#kivumbi

  Рет қаралды 112,232

Yuhai media

Yuhai media

15 күн бұрын

LEMA AANGUA KILIO WANAICHI WAMEWACHOSHA BOLA WAHAMIE CCM WOTE HAYO AMEYASEMA AKIWA KATIKA MKUTANO ALIPOKUA AKIZUNGUMZA NA WANA NCHI AKIYASEMA KWA UCHUNGU MKUBWA

Пікірлер: 159
@mackrankagenzi5236
@mackrankagenzi5236 13 күн бұрын
Mwenyezi Mungu Tunakuomba Ibariki CHADEMA na Mwenyekiti Mbowe kwa jinsi anavyojitolea kwa hali na mali kuwezesha viongozi wake kuelimisha wananchi kuhusu mambo mengi ya Nchi hii ,Hakika najifunza mengi kupitia siasa za CHADEMA .#M4C #CDM .❤
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 13 күн бұрын
Mungu hawezi kukibariki chama cha wahuni
@graysonpastory1918
@graysonpastory1918 13 күн бұрын
Wapenda uhuru wa ushoga hawa, labda sera zao wazibadili upya ,uhuru uwe na mipaka,.​@@ndogoroedson199
@nyerere1259
@nyerere1259 12 күн бұрын
Anajitolea vp na chama ni mali ya familiar
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 12 күн бұрын
​@@ndogoroedson199Wahuni ni Ccm wanao hujum wananchi wao nakufundisha watoto wetu idadi ya miguu ya panzi wakati Hio idadi ya miguu ya Panzi haiwasaidii ktk maisha
@damianmcba9525
@damianmcba9525 12 күн бұрын
Ccm au walimu wanaofundisha miguu ya panzi?​@@TegemeaFutemakatifu
@shikuhata
@shikuhata 9 күн бұрын
Nakukubali tuu kwa kuishauri ccm kuboresha huduma kwa njia tofauti tofauti
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 13 күн бұрын
Point god bless lema
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 13 күн бұрын
Mashaaalah lema,huna baya,
@Anordgration
@Anordgration 12 күн бұрын
Mzee democrasia ipi mnaongelea jamanii? Tengeneza kwanza democrasia ya chama chenu ndo muongelee hiyo democrasia
@sammykateregga6238
@sammykateregga6238 13 күн бұрын
Hoaja zako zinaeleweka Mhe Lema nadhani Mungu ni mwaminifu naye atafanya kwa wakati wake. Watanganyika kama hatuelewi tupo tu kufikiria betting na michezo ya timu za nje tunazojua majina ya wachezaji wote ambayo haina faida kabisa katika ustawi wetu, lakni hatuna habari na jinsi gani mali zetu zinavyotumiwa. Laiti watu wangejifunza kutoka kwa Gen Z ya jirani. Mungu atuhurumie
@malikeyndotopopote
@malikeyndotopopote 12 күн бұрын
Salute bro
@stanastana3199
@stanastana3199 13 күн бұрын
Nenda ccm lema,chadema utafulia sana
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 13 күн бұрын
Hakuzaliwa hivo
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 13 күн бұрын
Akili zako na kufikiri kwako ndiyo kumeishia hapo! Lema siyo type yako kununuliwa kwa tamaa kama mnavyonunua wengine! Hovyoooo kabisa!
@stanastana3199
@stanastana3199 13 күн бұрын
@@usembiphonedar5632 hii komment naitunza,ni swala la mda tu
@halimamasai2234
@halimamasai2234 7 күн бұрын
Anakaribishwa hata Msigwa mlisema hataenda CCM yako wapi na Lema ajee tu chadema wamekwisha ki siyasa wanaimba taarbu tu sasa 🤣🤣🤣🤣
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 11 күн бұрын
#TUNAIMANI NA SAMIA MITANO TENA,MAMA SAMIA OYEE, MAKONDA OYEEE, PITER MSIGWA OYEEE, BASHE OYEEE, CCM OYEEE.
@olivermwakikuti
@olivermwakikuti 11 күн бұрын
Oyeeeeeeeeeeeeeeee
@halimamasai2234
@halimamasai2234 7 күн бұрын
Oyeeeee CCM oyeee Msigwa oyeeee mama Samia oyeee Makonda oyeee ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@JamesMatondo-fk4bh
@JamesMatondo-fk4bh 13 күн бұрын
Hongera kwa mawazo mazur
@Flaviosafari
@Flaviosafari 13 күн бұрын
Wanataka Mungu ashuke labda aongee mwenyewe ? Wakati unakuja.
@JeremiaholendikaMakeseni
@JeremiaholendikaMakeseni 13 күн бұрын
Hogera sana kiongozi makini
@MnyamaTolu-kd5ct
@MnyamaTolu-kd5ct 13 күн бұрын
Nakukubali Mwamba
@foibennjeje7730
@foibennjeje7730 13 күн бұрын
Mbalikiwe Mungu ndugu zangu
@user-kc6hg1se7b
@user-kc6hg1se7b 11 күн бұрын
Mungu atusaidie WA Tanzania ambao hatuna uelewa, pipooooosss
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 13 күн бұрын
ila hawa wapinzani wameteseka kweli
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 13 күн бұрын
Kama Lema ni mwongo basi mkweli atashuka kutoka juu
@user-vb8ki3jo9t
@user-vb8ki3jo9t 10 күн бұрын
Ulipo kuwa mbunge ulishindwaje kufanya hayo muzeeee acha uongo watanzania wanaakili
@talentshow2024
@talentshow2024 9 күн бұрын
Mh
@user-vr1ly3rw4h
@user-vr1ly3rw4h 8 күн бұрын
Mbunge kazi yake ni kuishauri serikali wewe
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 13 күн бұрын
Leo wanasema Tanzania ya viwanda
@allyalijai7143
@allyalijai7143 16 сағат бұрын
Hamna kitu hapoo, utawadanganya wasiojitambuaa.
@mwaramimbuya5443
@mwaramimbuya5443 5 күн бұрын
amina ccm mwamba
@carloschikawe3244
@carloschikawe3244 12 күн бұрын
Aisee Mungu atusaidie
@user-od1pl6ox5m
@user-od1pl6ox5m 11 күн бұрын
Mungu awenawe mwambaaa 🙏🙏
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 13 күн бұрын
Lema hebu acha story njooni kwenye Mada ya chaguzi zijazo na jinsi gani tunaleta mabadiliko.!!
@ShamteMaganga
@ShamteMaganga 13 күн бұрын
Subiri kampeni zianze
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 13 күн бұрын
Hii ndiyo hoja ndugu ambayo itakutia wewe uchungu uiondoe ccm Kisha ndo tuje tutengeneze katiba. Ccm hawataki kabisa kusikia hiyo kitu
@edgeredson9691
@edgeredson9691 11 күн бұрын
Chama hiki kinazungumzia wabunge kukamatwa mara lema kuwa na kesi mara risasi,, sasa hik chama kitazungumzia matatzo ya wananchi? Hiki chama kila mtu ni selfish
@thomasrobert-bf1mf
@thomasrobert-bf1mf 12 күн бұрын
mbona kipindi ukiwa ukiwa mubunge mbona hujawai kusikika
@JoshuaSabu-r2p
@JoshuaSabu-r2p 9 күн бұрын
Unamfaham vzr alipokuwa bungeni
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 13 күн бұрын
Kapunga wameiua wenyewe, halafu wanaagiza mchele kutoka
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 13 күн бұрын
Na mashamba ya Basuto enzi hizi😮😮
@MnubiMm
@MnubiMm 13 күн бұрын
Lema mnalipwa pesa za Wabunge Wabunge VT Maalum mmelipa pesa za Ruzuku ya chama zaidi ya bilioni 2 useme na hayo Kama kweli wewe na chama chako ni wakweli chama chenu lema sio chama Cha kutawala nchi ni kwa sbb sio chama Maamuzi yote yako kwa Mtu mmoja ni hatali hataki kupingwa ww lema na ubabe wako wote ww unamuogopa Mbowe kazi yenu kudumisha fikra za MWENYEKITI hayo unayosema aliyasema Ruto siku mia moja Leo kafeli Kila kitu Kodi mmpaka kwenye mkate kusema kitu kingine kutenda kingine lema nchi sio Jimbo usirahisishe Kila kitu wenye Akili wanaelewa hiyo katiba mpya tume huru ndio iliyomuweka Dr Ruto Madarakani Kama ndio hoja Leo Kenya ingekuwa Paradiso lakini Kenya hapakaliki kisa Kodi Matunda ya katiba mpya na tume huru katiba mpya tume huru sio dawa Dawa Nani Mtawala ingekuwa dawa tungeona Kenya
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 13 күн бұрын
Lema umeongea jambo sahihi sana
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 13 күн бұрын
Kweli tunaongozwa na watu wasio na uwezo
@TarimoMangi
@TarimoMangi 13 күн бұрын
Nabii ikulu ni yenu #CHADEMA# WANAMAPINDUZI.
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 13 күн бұрын
Thubutuu kwa huyo mkimbizi wa saccos ya mfalme mbowe makengeza?
@UmmyDaud
@UmmyDaud 9 күн бұрын
Sema lema inatakiwa tushikamane hakuna kujali kitu😂
@heriethmsambili5711
@heriethmsambili5711 10 күн бұрын
😂😂😂hapo kwenye tunaongozwa na machiziiiii😅😅😅
@MohamedHamsini
@MohamedHamsini 12 күн бұрын
LEMA MUONGO SANA WEWE ULIKUWA MBUNGE ULIFANYA NINI?
@ericlowasa3097
@ericlowasa3097 9 күн бұрын
Ulitegemea atafanya nini na bajeti ya utekelezaji wa maendeleo kwenye majimbo wanatoa ccm kunachakufanya happ
@sarikielimbise447
@sarikielimbise447 12 күн бұрын
Peleka huko,wewe hata familia inakulalamikia, licha ya Nchi,mkimbizi
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 13 күн бұрын
Kwa hiyo tukudaidie.nini
@thomasrobert-bf1mf
@thomasrobert-bf1mf 12 күн бұрын
mbona ujawai kuongelea bungeni
@rehemakarafuu-xi1py
@rehemakarafuu-xi1py 13 күн бұрын
kichwa san mwamba
@abubakarimchani8362
@abubakarimchani8362 11 күн бұрын
Iko sawa mkuu wangu
@RwegoshoraPatt-os2ik
@RwegoshoraPatt-os2ik 12 күн бұрын
Lema zuri gani umewafanyia watanzani?
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 13 күн бұрын
Sasa wewe unawatetea wanyonge yajaze hayo maji acha ngonjera zako
@davidmalisa8043
@davidmalisa8043 11 күн бұрын
Hamna mtu hapo lema ni hewa nenda machame
@sadicksingogo260
@sadicksingogo260 12 күн бұрын
Unasikika mwanaume
@user-qh5lq7gx2b
@user-qh5lq7gx2b 12 күн бұрын
Hongera sana kamanda lema
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 13 күн бұрын
Mungu akubariki Lema. Kweli tupuu unayoiongea.
@AbdallahBabu-jl8ld
@AbdallahBabu-jl8ld 13 күн бұрын
Mngefanya hata moja lamaana sio kusambaza maneno hata kwenye kanga yapo
@user-rk9gr9yf3i
@user-rk9gr9yf3i 13 күн бұрын
Huna mpango kilichobaki kakojoe ukalale unataka siasa ndo hiyo
@samwelsimon7392
@samwelsimon7392 13 күн бұрын
umesahau na kesi ya mkeo
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 13 күн бұрын
Nabii wa Mungu piga kazi Ikulu safari hii ni yenu
@DanisNwita-il8zg
@DanisNwita-il8zg 13 күн бұрын
Kaka ikilu ipi ,kwa katiba gani?
@edsonmoris
@edsonmoris 13 күн бұрын
Nimekuelewa lema
@HashimuAbubakar-ej8gc
@HashimuAbubakar-ej8gc 13 күн бұрын
Wananchi siku wakiweelewa hoja zenu amtatumia nguvu kushawshi watu
@molenicharles9107
@molenicharles9107 13 күн бұрын
Napita tu...ila njaa mbaya
@emmanuelmashishanga7141
@emmanuelmashishanga7141 13 күн бұрын
Nisuala la muda tu
@emmanuelkyandochali990
@emmanuelkyandochali990 12 күн бұрын
Mnatoa wap pesa
@barakamanga5502
@barakamanga5502 13 күн бұрын
Upo sawa
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 13 күн бұрын
kweli chadema mnazidiwa na mwamposa
@AnaniaBulaya-rc3jv
@AnaniaBulaya-rc3jv 13 күн бұрын
Kama hampati Hela yoyote.Hela ya ruzuku imetoka juzi imeenda wapi?
@frankjoely3313
@frankjoely3313 11 күн бұрын
We ni mpuuzi tu
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 12 күн бұрын
Tulikupa ubunge ukaenda bungen kupinga kilsa kitu tuambie kipindi chako ulifanya nini
@user-px1tc1nj1w
@user-px1tc1nj1w 13 күн бұрын
Unachongea tu
@daudibukuku6490
@daudibukuku6490 13 күн бұрын
Hao watu au mchanga???? People's!!!!!!!!!!!!!!!
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 13 күн бұрын
PAMBANENI. KARIBU KUNAKUCHA
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 13 күн бұрын
Cha msingi watu wajiandikishe tukutane kw sanduku la a kura
@sarahdeograthias9097
@sarahdeograthias9097 13 күн бұрын
Mungu mbariki Makonda
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 12 күн бұрын
Makonda Kwa nafasi yake si haba Lakini Hawa jamaa wanafanya Kazi kubwa sana kutufungua faham zetu, vinginevo Ccm watatuumiza sana
@pennymahombo9528
@pennymahombo9528 13 күн бұрын
Great visionary
@user-bj9nb1yh3o
@user-bj9nb1yh3o 9 күн бұрын
Luzuku mnapeleka wapi wacheni usani
@godhelpmassam3480
@godhelpmassam3480 10 күн бұрын
Ee Mwenyenzi Mungu tusaidie.
@ngwandukadama4229
@ngwandukadama4229 13 күн бұрын
Kwa hiyo
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 13 күн бұрын
Fisiyemu ni korona ya taifa la tanganyika
@samwelsimon7392
@samwelsimon7392 13 күн бұрын
chadema bado sana nyie pigeni kelele tu mtimize wajibu wenu wa kupayuka mchoke mpate usingizi vizuri
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 13 күн бұрын
Hiyo kauli ya magufuli umeiba
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 12 күн бұрын
Kauli Gani? Au Kauli zikigongana ni kosa? Acheni Ushamba nyie ma Ccm
@MeshackKaboja
@MeshackKaboja 13 күн бұрын
Hamna lolote mjingatuu ndo atakuerewa
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 13 күн бұрын
Zero brain ww
@user-mo3ik6go6r
@user-mo3ik6go6r 13 күн бұрын
Kuwa na hakili kidog
@davidchihimba9489
@davidchihimba9489 13 күн бұрын
Asee mungu anaona yote haya hao mambwa wachache kwa nini tusiwauwe tu mizoga hao wanatesa watu kwa faida gani
@azizimangara9024
@azizimangara9024 13 күн бұрын
Watanzania wapo Timamu. Tofauti na mnavyo wafikiria., Bora kibaya ulichonacho, kuliko kibaya zaidi, ambacho Aupo nacho. Wa Tz tunawafahamu vizuri saana, walio madarakani na nyinyi msio kuwa madarakani. Toa sera safisha Kwanza kwako ndo umwambie jirani uchafu wake, unamsema mwenzio ajaoga siku mbili wakati wewe mwenyewe ujaoga mwezi!!!!
@user-lw3tg3yg5b
@user-lw3tg3yg5b 13 күн бұрын
Viongozi
@noelyhaule5695
@noelyhaule5695 13 күн бұрын
wew n hasara kwa taifa
@erickmsigala138
@erickmsigala138 13 күн бұрын
Ulipatikana Guest akili mgando ndiyo maana mnajiita Chawa wachafu wakubwa nyie miccm
@pennymahombo9528
@pennymahombo9528 13 күн бұрын
Huwezi misquote ukimya,bora ukae kimya kuliko kuzungumza ujinga wenye akili watakudharau,
@user-md7sd3hk6l
@user-md7sd3hk6l 13 күн бұрын
nai penda chadema sana wa sema kweli siyo wale uki sema ukweli una tolewa bungeni muongo ana pigiwa makofi
@eliasnshashi3196
@eliasnshashi3196 13 күн бұрын
Upon sawa
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 13 күн бұрын
Kenya demokrasia sasa inawatesa.
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 13 күн бұрын
Kateshi ulikuwa na ngano saafi,wengi hamjui lkn sisi tunaona ulikuwa ni kama ulaya
@dunstankihaa2383
@dunstankihaa2383 12 күн бұрын
Majitu ya Tanzania hayaelew kabsa
@athumanmtunguja4412
@athumanmtunguja4412 12 күн бұрын
tatizo hapo kunawapiga hela kila mtu anatetea tumbo lake
@dianamakyara4210
@dianamakyara4210 13 күн бұрын
✌️✌️✌️
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 13 күн бұрын
Tunawaomba Karagwe jamani
@NusraMwalyawa
@NusraMwalyawa 9 күн бұрын
Wachane hao
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 13 күн бұрын
Chadema mna Kura nyingi
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 13 күн бұрын
Yeye amepata wapi?
@ibrahimgwasma1223
@ibrahimgwasma1223 12 күн бұрын
Lema lkn ulikuwa Mbunge hapa Arusha miaka 10 je huduma inayopatikana Arusha ni tofauti na majimbo ambayo ni ccm ?. Au ndo kusema mpaka serikali
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw 13 күн бұрын
Huyu huwa hamna kitu ungekuwa mkweli mngelekebisha chama cha cdm
@hanujoseph8809
@hanujoseph8809 12 күн бұрын
We ndo hamna k2
@Flaviosafari
@Flaviosafari 11 күн бұрын
@@KudraWanguvu-em1xw wewe ndio zaidi
@nasibuabasi4701
@nasibuabasi4701 12 күн бұрын
Ruzuku ya chama inatumika kwenye nini?
@hamiltonmzee6120
@hamiltonmzee6120 13 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢😢
@TonyTrans-xw3bb
@TonyTrans-xw3bb 13 күн бұрын
Hapa wapi?
@abuuawalina2625
@abuuawalina2625 11 күн бұрын
Chama ni CCM tu. Nchi hii, tunajuwa baadhi ya makabila yenye ukabila. Tunajuwa watu wa kaskazini asili yao wanaukabila sana, huo ndio ukweli. Haito tokea nchi kuchukuwa Chadema, labda chama kingine
@olivermwakikuti
@olivermwakikuti 11 күн бұрын
Hakika ccm ni chama dume chama imara kigum kutoka madarakan
@MajaliwaTalali
@MajaliwaTalali 12 күн бұрын
❤⁹ooo😊
@MichaelEliasmwampamba
@MichaelEliasmwampamba 10 күн бұрын
Wakati wewe ni mbunge mbona hayo haukufanya nakwenye jimbo lako ulifanya nini wewe
@ombenipenieli1432
@ombenipenieli1432 11 күн бұрын
Hakuna anaelipwa mshahara ila nyie mnapiga hela milioni hizo mnatoa wapi?acheni kutudanganya lema hiyo hela mngefanyia maendeleo madarasa zahanati mimi ningewaelewa acheni porojo
@ZakayoYohana
@ZakayoYohana 11 күн бұрын
Yani Kodi akusanye mwigulu harafu zahanati ajenge lema huna Akiri
@samsongazika8908
@samsongazika8908 11 күн бұрын
Unatembea faida yako nn
@ShamteMohmed-ed2kk
@ShamteMohmed-ed2kk 13 күн бұрын
Ruzuku kazi yake nini?
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 13 күн бұрын
Haitoshi ndugu
@lorubaadvocates
@lorubaadvocates 13 күн бұрын
Business
@DanielManumbo
@DanielManumbo 9 күн бұрын
😅😅
@jumashimba9620
@jumashimba9620 13 күн бұрын
Lema wewe ni mzalendo
@kiyabolnjemu9646
@kiyabolnjemu9646 13 күн бұрын
Mzalendo kwenye nn? Halopwi mshahara na hayo matumizi anapata wapi?
@YassinRajabu
@YassinRajabu 13 күн бұрын
😂😂😂😂😂​@@kiyabolnjemu9646
@user-px1tc1nj1w
@user-px1tc1nj1w 13 күн бұрын
Sasa hapo kuna sera gani
@MenelusCzar
@MenelusCzar 13 күн бұрын
🥹
@JosephM.meiliari
@JosephM.meiliari 10 күн бұрын
Sasa mheshimiwa kama hulipwi nini kinakutesa ww mpaka uteseke hivyo?mm naona una maslahi binafsi.hakuna mtu yyte anafanya kazi isiyo na malipo isipokuwa yesu kristo pekee mwingine yeyote ni anapambania ugali wake
@nasibuabasi4701
@nasibuabasi4701 12 күн бұрын
Propaganda nyingi
@MosesKamba-tk3lp
@MosesKamba-tk3lp 13 күн бұрын
Una lolote mchumia tumbo
@MakameAbdallah-wn3hc
@MakameAbdallah-wn3hc 13 күн бұрын
Upuuzi mtupu
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 13 күн бұрын
Mganga njaaa tu wewe
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 78 МЛН
TUNDU LISSU AMSHIKA KOO RAIS SAMIA KWA KUHONGA PIKIPIKI NCHI NZIMA
5:55
Chadema Media TV
Рет қаралды 19 М.