Mungu mpokee mtumishi wako aliye kukiri Hadi kufa kwake. Najua wapo waliofurahi ila kazi umeifanya Baba , hakuna asiyeona, wanyonge tunalipa sana
@mariethaboshe90963 жыл бұрын
Raha ya milele umpe , na mwanga wa milele umwangazie ,pumzika kwa amani Amina
@mariumkirungi36993 жыл бұрын
Amen
@coolwaveac76593 жыл бұрын
Amen
@josephinelyimo24233 жыл бұрын
Mango vp lp
@neemaibrahim6793 жыл бұрын
Yaan najikuta nalia alaf siamn amn jaman kwann imekuwa hvyo. Dah Ila tusimkufuru Mungu Kaz yake Haina makosa😭😭😭😭 R.I.E.P
@barbarakatsivoawere38043 жыл бұрын
RIP the greatest President of all times, I pray Tanzanian leaders continue to walk in his footsteps. A brave leader the all of Africa looked up to. Baba wa Afrika Rest in perfect peace. 🇰🇪🇬🇭🇮🇹
@Maggie-yx8pw3 жыл бұрын
RIP Baba 💔💔💔 Tanzania inakulilia 😭😭😭😭 Tutayaishia Mazuri yako Baba, Baba Vita umeipiga na Mwendo Umeumaliza Baba nenda Baba nenda Baba. Ulimpa Mungu nafasi ya kwanza ktk Maisha yako Meenyezi Mungu akupokee kwa Furaha na Upumzike kwa Amani ktk Nyumba yako ya Milele. RIP JPM .
@felisianakomba22263 жыл бұрын
P
@luthfiasaid84873 жыл бұрын
Poleni ndugu zetu wa Tanzania mbele yke nyuma yetu R.I.P Dr.John pombe magufuli
@barbarakatsivoawere38043 жыл бұрын
The greatest President of Africa, I am truly sadden😢RIP. I pray Tanzanian follow his leadership without fear or favor😇🙏🏽🇰🇪🇬🇭🇮🇹
@pendatv16753 жыл бұрын
Am Kenyan , this death is very painful to me.. RIP sir
@glorygakii66543 жыл бұрын
To me also
@ashurahatibu50693 жыл бұрын
Pole dr na asante kwa umoja wko
@stevenkaboku22083 жыл бұрын
umeondoka mapema boss wetu baba yetu mzalendo wetu rais wetu role modal wangu kipenzi changu mwenyekiti wangu baba angu mtanzania mwenzangu msukuma mwenzangu pan africanist mwenzangu ndugu yangu ndan ya christu nenda salama baba najua umetengeneza akiba nono dunian nina uwakika utakaa karibu na malaika mbinguni na kuchaguliwa tena kwenye nafasi nyengine mbinguni. its hard to believe but its true that the lion of africa is nolonger with us
Yan cna cha kujigamba tena rais wangu niliye mpenda daa imeniuma Sana.Mung akupe special place in heaven
@mariammohammed93983 жыл бұрын
R.i.p legendary john pombe magufuli😭😭😭😭😭😭😭😭😭umeacha pingo kubwa c kwa wa tanzania pekeee ata outside tanzania tutakukumbuka daima🙏
@zawadijoel75163 жыл бұрын
Nenda baba, umeiacha alama. Kazi uliyoifanya haitakaa ikapotea. Tutakukumbuka na tunakuombea Mungu wako uliye muabudu siku zote akupokee
@emmanuelchaplingi90503 жыл бұрын
Amina
@peterphilipo51033 жыл бұрын
So sad
@hamadifaki83283 жыл бұрын
Pop
@mariamyoyote81723 жыл бұрын
Amin Amin 🙏🙏tutakukumbuka Sana umetutoka kimwili lkn bado tutazid kukukumbumbuka na tunaishi na ww kiroho ♥️
@furahaiddi5333 жыл бұрын
RIP our lengendary You I'll always live in our hearts forever😭😭
@savioursimon4583 жыл бұрын
I'm speechless, Glory be to the Almighty God 🙏
@zulfatdidas3693 жыл бұрын
Mungu amsamehe makosa yke maan weng wampotea kwa mikono yake na hpa nlpo hatujui tu ndg yetu kafa au ykowap chanzo n ww ila ol n ol rip
@sofiaahmad19263 жыл бұрын
Rest in Peace president magufuli, my condolence to all people's in tanzania.
@hidayabakar70263 жыл бұрын
Mg naende tuu safari njema lakini anaroho alizo zisababisha kuuwawa kule pemba kwahiyo ataenda jibu huko Kwa muungu muungu mwenyewe ndo atajuwa vyakumuhukumu
@aishamwinyi50483 жыл бұрын
Hili pengo hayupo wa kuliziba abadani umetuachia huzuni rais wetu hakika chema hakidumu tuwe pole watanzania wenzangu hiki kilio kikubwa😭😭 umetuacha wanyonge wakt wew ndio faraja yetu 🙆♀️😭
@fatmahchambo31313 жыл бұрын
Kwa kweli...yani dah
@aishamwinyi50483 жыл бұрын
@@fatmahchambo3131 ndio mambo
@sherifaali72683 жыл бұрын
Yaani siini wallah nawanainch tulivokuwa tumezoea alijua kutudekeza aise make ukiona watumishi wa serikali wakienda sivyo tunaenda wasemea nalikuwa anafanyia kazi malalamiko ya watu wake
@aishamwinyi50483 жыл бұрын
@@sherifaali7268 sheri we acha tuu ila tutasahau tuu lkn ni pengo kwa kweli
@TTBonta3 жыл бұрын
He was a great leader, a true patriot full of concern for the common mwananchi. R.I.P Doctor Magufuli. You will be remembered.
@kelvinvenance36273 жыл бұрын
Absolutely
@fhghhfhchh22053 жыл бұрын
Is it true!?
@stevenkaaya65003 жыл бұрын
Vizuri huwa havidum vitapigwa vita had pale mungu kuamua kuingilia kat kukichukua kiumbe chake kwenda kukiweka mahal pastahilifu
@barakamashaury22503 жыл бұрын
Aitowezekana tena kupata raisi kutoka wilaya ya chato
@ahmadimrahmadimr45123 жыл бұрын
Ulazwe mahali pema pepon babang
@edwardmakonge33713 жыл бұрын
Pumzika kwa amani baba kazi yako hapa duniani umeimaliza,tutakukumbuka daima.
@haoyangahawanalolotekelele70593 жыл бұрын
Pole baba inauma sana ila kila mtu atakufa tangulia baba tutakukuta mungu aiweke roho yako mahari pema amen
@osamaalharthy41503 жыл бұрын
Innalilah wainna lilayhi rajiuun
@bahatidieme393 жыл бұрын
Poleni Sana ndungu zetu wa Tanzanie 😭🇨🇩
@kamobcooler10773 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭
@mmangajuma56423 жыл бұрын
😭😭 tushapoa lakini huu msiba hatutosahau
@liliambokile24733 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@mwanahawashabani82403 жыл бұрын
Mtuombee jamani tunalia kwa uchungu huku.siamini jamani!?Jembe letu babaa,Magu wetu sisi,tinga tinga letu jamani,nalia kwa uchungu jamani nimeumia kutoka moyoni mimi mwenzenu.
@bahatidieme393 жыл бұрын
Mu achiye mungu na tuombe mungu apuzishi Roho ya mweshimiwa Rais kwa Amani nasi wa congolais 🇨🇩 tuna sikitika Sana kwailio
@silverboy30653 жыл бұрын
atutokuja kumpata rais kama uyu aisee
@zulfatdidas3693 жыл бұрын
Ushindwe na ulegee tutampta tna zaid ya yye maan hta nyerere alvokufa watu wasoakl walisema vivyohvyo but mbn magu akaja kuw kiaongoz bora?huciipe nchi laana ww
@marymushi55563 жыл бұрын
pole xan wana nchi
@monicahovda45243 жыл бұрын
zulfat didas . Sanaa, asiseme hivyo kwamba hatutampata Raisi kama Magufuri, ataibuka Mwengine kama Magufuri au tena akawa zaidi, kwa kuwa Magufuri amesha acha alama njema, haitofutika kamwe
@yasinathyasini39493 жыл бұрын
Pumzika kwa amani Rais wetu kipenzi cha wengi
@masokatamasha51973 жыл бұрын
Poleni Saaaana Tanzania Kumpoteza Shupavu Rais Makufuli Mmmmmm Ata Congo 🇨🇩 Ilikutamani Uwe Rais Wao Mungu Akulaze Roho Yako Maali Patakatifu Emen
@gefikavou56103 жыл бұрын
Poleni sana Familia ya Mh Rais Dr JP Magufuli AKA Rais wa wanyonge, Uncle Magu Rest in Peace. Tulikupenda sana ila Mungu kakupenda zaidi na akulipe kwa mema yako kikamilifu, Tuta ku miss sana African Legend.
@annahbanda10373 жыл бұрын
Kilio na majonzi kwa watanzania wote maskini, baba yetu umefanya kaz kubwa na nyingi kwa kipindi kifupi tu, Mwenyezi Mungu aipokee roho yako kwa furaha kubwa lakini aipatie familia yako faraja ya kweli Pamoja na watanzania wote, Amina
@siriyangu47243 жыл бұрын
Innalilai wainnarajiun dah inauma jamani mmi ata nashidwa kujizuia hii nikweli jamani au naota 😭💔💔
@rehemasalim45903 жыл бұрын
Inalilah waina ilah rajion ndo hivyo tena tupate mazingatio tuombeni mwisho mwema
@eddyguddah14923 жыл бұрын
The same yaani today morning naend job ,,bt still still namuonaa
@siriyangu47243 жыл бұрын
@@rehemasalim4590 ameen insha'Allah 🤲
@siriyangu47243 жыл бұрын
@@eddyguddah1492 Allah atupe subra
@greatiq78353 жыл бұрын
Inna Lillahi wa inna ilayhi rajiun!
@lirastanley3903 жыл бұрын
Ulale pema peponi Rais wa wanyonge...umetangulia ila hakika tumedhurumika waTanzania hv ni nani kama wewe?nenda tu baba kama walikuchoka kwa maneno ya karaha bas wajue MUNGU amekupenda sana na watapata shida sana ...ulale pema peponi baba
@evelillnasanga67063 жыл бұрын
Nitakukumbuka daima rais wa wanyonge Mungu akupumzishe kwa amani Amina
@adolphinakaiza33263 жыл бұрын
Baba mpole, mnyenyekevu, mpenda watu na mcha Mungu. Nitakupenda milele
@fotunathapeter24213 жыл бұрын
Ama kweli watu wema huwa hawadumu maisha
@santielapareso92963 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😪😪😢😢jmn uwiiii
@zulaikaangonde42023 жыл бұрын
RIP our friend
@abesa_worldwide3 жыл бұрын
History ya LEGEND 💪💯 JPM,imenifunza vitu vingi
@jacklinelaswai46863 жыл бұрын
Hakika siku zetu za kuishi zinahesabika! Bado siamini umeondoka mtetezi wetu. Pumzika kwa amani.... The real definition of a LEGEND! Nenda salama
@zaimaseta10603 жыл бұрын
Turikupenda sana baba mungu akupumzishe maari pema pigoretu Tanzania mungu atusaidi
@teddyassanirashidi63163 жыл бұрын
Rest in peace John Pombe Magufuli Tanzania, Watanzania poleni sana Mungu awaweke nguvu kwenye kipindi hiki kigumu, from Congo🇨🇩🇨🇩 jaman Africa 🌍 tunawapoteza viongozi wetu😭😭😭😭😭😭
@mamawadudu483 жыл бұрын
Katika jina la Yesu John Pombe Magufuli raise and walk. Receive life again.
@joan.kitale58213 жыл бұрын
Baba Ukatuombee tuendlee kupata Amani.. Katika taifa hili hakika umejitoa sadaka kubwa kwa ajili yetu Mwenyezi Mungu akupokee katika makao yake ya milele Amina 🙏🙏
@JacobNikolaus-oy2ld3 ай бұрын
RIP in peace our great leader jpm😢😢
@andulilemwakihabha20483 жыл бұрын
Tanzania 🇹🇿 kupata kiongozi Kama Magufuri tusahau kabisa 😭😭😭
@mercyalina97033 жыл бұрын
Rest Baba Our President. Foreverour best President. Tulikupenda Tunakupenda tutakupenda daima Baba
@bonithafrenando65623 жыл бұрын
😭😭😭😭nimelia hadi cjielewi tutakukumbuka sana mpendwa wetu tulikupenda ila mungu kakupenda zaidi yako hayatapotea daima
@josephnkengurutse3 жыл бұрын
Kifo cha Magufuli kinanitowa machozi mwenyezi mungu akupoeye Katika ufalume wake JPM nakulilia sana. Wa zungu ni watu wabaya kweni wewe unapiga mambo ya Corona wanasema eti ufe 😭😭😭😭😭😭
@fatmamussamussafatma18263 жыл бұрын
Innalilah wainailayh rajuun...kizur hakidumu Allah akupe kauli thabit rais wetu daima tutakukumbuka na kukulia kwa mazuri yte uliyotufanyia
@Ericoh..4673 жыл бұрын
Jameni kama wakenya tuko nanyi ndugu zetu wakati huu mgumu... Mmepoteza kiongozi wa maana sana... Mungu amlaze pahali pema peponi🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@musabakari85763 жыл бұрын
😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@hajraseif92883 жыл бұрын
Inanisikitisha Sana😥😥😥😥😥 Tumuombee Kwa ALLAH(s,w) Amsamehe Makosa Yake Maana Yy Ni Binaadaam
@froridaanthony32783 жыл бұрын
mungu akubariki magufuli akulaze mahali pema peponi baba etu jasili ulietuongoza kwa hekima na vitendo nimeumizwa xna na kifo chako kiongozi wetu
@chussede30723 жыл бұрын
😭😭😭😭 Eeeeeeee M/Mungu Mzidishie Maisha Mema Mzee Wetu 🙏🙏🙏
@alexmaungo8853 жыл бұрын
R. I. P
@angelanaftael79653 жыл бұрын
A God fearing man a great man God be with him amen
@hosianaamon51643 жыл бұрын
Kizuri hakidumu kweli
@julysidiali67783 жыл бұрын
Pole sana wa Tanzania baba wawatu alalale mahali pima peponi mungu ampokea 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@carolinejuma31083 жыл бұрын
Am a kenyan but I have cried like never before May his soul rip
@madukaj.j.69993 жыл бұрын
Jiandaeni kuuona rasmi umuhimu wa Rais JMP. Nasema hivi mtaujua tu umuhimu wake. Mlioshangiria na kufurahia wekeni akiba ya furaha yenu.
@hellenkintu79063 жыл бұрын
Rip, my favorite president , I believe Tanzania has lost a great leader who is irreplaceable... our sincere condolences from Uganda
@jamhurijohnathan97473 жыл бұрын
THE HERO NEVER STAY LONGER,So sad R.I.P FATHER OF OUR NATION
@sarahrajabu98123 жыл бұрын
Inasikitisha sana imeniuma sana. Pumzika kwa amani kiongozi wetu
@heraldloshi18643 жыл бұрын
A true servant of the people. May his soul rest in eternal peace.
@salamaseif40323 жыл бұрын
Basi tena Tanzania atuwezi kupata mtetezi wawanyonge kama raid wetu huyu yaani nimeumia sana kwani nilikuwa nafaraja kubwa sana wakati waungozi wake
@allymashaka33843 жыл бұрын
Sasa tutawasikia mabepari unanijua mimi
@ameirmanzi26843 жыл бұрын
Unapokuwa shujaa Utaandamwa na mambo mengi nenda salama kiongozi
Poleni sana wana Tanzania kwa kumpoteza baba yenu mungu amuweke mahali pema RIP
@andulilemwakihabha20483 жыл бұрын
Daah Mungu uyu mmh 😭😭😭😭💔💔
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani baba🙏🙏🙏🙏Hawezi kuepo kama yeye...inna lillah raisi wetu ..tutawezeje bila wewe..?bado nalia siamini..eeeh mwenyezi Mungu tutie nguvu🙏🙏🙏
@genivakapele39863 жыл бұрын
Hakika umekufa kishujaaa na kizalendo. Mungu akusamehe ulipokosea kama Mwanadamu na upumzke kwa amani😭😭
@hasheemrashid44123 жыл бұрын
The best of all our past presidents.we shall always remember him.
@zainabmaulidi98463 жыл бұрын
Tutakukumbuka milele 😢😢 Rais wetu ALLAH akupe kaul dhabit
@mejumaaharunigaluzagaluza92493 жыл бұрын
Ooh my God poleni sana mungu awajalie subra katika kipindi cha kumpoteza raisi mwema maishani mola hailaze roho yake pema peponi in sha Allah
@kambonanzogela69323 жыл бұрын
Tulikupenda Ila Mungu kakupenda zaidi Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana na lihimidiwe
@jessicarasigu22203 жыл бұрын
R.I.P mtetezi wa wanyonge,jembe wa Tanzania,kiongozi shujaa,mcha mungu dunia zikifunga makanisa,malaika wa mbinguni wakupokee kwa Amani baba wa yatima,mume wa wajane,pumzika baba,pumzika kipenzi cha dunia😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@silasbenjamin35323 жыл бұрын
Pumzika kwa amani mzee wetu nenda salama
@salomeakinyi29843 жыл бұрын
Mungu amlaze roho yake mahali pema peponi
@kansiimefuraha73973 жыл бұрын
Poleni sana wa Tanzania🇹🇿 Mungu awe nanyi John pombe Magufuli😭😭 R. I. P🙏🙏🙏🙏😭 🕊🕊🕊🕊
@swidatyomar79633 жыл бұрын
innalilah wainnaillah rajiuunnah Allah ampe malip mema kwa yote aliyoyafanya... 🤲🤲🤲🌹🌹🌹❤️😢😢😢😢 hakik pengo ni kubwa san
@honestheriel4133 жыл бұрын
Mungu akuweke Mahali pema pepon mh magufl hatutakaa tukusahau katik maish yetuu
@leonardgervas75153 жыл бұрын
Eee mwenyezi mungu mpokee raisi wetu 😭😭😭😭😭💔💔 , mungu ilaze mahari pemaa
@amosraphael19693 жыл бұрын
Kwel leo nimeamin kuwa kizur hakidum, lkn tutakukumbuka kwa uliyoyafanya mazur, na mungu ailaze loho yako mahali pema pepon. Amin
@santielapareso92963 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭🙏😢😪🤲uwiiii
@aishasekanyorota22133 жыл бұрын
Pumzika kwa amani baba hakika tutakukumbuka san kwa kuipigania nchi yako kwa uzalendo mkubwa mungu akulaze mahali pema peponi
@happykimaya27623 жыл бұрын
Umeenda baba,Rais wetu wa wanyonge inaniuma Sana! Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani ×3 AMINA
@luciaerasto25433 жыл бұрын
HakikaSisi SoteNiwapitaji Pumzika Kwa Amani Raisi wetu Magufuli Diama Tutakukumbuka
@ZuhAgain3 жыл бұрын
Aise inauma sana zaidi yasana Sisi tulimpenda ila mungu akamupenda zaidi ,mwenyezi mungu awe naye kote aendapo
@fidelismvungi85142 жыл бұрын
Hakika tutakukumbuka daima! pumzika kwa aman rais wetu
RIP doctor.U left a mark in the shortest time.your demise has really broken our hearts into pieces
@pascalfaustin54393 жыл бұрын
Mungu amlaze mahala pema peponi
@Hudhan13 жыл бұрын
God bless. Rest in peace. Our Dear President
@ammyskills55883 жыл бұрын
Daaa masikini wa MUNGU tumepoteza raisi chapa kazi 😭😭😭😭😭😭 MUNGU ilaze roho ya raisi wetu pendwa mahali pema peponi 😭😭😭 AMINA
@idhirismohapaulinho83563 жыл бұрын
Ulitufny cc wakenya tutamanan uongoz wako kw ulivyowaongoza watanzania duh...Pumzik kw amani rais mpambanaji ,ama kweli chema akidumu majirani zetu mungu awape subra kweny wakati huu mgumu .R.I.P jpm ,polen majirani zetu
@mwanahmisidd77593 жыл бұрын
Safiri salama Malaika w mungu m mkenya lakini cjawai ona wala kuskia rais kama magufuli mbona watu wema ndio wanaondoka haraka😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Why Magufuli why😪😪😪😪😪😪
@gkash85903 жыл бұрын
Sinalakusema na Nnamengi ya kusema zaidi. Mwenyezi mungu amempenda zaidi, tuzidi kumwombea huko aendako apokelewe kwa amani na apumzike kwa amani maana kazi aliyoifanya imetimia.
@gesyogongi56593 жыл бұрын
This are not the Old time Religion when people believed in Prayers. He should have known its scientific time when we rely on scientific tests all human and animal disease. As a president he should have known better and adviseds us, his countfmen with wisdom that leases to the understanding odf infectious diseases. This is the problem with uneducated leadeaders witthlimes of Magufuli and Trump.
@Ibnseifjr3 жыл бұрын
Allah Amrehemu kwa yale mema yake yote..Nasisi atupe mwisho mwema
@alexkapaya72613 жыл бұрын
Nenda jembe la Africa
@kulwacharles57953 жыл бұрын
Hakika Tanzanian 🇹🇿 🇹🇿 tumedondosha tonge kipindi cha njaa Kali R. I. P MASTER WETU SNAPPER WAKWELI
@waidaamon4573 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima ,kweli kifoo katiriii.
@mulongonzazi92413 жыл бұрын
Sikitiko kubwa sana , mimi nimetoka Drc lakini naliya sana sana na zaidi kupotesha président kubwa mu Africa
@eddyguddah14923 жыл бұрын
We loose one of the great hero ..for really imeniuma sana on my side uncle Magu he gives me a life ambalo I never wish ,,alitupa ela Daah inshot na a lot of stuff ambazo dah I can't forget about what he did ntakukukumbuka na utakumbukwa milele we love ,,,tumeshakumic ready
@hamidarajab78863 жыл бұрын
daah mbona mapema sana eeh Mwenyez Mungu ilaze roho ya kamanda wetu mahala pema peponi tutakukumbuka sana umefanya mengi mno tunakulilia baba😭😭😭
@missfahimakenya45833 жыл бұрын
I can't control my self from crying he was a good leader 😭😭 and he will always be
@sharonadochi48553 жыл бұрын
Too bad this man loved his country so much 🙏 It's hurt that you have gone when ur pipo stil love ur services may you rest in perfect peace