Hivi ndivyo Dullah Mbabe alivyomdunda Mkenya raundi ya kwanza tu - VITASA DODOMA 26/02/2021

  Рет қаралды 157,329

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер: 263
@abbiatalmas8222
@abbiatalmas8222 3 жыл бұрын
Kama unaamini wanyon ni mlevi tujuane kwa like😂😂😂
@mbwanakhamis9634
@mbwanakhamis9634 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@dismaskeneth6758
@dismaskeneth6758 3 жыл бұрын
Haswaaa
@ramadhanizaki272
@ramadhanizaki272 3 жыл бұрын
ah huyu boya...
@abbiatalmas8222
@abbiatalmas8222 3 жыл бұрын
Bwege sana huyu jamaaa nimen'gatwa na mbu bandani
@deeh7322
@deeh7322 3 жыл бұрын
😂😂 sio mlevi bhn
@papaamanmira6960
@papaamanmira6960 3 жыл бұрын
Salute mwakinyo mnatuletea walevi
@musajosephjoseph3514
@musajosephjoseph3514 3 жыл бұрын
Mwajkinyo mwenyewe anawaogopa Dulla na Twaha.
@aishaasumany561
@aishaasumany561 3 жыл бұрын
@@musajosephjoseph3514 Ulimsikia tangu lini diamond. akashindana na hamo rapa ??
@erickossen6378
@erickossen6378 3 жыл бұрын
pambano ya Twaha kiduku na Dulla mbabe ilikuwa moja ya pambano kubwa na nzuri kuwahi kutokea hapa TZ....mafans tunaomba rematch
@brightonchedego8100
@brightonchedego8100 3 жыл бұрын
Sasa huyu hajapigana tokea 2018,bondia mwenyewe sura yake tu anaonekana Kama ni wa miaka arobaini na kitu au hamsini. Jamani tafuteni mabondia kweli wenye uwezo,lakn huyo bondia yeye mwenyewe anasema mwili wake haukuwa sawa yaan anahis anaumwa,sasa kwann na yy alihitaj pambano?!,jaman huyo mzaramo mtafutie mabondia wa ukweli ili tuutathimini vizuri ubora wake. TANZANIA KWANZA🇹🇿💪
@nobelernestonel4685
@nobelernestonel4685 3 жыл бұрын
Umri walioutaja na umri wake ni tofauti hata
@issayaibrahim8490
@issayaibrahim8490 3 жыл бұрын
Mnatuletea mabondia wa maigizo
@husseinmchomolo5271
@husseinmchomolo5271 3 жыл бұрын
Dulla bhana, anafanya kama Tyson, Hongera sana Dogo
@sngrafx
@sngrafx 3 жыл бұрын
Wangapi mmeshuhudia jamaa hajarusha hata ngumi moja #hahaaaaaaa
@revocatusnyamboga3150
@revocatusnyamboga3150 3 жыл бұрын
Huyu Wanyonyi kasema nami pia Nina familia baada ya kukutana na ngumi nne tuu
@adsonjoseph8933
@adsonjoseph8933 3 жыл бұрын
Let goooo. Dulla mbabe
@willykikwete3176
@willykikwete3176 3 жыл бұрын
Jamani mkenya anasema, mwili amesikia hainamahusiano vile amepokea panchi akahisi Israel mtoa roho yu ndani ya Dullah. Anasema na kesho ipo ujue, ulingoni kufa ni rahisi.
@samsonnjonanje9549
@samsonnjonanje9549 3 жыл бұрын
Tumzungumzie yule aliyeshindwa KUAPA maana hakupigwa hata ngumi moja 🤣🤣🤣
@anyelwisyemwakibinga875
@anyelwisyemwakibinga875 3 жыл бұрын
Ndio maana mwakinyo alisema mabondia wenzake wana pigana na warevi walibweka sana sasa sihuyu mnaona.
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 3 жыл бұрын
au co
@kupinga9379
@kupinga9379 3 жыл бұрын
Yeye mwakinyo si sio mlevi, akapigane sasa na Dulla au Twaha,,,, nadhani yeye ndo mtamuona mlevi mara mia
@abbiatalmas8222
@abbiatalmas8222 3 жыл бұрын
@@kupinga9379 aah sio kweliiii
@amanstephen2635
@amanstephen2635 3 жыл бұрын
Watanzania inabidi wabadilike sana na especially hawa mabondia. Kwanza mapromota wanatuletea mchezo wa maigizo sana. Kwann nasema hivyo wanatuletea watu wasiokuwa na records nzuri na mwisho wa siku mabondia wetu hawawezi kujipima vzr.
@hdmovies85
@hdmovies85 3 жыл бұрын
Kuna Daniel Wanyonyi na Yehova Wanyonyi. Mara ya Mwisho kapigana 2018😳😳
@neemamdami7466
@neemamdami7466 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Dula sikupongeziiiiiii Ila jamani sikuhizi afya hazipo sawa akisema hayupo sawa huyo Mkenya tumuelewe
@jumalove2631
@jumalove2631 3 жыл бұрын
M2 mzee kabisa tafuten Mabondia wazur jaman Aibu hiii
@msetikebwasi1469
@msetikebwasi1469 3 жыл бұрын
Ni mzee kabisa.
@kileomwanabonde2842
@kileomwanabonde2842 3 жыл бұрын
Upuuzi mtupuu yani bondia hajarusha hata konde moja ngumi zote hazijaingia dah Utapeliii utapeliiii mtupuuu. Kua sanaaa hapa kwadizain hii mmbabe hutaweza kupandaaa
@boniphancebunzali5668
@boniphancebunzali5668 3 жыл бұрын
Utapeli huo, jmn😂😂😂
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 3 жыл бұрын
Kaotea hata jasho ajatoa
@ismailyusuf3629
@ismailyusuf3629 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@emmanuelmchomvu2676
@emmanuelmchomvu2676 3 жыл бұрын
Ngumi zinauma hujui tu...
@osamahamad5756
@osamahamad5756 3 жыл бұрын
Oya dula Mimi nakukubali sana
@aloycesteven5998
@aloycesteven5998 3 жыл бұрын
Ndio maana roho ilisita kwenda kibanda umiza ningeliwa jero langu bure tu 😂😂
@khalidngwembele9075
@khalidngwembele9075 3 жыл бұрын
Hahahaa nimecheka kifala yan
@aishabeka5562
@aishabeka5562 3 жыл бұрын
Duuuh imekuwaje jaman 😳🙆yaan hata dkk 1 haijatimia pambano limeisha aisee me nisingekubali lazima mngenirudishia kiingilio Changu😭
@abuujunaid
@abuujunaid 3 жыл бұрын
Maashaallah
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 3 жыл бұрын
Dulla mshamba sana. Sasa UZARAMO UNAHUSIKA vipi
@ndimbobetram8300
@ndimbobetram8300 3 жыл бұрын
Nan mwingine amemsikia Wanyoni akisema, ULINGONI kufa rahisi!
@elibarikihiiti256
@elibarikihiiti256 3 жыл бұрын
Nimesikia
@Ram_1893
@Ram_1893 3 жыл бұрын
Umri umekimbia sana wa huyu jamaa na inaonekana hata hakujiandaa vyema Pongezi kwake Abdallah Pazi 👊🇹🇿🇰🇪
@saimonmkama4774
@saimonmkama4774 3 жыл бұрын
Wizi huu mamaeee
@emmanuelbonifas3517
@emmanuelbonifas3517 3 жыл бұрын
Karibu tena sjaelewa
@marymbwambo6595
@marymbwambo6595 3 жыл бұрын
😀😀😀😀kaletewa ndizi
@aboubakar_ayoub
@aboubakar_ayoub 3 жыл бұрын
Kwa hii style hatuwez kuwa wakubwa Tz
@mbwanakhamis9634
@mbwanakhamis9634 3 жыл бұрын
Kwa nn wasema hivyo..??
@aboubakar_ayoub
@aboubakar_ayoub 3 жыл бұрын
@@mbwanakhamis9634 7bu mapromota hawalet mabondia wny ushndan sasa km hy toka 2018 ndy anaingia ulngon leo duh! 😂
@josephjohnmagesa8256
@josephjohnmagesa8256 3 жыл бұрын
Ngumi sio kupaniki dulla anacheza ngumi kisifa ata Kama unajua ngumi ni Bora upige round 4
@amirimbago8325
@amirimbago8325 3 жыл бұрын
Mike Tyson unamjua??? hakuwai fata huo mtazamo wako
@benardsenguji8254
@benardsenguji8254 3 жыл бұрын
Nimependa maelekezo ya refarii
@abduraheemabdullah5223
@abduraheemabdullah5223 3 жыл бұрын
Nimeng'atwa na mbuzi nimeng'atwa na mbuzi daaaaah
@mohamedkwiga6870
@mohamedkwiga6870 3 жыл бұрын
Huyu kalewa live hakuna haja ya kushangilia
@isakadavid1767
@isakadavid1767 3 жыл бұрын
Dulla m.babe 💪💪💪
@richadijuma3997
@richadijuma3997 3 жыл бұрын
Promota hujatendea haki wapenda ngumi sasa huyo bondia gani umemleta sio lazima watoke nnje kuna mtu anaitwa Tony lashidi
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 3 жыл бұрын
dula & tony wanalingan uzito kwl
@mrishoyusuph9532
@mrishoyusuph9532 3 жыл бұрын
Tony rashid htr sana yule mtu
@jamesmalima3030
@jamesmalima3030 3 жыл бұрын
hiii ndo mibondiaa mileviii. ....mtu kama huyu asikanyage tena tz..panchi gani ya kukatisha pambano
@manbravofitnessempire7041
@manbravofitnessempire7041 3 жыл бұрын
Hyo mzee tu
@youzoswai8556
@youzoswai8556 3 жыл бұрын
Aache uchawi tunajua sana mambo hayo
@tomdee7504
@tomdee7504 3 жыл бұрын
Kama umeskia MUuwaji gonga link
@johnsonJuly
@johnsonJuly 3 жыл бұрын
mnajichagulia walevi alafu mnajihesabu washindi😁😁
@ericklaizer4516
@ericklaizer4516 3 жыл бұрын
Dula Hana lolote
@aishaasumany561
@aishaasumany561 3 жыл бұрын
Hata mipia nashangaa huyu wanyonyi amelewa Akutane na oparanya kama haja zaa huyo dula
@johnsonJuly
@johnsonJuly 3 жыл бұрын
@@aishaasumany561 😁😁😁😁
@johnsonJuly
@johnsonJuly 3 жыл бұрын
@@ericklaizer4516 😁😁😁😁alafu mkenya hajarusha hata ngumi moja kudadeki😁😁😂😂😂😂
@sngrafx
@sngrafx 3 жыл бұрын
Huyu jamaa fala aisee nimecheka sana hahaaaaaaaaa muoga huyooo
@ahmedsalum4656
@ahmedsalum4656 3 жыл бұрын
mbona mzee sasa 37 age
@graphixmaster6146
@graphixmaster6146 3 жыл бұрын
Hongera Dulla Mbabe kwa kumpiga muuza mitumba wa Kenya😆😆
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 3 жыл бұрын
Nie watangazaji KUWENI makini mnapowahoji hao mabondia waliopigwa. Hao sio makocha wa ligi kuu. Shauri yenu nnaweza kukutana na chembe kidevu. Mtu amekujibu bado unarudia kumuuliza swali hilo hilo.
@joelinko6632
@joelinko6632 3 жыл бұрын
Hhhhhh umenifuraisha Sana
@ramathedon4001
@ramathedon4001 3 жыл бұрын
ndomana mwakinyo anasema mnaleta walevi alafu mnasema mabondia
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 3 жыл бұрын
Ha ha haa
@tonywilliams8819
@tonywilliams8819 3 жыл бұрын
Uko sawa kabisa!Akutane na Mwakinyo aone balaa lake!!Huyo Mkenya mlevi tu
@mymuamsrrr7884
@mymuamsrrr7884 3 жыл бұрын
Dula mechi yako inayokuja hutapata hata watu kumi,umeharibu sana biashara ya mabondia.hivo tu.
@hashimumohamedi3673
@hashimumohamedi3673 3 жыл бұрын
Ulingoni kufa ni rahisi sana..!
@saidkibasame5600
@saidkibasame5600 3 жыл бұрын
ili babu kabisa
@castorymwaipopo290
@castorymwaipopo290 3 жыл бұрын
Sijaelewa 😂😂😂😂
@michaeljohn5365
@michaeljohn5365 3 жыл бұрын
Jamaa anazingua
@OverdozClassic
@OverdozClassic 3 жыл бұрын
Asa kama uko sick si unaongea mapema... Unaangisha flag.. I'm a fan to Dulla but coming to Kenya 🇰🇪.. you guys understand
@isumailsuma8836
@isumailsuma8836 3 жыл бұрын
Mnajjtafutia historia za k o uwo n upuuz alafu mkienda nnje mnalalamika mmeonewa sasa kwa staili hyo mnajialibia soko
@jacksonimwasoni2520
@jacksonimwasoni2520 3 жыл бұрын
Walevi tu hao
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 3 жыл бұрын
Huyo mkenya arudishe viingilio vyetu
@abuubakarkichimbo9957
@abuubakarkichimbo9957 3 жыл бұрын
Mtangazaji hujui kuwa hata huo mkono upo kwenye mwili hata Mimi nipo pamoja na Daniel kuwa mwili umekataa
@iddyufundo7732
@iddyufundo7732 3 жыл бұрын
We m2 toka 2018 hajpigana en then 2021 apande ulingoni eb leteni wapiganaji msiletee wabeba maguniaa wa soko la ilala asee
@jumanguya9116
@jumanguya9116 3 жыл бұрын
Hili pambano ni utalii 😂😂😂
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 3 жыл бұрын
Dah Dulla Anaongea sana
@saidikiumbo3515
@saidikiumbo3515 3 жыл бұрын
King 👑👑
@victormkaka973
@victormkaka973 3 жыл бұрын
Ndo mana namkubali Ibrahim class mawe hua anashinda kihalali kabisa na analetewa mabondia wazuri mwakinyo atawaacha mbali kwa mtindo huu
@salehewaziri8231
@salehewaziri8231 3 жыл бұрын
Kwaupuuzihuu nashauli mapromotakamahawa wafungiwe lesenizao nahata mashabiki wanaomshangilia dulla kiukweli wanamposha
@isiakakadari5631
@isiakakadari5631 3 жыл бұрын
It's boarding...
@samsonjoseph670
@samsonjoseph670 3 жыл бұрын
Mbona mzee
@joshuakinabo6861
@joshuakinabo6861 3 жыл бұрын
Mbona huyoo mkenya dingi sanaaa
@dismaskeneth6758
@dismaskeneth6758 3 жыл бұрын
Kiukweli kama walipanga apigwe mkenya ili kukuza jina la Dula ni aibu,na km walitafuta bondia mwepes ili apigwe hyo haimjengi dula mana atakua anashinda lakn cku akikutana na upinzan mkubwa ananyooshwa
@masongreenward9063
@masongreenward9063 3 жыл бұрын
Dula kuna pambano nililiona alienda ulaya, alipigwa kama mtoto
@brightnesshawa1089
@brightnesshawa1089 3 жыл бұрын
Jamani hamuelewiii kifo ipo jaribu sana kumbukeni kuna kesho piyaa mwili haiko visuriii....😂😂😂😂
@johnkatunzi1375
@johnkatunzi1375 3 жыл бұрын
Huyu kweli mlevi
@marrychamanga9532
@marrychamanga9532 3 жыл бұрын
Shenzi uyu bondia au mlevi
@franknkwera1024
@franknkwera1024 3 жыл бұрын
Bora mm
@adambakule7066
@adambakule7066 3 жыл бұрын
Km ngumi zenyewe zinakua za kupanga km hivi hatutakua tunakuja ukumbini bora tuangalie kwenye tv tu, sasa hapo kulikua na haja gani ya kumfanyia mazoezi mtu km huyu? ngumi zinakuja vizuri ila mnataka kuziharibu kwa kuleta bondia mchovu ili mtanzania aonekane kashinda.
@francolazaro8646
@francolazaro8646 3 жыл бұрын
Ushahidi ningekuwa nimewarekod ningerusha mitandaoni.. Ila ushuhuda tuko watu wawili tulishuhudiaaa...
@francolazaro8646
@francolazaro8646 3 жыл бұрын
Hii Ilikuwa ni uongo.. Walimpa mkenya hela.. Live nliskia wanaongea kipindi wameenda kumpokea mkenya ndo walkuwa wanampanga... Ko wamewaibia pia wananchi pesa kiukwel nilisikitika sana hii issue
@gwamakadaud3899
@gwamakadaud3899 3 жыл бұрын
Upuuzi
@fransiscomlolere9658
@fransiscomlolere9658 3 жыл бұрын
Promoters Endeleeni na style hii ya kuleta mabondia wa kuokota km mtaona mashabiki wakija,Mnauwa Mchezo
@hajiramadhan7319
@hajiramadhan7319 3 жыл бұрын
Acholile kachorwa.. Tatzo wanyonyi kaogopa slogan na msuko wa abdallah pazi alosuka😂🤣🤣
@habibuhabibu1855
@habibuhabibu1855 3 жыл бұрын
Hamna bondia apo
@petromlwafu6922
@petromlwafu6922 3 жыл бұрын
Bora hil pambano skuangalia lingenipa hasira sana
@hezemfarisayo5523
@hezemfarisayo5523 3 жыл бұрын
huyu jamaa wakenya alikuwa n jambo lake
@saidmfaume1282
@saidmfaume1282 3 жыл бұрын
Mchezo wa ngumi ulikufa kwa sababu za watu wake kutokuwa makini. Wamepewa nafasi ya mchezo kuurudisha sasa ni upuuzi ndiyo kama huu. Huyo bondia yaani ameletwa alimradi tu kuwe na pambano. Wanatakiwa wawe makini wanapoleta mabondia kuja kucheza huku vinginevyo mchezo utadhauliwa na utapoteza mvuto kabisa.
@salimdzuya5480
@salimdzuya5480 3 жыл бұрын
😂😂 watu wangu wa 254 umenishida tabia,eti mwili 😂😂
@patrickdominic4859
@patrickdominic4859 3 жыл бұрын
Apaa ndioo tz lazima wakaeeee
@jbizzojungle5437
@jbizzojungle5437 3 жыл бұрын
sasa hapo mmeanza kuzngua huyo mkenya s n mzee kabsah mnampganshana kjana damu changa kabsah mmefer sanah jaman
@willyhelmiubavu9337
@willyhelmiubavu9337 3 жыл бұрын
Yani Dulambabe umetengeneza mazingira ili Kiduku akuogopeee kichapo kipo palepale 🤣🤣
@lansonmlehele7248
@lansonmlehele7248 3 жыл бұрын
Dulla umepigana na mzee kajichokea uyo akuna bondia umo
@lujenjejr3628
@lujenjejr3628 3 жыл бұрын
Uyo jamaa kiazi tu, Pambano ata Ladha halina...
@michanoboy8948
@michanoboy8948 3 жыл бұрын
uyo bondia wa kenya kaogopa iyo rangi ya dullah haijulikani ni mweusi au zambarau
@chrispinimkanda7127
@chrispinimkanda7127 3 жыл бұрын
🤣🤣
@mbwanakhamis9634
@mbwanakhamis9634 3 жыл бұрын
Ww umeuwa hki.... 🤣🤣🤤
@saidmsham3072
@saidmsham3072 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣dah.....
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
Toka lini kenya mkajua ngumi😀😀
@erastofifi5079
@erastofifi5079 3 жыл бұрын
Huyo walimpoza ili ashindwe mbn pamban Kama hili sijawahi liona
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 3 жыл бұрын
Yan mnaokota Walevi huko mnawaleta kuja kupambana Tz, duh!! Ni aibu.!! Kwanini mabondia wa hapahapa tz wasipimane ubavu kwanza ili tuamini.?? Waweken sikumoja Mwa K na Twaha Kiduku, waumizane sisi tupate raha
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 3 жыл бұрын
mpate raha na wenzenu wanaumia
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 3 жыл бұрын
@@mnzavachris5423 Hawaumii bure lkn, wanalipwa
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 3 жыл бұрын
Dully Wa Mashairi hilo nalo neno!
@luqmanrajab943
@luqmanrajab943 3 жыл бұрын
Aaah ushuuzii tuu
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 3 жыл бұрын
Tafuteni mpiganaji MWENYE UWEZO na record inayoeleweka..hakuwa na mpinzani...
@palmemwakoba5860
@palmemwakoba5860 3 жыл бұрын
Kwa mapambano ya aina hii wanaharibu sifa za mchezo wa ngumi pambano zinapoandaliwa ziandaliwe pambano sio friend march za kuinuana majina hili tatizo linajirudia kwenye mchezo sio kitu kizuri
@Chemba67
@Chemba67 3 жыл бұрын
HUYU JAMAA ANAYEHOJI MBONA HANA DISCIPLINE YA UULIZAJI?? HAJUI KUULIZA MASWALI, HAJUI JINSI YA KUKUHIFADHI BONDIA ALIYEPOTEZA NAMAANISHA SYMPATHY. HATA SKILLS ZA UULIZAJI JINSI YA KUUMBA MASWALI HAJUI.
@richadijuma3997
@richadijuma3997 3 жыл бұрын
Azam mkionyesha pambano muwe mnafatilia wapiganaji
@elibarikihiiti256
@elibarikihiiti256 3 жыл бұрын
Naunga mkono👏👏👏👏
@ericklaizer4516
@ericklaizer4516 3 жыл бұрын
Kweli
@hassanhamudy6639
@hassanhamudy6639 3 жыл бұрын
Kuna namnaa......
@obajako7238
@obajako7238 3 жыл бұрын
POA sana
@fahdihasnuu9034
@fahdihasnuu9034 3 жыл бұрын
Hamna ishu apo
@deomwingo2271
@deomwingo2271 3 жыл бұрын
mzee uyo
@josephwafula1518
@josephwafula1518 3 жыл бұрын
Huyu Wanyonyi anatoka kwetu nyumbani lakini hii mechi Ndio inaitwa fixed match.Huyu jamaa ameamua kuuza mechi.
@samuelndosi9577
@samuelndosi9577 3 жыл бұрын
Sio boxer huyo waandaji mnafeli wapi kutuletea mabondia wenye viwango?
@mambomajani6081
@mambomajani6081 3 жыл бұрын
Iko siku mtakuwa pekeyenu mabondia watupu tunaona mnatuigizia mnacheza na pesa zetu😬
@aloycesteven5998
@aloycesteven5998 3 жыл бұрын
Poleni mlio lipa kuingia ukumbini
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 3 жыл бұрын
Mbona Jamaa kaingia kwenye ulingo akiwa kalewa😂
VITASA | Twaha Kiduku alivyomtwanga Dullah Mbabe - 20/08/2021
23:03
AMBOKILE ATHIBITISHA FEI TOTO AMESAINI SIMBA MKATABA WA MILLION 600
24:54
Their Boat Engine Fell Off
0:13
Newsflare
Рет қаралды 15 МЛН
I Sent a Subscriber to Disneyland
0:27
MrBeast
Рет қаралды 104 МЛН
«Жат бауыр» телехикаясы І 30 - бөлім | Соңғы бөлім
52:59
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 340 М.
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Cinewatch
Рет қаралды 83 МЛН
UFC GYM MOROCCO EXHIBITION 5 x MMA MAGHREB SHOW tv Partie 3
1:19:43
MMA MAGHREB SHOW tv
Рет қаралды 1,9 М.
Cheka na Dullah Mbabe nusura wazichape studio.
12:59
EastAfricaTV
Рет қаралды 121 М.
Nobody has matched Ronaldinho's magic at Barcelona 👑
18:46
Rptimao Videos
Рет қаралды 10 МЛН
Eddie Hall vs The Neffati Brothers - MMA Full Fight - CombatClips
14:39
KULENGUKA MBIYA STEVE  VS MPIKA DARUSGALA INTERNATIONAL DE BOXE PROFESSIONNELLE THE ROYAL RUMBLE 48
17:08
Marcel Tshiyoyo Manager & Coach and Promoter
Рет қаралды 3,6 М.
Spartacus-Crixus vs Theokoles best fight scene
8:16
Clips Adda
Рет қаралды 4,6 МЛН
Their Boat Engine Fell Off
0:13
Newsflare
Рет қаралды 15 МЛН