HUZUNI! MBOWE ATOA MAAGIZO KWA RAIS SAMIA JUU YA UTEKWAJI WA SATIVA KATAVI

  Рет қаралды 19,407

Yuhai media

Yuhai media

14 күн бұрын

Пікірлер: 40
@VennySichimata
@VennySichimata 8 күн бұрын
Umeongea vizur sana mzee❤❤
@AndembwisyeMpatama
@AndembwisyeMpatama 8 күн бұрын
Mungu anatulinda
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 12 күн бұрын
Wanajisifia wakikamata wahamiaji haramu, lakini watekwaji wanapitishwa humo mabarabarani hawasaoni hii ndio nchi ya wenyewe .
@godymbanyi1878
@godymbanyi1878 12 күн бұрын
Inahuzunisha😢😢😢😢
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 8 күн бұрын
Mungu atawaona ipo siku yao mungu asimame kea hili inaumavsana I ukatiri wa halo ya juu mungu atalipa
@user-rl6vf9tg8m
@user-rl6vf9tg8m 10 күн бұрын
Tanzania yetu hiyo
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 12 күн бұрын
MBOWE MZEE WAKUSUBIRI MATUKIO LAKINI LA PAROKO HAJA BWEKA 😢😢😢😢😢
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 6 күн бұрын
Hapo wakuu nyosheni maelezo je ni mwendazake au tumtazamie mwingine ukweli uhulu vinaennda pamoja acheni kigugumizi
@danielamosi6871
@danielamosi6871 11 күн бұрын
Mbowe tunakupenda
@user-cx1xz2is5d
@user-cx1xz2is5d 12 күн бұрын
Pole sana kijana
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 12 күн бұрын
mbuyu ulianza kama mchicha kenya nao wameanza hivi hivi hatimae mizizi imekolea
@dianamakyara4210
@dianamakyara4210 11 күн бұрын
😭😭🙌
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 12 күн бұрын
Hiyo ndiyo sera😢😢ya Mbowe
@kaguripenina63
@kaguripenina63 12 күн бұрын
Ww unafurahia hayo mambo
@gasperelasto8842
@gasperelasto8842 12 күн бұрын
Nafikiri
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 10 күн бұрын
Nadhani anafurahia watu wanavyotekwa.
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n 9 күн бұрын
😮😮😮
@annaheagle2915
@annaheagle2915 12 күн бұрын
Serikali inahusika tuache ubishani aiwezekan watu wapite barabaran nzima from dar to katavi bila polic kujua n uongo
@CHARITYKUMBERFIELD-uz9os
@CHARITYKUMBERFIELD-uz9os 8 күн бұрын
Kiboko ya Wachawi
@realswahilicultural8140
@realswahilicultural8140 12 күн бұрын
Wewe mzee Mbowe achia ngazi au tandamane wanachama chama kinakufia nasisi hatuko tayari kuona chama chetu kinakufa ..kaa pemben tanataka mweyeketi mpya
@frankjohn8706
@frankjohn8706 10 күн бұрын
Serikali ya ufalme wa FARAO ilikua kubwa lkn Mungu ni mkuu Sana aliwapigania Wana wa Israel kwa USHINDI mkubwa bila hata ya fimbo mkononi MAPIGO makubwa alipata FARAO Mungu ni yule yule Jana na Leo na milele hata Leo anapiga WABAYA watu wasiojua kama serikali ni ya nani kati ya Mungu na watawala
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 6 күн бұрын
Mpakan wacongo ziwa tanganyika katavi
@SylivesterKilunga
@SylivesterKilunga 12 күн бұрын
Mh
@athumanbalozi9748
@athumanbalozi9748 9 күн бұрын
Kwahilo namimi nalaani
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 12 күн бұрын
bowe na chadema yako meishiwa mtakuwa mnasubiri mtu akieda choni mtu akigombana na mkewe mnakuja kweye jukwa kueleza hamna hoja ya kuwaeleza watanzania
@monicamwita7865
@monicamwita7865 8 күн бұрын
Akili subiri wewe
@omaryramadhani290
@omaryramadhani290 6 күн бұрын
Huna Akili unaepinga ukweli kusoma hujui hata picha mmmh
@davidmalisa8043
@davidmalisa8043 8 күн бұрын
Katavi
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u 12 күн бұрын
Ndo nchi yetu yaanani wanahubir Aman Aman ikowapi
@sadicksingogo260
@sadicksingogo260 2 күн бұрын
Ni zambi,pia ni uhabifu wa mali
@richkaja3317
@richkaja3317 9 күн бұрын
Kwani samia hajui kinacho endelea nchi yake
@estakapufi7582
@estakapufi7582 9 күн бұрын
Anajua ila kaa kimya hata kustuka kuulizia mwananchi wangu kimemkuta nini, kwakuwa waliofanya wanajulikana ila mungu huwa anajibu kwa wakati tumuachie mungu tusiwe watu wakulaumu maana sio kama selikali haioni hili swala liko wazi ila wanatafuta kulizima.
@valenakomba7686
@valenakomba7686 11 күн бұрын
JAMAAANI, MBONA HII SIYO HAKII. WATALAANIWA TU. SASA WANAOGOPA NINI.?
@salama1113
@salama1113 12 күн бұрын
Watu mashuhuli wanaamia kwenye chama chako mjitathimini
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 12 күн бұрын
Ccm wameisha zoea kuuwa MUNGU ALIEUMBA MBINGU NA NCHI atawalipa
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 12 күн бұрын
Huna jipya
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf 10 күн бұрын
Baba Ako ndoo anajipya
@omaryramadhani290
@omaryramadhani290 6 күн бұрын
Pole usiyejotambua babako akitekwa ndio utajua kuwa Tanzania inaamani
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 9 күн бұрын
Kuna watu wanaakili za kichawa kwenye comment wajinga sana
@samwelrobertmwakatobe6467
@samwelrobertmwakatobe6467 8 күн бұрын
Jambo hili linasigitisha,Ulimboka, kibanda na Sasa sativa,wte Hawa ni Wa upande Fulani wa nchi.tabia hii ikome mala moja
#LIVE  MBOWE  ATOBOA SIRI ZA MAKONDA ARUSHA IMEPAMBA MOTO MDA HUU
9:03
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 19 МЛН
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,7 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН
Sativa kupatiwa matibabu Dar, ndege yapata dharura
5:00
Mwananchi Digital
Рет қаралды 6 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 19 МЛН