Waah kweli Biblia ilisema nyakati za mwisho mambo yatawekwa waziwazi tunashukuru Kwa kutuwekea wazi
@highzacknnko96852 жыл бұрын
Malango ya kuzimu nayafunga hayata simama juu ya maisha na familia yangu na ukoo na taifa langu - enyi wasimamizi wa anga bahari na ardhi na nchi kavu nawafuata popote katika jina la YESU ,achia nafasi achia moyo achia maçho ,achia utashi
@edsoncharles69502 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu Jacktan Msafiri, hakika kazi yako ni njema, unaokoa roho za watu wengi sana kupitia kazi yako. Ulindwe kwa Damu ya Yesu. Ninasubiria part 5 ya huu Ushuhuda.
@anitasamson78502 жыл бұрын
Mungu awabariki sana kwa ushuhuda huu, Tunajifunza mengi kwakweli dunia hii bila Yesu Kristo hatuwezi.
@lydiamichael55092 жыл бұрын
Makubwa haya Bwana tuonekanie tuyashinde haya katika Jina lako Yesu kristo Amina..Asanti ndugu JACKTAN pamoja na Mchungaji kwa kutufunulia tusioyajua
@martinmaryogo36762 жыл бұрын
hakika kumbe tunatakiwa kuomba sana jmn mungu tusimamie
@dokasa91762 жыл бұрын
Waah,jameni ni kujikaza Kwa maombi na kukesha mpaka Yesu arudi
@mariengeranyaegbuka65062 жыл бұрын
Mungu asifiwe na ushuuda na wokovu wako. Mimi ni mkongomani lakini naishi America Nafata video zako na mina barikiwa sana na ufunuo Uzo. Asante sana
@fedhajoseph76872 жыл бұрын
Amina kubwa utukufu kwa Yesu kristo wa nadharethe aliye hai Mungu mweye nguvu zote Najifunza mengi kwa Yesu kuna raha zote.
@stellahkathure-px9cf Жыл бұрын
Kusema ukweli mm nikama nilifanyiwa hivyo juu maisha yangu nikuangaika plz niweke kwamaombi ningetamani sana roho wa mungu aniongoshe juu ata nikijaribu kazi haidi vinzuri
@elizabethconstantino60562 жыл бұрын
Barikiwa sana kaka Jactan, tunazidi kuimarika kiroho kupitia shuhuda hizi, na tumejua jinsi ambavyo kuna vita kali kati ya wana wa Mungu na ibilisi, Mungu atusaidie katika safari hii ngumu ya kwenda mbinguni.
@highzacknnko96852 жыл бұрын
Kumbe ndio maana gwajima alikuwa anapinga koronna hakika gwajima ni jitu la mbinguni - korona tunakusaga vipande vipande zamia kuzimu kwa jina la YESU - hakuna chanjo hapa Bali tunapiga majeshi majeshi.... - kila walio chukua nyota yangu utashi ,akili ,nafsi,namsaga vipande vipande achia kwa jina la YESU - wachawi ,waganga,marafiki ,waliochukua kitu change kwa namna yoyote achia kwa jina la YESU - nawafuata mabondeni nawafuata kuzimu nawafuata baharini nawafuata njia panda nawafuata makaburini achia mikono achia macho achia akili yangu achia utashi na upenyo - vifuniko vya tabia,akili iliyologwa ,nyota mikono iliyochukuliwa nawasaga kwa jina la YESU kristo
@eunicemsigo96772 жыл бұрын
Gwajima Baba Lao ATA ukifa yuwakufufua Napenda maombi yake 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Napiga kila corner achia Kwa kina la yesu na damu ya yesu
@carolinederi56902 жыл бұрын
Mungu atusaidie kwa jina Yesu
@kimsamespa84902 жыл бұрын
Andika kitabu mtumishi wa Mungu napenda unavyo eleza na unaakili Sana ndio maana waliiba
@ingabireyimanabenitha.11822 жыл бұрын
Kaka Jack Mungu akubaliki sana tunaendelea kufunguka macho.nakuona umuhimu wa Ulinzi wa Mungu Juu yamaisha ya wanadamu.naupendo wake kwetu ulivyomkuu.Nimeamini Binadamu tunaishi nikwaneematu.Yaani ikiwa Mungu ange stopisha Ulinzi wake kwetu mfano one minute Dunia kuhalibiwa Na shetani nirahisi sana Rishukuliwe Jina la BWANA Mungu wa Majeshi.Muumbaji wa Mbingu na nchi YeYe Anae tupigania Nakutufunika kwa Damu Ya YESU.Nalihimidiwe Jinala Yesu Kristo Ambaro kwalo tumepewa Neema ya Wokovu.Amen🙏
@MaggieG2762 жыл бұрын
Amina
@martinmaryogo36762 жыл бұрын
kbs jmn
@Priscakihiyo43522 жыл бұрын
Yesu usituache watoto wako utupiganie bila wewe hatuwezi 🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭
@yvettekyalika9072 жыл бұрын
...Na kweli Mungu anafitshuwa aduwi zetu... BWANA YESU ASIFIWE...Aksanti Sana mutumishi Jacktan...❤️
@Nnnnnnnnnnnnnnnnnnnmmmmmmm2 жыл бұрын
Asante kwa kutufunulia siri nzito Ubarikiwe na Mungu
@tatumluv60542 жыл бұрын
Weee jamani adui halali Sisi nasi tukeshe na kuomba bila kukoma
@paulpaul45512 жыл бұрын
Dah! Yaani najifunza vitu hapa , lakini pia naskia hasira na kuichukia dhambi na ROHO MTAKATIFU ATUSAIDIE amina
@josephkatto77252 жыл бұрын
..
@nelsonsalumuclovis7532 жыл бұрын
Amen,barikiwa sana watumish wa YESU
@aishaall29192 жыл бұрын
Whaaaat!!!,Jacktan kweli sijawai kuona ushuhuda mkubwa kama huu wenye siri nyingi namna hii ,,asante sana jacktan nmefahamu mengi sana jamani
@fabianmkimbu8802 жыл бұрын
Aisha Sasa mpokee Yesu km umeelewa ushuhuda huu na kumuamini YESU, nyakati zimeisha nadhani umesikia mwenyewe.
@millicentayangokunting37282 жыл бұрын
@@fabianmkimbu880 kabisa
@gestinabunganiekuya63002 жыл бұрын
Yesu nisaidie nipande viwango vya imani
@elizabethmuthike96232 жыл бұрын
Nasubiri muendelezo mtumishi wa mungu jactan na ubarikiwe sana waaaaaa siri nzito sana kwakweli kuijua nimuimu sana wooooi mungu tusaindie
@sallymumia84252 жыл бұрын
What a heavy revelation,thank you Jesus Christ.
@peninahkariuki11362 жыл бұрын
Damu ya Yesu itufunike Shetani asituone .Barikiwa ndugu jacktan still following from 🇰🇪🙏
@miria6592 жыл бұрын
Wah this is unbelievable the devil is a schemer thanks a lot jactan God give you more grace as you serve him
@daisymuthoni6752 жыл бұрын
Following n learning more be blessed Jactan
@wilsonkombeyeri4623 Жыл бұрын
Karibu Kenya ndugu Jactan utushuhudie na sisi
@frankinspired64862 жыл бұрын
Jacktan yesu christo akubariki, Leta part 5 na kama huyu mchungaji akona hadi part 20 leta zote usikatize, ushuhuda wake unajenga imani ya wokovu sana...
@georgemungai3813 Жыл бұрын
Habari hii niyakweri kulingana na Mambo mengi Mungu alinifunulia miaka mingi ilipita..Yesu Christo pekee nimwingi Walehema na Neema.. Damu ya Yesu yakomboa!! Amen!
@debbohkawaka92222 жыл бұрын
Yuko vizuri kuelezea,, maelezo yake ni sawa na shehe omari mnyeshani 🤔🤔
@francisalcardo5442 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Jactan na team nzima ya promover tv kwakweli tunabarikiwa sana sana Nina swali kwa anaetoa ushuhuda vip mtumishi anasemaje kuhusu chanjo ya corona ?
@isaacsenaji60652 жыл бұрын
mambo makubwa! nashukuru Yesu
@apostlerebeccamunguaniinul7073 Жыл бұрын
Asante sana baba kwaku tu eleza siri kubwa ya shetani
@janethsilomba62982 жыл бұрын
Mungu tusaidie peke yetu hatuwezi.
@mindenlightenment2 жыл бұрын
Brother jacktan may the lord grant you grace to reach far 🤍 in your ministry
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen
@wemamanikana97912 жыл бұрын
Bwana Yesu Kristo nakutegemea wewe, naomba usiniache 🙏
@peninahmwaniah97552 жыл бұрын
God bless you mtumishi wa Mungu Jacktan Msafiri, tafadhali nina swali, mtu wa umri wa miaka sabini aweza chukuliwa kama msukule?
@deborahcharles65072 жыл бұрын
Mungu ibariki huduma hii inatuinua Wengi kiroho
@helmashimba77612 жыл бұрын
Nice message may the Lord grand you all Grace to continue with his work . Appreciation 👏👏🌺
@elizabethlusato73632 жыл бұрын
Ujumbe wako umezidi kunifumbua macho asante mtumishi kwa elimu uzidi kubarikiwa
@Priscakihiyo43522 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaaaaa mtumishi Jactani Msafiri
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen
@daisymuthoni6752 жыл бұрын
I remember this sheikhs testimony asante Yesu...
@starluzenja98612 жыл бұрын
Title ni gani?kwa youtube
@raphaelmwambenja65002 жыл бұрын
This guy is more than intelligent
@lukasemmanuel46142 жыл бұрын
Safi sana hii
@zenataashura7922 жыл бұрын
Sina lakusema tofauti na Bwana wetu Yesu kristo asifiwe
@naomimunanga63632 жыл бұрын
Namshukuru mungu tangu nilianza kujitambua nilikuwa sipendi kitu kinachoitwa nabii ju nimewai amini tu hakuna nabii wa ukweli na hadi sai sitawai amini kuna nabii, nabii wangu yupo moyoni mwangu asande sana ndugu Jacktan na mgeni wetu mbarikiwe sana, am frome Kenya thanks.
@aimeranceseko10422 жыл бұрын
Mtumishi waMungu ubarikiwe sana kwakazii tunazidi kufunguliwa kwa ushuuda uu amen
@deborahcharles65072 жыл бұрын
Nihifadhi BWANA YESU KWA NEEMA YAKO
@highzacknnko96852 жыл бұрын
Tunapita kati kati yao kwa jina la YESU hao wachawi waganga na kuzimu,piga wasimamizi
@shufaayakuti7542 жыл бұрын
Mungu azidi kukulinda
@magwaza89042 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa Neema ya kuokoka
@ngendakumanalewis14722 жыл бұрын
Sheikh Omar Mnyeshani nayeye Pia alitaja majina hayohayo wakati anazungumzia kuhusu majemedari6 wa kuzimu hii inathibitisha kama ni kweli kweli kbsa (Tusiyidharau dhambi atakama ndogo ili tujitakase zaidi)
@MaggieG2762 жыл бұрын
For sure God is only our refuge in the dark world.
@florafaustine46372 жыл бұрын
Tunamhitaji utuandalie mkutano wa huyo mtumishi anayesimulia mambo makuu.
@annamulenda66522 жыл бұрын
Asante Mtumishi wa Mungu.. ubarikiwe Sana nahuduma yako... Number please...
@yvettekyalika9072 жыл бұрын
....WAKE UP CHURCH...
@simonnsengiyumva10002 жыл бұрын
Yesu unipe Mwisho mzuri 🙏🙏🙏🙏
@stellahkathure-px9cf Жыл бұрын
Kama mm mtumishi wa mungu
@irenewilfred77672 жыл бұрын
Mungu mwema
@doricemrema21772 жыл бұрын
Barikiwa kaka dastani🙏
@violethbagila9052 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi Jacktani mtumishi wa Mungu nimefunguliwa
@henryosoro76962 жыл бұрын
Nimejifunza mambo mengi sana
@daisymuthoni6752 жыл бұрын
Mungu nisaidie pamoja na kanisa lako
@preciouslissahparis13522 жыл бұрын
Data,hii dunia inatisha,ushindi ni kuwa NA YESU
@capteinchuimchafu78942 жыл бұрын
Waislam Kaz wanayo najivunia kuwa mkristo
@ivonaevarista46542 жыл бұрын
eeee Yesu utusaidie watu wako jamani
@leahbhoke87182 жыл бұрын
Yesu tusaidie
@florafaustine46372 жыл бұрын
Ameeen nimebarikiwa sana
@officialmubytz10762 жыл бұрын
Mi ni mkristu jina nasali Mara chache mnoo lakini Kuna wakati nikiwa usingizi I ninahisi Kuna shida au wanga wananitembela Huwa namtaja yesu kwa mazingira hsyo na kuwashinda Hii Ina maana gani?
@preciouslissahparis13522 жыл бұрын
Mawimbi ya corona 12,kwa waziri was afya atatangaza mpaka achoke,YESU NISAIDIE
@dawhiteschola88472 жыл бұрын
MUNGU nisaidie ni yashinde ya Dunia
@johnbosconiyibigira78112 жыл бұрын
Ukiunganisha ushuhuda ukakuja kuwa mtu mkubwa kiimani maama sili za kuzimu ziko wazi sasa
@irineochieng24552 жыл бұрын
Mtumishi Jacktan, hebu muulize kuhusu kukamatwa mamlaka ya imani. Ina maana hakuna vile mtu anaeza kukombolewa kabisa?
@myself41282 жыл бұрын
Haya mambo yooooote kama unafuatilia Davistar mata channel kuna mtu anaitwa Kanyerere na Mwingine Sheikh Omar mnyeshani wameyaongelea yaani vile vile!!! Jamani Tumche Mungu wateule tuache Mizaha
@SPORTS-HUB.22 жыл бұрын
Corona has 12 categories..nimekubaliana nawe Sababu tumefika wave namba 7
@mosesmwapinga15382 жыл бұрын
Naelewa kwanini kuna Nabii wa uongo alitaka waumini wake wapeleke kucha na nywele za utosi,duh kweli tunaangamia kwa kukosa maarifa.
@venancezumba2022 жыл бұрын
Namuelewa Sana mtumishi huyu
@josephmutemi74942 жыл бұрын
Ameeeeeeen
@fedhajoseph76872 жыл бұрын
Atamilango ya kuzimu ahitalishinda kanisa shetani utashindwa tuu .
@daisymuthoni6752 жыл бұрын
Wah hii inalingana na ushuhuda wa Kanyerere na Sheikh Mnyeshani
@tracyangells75952 жыл бұрын
Kweli kabisa I Agree 💯 percent 👍
@abdimohamed39532 жыл бұрын
Omar mnyeshani aliwataja hawa majini pia
@fabianmkimbu8802 жыл бұрын
Ndiyo abdi Sasa mpokee Yesu nduguyangu km umeamini hizi shuhuda
@irineochieng24552 жыл бұрын
Mtumishi Jacktan, muulize kuhusu kukamatwa kwa mamlaka ya imani. Ina maana hakuna vile mtu anaeza kukombolewa tena?
@nestorygilbert61702 жыл бұрын
Ohh nimepata jibu kumbe ndiyo maana waliofunuliwa kuzimu na MBINGUNI wengi waliofunuliwa 2012, mf magret, nyisak nk Mbarikiwe sana🙏
@gestinabunganiekuya63002 жыл бұрын
Jamani mbona hutuwekei part 5
@MrXavely2 жыл бұрын
Duh..huu ushuhuda huu...mmh!
@jemimmahjembe87702 жыл бұрын
Mtumishi mbona umevaa hiyo bangili ya shanga na tunaambiwa ni za devoli?
@macamezungu70312 жыл бұрын
Amen 🙏
@happykajeli54532 жыл бұрын
Yesu utembee nami na family yangu shetani anatuwinda km ndege
@mariengeranyaegbuka65062 жыл бұрын
Lakini nilitaka uliza kama inawezekana ku translate ushuuda kwa luga y’a kingereza, Kiswahili iko magumu sana kwa sisi mengine na vile nilitaka ku share na ma rafiki wamerikani
@dawhiteschola88472 жыл бұрын
Nashindwa hata kukoment 😭😭
@highzacknnko96852 жыл бұрын
Wala usiogope kukoment tunaye YESU hutenda miujiza
@issackpastor19152 жыл бұрын
YESU NIMKUU ATATUSAIDIA
@aminaally41632 жыл бұрын
USHUHUDA HUU UNATUFUNGUA SANA
@fabianmkimbu8802 жыл бұрын
Amina Ally Sasa mpokee Yesu km umeamini hizi shuhuda
@mwigarleysaid54062 жыл бұрын
Naomba namba za Mchungaji Kama itawezekana nifike alipo Niko Kahama Hapa kwasasa tafadhali
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Endelea kufuatilia Ushuhuda ukifika tamati utapata namba zake
@pallangyomashamy76072 жыл бұрын
Tuna maswali sana huna group la whatsp ili tupate kujadili humo
@lovenesswalter66502 жыл бұрын
Hapa ni kuokoka kisawa sawa
@catherinemuoka1322 Жыл бұрын
Jameni tusilale
@mwigarleysaid54062 жыл бұрын
Sna hata cha kucoment Mhh!!🙏😭😭😭
@apostlerebeccamunguaniinul7073 Жыл бұрын
Halafu yule aliye chanjwa chanjo bila ku juwa ata fanya nini?
@mathildekamwanya82982 жыл бұрын
Veillez nous aider nous de la République démocratique du Congo d'interpréter en français merci beaucoup
@Uboboh2 жыл бұрын
muendelezo pls
@fabianmkimbu8802 жыл бұрын
Anatoa vipande vipande nadhani,lkn kikubwa hapo km tumeamini ni kumpokea YESU tu