Nampenda sana, alikuwa smart sana nadhani tume mtumia vibaya bado ana kitu cha kufanyia Taifa CC; Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu.
@boscomalangalila11 ай бұрын
Mama ni kati ya wasomi wanaojitambua.ila watanzania tumeshindwa kumtumia kwa sababu wengi mambo yeti ni shortcut na umangimeza mwingi
@HappyJohn-rj8coАй бұрын
Sana kwanza anawez kutunga kitabu kikatumiwa kwa mitihani au mashuleni na kusaidia kizazi kijacho forever
@lilygracexx19752 жыл бұрын
Miaka sabini kama miaka 50.Hongera sana mama Tibaijuka
@evansm88022 жыл бұрын
This old lady must be pride for Tanzania 🇹🇿 can we learn to take pride of our own.look at issues at a broader level and not hela ya mboga, blur blur blur
@edwardmwingira7096 Жыл бұрын
A very brilliant woman I ever known!
@rosemaryikamba52882 жыл бұрын
Nimependa Sana interview Yako mama Tibaijuka Inani inspire Sana! I miss u Mama am in France now!!
@antarsangali4456 Жыл бұрын
Kumwacha Prof Tibaijuka bila kupewa kazi yyt ya kujenga taifa letu ni kama aina fulani ya "kujisahau "kwa maoni yangu
@khamisshee51312 жыл бұрын
Mama nampenda aana ni.Mama mwenye akili sana MashaAllah 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jeanmusamba3253 Жыл бұрын
she is very smart aisee hajisifu kabisa safi sana prof,Tanzania hatuna utamaduni wa kuthamini na kutukuza vyeti,mtu kama huyu inatakiwa kumpelekea vijana 200 ahamishie chote alicho nacho kichwani mwao.Niliona watu watu waliotufundusha muhimbili wenye akili sana kama prof hapa,wamekufa hawajaandika hata vitabu,nikikumbuka prof Raphael Lema alikuwa bingwa na gwiji wa magonjwa ya damu daa hajaacha hata kitabu alikuwa na kichwa kikali sana kama mama hapa.
@madattarcharles11142 жыл бұрын
Hai Sana mama Anna tibaijuka nakupenda Sana...
@yusufmohamed8874 Жыл бұрын
Mama Samia kamfungia vioo kabisa huyu mama yetu 🤔 Angempa sehemu ya ushauri sehemu fulani
@kadaskarim50812 жыл бұрын
Hongera sana mama wewe ni nyota nzri umefnya kaz kubwa dunia mungu akupe maisha maref
@sophiakatondo20162 жыл бұрын
Mtani wangu unatisha. Ninaendelea kukukubali..Nakutakia afya njema na Mungu akubariki.
@michaelndilima62102 жыл бұрын
Mama ni haki yako kuwepo katika nafasi hiyo kutokana na jitihada zako
@saidsuleiman17532 жыл бұрын
Dah mama ana dongo zuri sana utafikiri ana miaka 50
@annamosha968 Жыл бұрын
Love you Mama❤️🥰
@michaelndilima62102 жыл бұрын
Mama mungu akubariki sana.
@EmmanuelChija-vx2wmАй бұрын
kaka gangana nakukubali Sana nataman kuwa kama ww unajua kutangaza by Emmanuel chija
@ganganainfochannelАй бұрын
One day ndoto yako itakua🙏
@EmmanuelChija-vx2wmАй бұрын
@@ganganainfochannel sawa broo mm nasoma journalism hapa teofilo kisanji mbeya nipo certificate broo nilikua naomba kaka nije kufanya field hapo tbc kaka nilikua naomba unipe muongozo
@ganganainfochannelАй бұрын
Upo njia sahihi ya kufikia ndoto yako. Ishu ya field ni masuala ya kiofisi na ninachofahamu huwa mnatakiwa kuandika barua. Kwakua upo mbeya nakushauri fika ofisi za tbc mbeya watakuelekeza zaidi.
@denismugisha22 жыл бұрын
Asante mama yetu mpendwa
@karyori692 жыл бұрын
safi sanaa!
@farhiaaassan63342 жыл бұрын
Yes yes yes yes
@maginasabah-mb9od11 ай бұрын
Mtangazaji hajatulia lakini anahoji mtu aliyetulia. Muwe mnakuwa serious mnapohoji watu wenye cv kubwa!
@rosemaryikamba52882 жыл бұрын
Tunajivunia kuwa na mwanamke shupavu na makini /jasiri na asiyekata tamaa kama wewe 🏆!!
@ganganainfochannel2 жыл бұрын
👍
@profesaorthogonal60952 жыл бұрын
Ndio maana ukawa prof. Vyote ulivosema ni point
@loner_wolf2 жыл бұрын
Asharose Migiro please....
@xyz-tv4om2 жыл бұрын
My role model
@morrisokinda694 Жыл бұрын
IPO SIKU
@danielpatrickrobert1252 жыл бұрын
Kipindi chako kinahoji vizuri bila fujo....big up
@sasha-ri7tf2 жыл бұрын
Dunia inakutambua kwa kupora rasilimali za wananchi Pesa za (mboga) ...
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
Jisemee peke yako, ndugu!Dunia si wewe tu! Tuko wengi wanaomtambua Professa kwa thamani yake! Ungesikiliza vizuri interview hii, usingesema hivyo !
@festochristopher72932 жыл бұрын
Nice story
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
History ameiweka huyu Mama! Did she write her biography? Ikiwa kitabu hiki cha wasifu kipo, kinapatakinaje?
@mpunguhelbalclinic60612 жыл бұрын
Mh gangana ww ninoma
@kelvinpeter33722 жыл бұрын
Nilikuwa nakingoja kwa hamu sanaa
@clintonchris-rx9iz4 ай бұрын
We jamaa hausubir mama akjibu unaingilia kati
@ganganainfochannel4 ай бұрын
Yes ndio dhumuni la hicho kipindi ni bandika bandua
@lazarodaudi16892 жыл бұрын
Huyu mama n kweli kafanya makubwa Duniani lakini jamii yake hasa Jimboni kwake hakuna kitu cha maana alichokifanya cha kujivunia
@eyabdimaha3698 Жыл бұрын
Itabidi ukagombee jimbo lake sasa
@lazarodaudi1689 Жыл бұрын
@@eyabdimaha3698 kwa akili yako Kila anaekosoa anataka ubunge? Stupidity
@eyabdimaha3698 Жыл бұрын
@@lazarodaudi1689 no kwani yeye alikua na tamaa ?? Nimekwambia uende wewe sababu yeye jana alichokifanya sasa nenda wewe
@ramadhanchenga460611 ай бұрын
Ndugu mbunge anaiyambia serikali matatizo ya jimboni kwake serikali ndo inatekeleza
@ulludots Жыл бұрын
Sababu za kuleta picha ya huzuni ya kaburi la mme wake ulikua unataka kuachieve nini, pili tone unayotumia ni ya kuonge na wahuni.
@ganganainfochannel Жыл бұрын
Umechelewa sana kujua hili la uhuni. Hiki ni kipindi cha kihuni sasa tufanye nini ndugu mstaarabu?
@remigiusmwageni62742 жыл бұрын
Nakubali Sana mahojiano yako ndugu Khalid Ali Gangana
@reymasenya64502 жыл бұрын
Kuku Babali Sana
@davidboniphace81592 жыл бұрын
Huyu mama ndo alisemaga bilioni 2 alizopewa kipind cha sakata la esco ni hela ya mboga eeh.pesa za wananchi Ila mungu anawaona
@josephk902 жыл бұрын
Ilikuwa bilion 10.
@davidboniphace81592 жыл бұрын
@@josephk90 duuh ndo pesa ya mboga
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
Milioni 10 kwenye account yake binafsi... Ndio Mhaya anasema hela ya mboga! 😂😂😂
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
Professa CV yake kubwa sana ! Heshima kwako Tibaijuka! Asante Gangana, endelea kutuletea Powerful Tanzanian women... maana ndio fahari ya Nchi yetu... and they are our role model:-)
@jacobmsigwa3832 жыл бұрын
Tuletee mama Makinda sasa
@paulinesengasu57792 жыл бұрын
Mama yupo vizuri sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@aronmtui5972 жыл бұрын
Mmeibia serikali ila mtaziacha tu
@eshyndibalema15292 жыл бұрын
Acha wivi kakuibia nini?
@ilynpayne74912 жыл бұрын
@@eshyndibalema1529 kaiba ela akasema pesa ya mboga bilion 1.6
@agnesayub10652 жыл бұрын
Sio kweli
@loner_wolf2 жыл бұрын
You cant live through the past. ILA HIYO CARD NADHANI KINGEREZA KILICHOANDIKWA SIO SAHIHI ILA MOTHER KAKAUSHA ASIJETIA NAZI KWENYE SUPU
@frolianjohanes25052 жыл бұрын
Wahaya sio poa
@eshyndibalema15292 жыл бұрын
Wamekufanyia nini?
@shayobeatusbeatus73572 жыл бұрын
Hongera sana mama, mpiganaji wa watanzani.
@theonestinamutole8549 Жыл бұрын
Kwa nini😊
@joyceKingu7 ай бұрын
Wahaya ni Wana akili, msimamo ns hawana Woga. Hawajipendrkezi.
@enickosanga49212 жыл бұрын
Kati ya mafisadi waliowaumiza watanzania bila huruma mama huyo yupo
@evansm88022 жыл бұрын
Kkkkkkkkkk that's all you can remember
@renatusmatungwa65062 жыл бұрын
Una ushahidi?
@agnesayub10652 жыл бұрын
Sio kweli
@sylvesterjose32862 жыл бұрын
Unaongea Kwa akili yako au njozi za mchana zinakuguguna!
@edwinalexander11702 жыл бұрын
Mama wa Pesa ileeeee ya Mboga
@oscarkasalile3966 Жыл бұрын
Mama anasema zile propaganda tuu hajawahi kusema hivyo na kama kuna clip tumpeleke ili aamini kama ni yeye kweli au ni wahuni walimchafua
@elibarikimollel71492 жыл бұрын
Mwanamke akifanya kitu kidogo maneno yanakua meengi sawa, lkn Mama wa sasa kafanya jambo kubwa baya litakalomnyima mapenzi ya Watanzania wengi, kukaa kimya Kiongozi wa Kitaifa kuitwa gaidi!! We hate this so much!