Mimi nim'Adventist nanafurahia wimbo huu. Mungu awabariki.
@janerotich42935 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@carinaluce87835 жыл бұрын
Non mais c'est trooooop touchant, et la mélodie me pénètre pourtant je ne kiff rien de la langue. J'ai envie juste de pleurer d'émotion. Vive Jesus!! Love u Jesus!!!!!!!!!!!!!
@annadamiandamian6535 жыл бұрын
Najivunia kuwa mkatoliki ,,,mungu ni mwema kila WAKAT, mubrikiwe sana
@happymsaki17205 жыл бұрын
Kwa kweli najivunia mnooo kuwa mkatoliki
@innocent24014 жыл бұрын
hi nyimbo itavuma miaka 100000 ni nzuri ni tamu kwa kila kona. mziki, waimbaji, dance ujumbe mzito. hongera kwa mtunzi pia kwa wote mlio shiriki kuuweka huu mwimbo kufana namna hii. ahsanteni sana
@patrickmukambilwa5845 жыл бұрын
Hongereni kwa kazi njema ya utume mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu yautume ilimpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina
@gloriusjohn90675 жыл бұрын
Sichokagi kuangalia huu wimbo Mungu awabariki
@paskalinasalia80413 жыл бұрын
Hakika MUNGU anaweza yoteeeeeeee, mbarikiwe SANA 🙏, bila kumsahau bernad mukasa mtunzi wetu wa nyimbo taaaaaaamu Kama hiziiiiii💪❤️💪
@mariachale60893 жыл бұрын
Kaka Bernard Mukasa umejaliwa kipaji kikubwa mno ktk utunzi wa nyimbo. Pili maneno ya nyimbo zako ni kiburudisho na elimu ktk dini pia. Waimbaji wako lzm wajivunie kukupata wewe km mwalimu. Congrats
@ipyanakajembula36615 жыл бұрын
kwakweli ni wimbo ambao unatia matumaini saana kazi nzuri HT mda wote mnatoa kazi zilizo bora saana MUNGU AWABARIKI
@gladnesswazir-zz9lk Жыл бұрын
My favorite song ♥️♥️♥️🙏barikiwa baba benard mkasa Kwa utunzi uliotukuka ...mbarikiwe saana waimbaji wazurii♥️🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@margaretochieng8085 ай бұрын
Lord We are really Grateful thankful Blessed and excited to Associate with you Lord for everything Amen
@renatusmatogollojames49584 жыл бұрын
Aiseeee!! Ni kweli nimejawa na furaha, amani, matumaini rohoni mwangu, lakini maisha ni mapambano na Mwenyezi Mungu anaweza yote utamaliza vita kwa amani!!! Nimebarikiwa sana na huu wimbo!! Mbarikiwe sana ninyi waimbaji!!
@patrickmkambilwa99324 жыл бұрын
Asante Sana watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote nakuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
@marthamasue40095 жыл бұрын
Mko poa wana sana. Mungu wetu awainue na kuwaweka viwango vingine vya juuuuu
@clemencekaogo88265 жыл бұрын
Safi sana mmejipanga vzr sana inapendeza sana
@margaretochieng8085 ай бұрын
LORD GOD you are Greater than anything else None can compare with you Lord Amen
@mathayomalelemba6715 жыл бұрын
Mukasa wewe umebarikiwa kwa utunzi mzuru wenye mashiko,hii nyimbo nzuri sana inatia moyo pale pasipo na matumaini
@lazarombuze97765 жыл бұрын
AISEEE...WIMBO MZURI SANA...YAANI MPKA MACHOZI YA FURAHA YANANITIRIRIKA HONGERENI SANA..NIPO DAR NITAPATAJE ALBAM HII
@allyhamonizhamad44594 жыл бұрын
ASANTE NDGWASLIANA NAO KWA NAMBA HII 0766195311 UTAIPATA
@allyhamonizhamad44594 жыл бұрын
MUNGU NI MWEMA,WASILIANA NAO 0766195311
@tinohmichaely59993 жыл бұрын
ninaaman; ninaaman aman rohon mwangu kwan ninajua mungu anaweza yoteeee,, ninafurahaaa.... Nina furaha ninafuraha moyoni mwangu na matumainii** dah it's sweet it star is blessingsbarikiwe xana
@carolinendasala9355 жыл бұрын
Hakika nina Amani Rohoni mwangu maana najua Mungu ndo mweza wa maisha yangu 🙏🙏🙏🙏🙏
@faustinelucas74785 жыл бұрын
Yajapo magongwa na majanga mbalmbali naa kuporomoka kwa mafanikio yanguuu.......kazi nzuri sana hongereni HT ,pia kwaya mt elizabeth...hakika ninafurahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@revocatuskatto72935 жыл бұрын
Hongera san wote wanakwaya pamoja na ht wimbo mzur san barikiwa san
@neymdendemi55992 жыл бұрын
hongereni Sana kweli kumcha MUNGU ni chanzo Cha maalifa
@msafirimarunda75415 жыл бұрын
Ujumbe mzuri.. nice twist.. kweli nihisi Amani.
@thadeolutamla66265 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana Kwa kweli tunaamani MUNGU huweza yote @mashibe kwa kinanda
@margaretochieng8085 ай бұрын
LORD you are Good at all times and THAT is your NATURE Lord Woah Amen Amen Amen x3
@anethgosberth71545 жыл бұрын
Mbarikiwe sana. Palipo Mungu hakuna linaloshindikana. Hakika nina furaha, amani na matumaini
@margaretochieng8085 ай бұрын
Thanks Lord for everything let your will alone Jesus prevail to Return All souls to salvation code Records Amen
@samwelnjile57695 жыл бұрын
Kiukweli sichoki kuusikiliza huu wimbo, mbalikiwe sana, hongera kwake Baraka Tomas mashibe kwa upigaji mzuri wa kinanda
@filbertdominiki7965 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana na Mungu wa Mbinguni awabariki kweli nimebarikiwa sana
@mcstanleyndeto80244 жыл бұрын
Kwa kunyenyekea , kujituma na sauti zenye baraka tele. Mungu na awazindishie yote mnayoyahitaji maishani mwenu.
@janenyabamba53683 ай бұрын
Mungu awabariki,wimbo huu unanibariki sana
@edwardkioko44554 жыл бұрын
Kwa hakika hii ni kazi nzuuri na mbarikiwe sana na Mwenyezi Mungu. Kaka Barack Mashibe nipo naweee daima. Hongera kwa kazi yako nzuuri pia.
@EmmanuelOlepateli6 ай бұрын
Mungu awape haja ya moyo zenu ndugu zangu
@helenasulle46943 жыл бұрын
Nina furaha pia Nina Amani moyoni mwangu mungu awabariki Sana watu wa mungu wimbo mzuri Sana
@beatricesilayo21035 жыл бұрын
Hongereni sana wapendwa,Mungu awape afya njema muendelee kutumika kwa Yesu hadi mchakae
@esthermwangi73525 жыл бұрын
I like the song.....
@barnabasstanslaus68955 жыл бұрын
aminaaaaaa sanaa jamani kwaya imetulia kweli sauti taamu sanaa
@peterishengoma68085 жыл бұрын
nyimbo nzuri saaana mungu ni mwema
@anethgosberth71545 жыл бұрын
Palipo bwn.Mkasa mambo ni motooo
@romanaeugen30665 жыл бұрын
Hakika Mungu mwema.....tuna kila jambo kumshukuru Mungu..hongeren sana kwa wimbo mzuri..sauti nzuri Sana'a...Mungu awabariki...
@jonaskweyamba67905 жыл бұрын
Bernad Mkasa Mungu akubariki ktk utunzi wako mwema krb pia jimbo katoliki Kayanga parokia ya Omurushaka Mjini.💖🎹
@freedolinemao13615 жыл бұрын
Jonas Kweyamba jimbo LA kayanga liko wap
@margaretochieng8085 ай бұрын
Jesus Christ Son of the living GOD you are the light of this world
@suzanamushi45675 жыл бұрын
nimefurahi mno, hii nyimbo inanifanya nijisikie naongea na BABA mwenyeweeeeee, Mbarikiwe saana
@emmanuelmalenga4965 жыл бұрын
Hii kweli nina furaha kabisa mna furaha
@reginakairo66325 жыл бұрын
jamani such a blessed song !!!! Nabarikiwa Sana!!! Barikiwa sana kaka BERNARD!!!! You are really talented! Na wanakwaya wanaimba kwa feelings kabisa!!!!! Nawapendaaaa!!!
@odranslayo32984 жыл бұрын
Huu wimbo unanifanya nijisikie kuwa naamani nakujifunia ukatoliki wangu
@margaretochieng8085 ай бұрын
LORD it's your own will Lord to Reserve Restore Deliver Touch and prepare All souls to salvation code Records Amen
@florachuwa22935 жыл бұрын
Mimi huwa sichoki kusikiliza huu wimbo. Umekuwa faraja na tulizo kwangu. Nakosa maneno ya kuelezea...mbarikiwe sana.
@shijalugiko40535 жыл бұрын
Mbarikiwe sana. Mmeimba vizuri sana. Maneno mwayatamka vizuri, vocal IPO vizuri. Kitu kingine mnaonekana vizuri namaanisha video imetulia sana. Hongereni sana kwakuniinjilisha kwakweli ujumbe umenibariki na kuniongezea kitu maishani mwangu. Ukimtegemea Mungu amani na furaha na vyote havitakosekana. By Kibuyu
@gosbertrutayega45465 жыл бұрын
Shija Lugiko uko sahihi Kaka Kibuyu, wamefanya vizuri sana
@ngundalinus61015 жыл бұрын
Asante sana Elizabeth, kwaya ambayo nimeongoza kwa miaka Tisa kabla ya kuhamia Dar. Mungu awabariki sana.
@faustinelucas74785 жыл бұрын
Ulikuwepo enzi za kalolela ama
@irambonapontien76035 жыл бұрын
Cette chanson est bonne! Que Dieu vous bénisse. C'est Pontien IRAMBONA Burundi
@johntesha32055 жыл бұрын
Nzimbo ni nzuri sanaa Kmenifariji vywa kutosha Hakika najua kuna mwenye haya maisha na kila nilichonacho
@novatusivalentine06055 жыл бұрын
nimesikiliza mara nyingi niwezavyo mzur mnooo
@lucanusnyeho94535 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana jaman hongereni kwa kazi nzuri mungu awaongoze mfanye zaid ya hii nimefuran saan kuusikia huu wimbo🙏🙏
@mtakatifumgisha3465 жыл бұрын
Ahsante Sana nami mmenijaza furaha hakika
@magangamashaka75605 жыл бұрын
Hongereni kubwaaa wapendwaaa
@babliimwanja39855 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana Mungu awabariki daima.
@barakajohn49535 жыл бұрын
Kazi Nzuri sana, Hongereni Kwaya Mt. Elizabeth Burka Hakika Ninafuraha Moyoni
@consolathambuya25633 жыл бұрын
Nimeangaika sana kujua maneno ya mwanzo mpka sasa cjayajua, jaman Wapendwa kwa anaejua mwanzo hii kwaya maneno ya mwanzo anijulishe🙏🙏
@sifikikasavaga91523 жыл бұрын
maneno ya mwanzo ni haya mpendwa: Njaa na kiu, njaa na kiu vinifundishe wajibu nifanye kazi nimtukuze Mungu...... daaa! natamani nikuandikie woteee, nakosa maneno ya kuwaambia kwaya hii na mtunzi aliyebarikiwa bwana mkasa, niseme tu Mwenyezi Mungu awabariki na yeye mwenyewe atukuzwe katika kazi zenu
@consolathambuya25633 жыл бұрын
@@sifikikasavaga9152 ahsante kaka hakika ubarikiwe sna, n wimbo mzur mno🙏
@Catholic_Lyrics12 жыл бұрын
@@sifikikasavaga9152 tuandikie wote tafadhali
@angelahkavai50604 жыл бұрын
Ninafuraha moyoni mwangu, Mungu anaweza yote
@happycosmas68714 жыл бұрын
Nawapenda Sana mungu awazidishie nguvu za uimbaji
@noahkosgei73015 жыл бұрын
Huu wimbo ungeimbwa December iwe ya kufunga mwaka.. Wimbo tamu sana
@wabulegrace63357 ай бұрын
Wonderful song that brings joy to me ❤❤❤❤
@indiremoses89795 жыл бұрын
wimbo mtamu,utunzi wa B.Mukasa wapendeza kweli,barikiweni
@christinamollel84895 жыл бұрын
Hongeren sana mungu azidi kuwainua zaidi katika utume wenu wa kumtangaza kristo kwa njia ya uimbajii
@gado207 Жыл бұрын
Hakika Mungu anaweza yote
@josephwalkerz37975 жыл бұрын
Kazi ya Kutia moyo. Kenya represented here.
@margaretochieng8085 ай бұрын
Jesus Christ son of the living GOD You take away the SINS of this world Spare Us OH LORD
@mwasyamutemi26375 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana you always bless me with your songs may almighty God keep uplifting you. From Kenya
@bihogorakaroli96915 жыл бұрын
kazi nzuri hongereni HT , WAIMBAJI NA WOTE WALIOHUSIKA KUIANDAA KAZI HII
@liberatuskamugisha9775 Жыл бұрын
Very wonderful blessed voices, listening from Thailand
@masungacharles49155 жыл бұрын
Hongereni sana, Mwenyezi Mungu awaongoze vema muendelee kumtukuza kwa nyimbo nzuri.
@danielchambua96434 жыл бұрын
Mungu awainue zaidi, kazi iko vzr mno asanteni sana
@carinaluce87835 жыл бұрын
Je ne cesse de la regarder la vidéo. Bravo à tout le choeur et chapeau au pianiste! Sans oublier Holy Trinity Studio. I leave in central of Africa and i speak french. Sorry for error.
@eliyamalele.masindi49105 жыл бұрын
Benard big up Utunzi wako mzuri sana
@cecyrobyroby85205 жыл бұрын
Hongereni. Mungu awaongoze ktka utume huo
@vailethpeter82935 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana mungu awasimamie muendelee hivo hivo nimewapenda xn hongereni imetulia sn
@beatrisikimario82333 жыл бұрын
Blessing voices, fantastic song, mbarikiwe sana na muendelee kumtumikia Mungu katika uimbaji bila kuchoka💞❤️❤️
@innocentkiria89665 жыл бұрын
wimbo uliokamilika hakika ni baraka na faraja tele tunaosikiliza wimbo Mungu awabariki wote
@thadeolutamla15903 жыл бұрын
Naomba nota zake nmeupenda sana
@upungupraxedes90524 жыл бұрын
Wimbo mtamu, listening from Kenya, congratulations, keep going and may God give you long live as you spread the gospel thru singing.
@nairobitrend5 жыл бұрын
Lots of love from Kenya🇰🇪❤
@dietrichkapufi53205 жыл бұрын
Wow hongera sana mtunzi na waimbaji pia
@janefrolakalinga56643 жыл бұрын
nice song mbarikiwe
@nurulyimo50163 жыл бұрын
Wimbo umenibariki sana
@BlasiusOgalo5 жыл бұрын
Kwaya bomba sana inatukumbusha raha ya kuishi ukiwa na Amani..
@aminavincent Жыл бұрын
Huwa sichoki kusikiliza huu wimbo
@johnsonjulius53674 жыл бұрын
JESUS BLESS ALL OF YOU. Mbarikiwe sana
@consolatazacharia82895 жыл бұрын
Amina mmbarikiwe
@despinamdende98104 жыл бұрын
Mt.somo wangu mpo juu sana👍
@methodgallus40565 жыл бұрын
Hongereni sanaaa, wimbo unabariki sanaaa
@monicabayyo59315 жыл бұрын
Method Gallus ⛄⛄
@benesiusedisa39825 жыл бұрын
Amina. Ninafurahaaa kabisaaaa.
@luvisa24724 жыл бұрын
Hii record companyinayojiita Holy Trinity Studio waache kuweka introduction ya nyimbo yao katika kila nyimbo walizo record, yaani inaudhi unapo taka kusikiliza nyimbo lazima kwanza usikize introduction ya sauti yao kitu ambacho kinaboa. Tunajua mmerekodi hii nyimbo sasa hakuna sababu ya kutufanya tuwasikilize nyinyi kabla ya nyimbo. Roja na Tanganyika production hawaweki signature sound yao, unakwenda straight kwenye music. Makampuni makubwa ya kurekodi wahaweki introduction ya nyimbo kwenye musiki walio record Mnasound mpo patronize and hungry to be known and recognized
@jacksonmabiba66145 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana, umenibariki sana!
@juditholoo35353 жыл бұрын
This song blesses me. I hum in the morning when i wake up. Listening from Nairobi, kenya
@adongojentrix4063 жыл бұрын
may God bless you all so that you sing and praise His name more and more. what a good and blessing music...
@msafirimarunda75415 жыл бұрын
Nimependa video yenu. Sio kuimba huku unakatika Kama upo kwa bolingo. Ujumbe murua
@Manyara-one5 жыл бұрын
Nimebairkiwa sana
@felisterligwa5 жыл бұрын
Hongereni pia wanakwaya na mtunzi.Mungu azidi kubariki na kuinua vipaji vyenu
@kennedychege94722 жыл бұрын
Ninafuraha moyoni mwangu na amani rohoni mwangu
@happymsaki17205 жыл бұрын
Nyimbo imetulia hongereni sana waimbaji
@antoniocharles47925 жыл бұрын
Asanteni kwa kutmbelea Tassia Catholic Church choirs. It was nice hosting you. Be blessed.