NONDO ZA WAKILI MWABUKUSI HUWEZI KUNITISHA KWA BUNDUKI NA HAKUNA KIUMBE WA KUGUSA UHAI WANGU

  Рет қаралды 14,640

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZbin : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...

Пікірлер: 88
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 4 ай бұрын
MWAMBA HUYU HAPA❤❤❤❤ I LOVE THIS GUY MAN OF GOD.
@user-lq8mi3zz2c
@user-lq8mi3zz2c 4 ай бұрын
Hakika Mungu ana watu wake nakuombea maisha marefu Wakili Msomi Mwabukusi
@jesaminzo
@jesaminzo 4 ай бұрын
Sijuti kabisa kumaliza bando langu kumsikiliza Hon Adv Mwabukusi. Hongera mhojaji nguli Kusaga kea maswali yako yaliyoenda shule!❤
@user-fu6rl3dp5x
@user-fu6rl3dp5x 4 ай бұрын
Huyu mwandishi kaenda shule❤
@ramadhanimmana3829
@ramadhanimmana3829 4 ай бұрын
Kula like yang
@user-to7bs5pl4n
@user-to7bs5pl4n 29 күн бұрын
Nikweli polisi wameua miungu WATU huku uswahilini yaani ni shida tunauwawa BILA HATA kipelekwa mahakamani kura ni mhim kweli nilisema sipigi kura inabidi nipige
@manyamalima1916
@manyamalima1916 4 ай бұрын
Bwana Yesu azidi kukupa kinywa cha mamlaka, Ufunikwe na Damu ya Yesu…nakuombea Adv. Mwabukusi
@JacksonFrances
@JacksonFrances 4 ай бұрын
Big Up Sana Wakili Wa Kujitegemea Mwabukusi, Hakika Una inspire Watanzania Wengi Sana Hongera Kw Kupigania HAKI,,RASIRIMALI na DEMOCRASIA YA KWELI"
@Sindato-xy3xu
@Sindato-xy3xu 4 ай бұрын
Safi sana kaka uko sawa
@bahatikulwa56
@bahatikulwa56 4 ай бұрын
Mungu akubariki bro
@knight6757
@knight6757 4 ай бұрын
Ameen!
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 4 ай бұрын
Hii sio siasa,UKO SAWA BROO! PAMOJA SANA.
@StevenGendo-vx9jo
@StevenGendo-vx9jo 4 ай бұрын
Huwa nakuelewa sana kaka mwabukus, tungepata watu 5 kama ww aiseee ingekuwa raha sana
@henrygwalema1860
@henrygwalema1860 4 ай бұрын
Mungu anijalie mke wangu azae katoto ka kiume nikaite Boniface
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 4 ай бұрын
WAAAOOOOOO I LOVE THIS MAN OF GOD❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@sokastreet
@sokastreet 4 ай бұрын
Kwa bahati mbaya zaid Watanzania huwa hatuwapendi wanaotutakia mazur 😢
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
😢😢😢😢 kweli 😢😢😢😢😢 tunawapenda😢😢waotupaka mafuta kwa mgongo wa chupa
@adenmwakalobo760
@adenmwakalobo760 2 ай бұрын
Duuuh wakili Boniface Mwabukusi hongera nyingi kwa mjadala wako huu maridhawa! Si mara nyingi wanasikika watu wakijadili mambo kwa weledi na ufasaha namna hii; hata maoni yaliyotolewa hapa na wengi yanaonesha tija isiyo na kifani, hongera na endelea vivi hivi na hata iwe bora zaidi ahsante sana
@albertvalentino130
@albertvalentino130 4 ай бұрын
Mungu akubariki sana --- kwakweli tungepata angalau watu watano kama wewe ktk Nchi --- Oooooo mambo yangenyooka sana.
@Lubango-gj3ud
@Lubango-gj3ud 4 ай бұрын
VIVA WAKILI MWAMBUKUSI
@mwitamahende4394
@mwitamahende4394 4 ай бұрын
Big up brother, ninakuelewa Sana.
@user-zk9ox3di4b
@user-zk9ox3di4b 3 ай бұрын
asante sana mwabukusi tuanzishe Chama Chakisiasa chakutetea wanyonge wote Tanganyika kuhusiana na ardhi ya wakulima wafugaji na nguvu kazi ya watanganyika tupambane na wanyakuzi wa Tanganyika wenu ni simba sauti ya wanyonge tushikane mikono tukatae ukoloni msikubali kununuliwa
@gaagwasaugustino2584
@gaagwasaugustino2584 4 ай бұрын
Mwabukusi unaongea ukweli na nakuelewa sana ndugu! Mungu akutunze Sana ndugu, tuko pamoja tudai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
@harunamtiko117
@harunamtiko117 4 ай бұрын
Ukigombea uraisi kura yng umepata mzee. Nakupenda xn wakili mzalendo.
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 4 ай бұрын
Allah akulinde sana Mwambukusi
@user-gx4jx4gv9l
@user-gx4jx4gv9l 4 ай бұрын
Nakuelewa sana mwambukusi.
@anosiata8242
@anosiata8242 4 ай бұрын
Mwambukusi uwanga sichoki kukusikiliza Mungu akutunze.
@bonifacemuya2406
@bonifacemuya2406 4 ай бұрын
Wakili uko ok sana unaakili nyingi mungu akupe maisha marefu ukweli ndiyo huwo
@JoshuaStanley-qu3im
@JoshuaStanley-qu3im 4 ай бұрын
Uko Sawa kaka
@user-lq8mi3zz2c
@user-lq8mi3zz2c 4 ай бұрын
Kama kuna kugombea Uraisi binafsi Wakili Mwabukusi nakuombea kwa Mungu ugombee
@user-bp7nb7yp2o
@user-bp7nb7yp2o 4 ай бұрын
Kaka una akili sana big up sana Kwa ushauri uliotoa.
@emmanuelsitayo1977
@emmanuelsitayo1977 4 ай бұрын
Mwanukusi mdogo wangu unanipa moyo sana.
@HaruniEriasi-fb8yy
@HaruniEriasi-fb8yy 4 ай бұрын
Ata ukiwa KATIKA kugombea uraisi sitajuta kukupa kura yangu
@CharlesMaganga-ju3re
@CharlesMaganga-ju3re 4 ай бұрын
Wakili nakukubali sana
@LazaroMwakasege-bh5en
@LazaroMwakasege-bh5en 4 ай бұрын
Busokero ni nchi ya ahadi kunawasomi
@richardmwandanji65
@richardmwandanji65 4 ай бұрын
Mungu akupe uzima baba mwabukusi kura zote kwa mtanganyika imeisha hiyo
@bonifacemuya2406
@bonifacemuya2406 4 ай бұрын
Gombea kaka tutakupa hakika urais nautapata unaakili nyingi sana ulikuwa wp miaka yote kaka mawakili kama Hawa taifa lingewatumia tungeinjoi sana
@fabianhaali8437
@fabianhaali8437 4 ай бұрын
Big up brother 🙏
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd 3 ай бұрын
Very good man
@albertvalentino130
@albertvalentino130 4 ай бұрын
Good idea.
@philibertsimon
@philibertsimon 4 ай бұрын
God bless you Mwabukusi
@fredymponji1423
@fredymponji1423 4 ай бұрын
Content
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 4 ай бұрын
Kweli mwabukusi tubanane huko waliko na wanakolia kodi zetu
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 4 ай бұрын
Nakuelewa sana kaka mwabukusi
@FaresKweka
@FaresKweka 4 ай бұрын
Barikiwa mwambukusi, mungu akutie nguvu ya kuipambania nchi yako
@user-jo1vj5om1b
@user-jo1vj5om1b 4 ай бұрын
Ee Mungu mtunze mtumishi wako huyu.
@revocatusvedastus8893
@revocatusvedastus8893 4 ай бұрын
mwambukusi kwa Tanzania hii ni maligafi adimu
@CharlesMaganga-ju3re
@CharlesMaganga-ju3re 4 ай бұрын
Nakuomba uje na chama kipya hawa chadema nao ni ccm b
@SaimonLetema-vm6jz
@SaimonLetema-vm6jz 4 ай бұрын
Uko vzl wakili wetu.
@user-gx3jp6uk2f
@user-gx3jp6uk2f 4 ай бұрын
Gombea urais kura zote za watanzania ni zako
@godfreymsofe2366
@godfreymsofe2366 4 ай бұрын
Heshima kwako kaka..
@user-dq1ss2uq6u
@user-dq1ss2uq6u 4 ай бұрын
Mr.huyu anaona 500 ijayo ..tuombe Mungu kwa watoto wetu... 15:50 !.::..!(),
@allyfutto8763
@allyfutto8763 4 ай бұрын
Ogopa Mwabukusi Tanzania🛰🕛⭐
@richardhoseni2643
@richardhoseni2643 4 ай бұрын
Salute bro
@MashakaKalamba
@MashakaKalamba Ай бұрын
Mwabukusi ametumwa na MUNGU kutetea wanyonge.
@Ambwene
@Ambwene 4 ай бұрын
MWABUKUSI 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪
@SabatoMusa
@SabatoMusa 24 күн бұрын
Nongelasana kwaujasili
@mchinatz9335
@mchinatz9335 4 ай бұрын
Anasauti inayotaka kufanana na mchungaji mtikila
@user-ho5rz5tj7p
@user-ho5rz5tj7p 4 ай бұрын
Tuko pamaja kaka hayo nimashetan yata toka tu maana tumeyachoka
@ChancellorFelix-vm5yp
@ChancellorFelix-vm5yp 4 ай бұрын
Gombea urais 2025 kwenye kampen zako wambie waz wananchi ukiingia ikulu Kaz Yako yakwanza kufuta mikataba yote ya hovyo inayonufaisha wahun wachachi wakat wananchi wanateseka na tozo kbao na Kulipa Kodi kubwa Kwa biashara ndogo matajir hawalipi kodi
@user-to7bs5pl4n
@user-to7bs5pl4n 29 күн бұрын
Wa ungo apande
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 4 ай бұрын
SIKU CCM WAKOSEE WAMUWEKE AWE MGOMBEA URAIS 2025❤❤❤
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 4 ай бұрын
WABUNGE WA CCM WA TANGANYIKA NI DARASA LA 7, AKILI ZAO ZIPO KTK HELA TU HATA WAKIWA MATEKA WA WAZANZIBARI 😂😂😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
Wewe usiulinimbia mwanashiria wako alikuwa kumbe ulidanganya 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ila we kiboko😂😂😂😂darasa la7😂😂😂😂😂 umetisha 😂😂😂😂😂😂
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 4 ай бұрын
Senegal oyeee
@hancekasililika9532
@hancekasililika9532 4 ай бұрын
Mungu awe nawe mwabukus kutuelimisha
@GeorgeMugana
@GeorgeMugana 4 ай бұрын
Sawa labosa
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd 3 ай бұрын
Kuna watu wajinga unakuta mtu anaongea ukweli kuhusu mambo yanayo onekana mtu anajitokeza eti siasa mwambukusi MUNGU akuzidishee neema
@SABYLUKA
@SABYLUKA 4 ай бұрын
We omyjames chiz huna akili ckiliza point
@farajansekela5763
@farajansekela5763 Ай бұрын
Unapakatwa na wachawi ww
@user-ho5rz5tj7p
@user-ho5rz5tj7p 4 ай бұрын
Tuko pamaja kaka hoyo mashetani yata
@user-dk3ou5yk2f
@user-dk3ou5yk2f 4 ай бұрын
Nenda kamfufue
@user-fu6rl3dp5x
@user-fu6rl3dp5x 4 ай бұрын
Tume ya uchaguzi kwanini?Rais ausike? Kusaini wakati ni mwenyekiti wa Ccm ? Chama kisiuke kwa tume hiyo
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc 4 ай бұрын
Watu kama hawa muhimu Tanzania kunamajitu yanataka kuwamaliza sasa yataisha yao kwauwezo wa mungu
@SABYLUKA
@SABYLUKA 4 ай бұрын
Kwan angekywepo magufuli angeogopa we vip na ww unaongea pointles
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
Makasiriko sorry
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 4 ай бұрын
Shukuru MAGU HAYUKO USINGE BWEKA 😢😢😢😢
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
Omaryjames una matatizo gani😅😅😅😅😅😅
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 4 ай бұрын
Ndio maana Mungu aliruhusu uhai wake uondoshwe.
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 4 ай бұрын
Na Zangu asingeingia kwenye mikataba ya hovyo.
@richardmwandanji65
@richardmwandanji65 4 ай бұрын
Kwani yuko wapi?
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 4 ай бұрын
@@richardmwandanji65 Upstairs
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 4,4 М.
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 35 МЛН
Mwabukusi Atoa Hotuba Nzito Baada ya Kuapishwa, 'Tuwe Wamoja'
19:11
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН