INASIKITISHA Mtoto aliebakwa alia kwa MAKONDA afanya maamuzi MAGUMU, Bibi yake nae aangua kilio

  Рет қаралды 56,418

Habari Digital

Habari Digital

Ай бұрын

Пікірлер: 103
@MtegekiKaijage
@MtegekiKaijage Ай бұрын
Kazi za mahakama Tanzania hii ni kunyanyasa wanyonge na kuwadhurumu haki zao
@FatumaMombo
@FatumaMombo Ай бұрын
Jamani jamani makonda kweli kunasababu yawewe kuwa Arusha
@hassanmwallimu5767
@hassanmwallimu5767 Ай бұрын
Hapo vipi watu wa haki za binadamu na UWT
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Ай бұрын
Hebu tusubiri watasema nini maana wao wapo wapo tu. Halafu wanamlaumu Makonda
@boyfromtansania7788
@boyfromtansania7788 Ай бұрын
Hapo wanafyataga mikia
@OCTAVIANSINZO
@OCTAVIANSINZO Ай бұрын
🤣🤣
@anamsaid8610
@anamsaid8610 16 күн бұрын
Hapo hawaoni
@Goldenbutterfly-hk1hp
@Goldenbutterfly-hk1hp Ай бұрын
Yule mama wankumtuhumu makonda kumamayo hebu alete mkundu wake hapa asikilize haya maumivu alaf anaongea ukuma mayo tu uko....Makonda baba piga kazi
@AminaRamadhani-gx8yr
@AminaRamadhani-gx8yr Ай бұрын
Kama alikua ajabakwa docter alitoa dozi ya dawa y akutibu nini, hii nchi uonevu kwa wanyonge umezidi
@user-ml3zf7mw1y
@user-ml3zf7mw1y Ай бұрын
Kuna mbunge mwanamke aliomba ipitishwe sheria Lola mwanaume atakae baimika na kosa la ubakaji AHASIWE
@robertzamani5612
@robertzamani5612 Ай бұрын
Hivi hawa mahakimu hata huruma hawana jamani kweli mtt amebakwa hakimu unampa ushindi mbakaji huyu hakimu wa hii kesi ajitafakari
@user-ry8xf1no2s
@user-ry8xf1no2s Ай бұрын
IPO siku mueshimiwa Samia suluhuhasani laisi wangu mpendwa Atakuchagua kuwa wazili mkuuu Dua ninalo liomba kila siku Uje utusaide watanzania Unauwezo mkubwa sana Alha amekupa kuwa kiongozi
@benjaminmollel3393
@benjaminmollel3393 19 күн бұрын
Your comment very touching my heart 🤔
@Mgema001
@Mgema001 Ай бұрын
Ukichukua mabaya ya MAKONDA wanayosema halafu ukalinganisha na mazuri yake utakuja kugundua mazuri ni kitita kuliko mabaya, huyu ni mwanga unaomurika kwenye Giza Nene...big up MAKONDA
@dicksonjonas1799
@dicksonjonas1799 Ай бұрын
Umesema point ndugu
@FatmaLyego
@FatmaLyego Ай бұрын
Amina kubwa sana
@user-qc9ph9he7u
@user-qc9ph9he7u 6 күн бұрын
Umeongea point ubarikiwe
@user-ry8xf1no2s
@user-ry8xf1no2s Ай бұрын
Mueshimiwa makonda Alha akuongoze awatoweza kukufanya chocolate ulinzi mkubwa Alha ata kulinda inshallah
@naligiatomaso5006
@naligiatomaso5006 Ай бұрын
😭😭😭😭😭😭 Subha Allah subhaallah subhaallah 😭😭😭
@valenakomba7686
@valenakomba7686 Ай бұрын
Kwa kweli, Hao ndo wanasheria wa Tanzania. Wanauza mpaka haki za watoto.
@DominicaShio
@DominicaShio Ай бұрын
Rais Samia suluhu hassani hoyeeeeeeee we ni suluhu kweli tusaidie hivyohivyo kwa hili jembe asante
@dicksonjonas1799
@dicksonjonas1799 Ай бұрын
Mungu azidi kukulinda mh Mkuu wa mkoa,,piga kaz na MUNGU yu pamoja na wew,,wananch wengi wanaonewa kwa kukosa pa kusemea,,wew ndomtetezi wa wanyonge mkuu.
@JoalAlma-ci1hi
@JoalAlma-ci1hi Ай бұрын
Mueshimiwa toka sikuyakwanza nimekuwa nikukupenda saan unakutan na vitu vigumu saan but this one is toomuch.tafazali mueshimiwa kama nikweli uyu muusika naisi anstaili kuuwawa kabisa nina mtoto binti kama uyu tafazali simama juuyahili
@KhmsNsr
@KhmsNsr Ай бұрын
DAH! KUNA WAKATI MAKONDA ANASHINDWA HATA AAMUE KESI VIPI MANA ANAKUTANA NA MAKUBWA KWELI. DAH! MUNGU AKUPE NGUVU KWELI MAKONDA.
@dicksonjonas1799
@dicksonjonas1799 Ай бұрын
Dah kabisaa yaan ndugu yangu
@user-ew7xd1xu3s
@user-ew7xd1xu3s 4 күн бұрын
Yani namuona magufuli ndani yamakonda kwer
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 Ай бұрын
MUNGU tunaomba REHEMA ZAKO
@tanzalandtv3311
@tanzalandtv3311 Ай бұрын
YUDABULIYUTI ... UWT mko wapo na wale wa haki za binadamu
@NasraAlMarjabi
@NasraAlMarjabi Ай бұрын
Uchungu Saana Tanzania Mtu Akiiba kitu kidogo Anachomwa moto mbakaji Anaachwa Uchungu Saana
@user-mr3qg9iq5k
@user-mr3qg9iq5k Ай бұрын
😢😢 inauma sana jiran yangu hapa kaiba jana kitu kidogo kachomwa moto kafa lakin Mapepo yapo yanaish
@chantalharakandi2576
@chantalharakandi2576 Ай бұрын
Inasikitisha sanaaa Allah atamlipia uyo mtoto na bibi yake
@Zainab_salat
@Zainab_salat Ай бұрын
Wanaume acheni kuaribu watoto jamani
@ndeenengomselle1267
@ndeenengomselle1267 Ай бұрын
Gombea UBUNGE Arusha uchukue asubuhi mapema ukawe wazuri mkuu....Mungu akutangulie sana kaka....hampo wengi duniani hivyo usiogope vita
@FredrickEdson
@FredrickEdson Ай бұрын
Usimponze ndio kilicho mkuta dar alikuwa mkuu wa mkoa tulimpenda akataka ubunge wanakigamboni tukafurahi tutampata akafanyiwa figisu
@user-ml3zf7mw1y
@user-ml3zf7mw1y Ай бұрын
Mko wapi HAKI ZA BINADAMU NA UWT JE HAMJASIKIA HILI AU TENGERU HAWAPO UWT?
@topfreelancer5151
@topfreelancer5151 Ай бұрын
Tuwaongezee sauti hawasikii labda
@ndeenengomselle1267
@ndeenengomselle1267 Ай бұрын
Mungu awalaani wote wanaopindisha haki za wanyonge
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta Ай бұрын
Amen walaaaaniwe wote wanaopindisha kesi kwa makusudi
@NeemaMmary-kl7no
@NeemaMmary-kl7no Ай бұрын
Jaman atokee na kwetu moshi makonda
@respiciusndyanabo366
@respiciusndyanabo366 Ай бұрын
Nakukubali sana Msh Makonda
@user-cp2do9pd5k
@user-cp2do9pd5k Ай бұрын
Kweli tuanze upya
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 Ай бұрын
Why wamuanzishie dawa za kuzuia maambukizi huku akubakwa? Hapo daktari pia anahusika akatoe maelezo vzr bila shaka naye alipewa hongo
@JaneCharles-ru1tz
@JaneCharles-ru1tz 8 күн бұрын
Makonda una baya mungu akulinde uishimiaka mingi kama nambaza vocha
@FatmaLyego
@FatmaLyego Ай бұрын
Mungu akutunze makonda wasije wakakuua kama Magu
@LoshilaaMollel-qh5pb
@LoshilaaMollel-qh5pb Ай бұрын
Jamani binadam tumekuwa wanyama Sana lakini haya yote yanachangiwa na police.kwanini wamuchie mtuumiwa? Makonda msaidie huyo mama
@AdelaFungo
@AdelaFungo 18 күн бұрын
Makonda mungu akupe maisha malefu kwa jinsi unavo saidia wanachi
@nkidakisenga9004
@nkidakisenga9004 20 күн бұрын
Namuomba Mungu siku moja uchukue fom ya urais
@rachelkihaka9204
@rachelkihaka9204 25 күн бұрын
Makonda Mungu akusimamie sana toka alivyotuacha mh. Magufuli nilitamani Mungu angekuinua wewe uwe raisi ila haikuwezekana ila itawezekana tu
@user-tm4bl5tg3t
@user-tm4bl5tg3t 2 күн бұрын
Dah😭😭😭😭mungu atusaidie sisi wenye watoto wa kike😭😭😭🙌🏽💔
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 Ай бұрын
Nyie kubakwa kunauma wallah 😢😢 mm mpaka leo sijapona akili my uncle na alijaribu tu kunibaka sasa what about her hii ni tatizo kubwa kwa mtoto watu wana roho za unyama hawana huruma hawa wakubaka niwakuuliwa tu....
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 Ай бұрын
So painful waallahi 😭😭😭daah Allah atustiri na vizazi vyetu jmni
@user-mn2et2pf6z
@user-mn2et2pf6z Ай бұрын
Hapana jamani.hakimu alie jukumu kesi hiyo anapaswa achunguzwe.kwa sababu ushahidi wa dakitari ndo ushahidi tosha.
@dennishyera5448
@dennishyera5448 Ай бұрын
ye hautaki ushahidi huo anataka Wa mtuhumiwa. Itapendeza Huyo hakimu afuatiliwe kisha atimuliwe kazi
@richkaja3317
@richkaja3317 Ай бұрын
Makonda omba mungu upate uraisi unafaaa sanaa hauna huruma
@timothbenard8213
@timothbenard8213 Ай бұрын
Duuh sasa hivi nchi yetu mungu aingilie kat coz saizi watoto wetu wanatendewa vtu vya hovyo na wabaya hawafanywi chochote wananguvu kuliko serilali
@NasraAlMarjabi
@NasraAlMarjabi Ай бұрын
Haki Iko Wapi 😭😭😭😭
@neemamwocha2113
@neemamwocha2113 Ай бұрын
Wanaume mtatuua, jamani ,,ona huyu mama anavyopumua kwa presha,,
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 Ай бұрын
Una uhakika aliyehukumu kesi ni mwanaume? Una uhakika mahakimu wa kike hawagandamizi haki za wanyonge?
@HadijaGorge
@HadijaGorge 8 күн бұрын
Mungu wangu duu inauma
@pyelesyamwakatika540
@pyelesyamwakatika540 Ай бұрын
Nakupenda Makonda Mungu akutunze baba
@MonguMagege
@MonguMagege 15 күн бұрын
Weka ndan miaka miamoja jera uyo
@dennishyera5448
@dennishyera5448 Ай бұрын
Huo ndio uhalisia, Tunashukuru viongozi mnapo y'a skia haya. Uonevu kwa wanyonge ni mkubwa Sana. Waovu hulindwa. Ukimshitaki mwenye pesa and uwezo WA kukugeuzia Kes we mwenyewe. Mungu tusaidie akina Makonda waongezeke.
@EsterLameck-fc1re
@EsterLameck-fc1re Ай бұрын
Makonda baba mungu akutunze huna baya❤
@abdallahassan6378
@abdallahassan6378 Ай бұрын
Mb zangu hua zinamalizwa na Makonda , namkubali sn
@user-el6ev9dt5k
@user-el6ev9dt5k Ай бұрын
Muheshimiwa makonda fanya uchunguzi haki ya mtoto ipatikane, lkn pia mtoto kubakwa nyumba na mbele halafu aweze kukimbia mpaka kwa bibi kutoa taarifa ni ngumu, labda kama sio mara ya kwanza
@lightnessgilliard3703
@lightnessgilliard3703 27 күн бұрын
Ninashauri mkuu wa mkoa kuwa na Afsa ustawi ambae atakua na help desks kila anapokwenda na hii daima sio sawa
@MariamMmary-yn9nu
@MariamMmary-yn9nu 15 күн бұрын
Hivi hawa watu hawana utu wamekosa hata madada poa huko mtaani wapo wengi hvyo c wawanunue huko waache watoto wadogo hvyo jaman Allah awalaani sana hawa watu mlaaniwee kabisa msiwai furahia haya maisha kabisa mfeee
@nkidakisenga9004
@nkidakisenga9004 20 күн бұрын
Njoo na simiyu utuogoze makonda
@selemaniabdallah2621
@selemaniabdallah2621 28 күн бұрын
Haya wale mbuzi wa haki za binadamu wako wapi Sasa mbona na hili hawasemi makonda piga KAZI baba
@mwanduelizabeth2282
@mwanduelizabeth2282 Ай бұрын
😭😭😭Mungu Linda watoto wetu maana umesema watoto wote watafundishwa na wewe.
@user-ew3zj8ig4n
@user-ew3zj8ig4n Ай бұрын
Mtihan wallah 😢😢😢huyo kaka hatalaniwa huyo jamaaa
@jacobmakono4399
@jacobmakono4399 Ай бұрын
Makonda hapo umenichefua!Yesu Kristo akisema kitu ndo itakuwa hivyo hivyo .mambo yote yatapita lkn neno litasimama!Uf 21:8..waongo .. sehemu yao ni ktk ziwa la moto!!Heri wafu wafao ktk Bwana tangu Sasa wapate kupumnzika..leo hii utakuwa pamoja nami peponi!!..
@user-gx4vx5ru2u
@user-gx4vx5ru2u Ай бұрын
Wanaume wanaume mnachotafuta ni nin kwa vichanga? Mtakufa wote nyie kwa laana
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h Ай бұрын
Watu wafanye kazi wapate pesa halali wasidanganywe kuwabaka Watoto. Huyo mbakaji apewe kibano cha kutosha.
@lightnessgilliard3703
@lightnessgilliard3703 27 күн бұрын
Ninafikiri Kuna namna tunapaswa kusikiliza matatizo ya jamii na wala sio kwa kuwadhalilisha zaidi. Ni mawazo yangu tuu lakini waziri muhusika unaweza tupa muongozo hapa
@HemediNgasakwa
@HemediNgasakwa Ай бұрын
Mtu atakayesema makonda mbaya tutagombana breather makonda mm ajuwa hujawahi niona ila nirafkiako nasema mbele za mungu tupoge job
@rosehillary8742
@rosehillary8742 29 күн бұрын
Muueni huyo mbakaji Muueni tu
@hellenjonson5210
@hellenjonson5210 15 күн бұрын
Usiache kugombea urais
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 Ай бұрын
Mungu tuhurumie
@user-do6ep2md2d
@user-do6ep2md2d Ай бұрын
Kweli hii ndunia inamungu
@mrmirrowmrmirrow
@mrmirrowmrmirrow Ай бұрын
Makonda asanter baba
@LovelyBrain-wz7si
@LovelyBrain-wz7si Ай бұрын
Chatanda uko wapi? Jitokeze Sasa wamama wanadhalilishwa au wewe unatetea Wala rushwa
@user-zt4rd5pr1e
@user-zt4rd5pr1e Ай бұрын
Anasagwa yule mama, tena hana akili kabsa Kaz kumpinga mkonda tyu eb tuone nahili kama atasem jambo
@user-kq9lb7bd8l
@user-kq9lb7bd8l Ай бұрын
jamani arusha kunamatukiwo sana
@michaellomanus5121
@michaellomanus5121 Ай бұрын
Chatanda yuko wapi????
@user-ur8cq1ye3b
@user-ur8cq1ye3b Ай бұрын
Nyie mnaokaa maakamani mnaakili kweli au
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 Ай бұрын
Dubiani hakuna haki
@johnjoel5012
@johnjoel5012 Ай бұрын
Shasema mahakama za Tanzania ni rushwa ni uhozo no haki.
@MtegekiKaijage
@MtegekiKaijage Ай бұрын
Mahakimu wengi nchi hiii ni wa ovyo sijawahi kuonaa
@SILASSAYON-rb4pp
@SILASSAYON-rb4pp Ай бұрын
Haki za binadam na mnadakiwa kudili na hao sio kudili na makonda
@user-jb1fi5iq8g
@user-jb1fi5iq8g 28 күн бұрын
😢😢😢
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Ай бұрын
Hizi ndio mahakama zetu bwana . Mtu anaishi na mume miaka 12 mahakama inasema imejiridhisha hawajawahi kuchuma Mali yeyote😂
@RamadhanOmar-do5of
@RamadhanOmar-do5of 11 күн бұрын
Anashangaz
@user-ty2kc5jy7s
@user-ty2kc5jy7s Ай бұрын
Aisee mm ntamuua mtu mchana kweupeeeeee walah
@WansolaLuther-tq8qm
@WansolaLuther-tq8qm Ай бұрын
Hata mimi
@muzneali4747
@muzneali4747 Ай бұрын
UMOJA WA WANAWAKE KIMYA
@user-zt4rd5pr1e
@user-zt4rd5pr1e Ай бұрын
Waendelee kusema tena makonda anazalilisha wanawake
@user-pe8wh5bw2h
@user-pe8wh5bw2h Ай бұрын
Jmn jmn
@danyhance5679
@danyhance5679 Ай бұрын
Hapa issue ni kukata rufaa na kesi isimamiwe na serikali ya mkoa, ila kuanza upya sidhani kama itakua sahihi kisheria, itaonekana kuna taratibu zimekiukwa na watapata Technical Knockout.
@Mgema001
@Mgema001 Ай бұрын
Samahani mzee hivi kumbe kukata rufaa sio kuanza kesi upya
@jacobmakono4399
@jacobmakono4399 Ай бұрын
Yes!as long as room ya rufaa ipo basi hiyo ndo nafasi!
@anamsaid8610
@anamsaid8610 16 күн бұрын
Rais alisema anakupeleka Arusha kwa kazi maalum. Kama kazi yenyewe ndio hii basi dumu katika kazi Allah mtukufu akupe nguvu na busara
@aldeamasuki6196
@aldeamasuki6196 Ай бұрын
Mungu anakusudi lake nani angegudua haya madudu
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 127 МЛН
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 35 МЛН
МАМА И STANDOFF 2 😳 !FAKE GUN! #shorts
00:34
INNA SERG
Рет қаралды 4,2 МЛН
I Outsmarted My Bully Brother And Ate His Cotton Candy🤫😎
0:33
Giggle Jiggle
Рет қаралды 9 МЛН
Papa yeh dila do ajse mein aapki behen 😢😊 #shorts
0:30
Sikha shorts and vlogs
Рет қаралды 113 МЛН
Идеальный день ребёнка😂
0:11
МишАня
Рет қаралды 4,3 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
0:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН
Время летит быстро 😱
0:19
НЕБО - СПОРТ И РАЗВЛЕЧЕНИЯ
Рет қаралды 3,1 МЛН