Рет қаралды 13,181
#TANZANIA: John Pambalu amvaa vikali Peter Msigwa, "kwa sasa anasemaje kuhusu utekaji?", amvaa vikali Waziri Masauni na IGP kuhusu kubambikia kesi Meya Mstaafu wa Ubungo (Boniface Jacob) na Malisa G, kukiwasha siku ya Vijana mkoani Mbeya, atangaza ujio wa Gen Z hivi karibuni.
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE KZbin Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram