90%of this world ni vitu vya kuzimu hat tushukuru Mungu Sana kw ulizi juu vyakula mavazi,etc kuzimu inaunda🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mercy342 Жыл бұрын
Na mkubali huyu mtumishi wa Mungu kweli neema ya mungu ipo
@leahenockmrina53812 жыл бұрын
Dah Leo watumishi wa Mungu somo limekolea sana Mungu azidi kuwabariki Mchungaji Amiel Daniel Katekela na muwezeshaji wa promover tv mtumishi Jactan Msafiri Asanteni sana
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen
@maryandason18152 жыл бұрын
Ongeren jmn kwa kumaliza vizur semina jina la YESU litukuzwe 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 mzidi na kuongezeka cku zote
@Musaasnathkawono Жыл бұрын
Nabarikiwa Sana kuptia kpindi chenu Cha promover tv,
@miria6592 жыл бұрын
God will always bless you pastor Amieli because you are humble teachable n that is why God is using you in a mighty way
@nkugi2 жыл бұрын
True
@ibrahimisaack4400 Жыл бұрын
Nakupenda mtumishi because your frexble.
@aishakilimba59382 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu furaha yangu nikuona umeokoka umeniinua kiimani Mimi pia niliokolewa nilikuwa muislam, Jacktan umeniongezea Imani Kwa viwango Kwa kazi Yako🙏🙏
@DenisCasey-kh8ub Жыл бұрын
Asante sana Mungu wetu kwaku tutumia mchungaji huyu ambaye anaye tufungulia vitu ambavyo sisi wanawako ambavyo atuku tumevijuwa asante sana Yesu Kristo ✴️
@tatumluv60542 жыл бұрын
Asanteni sawa team ya promover kwa huduma hii BWANA awabariki na mchungaji Amiel pia
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Hallelujah hallelujah amen
@daphine82292 жыл бұрын
Ahsante mchungaji,umenichanua sana God bless you, you have a purpose.
@ngwanafabian46122 жыл бұрын
Utakatifu ni (pakeji) iliyosheheni vitu vingi ikiwemo, namna tunavyowaza, tunayoyanena, tunavyovaa, tunavyotembea nk. Utakatifu siyo kufunga na kuomba tu ni zaidi ya hapo.
@Esthernyenyezi32 жыл бұрын
Kweli
@endtimes98502 жыл бұрын
My faith has raised more and more. GOD of heaven bless you all in this CHRIST work
@pammymoraamoraa67022 жыл бұрын
Knowledge is truly powerful I thank God we get such people to teach us so much like this , ubarikiwe mtumishi Emieli
@bintalmasi23932 жыл бұрын
😊😊 Mungu ni mwema sana wewe ni mnyenyekevu na msikivu,Mungu aendelee kukuinua kwa viwango alivyokukusudia Yesu Kristo.
@nemaodhiambo72742 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@aishaidrissa61332 жыл бұрын
Bado hiyo Pete kidoleni lkn atajua
@bintalmasi23932 жыл бұрын
@@aishaidrissa6133 ya ndoa ee? Nami namwomba Mungu nipate neema ya kuivulia mbali, bado nimevaa pete ya ndoa.Mungu nisaidie kuiachilia kutoka moyoni🙏🙏🙏 nimeweza kuchoma suruali, kuacha kusuka nyuzi na rasta, makeup zote, na nimefanikiwa kufunika kichwa kanisani.
@aishaidrissa61332 жыл бұрын
Tufatishe Mungu alivyo fanya kwa Adam na hawa, inatosha, yanayozidi yanatoka kwa mwovu
@nemaodhiambo72742 жыл бұрын
@@bintalmasi2393 Mungu akubariki sana sana
@liesharehema51932 жыл бұрын
Amina mtumishi kwa kufafanua vizuri Leo mwenye sikio na asikieeee God bless you
@sharonnkenya Жыл бұрын
Wewe ni mwalimu mzuri sana,twamshukuru mungu kwa ajili yako,barikiwa sana.
@maryamayitsa61812 жыл бұрын
Asante sana mtumishi, kwangu mm naamini kua chochote chakujibandika kama nywele kucha na kubadili rangi ya ngozi, mm naona nikama kumkosoa mungu kua hakukuumba ipasavio,bora nifurahiye nilifio umbwa, tena tunajua kwamba wanawake hawafai kuvalia suruali za waume, na ukipuuza ukavifanya naamini kua hautasamehewa,kwa sababu ulifanya makusudi, kwahivo watu wasikukwaze na swala lanywele za kubadika, Mungu akusaidie kwa kazi nzuri na ngumu unayoifanya,🇰🇪🇰🇪.
@annambilinyi37222 жыл бұрын
Hongera Sana ,Mtumishi kwa kazi ya Mungu,na unyenyekevu ulio nao Mungu azidi kukuongezea ACD,ili uwe viwango vya juu,ili kuitenda kazi yake,Haleluya!!!
@catherinemutindi50312 жыл бұрын
I'm Cate watching from Kenya .nawasalim katika jina la yetu kristo,jactan msafiri,Amiel katekela,na team nzima ya promover tv.yesu hazidi kuwampigania na kuwatia nguvu.
@Jeffah_Iman_Kauchape Жыл бұрын
Nawe pia pokea salamu Cate
@gracendunge7587 Жыл бұрын
God bless u so much and increase u brothers for enlightening us...hakika mungu awajaze neema na fadhili zake..mungu azidi kukulinda na kukupanua Mtumishi Amiel
@madamtemu41672 жыл бұрын
Asante sn watumishi wa Mungu,Mungu awabarik sn,mnatusaidia kuwa makini.
@mandyaltrfawi69862 жыл бұрын
Tunajifunza kila siku Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@hermanemmanuel19532 жыл бұрын
YES THIS IS PASTOR AMILIEL I WANT TO SEE IN JESUS CHRIST NAME HALELUYAH. UBARIKIWE SANA MCHUNGAJI WANGU KWA KUMSIKILIZA ROHO MTAKATIFU KWA UZURI NA KUFANYA MABADILIKO HALELUYA, HAKIKA WEWE NA NYUMA YAKO NAKUTAMKIA HAMTAKOSA MBINGU NA MUNGU AZIDI SANA KUKUFUNDISHA MBAKA DAKIKA YA MWISHO HALELUYA AMINA.
@irineochieng24552 жыл бұрын
Ahsante kwa roho mtakatifu kukufunulia zaidi kuhusu ukataji wa nywele,kwasababu kwa Yesu hakuna excuse na dhambi ni dhambi.
@emanuelayubu50212 жыл бұрын
Mungu hazingatii habari za unyoaji wa nywele, bali nafsi yako imejaa nn
@elizabethmuthike96232 жыл бұрын
Congratulations kwa kuamua kerekebisha unyoaji wako asante sana MTU wa mungu uliamua maamuzi yalio sahii mbele za mungu kweli kabsa muonekano wako sasa hivi auna ata kasoro moja inayo onekana barikiwa sana
@revelationc.23-jpm752 жыл бұрын
I think your microscopic vision is very sharp and clear! Hongera dada, naamini nawe upo vizuri.
@faithford9792 ай бұрын
Jamani sikiliza neno hata wewe una matatizo
@nicholaskiragu27972 жыл бұрын
Huuh! Brother you are doing wonderful! Great work in the kingdom of God! Nowander God allowed you to go through the kingdom of darkness so as you can reveal these secrets!! God bless you Soo much Sir Amieli Katekela.
@thelivingwordchannel90272 жыл бұрын
Kwa maarifa haya uliyonayo juu ya kuzimu ni dhahiri ulikuwa umezama sana kwenye ulimwengu wa giza.Katika shuhuda nilizowahi kusikia nadhani huu wa kwako ni wa kufundisha na kufungua watu macho jinsi shetani anavyofanya kazi.Ubarikiwe sana mtumishi.
@martinmaryogo36762 жыл бұрын
kbsa hta mm hii n namba moja huyu jmaa anaeleza mamb makubw sn juu ya kuzm
@irenek72802 жыл бұрын
Wow thanks for continuation mtumishi am always ready to learn from you🇰🇪
@millicentnaliaka2 жыл бұрын
😄😄hongera sana mtumishi Amieli na pia tunamshukuru Roho mtakatifu kuuongoza kwa kilichosawa ubarikiwe nazidi kukufwata
@noellanduwimana512 жыл бұрын
Karibu Rwanda mutumishi mimi nakufuraiya saaaanaaaa
@cuthbertsebastian27052 жыл бұрын
@@noellanduwimana51 naomba link ya wsp y mtumishi
@lizanyango11442 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mchungaji Amiel. Sio kila kitu unaweza kufunuliwa lakini kwa sababu uko na moyo wa kufundishika Mungu akusaidie kuhusiana na pete. Mimi nilikuwa kichwa ngumu kwa maswala ya nywele . Lakini nilifunuliwa na hadi wakati huu sisongi nywele wala dawa niko na nywele asili ya kuzaliwa. Ahsante.
@eviealex252 жыл бұрын
Mungu azidi kuwainua mch. Amiel, Jacktan, Erick na team nzima ya Promover, Mungu awatunze na kuwaongoza mtokapo na muingiapo in the name of our Lord Jesus Christ of Nazareth 🙏🏿
@catemacharia84992 жыл бұрын
I love you people for what you teach us God bless you
@josephmutemi74942 жыл бұрын
Amen BWANA awabariki sana mtumishi katekela pamoja na Kaka Jacktan
Amina mtumishi,🙏 hata sauti YAKO inaujasiri na NGUVU ndani yake, unazidi kutupa ujasiri 💪😊🙏 BARIKIWA saana
@liesharehema51932 жыл бұрын
Dada do rice nakusalimu ktk Jina LA Yesu kristo naomba namba yako ili tuwe tunawasiliana huwa nakuona kwenye mlima wa ukweli
@sionlemajoel722 жыл бұрын
Mungu awabariki nashukuru sana kwa ajili ya maarifa haya yanatusaidia kuomba
@motelutula33802 жыл бұрын
God bless you much! Tunasubr mwendelezo ila naona unachelewa mno!
@emmymatigula48702 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa MUNGU ALIYEHAI Na asante watumishi wa PTOMOVERTV Kweli nimejifunzaaa sana 🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤❤
@amishambar34182 жыл бұрын
Mbarikiwe sana nabarikiwa sana na ushuhuda Wa mchungaji amiel katekera nakila siku nazidi kujazawa na imani tena asante Sana kwa kutufungua akili nimeweza kutazama vitu or mambo kivingine asante sana batikiweni sana jactani na mchungaji amiel
@danielkassi322210 ай бұрын
Watumishi mungu wa mbiguni awajalie neema yake,na kuzidi for the good jobs,ningependa kujua vitabu vyenye shuhuda na fundisho lako...
@josephmutemi74942 жыл бұрын
Ameeeeen mafusho mazuri mchungaji BWANA akulinde
@mindenlightenment2 жыл бұрын
We are glad for this!♥️♥️
@helmashimba77612 жыл бұрын
We are really are
@isayanyingi66222 жыл бұрын
Always God talk to me in different testimony through this media "be blessed with God" aiseeee,,,,,,,,
@julianapeason62542 жыл бұрын
My dear brother you are talking the truth, ndoto ni mlango wa kiroho, Mungu anazungumza nasi vitu vingi kupitia ndoto, binafsi naota ndoto sana, kuna ninazoshinda na kuna ninazolega, ila huwa napambana kuomba kadri ninavyoota,binafsi ni kama maisha yangu yanaendeshwa na ndoto, kwa sababu najikuta nafanyia kazi ndoto zangu tu, napambana na watu ambao ni maarufu sana ambao hata hawanifahamu ila mimi nawafahamu kupitia mitandao, but kiroho nakutana nao kupitia ndoto wakipambana na mimi kwa kuwa nawagusa katika maombi, ila huwa nafanya maombi sana ya kuangusha utawala wa ibilisi duniani, na nadhani ndio maana hawa watu wanapambana na mimi, but I believe that am always the winner
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen
@liesharehema51932 жыл бұрын
Leo nimefurahi kuisikia hivyo kwasababu wengine walitubeza ubarikiwe mtumishi wa Mungu aminaaaaaaa kubwa Huyo ndo Mungu wetuuuu
@christinezuma5588 Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.umenifunza mengi hapa
@happnesskitumbo57132 жыл бұрын
Kweli kaka wewe ni mnyenyekevu kabisa. Yesu atakufikisha mbali saaana kaka.
@emelivaly17202 жыл бұрын
Hi 🖐️. Mtumish. Amieli. Na. Jacktan. Asante. Sana. Kwa. Kutuelemisha nimebasikiwa. Sawa. Ninaona. Life. Nikiwa. Oman 🇴🇲 may the. Almighty God bless you all 🙏. Somuch
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen
@helenanduwimana97152 жыл бұрын
@@PromovertvTz 008
@helenanduwimana97152 жыл бұрын
8
@bentaatieno97762 жыл бұрын
Asante sana Mtumishi Ya Mungu
@japhetausu84752 жыл бұрын
a, ... - Yi, -
@joelboy56562 жыл бұрын
Mungu Akubariki much Amiel katekela pamoja na team ya promover tv
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen
@ellyitete9382 жыл бұрын
Asanteh Sana Sana ........umetusaidia mtumishi ........
@irenek72802 жыл бұрын
Asanti saana MCH barikiwa
@angelanaftael79652 жыл бұрын
Mungu asante kwa elimu hii kubwa ya siri za ulimwengu wa Giza na ulimwengu wa Mbingu zako baba
@yvettekyalika9072 жыл бұрын
💃💃❤️🔥kwa YESU kuna tumaini.. kunarahaaa 🔥..❤️ nawapenda sana team ya promover TV 💃❤️...
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Asante
@mamahope99232 жыл бұрын
Asante sana mchungaji pamoja na promover TV,mungu awabariki sana, Mimi nimeokoka nanimefurahia mungu kwa mchungaji atawasaidia sana wakristo, Ningeomba mchungaji atuelekeze,nyakati,siku na wakati ata mwaka na masaa ya utenda kazi wa kusimu ili tukaweze kupinga Mambo ya shetani kwa njia kuu,asante.
@nancydayo83922 жыл бұрын
I salute you Kingdom Ambassadors. You are touching lives. Glory be to the Lord. More grace!
@GodfreyLazaro-bu8cy23 күн бұрын
Kwa kweli utatu wenu uko vizuri sana mungu awa bariki sana
@prudencesumbane28862 жыл бұрын
Mungu awakubariki sana , kwa kutufunuliya izo siri tulikuwa tume angamiya kweli, bila kujielewa, 🙌👏
@josepjminja45902 жыл бұрын
Nakushukuru sana Kwa ushuhuda huu ambao umenitia nguvu sana. Lakini mimi naona ni Bora wanawake wasiweke rasta hata za katani, kwavile hata zenyewe zinaweza kuwekwa code ya kuzimu. Hivyo Kuwa salama ni kuacha kuzitumia kabisa. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
@gracekinyaki23762 жыл бұрын
Barikiwa watumishi wa Mungu
@boazcosmaswarubenge4171 Жыл бұрын
Mtumishi ubarikiwe kutufundisha wanawa Mungu. Mimi ni naomba utueleze maumbo ya maraika na mapepo maana Watu wengi tunamtazamo tofauti juu ya hao viumbe.
@lydiamichael55092 жыл бұрын
Mbarkiwe sana watumishi wa Mungu hakika tunajifunza mengi jina la Bwana lizidi kuhimidiwa.
@rehemasuleiman74692 жыл бұрын
Nabarikiwa na utumushi wako,naomba Mungu anisaidie nivuke,Kila ninapisikiliza napata Jambo jipya
@rahellubandila19282 жыл бұрын
Umenibariki sana mtumishi waache kumkosoa Mungu, warumi 12:2
@dainesykalinga71332 жыл бұрын
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu kwa kutueleza ukweli .
@joycehyera42332 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi na Bwana Yesu Akutunze! Naomba utufafanulie ni nywele za aina gani ni mbaya na nywele zipi nzuri tafazali naomba sana tuweke sawa hapo
@pleystill99132 жыл бұрын
Mungu akuongezee imani mtumishi wa Mungu
@lucyjoseph42162 жыл бұрын
Jactan ubarikiwe Sana na Mchungaji ainuliwe na mungu Kwa kazi njema na sahihi anayoifanya
@ruthogungo Жыл бұрын
From Kenya taking notes.. God bless you men of God
@adilimihinga7873 Жыл бұрын
Ahsante sana mimi nitakuwa nakuuita 'mchungaji mzalendo' elimu hii ndio tuliokuwa tuna ikosa songa mbele
@irenek72802 жыл бұрын
Mimi naelewa MCH saana anafunza Chenye anajua na Ako na unyenyekevu wa roho mtakatifu
@teonasjorgelimbwata92072 жыл бұрын
Obrigado irmão pelo testemunho
@FedrickChrisant Жыл бұрын
Mungu akubaliki sana
@catherinemwandiga12232 жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi wa Mungu
@waithirahnaomy15732 жыл бұрын
Asante Sana mtumishi wa mungu,,,,mungu awabarikii
@graceofgolgothatv2 жыл бұрын
Tuna moyo wa shukrani kwa huduma hii ambao tumevumbiwa mambo mengi zaidi Mungu wetu azidi kubariki Mtumishi wake na Promover TV
@zipporahmibei90072 жыл бұрын
Mubarikiwe wajungaji
@mariumngusa571 Жыл бұрын
Namshkuru Mungu kwa ajili ya huyu Mtumishi Kwan tunapata vitu sana kwa kweli mtu asipoelewa kwamba hizi ni nyakati gan,,, mmmmh
@dodoted50332 жыл бұрын
Mchungaji Katekela usibabaishwe na denge maadam hukunyoa kwa sababu ya mizimu ama sadaka za shetani,haina shida wala wasikubabaishe hukuweka manuizi ya kishetani. Mtukuze Bwana Yesu Kristo.
@liesharehema51932 жыл бұрын
Mtumishi Leo umenipa maarifa ya kuomba zaidi Kuna siri nimeipata hapa leo
@ambrosiovictorvalerio1307 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana, mimi nina pona
@azizabuyonde83682 жыл бұрын
Mubarikiwe kwa kazi nzuri ya Mungu, amen
@anneokari31842 жыл бұрын
Karibu Dohnholm...Nairobi Kenya
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Asante
@mauwajeanpierre78322 жыл бұрын
Thank you so much God bless you guys I am so happy to understand about ACD
@ngendakumanalewis14722 жыл бұрын
Iyi nimeipenda sana haswa mwishoni
@aishakilimba59382 жыл бұрын
Usikate tamaa naamini wanaadamu duniani sio wote tuu wa Mungu comment zao zisikukatishe tamaa
@sallymumia84252 жыл бұрын
Twahitaji bado Kenya,Sana.
@THEDEMISEOFTHECITYOFDARESALAAM2 жыл бұрын
AICD NI KIPIMO CHA KIROHO kupima nguvu za kiroho na nguvu za kiroho zinatokana na imani yako kwa Mungu. . yaani wanapima asilimia zako za nguvu za kiroho una ngapi Mfano mume ana asilimia 5 mke ana asilimia 60. Mume atalindwa na nguvu ya mke.
@jangarakabage Жыл бұрын
Mungu akubarki Sana mchungaji
@harunigaitani3382 жыл бұрын
Yaaaan mtumish kwa ili la nywere hakika utafika mbali sana umenifraisha sana
@theshoppershub2 жыл бұрын
Karibu Donholm nyumbani kwetu mtumishi
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Asante
@salimaechessa89332 жыл бұрын
Mungu awazidishie nguvu kwa ufafanuzi huu,naomba muniombee sana nasumbuliwa na jini mahaba.
@chrisophermazanza64992 жыл бұрын
Ingia promover angalia mafundisho ya mtumishi Adam Aston mbaya amelezea jinsi ya kushinda Hilo swala chukua sadaka yako nenda kampe mchungaji wako au mtumishi anaehusika na maombi mueleze Hilo swala Kisha ataanza maombi sadaka yako ndio inatoa uhalali wa kumfukuza huyo jini
@rhodahsavayi51462 жыл бұрын
Asante promover TV kwa mafunzo mazuri
@peninahkariuki11362 жыл бұрын
Be blessed Man of God🙏🙏
@lukresiajohn39392 жыл бұрын
Barikiwe sana mtumishi amnieli na jacktani Kwa ujumla
@yvettekyalika9072 жыл бұрын
...🙂 ushuuda ya Shehe Omar Mnyeshan inazungumuza piya iyi nguvu ya ACDi....
Ameeen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 nimesika nitabadilika kwa jina la nilikuwa najiuliza ntatoka aje nta epuka aje hii hali?
@mauriceishengoma59552 жыл бұрын
Mtumishi mtu anayesuka nywele zake mwenyewe bila kuongeza kitu cha ziada haitamzuia mtu kwenda mbinguni. mwanamke nywele ndefu ni utukufu kwa Mungu.
@graceshayo13472 жыл бұрын
Mtumishi umependez jmn Mungu aendeleee kukutunz
@frankinspired64862 жыл бұрын
Nilifurahi jana kukutana na nyinyi Jacktan na Amieli jana baada ya kutafutana kwa mda. Naomba pia Amieli ueleze hizo milango 14 Za mtu kuingiliwa na majini na roho chafu..