Рет қаралды 20,940
Aliyekuwa Mkuu wa Oparesheni na Mafunzo jeshini ambaye kwa sasa nimstaafu Meja Jeneral Alfred Kapinga amelezea historia ya maisha yake tangu alipojiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ambaye ni mzaliwa wa kijiji cha Namabengo Wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma.