No video

#live

  Рет қаралды 8,844

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 60
@123simon
@123simon Жыл бұрын
Hakika MUNGU ni mwaminifu, Barikiwa Sana Mtumishi wa MUNGU, Shetani ameshashindwa kwa Jina la YESU,Akuponye Haraka uzidi kuliinua Jina lake.
@annambezi6226
@annambezi6226 Жыл бұрын
Bwana Yesu Kristo akugharimikie daima ewe mpakwa mafuta wake. Hutakufa Bali utaishi uyasimulie matendo makuu ya Mungu
@mazikumihayo
@mazikumihayo Жыл бұрын
Nmefarijika sana kusikia sauti yako mtumishi wa Mungu,, nakuombea Mungu akutie nguvu urejee katika hali yako ya kawaida kwa jina la Yesu. Amen
@oscarntamamilo5022
@oscarntamamilo5022 Жыл бұрын
Shaloom
@dainesykalinga7133
@dainesykalinga7133 Жыл бұрын
Pole sana Mtumishi was Mungu naamini Mungu atazidi kukupigania na shetani hana nguvu tena katika Jina la Yesu .
@joycekaphevemba7215
@joycekaphevemba7215 Жыл бұрын
Nakuombea sana mtumishi wa Mungu , kwa kweli umeonesha ujasiri mwingi sana kwa ajili ya Mungu wetu Mungu akutendee mema na kuzidi
@mwangazakanganga8110
@mwangazakanganga8110 Жыл бұрын
Amen. Nimepokea katika jina la BWANA wetu Yesu Kristo
@dokasa9176
@dokasa9176 Жыл бұрын
Amen Amen,Yesu Kristo hajawahi shindwa Yeye ni Simba wa kabila la Yuda,akin guru man kila falme za giza zinambaratika
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 Жыл бұрын
Shetani ameaibika alitaka mtumishi wa Mungu asifike Arusha. Shetani nakuzomea ooooooh! Umeshindwa Shetani. Lile Mungu alilolikusudia lazima litimie huwezi kuzuia.Mungu akuponye sana mtumishi wa Mungu akupe maono makubwa na mafunuo. Ameeen
@nellyrebiam3095
@nellyrebiam3095 Жыл бұрын
Toka nimeanza kukusikia sijapata mashaka hata kitogo naona Ni kazi za Mungu
@franciscatedomiry9318
@franciscatedomiry9318 Жыл бұрын
Amen hakika Mungu nimwema sana kila wakati Mungu akulinde kila unapoenda watumishi wa Mungu mbarikiwe Amen
@owenomwanawayesu6961
@owenomwanawayesu6961 Жыл бұрын
Wacheni Mungu Yesu Kristo aitwe Mungu wa kweli aliye hai,ni furaha kumuona mchungaji Katekela…Bwana Yesu Kristo akulinde na mwovu na mawakala zake!
@prayerwomen3444
@prayerwomen3444 Жыл бұрын
Mungu wetu asinyamanze kwajili yako Mutumishi katekela 😢
@catherinemkai8228
@catherinemkai8228 Жыл бұрын
Mungu akuponye katika jina la Yesu
@niyonkuruobasanjo3304
@niyonkuruobasanjo3304 Жыл бұрын
Machozi yangu yamedondoka kisa kumuona mchungaji akiwa hivo alivyo, oooh my God. Mungu wa mbinguni akuponye
@veronicahkhaikwa4929
@veronicahkhaikwa4929 Жыл бұрын
Shetani ashindwe kwa jina la yesu achilia maisha ya mchungaji Amiel Katekellah kwa jina la yesu alie hai
@betinabrown8870
@betinabrown8870 Жыл бұрын
AMEN YESU aende kukupiganis
@owenomwanawayesu6961
@owenomwanawayesu6961 Жыл бұрын
Yesu Kristo ni Bwana wa kweli!
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni Kama aishivyo akuponye mtumishi wake jasiri ktk kristo ,na wana wa Giza wasi kuone,,
@gracemutono5023
@gracemutono5023 Жыл бұрын
Tunashukuru MUNGU sana kwa ushidi wake
@gracemutono5023
@gracemutono5023 Жыл бұрын
MUNGU akupe ngufu mtumishi wa MUNGU tuko pamoja Asante
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 Жыл бұрын
Asante YESU kwa kumpa kibali Mutumishi wako, shetani ashindwe na ameshindwa mufululizo in JESUS Name
@lucykapinga369
@lucykapinga369 Жыл бұрын
Amen
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 Жыл бұрын
Ameeen
@angelkabanza7002
@angelkabanza7002 Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni afanyike kuwa ngao yako daima na milele.
@bettykinyami5096
@bettykinyami5096 Жыл бұрын
Mungu na akuponye hadi maadui washangae, imeandikwa kila silaha itakayofanyikà juu yako haitafanikiwa, Amiel oyee!!
@christinekayungu2169
@christinekayungu2169 2 ай бұрын
Amen
@sarahevarest1202
@sarahevarest1202 Жыл бұрын
Amina Alama zimefutika na kuvunjika kwa jina la Yesu
@pastorypancras9010
@pastorypancras9010 Жыл бұрын
Namuomba mungu akutie nguvu akuponye alaka uzidi kuziokoa roho zilizoko kuzimu ..,..yesu ni mwema Kila wakati
@lailatlailat3850
@lailatlailat3850 Жыл бұрын
Nimefurah kukuona tena mtumishi wamungu
@neemamassame8183
@neemamassame8183 Жыл бұрын
Ukweli kabisa mchungaji umeonia imani ys wengi,tungelikuwa sisi wengine tungelala na kiahirisha mkutano Mungu kweli yumo ndani yako
@marthawanjira9637
@marthawanjira9637 Жыл бұрын
Kuna nguvu dani ya Damu ya Yesu.Aliekuita na kukuchagua katikati ya wengi huyo Mungu atakulinda na kukuhifadhi mpaka ukamilishe kazi aliyokuitia.Amani ya Kristu ikutoshe Milele Mch. Katekela
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
Damu ya Yesu kristo usiku itawameza WATESI wake wote.
@user-nu9ww9ly6q
@user-nu9ww9ly6q Жыл бұрын
Amen Amen mtumishi 🙏🙏🙏🙏🙏
@MosesWakristo-ko5ze
@MosesWakristo-ko5ze 10 ай бұрын
Heshima mamlaka na utukufu una Bwana
@mutabirwakashasha5428
@mutabirwakashasha5428 Жыл бұрын
Dah imekatikia sehemu muhimu sana aisee kwa huyo mzee
@rosedamiankabesa5092
@rosedamiankabesa5092 Жыл бұрын
To God be all the glory Hallelujah
@rechomethod8288
@rechomethod8288 Жыл бұрын
Mungu hatakuacha mtumishi wa Mungu
@dadaz4653
@dadaz4653 Жыл бұрын
Hakika YESU anakupenda
@salamam8721
@salamam8721 Жыл бұрын
Pokea uponyaji kwa nguvu ya Damu ya YESU KRISTU
@lailatlailat3850
@lailatlailat3850 Жыл бұрын
Mungu akupe nguvu mtumishi wamungu
@rabilubinza7661
@rabilubinza7661 Жыл бұрын
Mtumishi ukiandika neno Mungu kama ni Mungu wa mbinguni anza na herufi kubw a andika Mungu na sio mungu, ukiandika mungu unammaanisha shetani na sio Mungu wa Mbinguni.barikiwa sana naamini utabadilika.
@lailatlailat3850
@lailatlailat3850 Жыл бұрын
Sawa Asante
@patriciangui924
@patriciangui924 Жыл бұрын
Hakika Kuna Mungu mbinguni kama ni mtumishi wa Mungu anasimama YESU akuponye kabisa kabisa
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
SHETANI ASHINDWE NI MBAYA SAAAANA. AMEONA AMUMUZE TU MGUU WAKE KIHIVYO, LKN NAAMINI MTUMISHI NI NI KIBOKO YA WACHAWI WOTE KUTOKANA NA HISTORIA YAKE, ATAMKEMEA KWA NGUVU KUBWA NA KESHO ATAKUWA MZIMA NA FIMBO IWE YA MUSA YA KUWATANDIKA WAMISRI HAO WASIRUDIE TENA. ASANTE YESU.
@rahmaantony2982
@rahmaantony2982 Жыл бұрын
Mchungaji wangu pole Sana kwa tatizo lilokupata. Kuzimu imeona aibu kwa uzima ulio nao nami Niko nawe kwa maombi Kila siku
@neemakilingo8282
@neemakilingo8282 Жыл бұрын
Shetani UMESHINDWA KABISA ,MUNGU WA MBINGUNI ENDELEA KUMTETEA KATEKELA WAKO
@suzanfavour5558
@suzanfavour5558 Жыл бұрын
Aisee Mungu akutunze Miaka mimgi na mingi
@jeniphatemu2937
@jeniphatemu2937 Жыл бұрын
PROMOVER PLEASE WEKA PICHA YA KOANDOO WA YESU, UJASIRI WAKE KUHUBIRI AKIWA NA MAUMIVU MAKALI UNATUINUA WAGONJWA VITANDANI. TUNAPOJILINGANISHA NA REV. KATEKELA A.
@srdorcaskulimushi3195
@srdorcaskulimushi3195 Жыл бұрын
Watafa waaaawo kabla ya Christmas
@lucykapinga369
@lucykapinga369 Жыл бұрын
kutoka 20,-18
@neemambully2769
@neemambully2769 Жыл бұрын
Pollen jaman na hongereni kwa ushindi,atukuzwe yeye asietutoa kuwa mawindo.
@BerylSeer1
@BerylSeer1 Жыл бұрын
Mbona haurekod msomaji
@deborahmimbikhan9358
@deborahmimbikhan9358 Жыл бұрын
Bwana YESU asifiwe Mchungaji, arusha sehemu gani nataka nihudhurie semina.
@miriamgracemcharo3289
@miriamgracemcharo3289 Жыл бұрын
Wanasema wako SOMBETINI
@miriamgracemcharo3289
@miriamgracemcharo3289 Жыл бұрын
EAGT House of Prayer SOMBETINI
@deborahmimbikhan9358
@deborahmimbikhan9358 Жыл бұрын
Asante Sana.
@ecanawalengwa2511
@ecanawalengwa2511 Жыл бұрын
Niko marekan kumefanyika aje uko Arusha kuhusu mtumish WA bwana amieli kumekuwa je ?
@neemakilingo8282
@neemakilingo8282 Жыл бұрын
Kaka Jactani mbona imeishia hapo jmn
@srdorcaskulimushi3195
@srdorcaskulimushi3195 Жыл бұрын
Bwana wa ma Bwana akuchunge kwamaana michale ni mengi kwako lakini na aminitu uta shinda baba wewe songa mbele na wala usirudi nyuma hata kimawazo
Semina Inaendelea hapa Arusha, karibu wote
0:16
PROMOVER TV
Рет қаралды 12 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 39 МЛН
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 22 МЛН
Logo Matching Challenge with Alfredo Larin Family! 👍
00:36
BigSchool
Рет қаралды 21 МЛН
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 13 МЛН
UKWELI KUHUSU MAJI,MAFUTA YA #UPAKO HUU KAPA !!
17:19
Issack Mzava
Рет қаралды 4,5 М.
NGUVU YA AGANO NYUMA YA JINA LA UKOO
35:02
Ev. Frank Mgeni
Рет қаралды 444
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
Dr Ipyana
Рет қаралды 474 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 39 МЛН