ccm ni kupiga makof tu hata ukifanya au ukisema ujinga wao sawaaaa mkuuuu,,,sasa kama na miradi ya Lea nayo imesimama si mtihani huu,,ndiyo maana huku kwetu kjjn walikuja kuweka alama ya nguzo za umeme wakaondoka moja kwa moja had Leo hawajaleta nguzo na walituahid kuwa umeme hadi kufikia mwezi wa sita utajuwa umefika hapa hadi Leo mwezi wa tano nguzo tu hakuna
@abuaymanalshirazy2472
@abuaymanalshirazy2472 6 жыл бұрын
Hashimu Maulidi @huyu jamaa sijui vp?
@erentjohn1303
@erentjohn1303 6 жыл бұрын
HIO INAGUSA.
@stanleymsombe4530
@stanleymsombe4530 6 жыл бұрын
Erent John tatizo la ccm wanawahofia wapizan badala ya kushughulikia matatizo ya wananchi itatuchukua mda mrefu sana kujinasua.
@martinkarata1097
@martinkarata1097 5 жыл бұрын
Wanatia hasara taifa tu hawana lolote
@ismailkidongo9384
@ismailkidongo9384 4 жыл бұрын
Bola wakoloni
@martinusdamian3085
@martinusdamian3085 6 жыл бұрын
Mm nawambia hii nchi bila kupigana hakuna kitu kitaenda sawa
@sardelydeter3864
@sardelydeter3864 6 жыл бұрын
Martinus Damian
@fatmahamad2156
@fatmahamad2156 5 жыл бұрын
😂😂😂 kupigana tena
"Maprofesa Wengi Wemefeli, Hii Ndio Changamoto" - SILINDE
12:10
Global TV Online
Рет қаралды 94 М.
HECHE BUNGENI: "Waziri Huoni Aibu, Unafki Tu, Mungu Anajua"
7:31
Global TV Online
Рет қаралды 81 М.
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 24 МЛН
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 33 МЛН
HECHE ATOA YA MOYONI, AKERWA NA UKIUKWAJI WA UTAWALA BORA
7:34
Mwananchi Digital
Рет қаралды 57 М.
Vazi la Mnyika Laleta Kizaazaa Bungeni, Awatemea Mbovu Wabunge wa CCM
7:53
John Heche aongea yote kuhusu kutishiwa usalama wake
13:27
Millard Ayo
Рет қаралды 78 М.
Povu la John Heche Kuhusu Figisu Kwenye Mgodi wa North Mara
8:07
Global TV Online
Рет қаралды 160 М.
HECHE BUNGENI: "Mtaua Sana, Waambieni Watanzania Ukweli"
10:40
Global TV Online
Рет қаралды 465 М.
"Tusinunue Ndege Kama Tunanunua Machungwa" - JOHN HECHE
4:51
Global TV Online
Рет қаралды 278 М.
"Mnachoma moto nyumba na watu bado mnawafunga? "- John Heche
10:36
Millard Ayo
Рет қаралды 191 М.
KITIMTIM BUNGENI! Wapinzani Waitwa Mbwa, SUGU Aliamsha
12:09
Global TV Online
Рет қаралды 131 М.
JPM Amrarua HECHE Hadharani "Naweza Nikakuzaa"
4:12
Global TV Online
Рет қаралды 243 М.