HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI BAADA YA KUPOKEA RIPOTI YA KAMATI YA PILI YA MADINI JUNE 12, 2017

  Рет қаралды 58,854

Ikulu Tanzania

Ikulu Tanzania

Күн бұрын

Пікірлер: 46
@filbertmsanga5574
@filbertmsanga5574 6 жыл бұрын
Kwa Neema na baraka za mungu nampongeza Rais wangu wa Tanzania kwa kazi kubwa tena ya Ziada ya kulinyenyua taifa hili ambalo kwa ujumla lilikuwa linadidimia mungu akulinde akujalie maisha marefu yenye baraka na mafaninio makubwa nasi tupo pamoja nawe kwa vitendo na kwa sala.
@mohamedadnan7090
@mohamedadnan7090 7 жыл бұрын
Rais Mangufuli is God send to Tanzania and a shinning son of Africa who means well and is genuinely disturbed by the poverty that is visible in our society despite all the wealth generated by Countries in Africa.......God Bless
@madeuslegembo8455
@madeuslegembo8455 7 жыл бұрын
hallelujah.... God is with us always but now, he is openly to us.... barikiwa sana Rais
@ntegrity277
@ntegrity277 Жыл бұрын
Magufuli MUNGU alikuleta Tanzania, you are the living president una uchungu na maisha
@mohammedrutta4989
@mohammedrutta4989 2 жыл бұрын
The man who loved his country deep 💕.INNAA LILLAAHI WAINNAA ILAIHI RAJIUUN
@stevenmamba2464
@stevenmamba2464 7 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mheshimiwa Nyerere mkombozi wetu wa uhuru Magufuli utatukomboa na umaskini
@rehemaelliottsuleiman6465
@rehemaelliottsuleiman6465 7 жыл бұрын
chapa kazi Magufuri , Tundu lisu hana tofauti na judder msaliti wa Yesu na tundu lisu anaweza kuisaliti nchi ajili ya njaa yake .
@EcoEssence_wellness
@EcoEssence_wellness 7 жыл бұрын
Great work done.... Tz up now....
@dadileonard2392
@dadileonard2392 7 жыл бұрын
ur excellency Pres.Dr.JPM......!
@davidcharles5674
@davidcharles5674 7 жыл бұрын
naitabiria TZ kuongelea MAJORS za uchumi ,,,sasa tukitengeneza mapato mengi ktk madini tz ya viwanda hiyoooo
@denissimon6313
@denissimon6313 Жыл бұрын
Ikulu Tanzania please msifute huu ushuhuda the day will come..God bless Tanzania ..R.I.P Mr President JPM
@mhangwamadeni1694
@mhangwamadeni1694 7 жыл бұрын
Uko sawa mheshimiwa , kwa kweli inauma Sana! mheshimiwa simamia Mali za watanzania
@kelvinngongolo9759
@kelvinngongolo9759 7 жыл бұрын
Tunakushukuru Mungu kwa kutupatia Rais wa kweli JPM kwaajili ya Watanzania.Mpe nguvu,ujasili na ulinzi wako siku zote za maisha na utumishi wake.
@simonlulenga2530
@simonlulenga2530 7 жыл бұрын
KELVIN NGONGOLO Mimi nawaza hivi angakuwa Mswahili amekwepa kulipa kodi na mbaya zaidi anafanya biashara vila usajili wala leseni ya biashara sasa hivi angeshawekwa chini ya ulinzi zamani. kwa kuwa ni mzungu ati aombe radhi! na tufanye naye negotiarion ; tu basi. Kwetu sisi tumelogwa.
@frankmangera3339
@frankmangera3339 7 жыл бұрын
Dah inauma sana kwa watanzania kuishi maisha balaaa!!!! Ndioooo zipungue basi mjengoni
@giftedboy7944
@giftedboy7944 7 жыл бұрын
asante rais wetu mtukufu
@yusuphwella9651
@yusuphwella9651 3 жыл бұрын
Hi hivi jaman ile pesa yetu ilobaki italipwa lini, watuambie hatutaki ujinga
@SamYoung-zg3xl
@SamYoung-zg3xl 9 ай бұрын
Mungu ibariki Africa
@hajiissa9200
@hajiissa9200 7 жыл бұрын
mh raisi tupo pamoja na wewe bega kwa bega katu hatuukuangushi sisi wananchi tunakuombea dua allah akulinde kwa kila shari
@saidirahisi6436
@saidirahisi6436 7 жыл бұрын
Kweli tumempata rais tuliyekua tunamhitaj miaka mingi. Hongera sana MR. PRESIDENT MAGUFULI, Endelea kusimamia MALI za Watanzania, Endelea kusimamia UCHUMI wa Watanzania.
@issaissa9250
@issaissa9250 Жыл бұрын
Imebaki story tu ndo basi tena cdhani
@Dantaata
@Dantaata Жыл бұрын
sitaacha kukusikiliza president wetu wa kweli,, your living hata km lkn unaishi na sisi siku zote,, sina mashaka na huko ulipo Imani yangu uko salama# tunakupenda
@shukuruexperius5035
@shukuruexperius5035 3 жыл бұрын
Mungu wajuwa machungu aliyonayo huyu baba mzalendo wa aina gani jamani mpe afya njema Jpm hongera sana
@benezethbwikizo3158
@benezethbwikizo3158 7 жыл бұрын
mungu ametupa zawadi ya huyu mtu,hakika sala za watanzania mungu kumbe alizickia asante mungu kwa hili
@yassinevarist7279
@yassinevarist7279 4 жыл бұрын
Kongore mh magufuli mungu atakulipa
@KichwaHuru
@KichwaHuru 7 жыл бұрын
Huyu mzee hizi namba-namba anavyozikumbuka…anatisha!!
@geopolitics94
@geopolitics94 3 жыл бұрын
God bless you my leader 🙏🏽
@mawajacobamaza8216
@mawajacobamaza8216 2 ай бұрын
RIP 😢😢😢😢Dr JPM 🙏🙏🙏🙏
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 7 жыл бұрын
eeh ndo maan ya kuwa na 4% wenye uwezo n ndomaan twakosa ajira nchi za nje kwan twaonekana wajinga na wapuuzi.,wanatucheka kwa ndani!?
@leonardmeshack2661
@leonardmeshack2661 5 жыл бұрын
Shida ni pale mtu anapoibuka kutetea watu wa aina hii eti kisa yeye ni chadema haki ya nani tutawanyonga tu maana hamna namna
@babumnyagane8091
@babumnyagane8091 Жыл бұрын
Kazi ya urais ni ngumu sana ngoja tupate katiba mpya tuwapunguzie kazi tuzishushe chini.
@georgeochen7276
@georgeochen7276 Жыл бұрын
The best in Africa
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 3 жыл бұрын
Mitume wetu magufuli
@mhangwamadeni1694
@mhangwamadeni1694 7 жыл бұрын
wafukuze tu waondoke!
@zidihermfinanga7468
@zidihermfinanga7468 7 жыл бұрын
💞
@JohnJohn-vu9vn
@JohnJohn-vu9vn 3 жыл бұрын
Nimejikuta natoa machozi uyu mzee abarikiwe milele
@tangaoldtv1067
@tangaoldtv1067 Жыл бұрын
Kaka pole sana tunaumia watanzania ambao sio wwzalendo nawataja January makamba nape na wengi sana ila mungu atatuhukumia
@saxannjo6173
@saxannjo6173 4 жыл бұрын
ISHI SANA RAIS WETU WA MUDA WOTE
@babumnyagane8091
@babumnyagane8091 Жыл бұрын
Viongozi hawana huruma kabisa na wananchi wao,yaani kiongozi anapita pale Manzese na tandale mbagala hata hawana aibu nchi yao chafu kiasi hicho yaani wakisha kaa masaki hawajali wenzao bila.
@babumnyagane8091
@babumnyagane8091 Жыл бұрын
Sheria zetu ni zahajabu na kubadilisha tumeshidwa kabisa.mikataba inayofungwa na wanasheria haina tija kabisa kwa taifa.
@faza4023
@faza4023 4 жыл бұрын
Huu ni moyo Mungu aliuchagua, nautaka.
@daudimzuri5771
@daudimzuri5771 2 жыл бұрын
nani mwingine raisi wa kuusema ukweri huu Kama sio John pombe magufuri tu
@tangaoldtv1067
@tangaoldtv1067 Жыл бұрын
HAKUNA hasa kwa sisi WAISILSMU niwajinga wa Kwanza kabisa
@eddobillah2369
@eddobillah2369 8 ай бұрын
Aisee magufuli ulitufungua macho' endelea kupumzika.
RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA JIJINI DODOMA
32:41
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 57 М.
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 17 МЛН
Itakuliza.! HOTUBA YA KUSISIMUA NA HISIA KALI YA HAYATI MAGUFULI
11:36
Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA
27:07
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 618 М.
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 64 М.
KUMBUKIZI Rais Magufuli alipofanya Ziara ya Kushtukiza Bandarini DSM
30:33
MAGUFULIFICATION OF AFRICA
Рет қаралды 61 М.