HOJA NZITO ZA WAKILI MWABUKUSI AKIWA MOSHI KWENYE MAANDAMANO "TULINDE ARDHI YETU BILA WOGA"

  Рет қаралды 45,701

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZbin : www.youtube.com/@kusagatv6320...
Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

Пікірлер: 226
@stevenmsack3164
@stevenmsack3164 2 ай бұрын
Good and strong emotional speech advocate mwabukusi. Mungu akulinde na akupe umri mrefu.
@The1979bornagain
@The1979bornagain 2 ай бұрын
Duuh, very bold, strong and inspiring speech. Watu mdogo mdogo wanaanza kuelewa. Kwa namna hii muda si muda mrefu wananchi wanaweza kuliamsha. Wokovu umetufikia!
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 2 ай бұрын
Hakika
@lazaromshamu3521
@lazaromshamu3521 2 ай бұрын
yaani watu 20 wanakuja kunyang'anya ardhi ya watu 500 alafu wanakaa kizembe na kuanza kulia
@user-cx1xz2is5d
@user-cx1xz2is5d 5 күн бұрын
Sema
@maranduleshira3727
@maranduleshira3727 2 ай бұрын
Mwabukusi anamenikumbusha Malcom X.Watanganyika wanakuelewa sanaa..
@SalvaJoseph-lq8tq
@SalvaJoseph-lq8tq 2 ай бұрын
Namuunga mkono kaka nimekuelewa sana
@anordiobadia.nycsong8123
@anordiobadia.nycsong8123 2 ай бұрын
Big up sana bro nakuelewa
@samniza1763
@samniza1763 2 ай бұрын
Asante sana kwa kutuwakilisha vizuri sauti ya watanzania.
@kilemilyimo
@kilemilyimo 2 ай бұрын
WAKILI MWABUKUSI Tuko pamoja. Mungu awape nguvu, moyo thabiti na ujasiri. PEOPLES!!
@lucasmganga2811
@lucasmganga2811 2 ай бұрын
Huwa nakuona ndani yako kama amejaa magufuri hivi kwa machungu na Watanganyika ipo siku watakuelewa2 wasio kukubali wewe✍️✍️📌📌💪
@MatikoMichael
@MatikoMichael 2 ай бұрын
Magufuli hakuongea haya yanaongelewa xaxa alikaa kupoteza watu angekuwa namachungu yawatz angefanya tz ikae kivyake nazanzibar
@AmosSniper
@AmosSniper 2 ай бұрын
Hiki ni chuma dingi'
@venancemwarabu9308
@venancemwarabu9308 2 ай бұрын
.L😊 N
@user-ti8fn1wn1w
@user-ti8fn1wn1w 2 ай бұрын
Babaaaaaaaaaaaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤ asante mngu kutuletea mwabukus
@paulmwangoka
@paulmwangoka 2 ай бұрын
Ewe mwenyezi mungu tunakuomba utuongezee mawakili wenye sifa nzuli kama mwabukusi hii nchi ita nyooka
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 2 ай бұрын
Amina... Amina!
@benedictampery3275
@benedictampery3275 2 ай бұрын
Kweli umenifanya nikuombee sana Leo. Mungu akulinde na kukuhifadhi
@daudisalum9574
@daudisalum9574 2 ай бұрын
Wakili msomi mwabukusi tupo pamoja sana kaka
@EmanueliKalwela
@EmanueliKalwela 2 ай бұрын
Nakuelewa sana jombi
@GilbertNdagiwe-sz1xv
@GilbertNdagiwe-sz1xv 2 ай бұрын
Kwakweli asiyekuelewa ajitafakari vyema, wewe ni mkombizi wetu, mungu akulinde sanaa
@fredymwasenga6603
@fredymwasenga6603 2 ай бұрын
Mungu akujalie, akupe nguvu zakuwaelimiaha watanganyika
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 2 ай бұрын
Fichuaaaa ukweli babaaaa sasa wanatahayari na watajificha mmoja baada ya mwingine kwa aibu
@Lubango-gj3ud
@Lubango-gj3ud 2 ай бұрын
USHAURI KWA CHADEMA: Mwambukusi au Heche, mmoja wapo aje apewe nafasi ya kupeperusha bendera ya CHADEMA 2025. Strong men
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
Chukua maziwa unywe nakulipia🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@johnmwanyika
@johnmwanyika 2 ай бұрын
BIG MAN SPEAK
@chadogsichela3528
@chadogsichela3528 2 ай бұрын
Pamoja mwamba wetu upo vizuri mungu akubariki sana 👏
@emilyKassiano-oo5iy
@emilyKassiano-oo5iy 2 ай бұрын
Mungu akulinde
@williamnyakasi2323
@williamnyakasi2323 2 ай бұрын
Hongera wakili Msomi
@godwineliya4686
@godwineliya4686 2 ай бұрын
Mungu Awe nawe
@AmosSniper
@AmosSniper 2 ай бұрын
Huyu mwamba awanie U Rais akipita hatakubali kuachia Nnchi kama yule Babu (lowasa) huyu ni mwamba hasa!!! Selikar iundwe Mwabukusi Rais, wazir Mkuu Mbowe, wazir wa fedha Lipumba, wazir wa ulinzi Lema, Wazir wa mambo ya ndani Lissu, Wazir wa madini Heche, Wazir wa michezo Heche,
@eliajimmy95
@eliajimmy95 2 ай бұрын
Lipumba ndio nini tena?
@lazaromshamu3521
@lazaromshamu3521 2 ай бұрын
apo umemsahau professa asad yule jamaa alikua CAG
@augustinempule7385
@augustinempule7385 2 ай бұрын
Nakuelewa sana wakili
@KasangaKalanga-vo6od
@KasangaKalanga-vo6od 2 ай бұрын
Wamasai tupo 2025 watatutambua
@brownsebastianmwibi5647
@brownsebastianmwibi5647 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
😂😂😂msitudanganye😂😂😂😂😂 hamuiniki😂😂😂😂 wengine 😂😂😂😂😂😂
@MagesaKisirikerya
@MagesaKisirikerya 2 ай бұрын
Kamanda nakuelewa sanaaaa❤❤❤❤
@nestor384
@nestor384 2 ай бұрын
He is deserving to take a lead to the promise land He real deserves aluta continua 🙏💪🏿😨😨
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 2 ай бұрын
Time will tell🎉🎉🎉
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 2 ай бұрын
Well said
@emmanuelsulle911
@emmanuelsulle911 2 ай бұрын
Mungu akulinde daima na kukutunza Wakili Msomi Ndugu Mwabukusi hakika unajua sheria vzr Mno Unaongea hoja zenye mantiki,,Ombi langu Gombea hata Ubunge unapata kura asubuhi kweupe Ukatuteteee tusiburuzwe tu na hawa FISIEMU......
@user-yi3jk5vd8l
@user-yi3jk5vd8l 2 ай бұрын
Tulitakiwa kuwa na watu km Hawa 50 tuuu nchi yetu ingekuwa safiii
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
​@@user-yi3jk5vd8ltungekua mbali
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 2 ай бұрын
Safi sana brother powerfully
@hamzamajenja4891
@hamzamajenja4891 2 ай бұрын
Mungu akulinde na maadui Zako wote
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 2 ай бұрын
Amen
@ISAYAWILLIAM-zd7xn
@ISAYAWILLIAM-zd7xn Ай бұрын
❤❤😂😂, aisee zbar tumewachoka ,watoke na vibaraka vyao
@MaishaNdaiga-iu3qf
@MaishaNdaiga-iu3qf 2 ай бұрын
Nakuelewa mwambaa
@KhaleedHamad-vl7lz
@KhaleedHamad-vl7lz 2 ай бұрын
Hahaha from Zanzibar nakukubali sana bro
@NangiPaul-kp7wd
@NangiPaul-kp7wd 2 ай бұрын
Bro you are right
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 2 ай бұрын
Huyu ndiye Mwamba wangu wa kusini... Boniface, Mwabukusi...!!!!!
@samniza1763
@samniza1763 2 ай бұрын
Amen! Greater is he who is in me than that of the world.
@DanielNelson-oq5qs
@DanielNelson-oq5qs 2 ай бұрын
Mungu ibariki TANGANYIKA MUNGU MBARIKI MWABUKUSI
@user-cq4lp5rv1l
@user-cq4lp5rv1l 2 ай бұрын
Tanganyika ipi mshaificha
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 2 ай бұрын
Mwabukusi ww ni jembe mm nakukubali sana jasiri mnoo
@user-ti8fn1wn1w
@user-ti8fn1wn1w 2 ай бұрын
Hawa ndo wasomi
@frankremishoy5778
@frankremishoy5778 2 ай бұрын
Chako chako changu chakwetu wote😂😂😂😂
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 2 ай бұрын
Mungu akulinde ndugu Mwabukusi,nakuombea siku zote siku ya Mungu ikifika Mungu akupe kibali cha kuongoza Taifa letu la Tanzania, Amen
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 2 ай бұрын
Fact fact fact fact fact,MWABUKUSI 🔥 🔥🔥🙌
@user-hy3en6vk5f
@user-hy3en6vk5f 2 ай бұрын
Mwabukusi gombea uraisi utapita2025
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 2 ай бұрын
Mungu akubariki
@mawazomwanangwa2832
@mawazomwanangwa2832 2 ай бұрын
Mwabukusi kweli wewe ni wakili unae jitambua vizur Mungu akupe maisha malefu ili tupate elim hii maana sisi watanganyika tumelala mno
@user-el7ni7xb8k
@user-el7ni7xb8k 2 ай бұрын
Nakuwerewa sana wakili mwabukusi elimi yako unaitumia vizuli sana kwa siye tusiosoma
@LazaroMwakasege-bh5en
@LazaroMwakasege-bh5en 2 ай бұрын
Ongera busokero kweli watu tuache ubwege
@SaimonMrema
@SaimonMrema 2 ай бұрын
Mwambukusi waambie hao mazombi 2 hao akilizao zimesha oza kwarushwa
@user-hj3ky9zy6y
@user-hj3ky9zy6y 2 ай бұрын
Mh mwabukusi mungu akubaliki sana
@revocatusvedastus8893
@revocatusvedastus8893 2 ай бұрын
mwambukusi Ni role model wa wa wenye akili timamu
@peteragustino3450
@peteragustino3450 2 ай бұрын
Ww jembe ulikuwa wapi siku zote upo vizuri, yaani ww noma
@kalebiestomihi
@kalebiestomihi 2 ай бұрын
mungu.akubariki.sana
@TeamKilimanjaro2024
@TeamKilimanjaro2024 2 ай бұрын
Big up Broo you are strongly fighting for people, your speech conscitize.
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 2 ай бұрын
❤❤ situpate viongozi kama hawa jamani mungu tusimamie jamani
@JacobMassawe
@JacobMassawe 2 ай бұрын
Nchi inahitaji watu wa MUNGU Kama mwabukusi
@emmanuelsitayo1977
@emmanuelsitayo1977 2 ай бұрын
Mwanukusi wewe ni MWAMBA hasa.
@hamisijuma8124
@hamisijuma8124 2 ай бұрын
Wadanganye wajinga
@emmanuelsitayo1977
@emmanuelsitayo1977 2 ай бұрын
@@hamisijuma8124 mjanja wewe?
@jeremiahmsangi8215
@jeremiahmsangi8215 2 ай бұрын
HATA WANA WA ISRAEL WAKIUZUNGUKA MJI NA UKUTA WA YERICO KILA JIONI WALIONEKANA HAWANA MAAJABU ILA SIKU YA SABA KILIELEWEKA.UKUTA ULIDONDOKA,NA JESHI LIKATAFUTANA
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 2 ай бұрын
Umeona eee
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 fumbo tamu 🎉🎉🎉🎉🎉
@yusuphmtuga4951
@yusuphmtuga4951 2 ай бұрын
Safi
@Lubango-gj3ud
@Lubango-gj3ud 2 ай бұрын
Wakili MWAMBUKUSI ni JULIUS MAREMA WA TANZANIA.strong politicion
@brownsebastianmwibi5647
@brownsebastianmwibi5647 2 ай бұрын
Hii hotuba ni ngumu sana. Nakuombea Mungu akulinde wakili wetu, maadamu unasimamia haki za watu wa Mungu. Malaika wa ulinzi wakulinde usiku na mchana kwa jina la Yesu.
@manyamalima1916
@manyamalima1916 2 ай бұрын
Amen
@johnbundala7596
@johnbundala7596 2 ай бұрын
Aminaaaaa aminaaaaaaaaaaa aminaaaaaaaaaaa aminaaaaa 🎉🎉🎉🎉
@user-nz9eb4ud6y
@user-nz9eb4ud6y 2 ай бұрын
Wewe mwanasheria ungeishi na mimi tungepindua nchi😂😂😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
We mwanasheria wako😂😂😂😂 yupo hai😂😂😂😂😂usinipe matatizo😂😂😂😂😂
@user-jj7qv7kh2s
@user-jj7qv7kh2s 2 ай бұрын
Nimekuelewa mwamba
@generosennko8343
@generosennko8343 2 ай бұрын
Aliyekuzaa na kulea na walimu wake pendwa wa mwabukusi wapewe maua yao. I speak and command a ring of holy spirit fire to be upon your life always. No weapon that is formed against you shall prosper. We declare that weapon nul and void in the mighty name of Jesus Christ our saviour, Amen
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 2 ай бұрын
Wamasai mupo mukisubili mungu aje kuwapambania hamutafika
@user-dk5kk4rf3v
@user-dk5kk4rf3v 2 ай бұрын
Umesahau na mikopo kwenda kukopa tu
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 2 ай бұрын
Hakika tunaelekea kwenye ukombozi wa nchi yetu.
@user-bq4tk6yq2q
@user-bq4tk6yq2q 2 ай бұрын
Wengi katika kizazi hiki hatujawahi kuona bendera ya Tanganyika zanzibar wanayo na sisi Tanganyika yetu iko wapi?
@samsonogunde4508
@samsonogunde4508 2 ай бұрын
Hakuna Anaeweza kujibu hawa Jamaa Ndani ya Ccm, Wako Vizuri.
@seifkassim5872
@seifkassim5872 2 ай бұрын
Mimi nimekuelewa sana tena nakukubali mbaka mwisho simamia apo apo
@HappyKate-jv6ge
@HappyKate-jv6ge 2 ай бұрын
Well done My bro
@irenekitomary7271
@irenekitomary7271 2 ай бұрын
Aiseeeee akitokea Ccm mwenye akili km hizi hii inch tungekuwa mbaliiii
@GeoffreySumbwe-cq6kk
@GeoffreySumbwe-cq6kk 2 ай бұрын
Unafaa kabisa kuwa Rais wa nchi
@jumamayonga8914
@jumamayonga8914 2 ай бұрын
The time will say
@gipsonmwankobela2825
@gipsonmwankobela2825 2 ай бұрын
Safi sana wakili mwabukusi
@JosephuSwai
@JosephuSwai 2 ай бұрын
Mimi neno lakusema sina naona nyie mnafanya kazi ya mungu kuliko atahao wanaojiita manabii wanyonyaji wachumia tumbo hao
@SalambaPeter
@SalambaPeter 2 ай бұрын
Napo pakukaapamoja na na mccm mjadiliane kuhusu katibu hawawezi kukubali maana niwaoga hata kuigusa ila waikisutu wataumbuka sana ila naiona tanganyika iko karibu mungu ibariki tanga nyika
@BlessAdili
@BlessAdili 2 ай бұрын
KAMANDA MUNGU Akupe umri na Akuongezee Hekima peoples Power!
@user-dz3rl1ki6u
@user-dz3rl1ki6u 2 ай бұрын
Mwabukusi asante sema akili nyingi nguvu kidogo dhidi ya akili ndogo nguvu nyingi
@fmleli.tz2004
@fmleli.tz2004 2 ай бұрын
Ngarenarok Ngarenarok kata yetu
@augustinonteye8309
@augustinonteye8309 2 ай бұрын
Nakubali
@SalambaPeter
@SalambaPeter 2 ай бұрын
Mna shangaa wapo wengi tunae mwalim wa sheria kamanda lisu , 2 mwinjilisti mwabukusi na wengine wengi msiowajua chadema tuna hazina na ndio maana wananunuliwa ccm hakuna vifaa kama hivi nakama hamuamini nunueni hawa muone kama hamtawasikia wengine mtafirisika usgauri wangu shughulikieni hoja hizi kwa vitendo na mtekeleze
@user-ij6eo6pq6z
@user-ij6eo6pq6z 2 ай бұрын
Safi sana mwabukusu
@mackjonathan1005
@mackjonathan1005 2 ай бұрын
Ifike mahali tujitambue, na sio kwamba wanatafta ugali wa matumbo yao hapana bali ni ukombozi wa tanganyika yetu, mm najiuliza sana maswala iwapo tumejalia na mungu kwa inchi yenye kila kitu lkn ety wananchi wake ni masikin wa kutupwa jmn hii si ni aibu kabisa na wenye maisha mazur ni ka group ka watu fran hii haikubaliki kabisa mungu ibaliki chadema ninaimani mungu atasikia vilio na maisha magum tunayo pitia na siku moja itabaki historia kwa wajukuu wetu.
@geoffreymeston1120
@geoffreymeston1120 2 ай бұрын
Big up brother 🙏
@samsonogunde4508
@samsonogunde4508 2 ай бұрын
NAWAPENDA hawa Jamaa wametufumbua Macho
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 2 ай бұрын
Elimu elimu elimu
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
Na aseye wapenda au umeelewa achunguzwe akili yake
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 2 ай бұрын
Mapepo ndo yanatutawala
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
@@cosmaswilliam3805 halina ubishi
@cyprianpetetmbonde6374
@cyprianpetetmbonde6374 2 ай бұрын
Ccm na baadhi ya wanachama wao ni janga kwa TANGANYIKA.
@deusdebitkowa9657
@deusdebitkowa9657 2 ай бұрын
Hatimaye elimu imefika mahali pake nchini,uchaguzi mwaka 2024 na 2025 utakuwa mzuri sana haijawahi tokea TANGANYIKA NA ZANZIBAR(TANZANIA).
@user-eb1xi2qk8e
@user-eb1xi2qk8e 2 ай бұрын
sawa kabisa chadema ni chama makini viongozi wake wapo wazi sana
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 2 ай бұрын
Makamanda
@CollinceFrances
@CollinceFrances 2 ай бұрын
Mungu akubariki na kukurinda usiku na mchana
@Benxon-hc3kr
@Benxon-hc3kr Ай бұрын
Huyo ndo Marcus gavey wa TANZANIA kama Hauna D mbili huwezi ukanielewa 😅
@dillonfoya
@dillonfoya 2 ай бұрын
Msomi Mwabukusi ni Noma jamani kwa namna yeyote anahitajika kwenda Mjengoni hiyo combination awepo na Mh.Lissu patanoga wataacha wenyewe kuruka sarakasi Bungeni
@AhmadAbdalla-mq3dp
@AhmadAbdalla-mq3dp 2 ай бұрын
Mimi nilijua tuu unakuja kwenye ubaguzi kwakua tuu Raisi ni mzanzibarii duh nyinyi ,,,
@user-ou1ls6oj2f
@user-ou1ls6oj2f 2 ай бұрын
Mungu awalinde watu wenye akili kama Hawa Mungu utupe kibali tuachane na Hawa wachwara
@patrinraura1397
@patrinraura1397 2 ай бұрын
Sauti ya Watanzania ni kwa ajili ya watu wa Vyama vyote Baadhi anayoyatoa Mhe Wakili Mwabukuzi yanawagusa watu wengi Tunaomba sana majibu Waheshimiwa
@paulojohn9608
@paulojohn9608 2 ай бұрын
huu sio uchawa mwabukusi nakuamini sana wakili wetu
@beinafuu6219
@beinafuu6219 2 ай бұрын
Mimi nataka watu tuwaone kama ccm wanavyopiga picha zao.mbona hawa hatuwaon
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
Picha za nini hoja ilizoshiba kama hizi zinatakiwa
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd 2 ай бұрын
Mwambukusi MUNGU akupe neema maisha marefu Kwa sababu nikikusikiliza napata elimu kubwa juu ya nchi yangu na kujitambua kwamba Mimi ni nani
@malembobulongo3856
@malembobulongo3856 2 ай бұрын
Braza unaweza lakini
@user-gd2xj3xd1b
@user-gd2xj3xd1b 2 ай бұрын
Wanavyofanya wazanzibari wapo sahii maana ndivyo mkataba wa muungano unavyotaka tatizo kwa Tanganyika kuweka mambo yake yoote Yale ya muungano na yasio ya muungano Kwa muungano tujitafute laxima tujutafute
@eliudchungu1092
@eliudchungu1092 2 ай бұрын
Fact
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 185 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,4 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 32 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 185 МЛН