Kutumia jina la Yesu pasipo Imani Ni bure...Ushuhuda mkubwa sana huu.YESU TUSAIDIE
@maryamayitsa61812 жыл бұрын
Asante kwa kuahuru kujieleza ili tujifunze kwako, nasubiri muendelezo nakufatilizia toka kenya 🇰🇪 glory to God 🙏.
@elizabethnzunda9223 Жыл бұрын
Eeeee Mungu wa Ibrahim asante kwa kumuepusha kikombe kichafu Ephraem Mwansasu lala kwa Aman mchungaj Mwansasu
@valentinanduku87182 жыл бұрын
Yesu nakupenda naomba ulinzi wako
@glodynkondo98002 жыл бұрын
yesu alisema naenda tamitumiya roho mutakatifu imikinge mungu eko karibu na sisi usifazaike mungu eko na sisi kila saha 🙏🙏
@ezekieljob86792 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu jactan Mungu akuinue sana kweli najifunza mambo mengi sana kwa ushuhuda wa huyu pastor Bwana akutunze sana mtumishi wa Mungu
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen
@trophywilson7211 Жыл бұрын
WANAWAKE TUNAWEZA NDANI YA YESU
@sallymumia84252 жыл бұрын
This is too, much revelation, Jesus Christ,help us.
@tatumluv60542 жыл бұрын
Amen mtumishi JACKTAN shuhuda hizi zina tuelimisha na kutuimarisha kiroho barikiwa sana na huduma yako izidi kuinuka kwa viwango vya juu mno
@lispamagu58102 жыл бұрын
Utasikia yesu wa kuhan musa Mungu wa suguye duh nimeelwa baba
@trophywilson7211 Жыл бұрын
yeah
@zenataashura7922 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Jactan na mtumishi wa Mungu yani uyu ushuhuda kuna sehemu ya maisha yangu kabisa niliwahi kuishi na mengine nayashuhudiya kwa sasa Mungu wetu asifiwe kwasababu ameniokowa Jactan sina chakukupa ila Mungu baba wa walio wake akuhudumiye kiroho na kimwili 🥺🥺
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen
@peninahmwendwa25192 жыл бұрын
Loliodo ndio nini aki sielewi apo
@trophywilson7211 Жыл бұрын
@@peninahmwendwa2519 kule kwa babu walikunywa kikombe cha jero
@josephmutemi74942 жыл бұрын
BWANA tulinde na nguvu za shetani, barikiweni sana watumishi wa BWANA
@emmymatigula48702 жыл бұрын
Asante sana kutufunza Barikiwa mpakwa mafuta wa MUNGU ALIYEHAI Mbarikiwe sana PTOMOVERTV 🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤❤
@macamezungu70312 жыл бұрын
Mungu akubariki saana Jack Kwa shuhuda,🙏
@yvettekyalika9072 жыл бұрын
..😍YESU ni BWANA...REPENT CHURCH...Dear Christians we must stop play church...We are in Warfare...WAKE UP CHURCH...Un témoignage très édifiant ..nul ne pourra dire qu'il ne savait pas !...Tu kimbiliye kwa YESU CHRISTU...On reconnaît la voix du SAINT-ESPRIT dans son serviteur... Bwana Jacktan , Mungu akuongezeye , aksanti Sana❤️...
@trophywilson7211 Жыл бұрын
merci beacoup
@obadiajonas98892 жыл бұрын
Kweri vita ni kali sana mungu atusaisie
@sarahjacobs88142 жыл бұрын
Yaani kumbe ndio maana makanisa hayana uwezo LAKINI sasa Yesu amekuja mwenyewe kututetea watumishi wake
@daisymuthoni6752 жыл бұрын
Now I understand why the church is like that today following from Kenya🇰🇪🇰🇪
@millicentayangokunting37282 жыл бұрын
True
@tracyirene89172 жыл бұрын
True Majority are into Devilish stuff 💯 percent ..
@queenmwaweya96912 жыл бұрын
Ubalikiwe mutumishi kwashuhuda nzito kaka jakitan mungu akubarki kwa kaz nzuri kwakwel mungu atusaidie na atutie nguvu
@nduwamungujerry74472 жыл бұрын
Asante kwa ushuhuda
@lisaozokalonji76552 жыл бұрын
Part 6 please 🙏 I am watching from🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦
@simonnsengiyumva10002 жыл бұрын
Pia hata nami kabisa zina nielimisha , Mungu akubariki sana Mtumishi . nikiwa 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@florencendatila91832 жыл бұрын
Jamani jamani nimeitafuta toka asubui yani uwiii Yesu tuokoe
@joycyfuraha43942 жыл бұрын
Asante Sana kwaushuhunda mim nilitaka kujuwa kuusu izo vaccine za corona
@angelibrahim55392 жыл бұрын
Mngu akubariki Sana mtumishi
@jescambogoma83942 жыл бұрын
Amina
@shamim-shammy2 жыл бұрын
Tunajengwa kiimani sana
@eldkibeh Жыл бұрын
Ama kweli mtu akiamuwa kuokoka aokoke sawasawa la si hivyo atatumika na shetani kama wakala au agenti wake bila kujua(blind witch)
@liesharehema51932 жыл бұрын
Walokole wenzangu tukazane na maombi na tumshikilie yesu kwabidii
@glorympuwa95992 жыл бұрын
Tumuombee sana Hutu mtumishi kwani vita ni Kali kwake kwani ametoa sili za kuzimu tunaomba mbunu 30 za kusambalatisha kanisa
@eunicemsigo96772 жыл бұрын
Ukweli tumshikilie huyu yesu ndie tumaini tu
@rosepeter89962 жыл бұрын
Following...
@japhetthabit94282 жыл бұрын
Tufanye kitu tumrudishe kanumba duniani na mdogo wake Mathayo 7:7-8 Marko 11:24 Luka 10:19 Isaya 58:6 Luka 1:37 Kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana Kwa Mungu
@eunicemsigo96772 жыл бұрын
Kweli hakuna kisichomshinda yesu Anaeza yoote mwana WA mungu
@janenjeri8442 Жыл бұрын
Kwani pia mdogo wake alichukuliwa
@khadijamwenda1851 Жыл бұрын
@@janenjeri8442 ndiyo mpka baba yake yaan nyiee huruma daah
@ivonaevarista46542 жыл бұрын
kaka jack barikiwa sana na BABA
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen
@evelyneedward3732 жыл бұрын
:-)be bleesd
@peninahmwendwa25192 жыл бұрын
Waah!!! Saitani ashidwe milele
@barakamanu15142 жыл бұрын
Mbinu 30 za kusamabaratisha kanisa. Promover tv twaomba mpe muda mwengine azielezee kwa undani.
@nakiwalahjulliet92082 жыл бұрын
Very shocking...
@Neemakilimba2 жыл бұрын
Mma yangu alikunywa hicho Kiko maskini wa Mungu Toka Kipindi hicho alipona kabisa kabis, tulipoona watu wanafariki sana mama alisema sitokufa maana mimi Sikujua kuwa Ni mpango wa shetani
@juliuskalama27462 жыл бұрын
Na huyo babu na hicho kikombe anamaanisha nini sijaelewa. Lakini hata hivyo huu ushuda nimkubwa sana ubarikiwe sana Jacktan
@trophywilson7211 Жыл бұрын
babu hakutoka mbinguni,walimleta toka kuzimu bila yeye kujitambua
@GodfreyOsward4 ай бұрын
Coronavirus ilitoka china. West Kilimanjaro? Talaka zipo kabla ya kristo?
@alfrednyamnini73522 жыл бұрын
Muulize Mutu kama KANUMBAwatu wakiomba Kanumba anaweza akarudi
@gloryr94972 жыл бұрын
Mungu tusitiri na huyu mwovu ibilisi
@trophywilson7211 Жыл бұрын
hata unice nina wasiwasi kama si nguvu ya MUNGU
@pastorteddywaziri5754 Жыл бұрын
Shuhuda zako na mafundisho yako yamekuwa baraka Sana kwangu kwakweli.Nimejifunza vingi Sana hasa kwenye kitengo nilichopo Cha deliverance and healing.Swali langu ni hili mtumishi! Kwanini mliamua kumbambikizia binti wa watu kesi( lulu) na huku nyie ndio mlimchukua kifreemason?! Kwani mngemchukua TU hata akiwa amelala kwake peke yake ingeshindikana mpaka mkamuweka na binti wa watu aonekane yeye ndio kamuua?!
@aminaally41632 жыл бұрын
AMEN
@nelsonsalumuclovis7532 жыл бұрын
Ushuhuda mkubwa sana
@rehemaabinelynyagawa28782 жыл бұрын
Huu ushuhuda nimeona upendo wa Yesu kwa jinsi shetani anavyo tuwinda mchana na usiku 😭 eeeh Yesu tuhurumie watoto wako
@alfrednyamnini73522 жыл бұрын
Hao watumishi Wanaenda kwa hiari yao au wanaingizwa kwa lazima.?
@wiz-nelonawela9194 Жыл бұрын
Unasemaje kuhusu waisilamo
@ConsolatherGeorge-hl1oc Жыл бұрын
Naomba namba ya huyu pastor
@juliekhaeli85602 жыл бұрын
Mungu saidia watu wako.
@sharonwalubengo76282 жыл бұрын
Part six tafadhali nimesikia kenya
@angelibrahim55392 жыл бұрын
Kaka mwambie asi vae iyo shanga
@rosendanshau26742 жыл бұрын
Hivi makanisa yanaelewa hayo wachungaji mko wapiiiiii watu wanyoa viduku. Wanavaa vitu vya ajabu .kutaka madaraka.kupenda fedha nk acheni
@naomimunanga63632 жыл бұрын
Thanks God bls you all.
@graceshayo13472 жыл бұрын
Wakin buludoza wakin chifu jmn MUNGU atusaidie kwa kweli na wamejaza watu mpk huruma kwa kweli
@heritier51192 жыл бұрын
Kwa Kanumba ni SAwa Mdogo wake pia alikufa. Aliyoyasema hata wasimuliaji wengine washayasema hata mfalme zumarid amewahi tamka na anayajua
@aprilking82502 жыл бұрын
Mfalme zumaridi ashindwe kwa jina la Yesu
@martinmaryogo36762 жыл бұрын
hahahahahaa kikombe cha babu hata m nilijua huu ni mapngo wa shetan, yan kupona kwa shetan tutumie sn akili
@mercykariithi79192 жыл бұрын
Mbona kavaa bangili ya shanga mkononi si husemwa shanga ni sign ya kuzimu?tupe jibu
@mercypeter1622 жыл бұрын
Ipo siku KANUMBA atarudi dunini na atamtumikia MUNGU wa kweli
@aloycesilwela34852 жыл бұрын
Hivyo ndivyo unavyotamani,ungekuwa Mungu ingewezekana
@wkjshsxbbsbs63922 жыл бұрын
I believe so let the holy spirit of Jesus Christ activate iwe ushuhuda kwa dunia mzima
@alafflo59982 жыл бұрын
Please I've looked for other videos of this guy part 1,2,3,4 can't see. Please send me the links
@PromovertvTz2 жыл бұрын
ALIYEKUWA CHIFU WA KABILA LA KICHAWI: kzbin.info/aero/PLXTmPgeqbJ0lc4qnBrRK4eWo9MSriG5pd
@lovenesswalter66502 жыл бұрын
Oh Mwansasu aiseh
@pastorteddywaziri5754 Жыл бұрын
Namaanisha Kanumba,kwanini msingemchukua TU Kwa njia nyingine labda akiwa kalala kwake peke yake mkaona mumbambikize binti wa watu ( lulu)kesi isiyomhusu maana bado Kuna baadhi wanaamini Lulu alimuua Kanumba Kwa bahati mbaya😭😭😭
@batulimabewa69532 жыл бұрын
Niliona Nabii mmoja ametoka Nigeria hivi karibuni ana kacha mkononi
@aloycesilwela34852 жыл бұрын
Huyo ni mganga wa kienyeji
@lovenesswalter66502 жыл бұрын
Htr sana
@barakamanu15142 жыл бұрын
Wanaokimbilia maji na vitambaa mombasa wajifunze na ufunuo huu.
@safindume50512 жыл бұрын
Mungu atulinde
@edithajohn45632 жыл бұрын
Mbona umevaa kacha?
@myself41282 жыл бұрын
Mitume wapo 12 tuuu na wale wanaitwa Tenashara na wote walifundishwa na Yesu mwenyewe!! hao manabii ni waongo tuu....
@mariakibwana37002 жыл бұрын
Simtutajie hao manabii wa uongo?
@ibrahimaziz71582 жыл бұрын
Mi nadhani hata mzee magu wamemchota hawa jamaa tusubiri tu time will tell
@khadijamwenda1851 Жыл бұрын
Kabisa kabisa
@mgangaruban93832 жыл бұрын
naomba namba za mtumishi jmn
@eldkibeh Жыл бұрын
Nahitaji nambari yako ya simu tafadhali
@evaodero21382 жыл бұрын
So which means my dad ako mahali anatumika na kuzimu, before his death akiwa mgonjwa alikua ana behave exactly venye umesema tu pdt Amieli, he was just saying funny funny things akiziona na watu hawakua wanaziona, wakati alikufa damu ilikua yatoka kwa mdomo na pua, so....can we pray n bring him back or its too late, he died 2010
@fridberthahaule94892 жыл бұрын
Hizo saa, simu kubwa na bangili za maajent wa makanisani huwa zinaonekana kwa macho ya nyama?
@trophywilson7211 Жыл бұрын
ndiyo
@heritier51192 жыл бұрын
Umesema kweli kabisa. Kanisa la baba godi mwanza yapo hayo Kalebi kawajaza Sana mimba waumini wa kanisa la baba godi
@dawhiteschola88472 жыл бұрын
Nahiyo kacha aliyo ivaa sini shanga hizo natunasikia kuwa shanga ni za kuzimu
@carolinederi56902 жыл бұрын
Si kazi yetu kujua jamen mhimu ni ujumbe anao tupea
@kimsamespa84902 жыл бұрын
Navile Lulu alifugwa jamani kumbe mlimuchukua
@gesusgegangphray76892 жыл бұрын
Muongo sanaa.kk umekpka
@capteinchuimchafu78942 жыл бұрын
Embu acha utani upako tenaaaa
@jolemerci21552 жыл бұрын
Icho amevaa mukono wa kulia kina faida gani kwake ?