Hongera sana Mh raisi, pia nakupongeza sana kwa kazi nzuri unayoifanya ya Taifa letu. Hapo Merelani kuna mtu mmoja ana mgodi alisha ua watoto wawili mtaani kwetu, aliwatoa sadaka ili apate Tanzanite kwenye mgodi wake. Na hakuchukuliwa hatua yoyote.
@shadackmohamed1023Ай бұрын
Just 100 comments. 😢😢😢 "Africa for Africans, solidarity Sir!"
@wilfredsahila87274 жыл бұрын
Uko vizuri president wetu; keep it up.
@mahamoudabas85555 жыл бұрын
15 years more for you mr president for guiding our nation. GOOD SPEECH 👍💪
@dativashayo74454 жыл бұрын
Mungu wa miungu akujalie maisha malefu upo vizuli
@crazymuseven717 Жыл бұрын
Best president rip God bless you ❤Lol pole kwa family
@katelengumasolwa5717 жыл бұрын
Well done my president go ahead
@ChristopherJohnbatistaАй бұрын
Jaman mazur ya baba magu yatumieni muokoe maisha ya watu haki ya watu izingatuwe sana.MUNGU BARIK TANZABIA NA VIONGOZI WAKE.
@joshuakalinga3444 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mr President jpm aongoze urais nimzalendo waukweri
@khalidhamka95674 жыл бұрын
Waliokuja baada ya kumsikiliza tapel tundu lisuuu tujuane ccm oyeeeeeeeeeeeeee like hapa
@visentimatiasi34734 жыл бұрын
Mie wa kwanzaa
@youngmenmedia46994 жыл бұрын
Kwa ubongo wako unaona hutuba ndo imeishia hapa
@khalidhamka95674 жыл бұрын
@@visentimatiasi3473 ww unahisije???
@visentimatiasi34734 жыл бұрын
Hapa naoilikua nikituko anaongea kitu akipo wala hajashambuliwa ccm ila ukoukokwao
@mzuvendi4 жыл бұрын
Sasa hapo Tundu yuko wapi?
@neemafaustine98153 жыл бұрын
RIP Magufuli...daima tutakukumbuka
@evaemil8564 жыл бұрын
Kwa swala la kulinda rasilimali za Tanzania, kuokoa madini kweli hapa Magu apewe sifa hapa. Kuweka ukuta kule Merilani ni poa sana. Kuhusu almasi na dhahabu kweli msema kweli ni mpenzi wa Mungu, wazungu wamevusha sana, hata wasomi vijana wa kitanzania waliosemea madini na uchimbaji iliwauma vya kutosha kuona wizi ukifanyika kwani ndege za wazungu hawa zilikuwa zinatua machimboni na kuruka mpaka na mchanga. Yote hayo baba Magu nakupa 100/100. Kwa staili hii ya uchunguzi, basi tuweke wazi waliyempiga Lissu risasi hao walitaka kumuua. Tunaimani viongozi wetu wote wanaogombea uraisi wa vyama mbali mbali na CCM wote wanania ya kuikomboa na kuiendeleza Tanzania. Sasa tusiwauwe na kuwatokomeza wananchi raia wetu wa Tanzania. Watu wasiojulikana wanakivunjia heshima yako, tafadhali watoe wazi. Always vyama vingi huleta maendeleo na tusivivunje. Raha ya mbunge ni kupaza sauti kwa mazuri na mabaya. Hatuwezi wote tukakibaliana na jambo, angalia debate tu za shule vyama vingi ni bora kuliko mfumo wa chama kimoja, au shule za mchanganyiko ni bora zaidi kuliko shule za jinsia moja. Debate hizi huwafanya watoa hoja kusimamia misimamo yao hasa mpaka mishipa inasimama. Again utumwa hatutaki, kuibiwa imetosha, na kuzuia vyama vingi imetosha. Video ya siku ya Lissu kushambuliwa itolewe.
@milembenyanda7193 Жыл бұрын
Thank
@fahdihasnuu90346 жыл бұрын
Guuuuuuuud!!!!!!!!!!!!!
@seretuimayoni59135 ай бұрын
Lala mahali njema 😭😭😭😭😭😭
@piusrweyemamu39003 жыл бұрын
Inauma sana, nikiisikiliza hotuba hii.
@kidjhdf75684 жыл бұрын
Magu wallah sijuwi ulikuwa wapi miaka yote hiyo daaa allah akupe umri mrefu uendelee kiwajali watanzania
@willibroadwilliam67982 жыл бұрын
Mwezi Mungu ijalie Tanzania ipate rais kama Hayati John Pombe Magufuli
@EnockYolam2 ай бұрын
À❤❤
@paulmbassa82033 жыл бұрын
He loved Silinde
@alphoncekagezi49504 жыл бұрын
Maisha tuliyonayo sio size yetu tumefika hapo kutokana na Nchi kuwekwa rehani na walio saini mikataba ambayo haikuwa na tija kwa Watanania . Mungu akubariki sasa tuko ktk uchumi wa kati kabla ya 2030 Ongereni sana hata kama ujanja utakuwepo ila sio kama siku za nyuma ilikuwa hali mbaya zaidi.
@mimimoop26173 жыл бұрын
Tutakukumbuka mze baba rip JPM
@coolruler68203 жыл бұрын
Inauma ila ndo kazi ya Mungu" Mwamba alitupigania Watanzania jamani,,,lini tungeyajua haya kama Mwamba naye angelikuwa bwana tumbo,,,Rest in Power JPM
@titus_maridhia7 жыл бұрын
Long live President JPM
@aishajami68263 жыл бұрын
He should have lived even after his retirement. That guy was so clever. There's quality and value in each of his words! RIP and in guidance 🤲🏽
@tariqmaduga80512 жыл бұрын
Hii kazi ni ngumu sana hasa kua mzalendo kama JPM..itatuchukua miaka 800 kumpata tena mzalendo kama uyu JPM R.I.P. 🇹🇿MUNGU IBARIKI TZ NA SISI PIA..
@florencekimotho887 Жыл бұрын
Ameshamuonesha mchakato basi mkishindwa shauri ya nani
@izrajoseph14063 жыл бұрын
R.I.P hero
@linalinhwefwe65844 жыл бұрын
Unalaumu wazungu na ccm ndio mliwapatia vibali, ccm ndio waliokuwa wanakula rushwa ccm ndio hawajawapatia watz uhuru mabeberu walipeana uhuru kitambo.
@ezekielnjau89887 жыл бұрын
President of my dreams
@kingmagufuliforever31443 жыл бұрын
Asante magufuli
@saxannjo61734 жыл бұрын
ISHI SANA RAIS WETU,
@isimailimwawa23284 жыл бұрын
Mara 10 uvunje sheria lakin ulinde mali za watanzania
@Wallenivo3 жыл бұрын
RIP Mzalendo wa kweli
@saxannjo61734 жыл бұрын
Halla OUR BRIGHT PRESIDENT
@ntegrity2772 жыл бұрын
Kilicho muua Magufuli Ni MADINI!
@makumbele7 жыл бұрын
Kama nikuanza upya tuanze✔
@emmanuelbonifas35173 жыл бұрын
Sjawah kuona chema kikadumu hivi leo magufuri aupo ktk dunia hii umelala chato na utoamka kabisa lala salama baba wengi tunakuombea kwa mungu wetu mwenye huruma akuhurumie upumzike kwa aman
@qasammamachinya4448 Жыл бұрын
🇹🇿👍
@silverrichard29753 жыл бұрын
R.I.P DR MAGUFULI
@KanyalaOnesmo2 ай бұрын
Hakika hayati J. J. P. MAGuFULI hakuwa mbinafsi, kwani aliipambania kwajasho na damu ili walalahoi angalau wawe na maishabora. Kwangumimi ni nambambili kwenye nyayo za BABA wa TAIFA. Hayati J. K. NYERERE. M WENYEZIMUMGU awape pumnziko la amani. AAAMIN.
@Ayodimeji_tz Жыл бұрын
R. I. P JPM
@patrickmarwa50249 ай бұрын
Ukisikiliza hii hotuba ya hayati magu kuna mafunzo ya usalama wa uongozi na umakini kabla ya kupambna na hao matajiri .
@ukweliunauma45704 жыл бұрын
Maisha yenyewe temporary ndio upoteze watu, utume watu wasio julikana wakawauwa, sio haki, alafu sasa mnajifanya watu wa dini sasa mnafanya tobacco 😇🤣
@yegelaabeli6066 Жыл бұрын
Ukweli mtupu kuwa uzarendo wa huyu baba ulikuwa wakipekee Mungu akusamehe makosa upumzike kwa awam
@evaemil8564 жыл бұрын
Nimependa hapo sisi ndiyo wafadhili....i hope kila mtu amekupata hapo...pia hapo nani alituloga sisi? This is true. I used to say tumelogwa na aliyetuloga kafa.
@patrickshabani27764 жыл бұрын
Hutuba mzuri
@petersipano6335Ай бұрын
Ukishikwa na ma rushwa haya huwezi ukazungumza popote.
@mremagitero56684 жыл бұрын
Mpaka ichezewe ni serikal ni ya chama gan?
@wagadiaugustino1444 жыл бұрын
Swala s chama gani Bali tunaangalia kwa kipind hiki tunafanya nn,usilete ushabiki kwenye Jambo la kitaifa Kama hili
@saymongwaltu95464 жыл бұрын
Mmmmmh
@joelnassari1057 жыл бұрын
God Bless You My President...Nakuombea Maisha Marefu
@karimkimbugimbugi61064 жыл бұрын
Kweli Lissu zaidi ya muhongo duuu
@johnbabo975 Жыл бұрын
Nani km magu sijaona kiongozi km yeye hata angechaguliwa tena na tena hakuna
@wagadiaugustino1444 жыл бұрын
Binadamu hasa cc wenye ngoz nyeuc,hatuwez kwenda bila style ya uongoz was huyu jamaaa,mtu anashobokea wazungu wakat wao tukienda kwao wanatubagua sana.sasa haiwezekan
@jpocherehani34983 жыл бұрын
A lkn mangu bwana mda mwingine ukijaribu kupitia hotuba zake mpka inauma sana lkni haija ujanja bwana
@saranelson3114 Жыл бұрын
Pumnzika kwa amani baba ye tt
@richardtv83394 жыл бұрын
Hayo maneno cjayasikia me
@selemanitunda18214 жыл бұрын
Huna maskio
@ambanconsultants68924 жыл бұрын
Hii ndiyo hotuba ambayo Lisu anasema akowa njombe inahusiana na kupigwa kwake risasi? Naomba majibu kwa mwenye jibu maana nimeisikiliza Mara ya tatu sasa baada kusikia tuhuma za lisu kuhusu hutuba hii
@michaelkaniki44664 жыл бұрын
Lisu anawafanya wasikilizaji matoy. Na anafanya makusudi kucheza mchezo huo was siasa chafu nilimuonea huruma lkn sio kwa maneno anayoyatoa kukashifu kazi ya mzee magu!! Wakati tumeona kabisa. Kweli tunadharaulika Sana jamn wa tz
@daudimichael73384 жыл бұрын
Ndiyo hii, na mimi nimeiskiliza zaidi ya mara 2 natafuta hiyo kauli ya raisi aliyosema kuna mtu anapiga kelele sana anatetea mabeberu, ni msaliti hastahili kuishi sijaiona. Lisu ni mchochezi, kwa nini asishitakiwe kwa uzushi na uongo dhidi ya rais aliousema njombe?
@ukweliunauma45704 жыл бұрын
Ndio hii sikiliza kuanzia dakika 10 mpka 15 hapo utasikia fumbo alilo piga, na angalia body language yake magu na macho yake, yanaonyesha anapo ongea na spika
@davidalphonce84444 жыл бұрын
@@ukweliunauma4570 apo Magu kaongelea kitu kingne kabisaaa.....yaan wala hajaonhelea kuhusu alichokisema lisu....nataman watu waje waitazame wakiwa na akili zao timam kabisaaa ili wajue kuwa wanadanganywa
@ambanconsultants68924 жыл бұрын
@@ukweliunauma4570 hii ndiyo nchi yetu. Hatina nchi nyingine. Mfano alioutoa rais kwenye hizo dakika 10 had I 15 zinahusu MZALENDO aliyejitoa mhanga kwa ajili ya maslahi ya nchi kwa kujifanya adui ili spate taarifa za adui azilete. Siyo habari ya MSALITI anayetoa siri za nchi kwa adui. Msikilze vizuri Lissu kwenye hotuba yake ya Njombe kama hii ndo hotuba anayotuambia inahusika basi nasnza kutia shaka hali ufahamu wake. Au kwa vile anajua hawezi kuupata uraisi na yeye ameshapata uhakika wa hifadhi huko nje badi anataka kusababisha machafuko kwa makududi. Maana ukiangalia comments baadhi ya watu kama wewe mmeshaamini kila kitu anachosema hata bila kutafakari
@augustinomwageni6768 Жыл бұрын
Jpm
@adelaidaruta29302 жыл бұрын
Baba JPM huko uliko endelea kuliombea Taifa lasirimali zetu manyangau wasiziibe miradi yote uliyoanzisha ikamilike vema nitakukumbuka daima tuombee tupate kiongozi Mzalendo kama wewe
@kalonjamabura81193 жыл бұрын
Your death was not natural 😢😢
@mohamedalaraimi68134 жыл бұрын
Yule askari mpeni fursa akapumzike kidogo
@abdulseif40934 жыл бұрын
Sura ya ndugu yai inaongea kitu cha hofu na wasiwasi...
@evaemil8564 жыл бұрын
Hao wasaliti ni akina nani?
@kennedyraymond92134 жыл бұрын
Hujui uongozi wewe.
@michaelkaniki44664 жыл бұрын
Wewe uliongoza wapi mke wa mabeberu
@kennedyraymond92134 жыл бұрын
iyo sio hoja,hatutaki rais dikteta,Tanzania pipoooooozz
@michaelkaniki44664 жыл бұрын
@@kennedyraymond9213 unajua maana ya dikteta?? Fikiria. Alfu usome pia vitabu. Maana kusikia sio kazi Bali kuelewa ndio kazi.
@kennedyraymond92134 жыл бұрын
Raisi gani ambae hataki kushauriwa,tulishatoka huko zamani enzi za ukoloni.Tumeshachoka kupelekwapelekwa kama kondoo.
@michaelkaniki44664 жыл бұрын
Lisu amesoma lkn anatamaa na anauwezo wakuwafanya watu kwamakusudi TU waamini uongo kuliko ukweli ndio maana nikiona mtanzania anakubaliana na maneno ya uongo yakumponda magu nachukiaga mpaka natamani niingie ndani ya ubongo wa huyo mtu nimuonyeshe wapi anadaganyywa na kusudi Ni nini