Hakika Bwana Yesu ndie Mchungaji wa kondoo, atawarudisha waliovunjika, waliofukuzwa, waliokonda, waliowagonjwa mbinguni bali walionona atawalisha hukumu
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur9 ай бұрын
Yani Mchungaji FREDRICK uko vizuri sana yani hii clip ya hili somo ni Bora kuliko zote,ukweli mtupu Umeongea
@lilianachayo9 ай бұрын
Aaaamina makuu haya, ukweli huu , umefichwa ndani ya mwamba "huu" (peter) kufunuliwa na Mungu mwemyewe, barikiwa sana, what a bitter truth, promova barikiweni
@adelinaerrobee66158 ай бұрын
Asanteni sana promovar tumepona
@RubenMtuwaMungu-bz8ee10 ай бұрын
Najua mizimu ipo ila watumishi wengi wanaitafsiri kwa upotoshaji kwa lengo la kuwanufaisha. Wengi wanaegemea kwenye sadaka za kuvunja laana, sina tatizo na sadaka ila tunapaswa kurejea kwa waasisi wetu,hawakuwa na mambo ya kuvunja laana wao waliokoka na kujazwa Roho mtakatifu wakaanza utumishi na wapo wengi tu waliofanikiwa.
@ngugit889 ай бұрын
Asanteni sana promover tv ,pia nashukuru Mungu sana kwa watumishi hawa wanao hubiri neno la Bwana Yesu njisi lilivyo nimejifunza mengi sana humu ndani,na nimeona injili ya Tanzania inatofauti saana na ya hapa kwetu kenya,hawaogopi lolote bibilia yasema Mungu yuwajua walio wake
@mariakibwana37004 ай бұрын
Mtumishi Mungu akubariki,unaongea ukweli kabisa kwa asilimia 100.
@YasintaRaphael9 ай бұрын
Asante kwa mafundisho haya mazuli yaliyojaa ufahamu
@SleepyGarterSnake-pm7fq9 ай бұрын
Nasuburiwa kwa kile ulichokifundisha naomba namba ya sm hili unisaidie
@tamarali832510 ай бұрын
Promover Barikiweni. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu ❤
@maryandason18159 ай бұрын
Kaka jacktan..plzzz mtupee no za uyu pastor❤
@mariamayambwe4 ай бұрын
mbona hatuwekewi namba za huyu mtumishi?familia zinaangamia kwa mizimu,tusaidieni namba
@georgekiwango23909 ай бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi wa MUNGU. Naomba namba YAKO ya simu kwa msaada zaidi mtumishi
@tamarali832510 ай бұрын
Mungu utusamehe na utsaidie especially wanawake
@ReginaNdunguru9 ай бұрын
Wewe ni mtumishi wakweli,mungu akutumie zaid na zaid
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur9 ай бұрын
Naomba namba zake za simu huyu Mchungaji
@EliyaAnicet9 ай бұрын
Ukweli huu kabisa
@ngugit889 ай бұрын
Jacktan tafadhali tulitee mafundisho haya twaangamia jamani mimi hapa nimechoka kua mkristo lkn naumia mimi pamoja na watoto wetu😢😢😢😢ndoa zao hazijasimama umaskini umekita mizizi mimi peke yangu ndie nimeokoka wengine walikufa moyo maana wanamwamini Mungu lakini mateso hayakomi tafadhali mimi na jamii yangu twahitaji msaada kweli niko kenya
@mariakibwana37004 ай бұрын
Ndugu yangu, umeongea sawa yani sisi familia yetu tunateswa sana.Ningependa tuwasiliana na kubadilishana mawazo.
@philisrabby27799 ай бұрын
Amen
@ladyhellen77oti6510 ай бұрын
Bwana yesu atupe nguvu
@lydiamichael55099 ай бұрын
Asante kwa mafunzo mema mchungaji wa Mungu promover tv kudos for good job
@fedhajoseph768710 ай бұрын
Tunashukuru kwa mafundisho mwalimu wangu hakika tunajifunza mengi sana hapa.
@amishambar34189 ай бұрын
Amina❤ asante promover mungu azidi kuwa bariki nakuwatumia na kueneza injili
@PerisChari10 ай бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu.
@jemusestevao9 ай бұрын
Niko Mozambiqui
@atulindakanuma41449 ай бұрын
Ubarikiwe nitumie no yake ya cm
@GreyMuta-n6f7 ай бұрын
Amen glory to God
@PerisChari10 ай бұрын
Naomba Promover Tv munitumie number ya Pst huyu
@juniorkalinge586110 ай бұрын
Be highly blessed IJN
@reachglobal993910 ай бұрын
Amina nmepata mwanga
@reginafrolence10 ай бұрын
Amen ubarikiw mtumiwe
@LadislausOdilo6 ай бұрын
Asante promover tv naomba namba ya huyu mtumishi please
Promover mbona sioni ushuhuda au mafundisho mengine ya Mchungaj huyu? Nitapataje namba yake
@JoblessMillionaireMakolo-jb7xoАй бұрын
Sasa Mbona unachanganya habari Mizimu na shetani ni vitu viwili tofauti, sababu shetani alikuwa malaika akakimbia mbinguni na kushuka duniani,alafu Mizimu ni wafu waliotutangulia kitambo mababu na mabibi.
@rabecamapunda638910 ай бұрын
Ubarikiwe Lakini njoo hapa Matendo 2:38
@EdwinMbwilo-fj6bf10 ай бұрын
YESU akubariki sana kwa hilo andiko. Waliookoka wengi hawataki kuacha dhambi na hawataki kujaa Roho Mt. Maana mtu aliyejaa Roho giza huondoka na Nuru hutawala.
@LucyKapinga-fg4dk10 ай бұрын
@@EdwinMbwilo-fj6bfUSIBISHE MIM MIONGONI WA CHANGAMOTO IZO NA SIPEND KUTENDA DHAMBI NA WALA MAPAMBO NA WALA MACHUKIZO SIPO KOTE NA ROHO MTAKATIFU NINAE NAKILA KITU NILIONA USISIKIE NDUGU AYAMAMBO INATAKIWA UYAVUNJE MAANA USIPO FANYA NI KAMA UNAUDUMIA MABWANA WA WILI MAANA KWENYE MIZIMWI WALIKUUNGANISHA MABABU ,WEW UJUI NDIOMAAN TUNA TAKIWA NASISI TUPO KWENYE WOKOVU BUT Tufanye maombi ya maagano kuvunja na laana za Ukoo kusambaratisha Dhen,ukimaliza Wew unakuwa unaudumia Bwana mmoja YESU KRISTO ,
@dastankalinga44210 ай бұрын
Naomba namba ya mchngaji huyu
@jinyaminkuba-wy7xx10 ай бұрын
Nisaidie namba yamutumishi huyu ninashida
@gosbertmuta542110 ай бұрын
Me simuelewi ase😂😂😂😂😂anachanganya mambo
@LucyKapinga-fg4dk10 ай бұрын
Msikilize Kwa UMAKINI mbona Anaereweka
@jemusestevao9 ай бұрын
Nifuanhe Nini ili nitoke kwenhe Mzimu?
@LucyKapinga-fg4dk7 ай бұрын
Punjab maagano na mizimwi omba muongozo kwa mchungaji mfanye maombi jitahid nimuimu
@FarajiiAlly7 ай бұрын
Hahahahaah mnaji danganya na kuji tia hofu ya maisha tu hakuna mchungaji wala shehe anae weza kuvunja jadiii ya kabila au uko furan
@ainekishagodwin187710 ай бұрын
Mdogowangu anamiaka minne haingii kwenye siku zake
@RubenMtuwaMungu-bz8ee10 ай бұрын
Kuokoka nusu nusu ndiyo kisa cha kusumbuliwa na mizimu. Ukiokoka mazima mizimu itakuomboleza kuwa umekufa itamfuatiliaje marehemu.
@LucyKapinga-fg4dk7 ай бұрын
Mmmh !Jaman sii hivyoo
@FarajiiAlly7 ай бұрын
Hakuna mizimu inayo mfunga mtu uzaz wa jambo lolote
@FarajiiAlly7 ай бұрын
KWA WATU AMBAO HAWA JUI HAYO MAMBO NDIO UTA WATISHA NA KUWA DANGANYA……… MIZIMU INA FUNGA UZAZ WAKAT ZAMAN WATU NDO WALI KUWA WANA UWEZO WA KUZAAA WATOTO WENG KULIKO SAIZ HAYA HILO PIA WATU HAWA LIJUI LOOOOOOOO
@maombikonga7 ай бұрын
😂HII NI KUJENGEANA HOFU YA MAISHA TU
@mariakibwana37004 ай бұрын
Unaongea hivyo ,kwa vile ya kwako yamenyooka,na Mungu akubariki yazidi kunyooka hivyohivyo. Sisi tunaopitia changamoto hatuwezi kuwa na neno lolote
@EdwinMbwilo-fj6bf10 ай бұрын
Mtu uliyemwamini Yesu ukatubu na kusamehewa dhambi zako na kujazwa Roho Mt na kunena kwa lugha.Mizimu ni nini uchawi ni nini wapendwa? Tatizo watu wengi wametubu dhambi na kusamehewa lakini hawataki kujaa Roho Mt na kunena kwa lugha.
@LucyKapinga-fg4dk10 ай бұрын
Kasikilize kwa mchungaji katekela kuusu laana na maagano ya ukoo maana kaweka kilakitu wazi Amini ,
@EdwinMbwilo-fj6bf9 ай бұрын
Mtumishi shida waumini wengi wa kanisa la leo hawataki kujaa Roho Mt. Mtu aliyetubu na kusamehewa dhambi kama hajajaa Roho Mt huyo wachawi wanamkaba tu na analogeka na kuvamiwa na mizimu na majini na kila roho mbaya.
@LucyKapinga-fg4dk9 ай бұрын
@@EdwinMbwilo-fj6bf mizimu ya Ukoo inasumbua Kama kawaida na maaganobya ukoo Yanaendelea Ataukiwa na Roho mtakatifu Ila kinachovtakiwa Kuokoka na Kuvunjavlaana maagano ya ukoo na mizimu giza zote na kubaki naYESU MAANA ulionganishwa na maagano pasipo wew kuwepo elewa ilo soo unatakiwa kuyakataa nakubaki na YESU BILA HIVYO UTAKUWA UNAUDUMIA SEHEM MBILI GIZA NA NURU MFANO HAI MIMI YALINIKUTA NANINAYE ROHO MTAKATIFU BUT ILA NILIPATA GONJWA ILA STILL MUNGU AKUNIACHA ILA NILIVUNJA MAAGANOBYOTE NAKUKATAA SASA NINAYE YESU KRISTO
@LucyKapinga-fg4dk7 ай бұрын
Mimi nitapinga fahamu unatakiwa kunja maagano na maroho na mizimu una vunja unajitoa na ukoo wako maana usipo fanya maombi hayo nikwamba atAkqma umeokoka kwer unapaswa ukane maana unakuwa Unatumia mabwana mawilii , @@EdwinMbwilo-fj6bf
@LucyKapinga-fg4dk7 ай бұрын
Mim nampenda YESU SANAA ,NA SIPENDI ZAMBII ,NIMEINGIA WOKOVU MZIMA MZIMA ELEWA NDUGU NA NINAROHO MTAKATIFU ILA HII CHANGAMOTO ILINIKUTA NAUWEZ AMINI NIMESIMAMA MPAKA NIKAPAKWA MAFUTA KUPITIA JARIBU HILO NIKAFANYA MAOMBI YA KUVUNJA NA KUKOMBOA UKOO KILAKITU KIKA FUNGUKA NA WALIOSHILLIKI NA MIZIMWI YAO Wameaibika na kuungua na kuumbuka kwahiyo kama uku vunja jitaidi fanya maombi hayo ili ubaki kwa Yesu maama wao wana ku wakilisha kwenye mizimwi yao
Promover tafadhali msilete kila mtu kwenye promover,,,Kuna watu wamemjua Mungu kupitia promover na pia ni wachanga kiroho,,,, tafadhali tutuze hizo roho tusizipoteze kwa kuleta kila anayejiita mtumishi
@LucyKapinga-fg4dk10 ай бұрын
Sawa But Uyu Mtumishi Yuko Sahihii
@symonwycliff804910 ай бұрын
wacha tuskize. ata hao wachanga wa kiroho wana mafundisho maalum kwa mwenye anahitaji kwa huo wakati
@LucyKapinga-fg4dk10 ай бұрын
@@symonwycliff8049 Aswaa hakika Mim amenigusa sana
@adventinandyanabo93589 ай бұрын
Yesu alimwambia timotheo kuwa watu wasikuukumu kwa udogo wako.hivyo husimdharau kwa uchanga wake .mimi namwelewa sana cha msingi tutubu