Huyu Mzee amezeeka na Ubora wake lkn vijana bado tuna kuwa underdog
@jumbeojaso57672 жыл бұрын
Excellent Mzee Warioba,nchi hii hususan chama chetu CCM kimeanza kupoteza kabisa mwelekeo kwa kujaza wapambe kila kona. Kujipendekeza,kumtukuza kama siyo kumwabudu RAIS hata kama hapendi,sasa ndiyo imekuwa jadi yetu . CCM inakufa kimya kimya, na viongozi wetu wamekuwa waoga kiasi cha kumfanya Rais kuwa kama Mungu na yeyote ,asiyependa kuwa chawa , anaonekana mhaini anayestahili kunyongwa. Ahsante kwa msimamo Mzee wetu,
@unclepwechnov13812 жыл бұрын
Bashiru anasemwa kwa kuwa wao enzi zake na Jiwe walikuwa na kikundi cha 'wasiojulikana' ambacho kazi yake ilikuwa ukikosoa tu unapotezwa. Bashiru anavuna alichopanda, wao ndiyo waanzilishi wa mambo ya kisifia na kuabudu.
@christinainnocent32402 жыл бұрын
Sawa kabisa akina Bashiru wakiongozwa na Rais awamubu ya tano ndio chanzo cha kuharibu CCM kuua na kutisha maisha ya watu
@josephwilliammnyune54642 жыл бұрын
@@christinainnocent3240 Hakuna mtu anayeweza kuiharibu CCM. Kama ingekuwa yupo, ingekua imeshaharibika zamani. CCM inaweza tu kujiharibu yenyewe.
@hajihassan54332 жыл бұрын
@@unclepwechnov1381 Nadhani wengi hawakumuelewa vizuri Dr. Bashiru, hajakataza kusifiwa Rais kwa anaeona kafanyiwa jambo jema na Rais hata yeye binafsi ananshukuru kwa kumteuwa kuwa Mbunge LAKINI hiyo sio sababu kwamba ambao changamoto zao hazijatatuliwa kama Wakulima wapaze sauti zao, ukizingatia kwamba aliozungumza nao ni Wakulima wenye changamoto. Sasa tulitegemea Dr. Bashiru awaambie nini. Mwenye hoja ajibu hoja.
@matukutajuma1562 жыл бұрын
MIMI NAAMINI NA NNAWEZA KU APA MH RAIS HAPENDI KUTUKUZWA NI MSTAARABU SANA! HAPENDI KUPITA KIASI KWA CHOCHOTE! LAKINI HAKUNA JINSI YA KUZUWIA MIHEMKO! HUYU RAIS YUPO VIZURI TU SANA MTAJAMKUMBUKA
@danielmwashiuya58632 жыл бұрын
Safi sana mzee warioba Kwa kuzungumza Kwa mizani sawa
@kiliantereba65022 жыл бұрын
Hekima kubwa sana mzee Warioba. Si halali watu kumshambulia mtu badala ya kushughulikia tatizo aliloliibua
@rosetreffert41792 жыл бұрын
Safi Sana warioba kwa hilo🙏🙏🙏
@sudymgeni7012 жыл бұрын
Sawa sawa Babu nimekuelewa sana sana.yani uko wako wazi
@makoja122 жыл бұрын
Kila penye wazee, kuna hekima kubwa sana. Kazi nzuri ya Mzee Jaji Warioba, hakika mzee huyu ameonyesha ukomavu wa Siasa katika taifa hili. Hongera kwa hili 'limedhika
@mathiasulaiti56652 жыл бұрын
wazee wengi wameamua kukaa kimyaa.
@ibel4lf2 жыл бұрын
Jaji Warioba una nafasi yako mbinguni nimezidi kukupenda Baba now lets go for katiba mpyaa
@kapesaemmanuel24222 жыл бұрын
Yanahusiana nini na mbinguni kwani ka mmfania Mungu nini hasa umuusihe Mungu na siasa
@ibel4lf2 жыл бұрын
@@kapesaemmanuel2422 sasa hutaki?! Na hii comment nayo imekutoa povu ! acha makasiriko mimi kumtakia mbingu Jaji mstaafu ni kosa! Hata wewe @kapesa Emmanuel una nafasi yako mbinguni
@kapesaemmanuel24222 жыл бұрын
Ndg hujanielewa mi nimekuuliza nilipo ambacho warioba ameongea kilicho mfurahisha Mungu mpaka Mungu ampe nafasi mbinguni Mungu na siasa inakuwaje . Yesu anasema ya Mungu ampe Mungu Ya kaisari mwachie kaisari
@ibel4lf2 жыл бұрын
@@kapesaemmanuel2422 unanilazimisha nisikuelewe ili hali nimekuelewa ila nikaamua kukujibu nilichokujibu refer to the first answer hata wewe utakuwa na nafasi mbinguni cheers
@kapesaemmanuel24222 жыл бұрын
Asante kama umenielewa Mungu alibariki mpendwa ninchoamini hata wewe unanafac yako mbinguni ila pale utakapo tanda mema yampe dezayo Mungu ktk jambo lenye kuleta wajibu.
@ruwaidamabrouk17972 жыл бұрын
Mzeee wangu umeniwakilisha vyema katika kuongea yani umeongea kama ulikwepo akilini mwangu daaa nakupenda sana mzee wangu
@ellymakongo6562 жыл бұрын
Yaani mzee amewaza kama mimi. Akili kubwa hii.
@hassanifumu40592 жыл бұрын
Wazee wanabusara zao bwana
@simonnyambuka82752 жыл бұрын
Huyu Mzee ni zao la Nyerere ni hazina iliyobakia kwa Taifa kwa Sasa hawezi kuona mambo hayaendi sawa akanyamaza
@ruwaidamabrouk17972 жыл бұрын
@@simonnyambuka8275 kweli aseee
@ruwaidamabrouk17972 жыл бұрын
@@ellymakongo656 namkubali sio Mzee wa mapambio
@dicksonsheja2512 жыл бұрын
Safi sana mzee ukweli humuweka mtu huru.
@msafirimatingo60652 жыл бұрын
Asnt mzee watakuwa wamekuelewa vzr hao viongoz wanaobweka bila kuelewa hoja ya Bashiru, Bashiru yuko vizr sn.
@mosesmacha10802 жыл бұрын
Safi Sana Mzee kumbe waliondoa kifungu cha wananchi kumwajibisha Mbunge halafu wamejipa mamlaka ya kumfukuza Mbunge wao
@mathiaschoma44232 жыл бұрын
Hakika mzee, hoja hupanguliwa kwa hoja
@josephtemu26332 жыл бұрын
Kweli mzee warioba mungu akujalie hekima uendelee na hekima kama hizo
@husseinkassimu27142 жыл бұрын
Hivi kati yakupaza sauti halafu hakuna maamuzi yoyote yanayochukuliwa nakuto paza sauti halafu maamuzi yanachuliwa ipi imekaa sawa?
@johnsonbernald112 жыл бұрын
Mzee wangu babu yangu nimekuelewa sana, sina neno zaidi yakusema mungu akulinde katika maisha yako yote
@josephrutta68342 жыл бұрын
Asante sana Mzee wetu. Wanasiasa wachumia tumbo wanakimbilia vyeo na UCHAMA bila kujali hoja ya mwenzao. Kwenye hili titawajua WAHUNI wengi tu. Asante sana Dr. Bashiru kwa kuchokoza mada ili tujue wanaotuangusha kwa kumdanganya RAIS.Mwenye akili timamu na uzalendo anakuelewa sana wewe na Bashiru, wengine WARAMBA ASALI TU.
@kiatu2 жыл бұрын
Ahsante sana mstaafu, unasimama kwenye ukweli na facts. Tatizo pia lipo upande wa viongozi wetu wakuu. Hivi hawaoni kwamba wanakebehiwa. Kwa sababu hao wanaosifia sana ndio wizara zao ama idara zao zinafanya madudu au hawana la kuonyesha.
@cloudngoko.26792 жыл бұрын
Haya ndio mawazo mazuri ya uzalendo.
@gabrielmnozya88812 жыл бұрын
Hongera sana Mzee Warioba umeongea ukweli mtupu
@mathewkolobe77982 жыл бұрын
Well done legend
@mkudesimba95182 жыл бұрын
Mzee mungu akuweke ! Hata narejeni julias kambarage alihusia bilo swala la wakulima juu ya viongozi watakaopewa nyadhifa za uongozi ! Kwa wakulima Bado Wana Hali ngumu Sana ! Hasa jembe hili la mkono ni changamoto ! Bashiru katerega wanyonge na wamemuelewa ! Tunakuomba mzee warioba tunika hekima zako na busara juu ya hili sakata !
@bakuzasimon61932 жыл бұрын
Umetimiza wajibu wako mzee wetu hekima yako, na uzalendo unadhihirsha umuhimu wako. Mungu akutunze mzee wetu
@mathiasmageni85682 жыл бұрын
Magufuli alisifiwa na wananchi wenyewe bila kulipwa posho na mishahara lakn huyu anasifiwa na kuimbiwa mapambio na watu wanaolipwa posho na mishahara.
@sonnyr18992 жыл бұрын
Kweli kabisa na hapo ndio kuna siri kubwa Magu alisifiwa na walemavu, masikini, wajane, waze, machinga, mama lishe ila kwa sasa mama anasifiwa kwanza na Wazungu, Makampuni, Matajiri yani kwa kifupi watu wa matawi
@augustuss45032 жыл бұрын
Ukiona Wazungu na Makampuni Makubwa wanasifia Rais yoyote yule ujue hapo hamna kitu. Kwa ufupi Nchi inakua imeuzwa.
@shukurukwake74472 жыл бұрын
Asantee Sana mzee warioba Tatizo baadhi wamekua machawa wa Rais hasa wanao kula kupitia mgongo wake mbona hakuna mwanachi yeyote wa kawaida anae sema Bashiru kakosea ni wao tu
@josephmkinga95092 жыл бұрын
Salutee kwako mzee na babu yetu
@mshumbusideogratias95672 жыл бұрын
Safi sana mzee
@marianmartin74832 жыл бұрын
Hongera sana mzee Walioba, uko sahihi sana. Uzee dawa, na mwenyezi MUNGU akubariki sana.
@lameckbalekere19622 жыл бұрын
Wazee kama nyie munatakiwa kumushauri Raisi
@sakuranitillya60882 жыл бұрын
Akili nyingi sana hongera mzee
@estherrasoa4702 жыл бұрын
We love you daddy uko vizuri wazee ni hazina nyie ndio mnafaa kuwashauri watawala ila kwa Sasa nchi imefika pabaya ukisema ukweli unaonekana mbaya sikio la kufa halisikii dawa hawashauriki Tena.
@kakamau03842 жыл бұрын
Nimemuelewa sana huyu mzee pamoja na Bashiru coz kuna makundi tofauti tofauti na hata wakulima leo hii mkulima wa kitunguu hawezi kumsifia Rais kutokana na bei aliyo inunulia Mbolea na bei aliyo kuja kuuza Kitunguu chake hata wakulima wa Korosho pia hawawezi kutoa sifa n.k kwa hiyo walio na sauti wooote wakimfia Rais Hawa wa chini watasemewa na nani??? Hakuna binaadamu aliekamilika ni lazima ukubali kukosolewa ili uweze kuona mapungufu yako.
@jtheophil54992 жыл бұрын
Safi sana umeongea vizuri mzee wetu.
@josephatkiliko25462 жыл бұрын
Sahihi kbs Mzee Warioba hii ndio hekima ya wazee. Bashiru ametoa mawazo siyo kumchukia.
@prosperykabitina23432 жыл бұрын
nikweli..chini..ayupo.kabisa.watu.wanashinda.nja.
@jeremiamalima91122 жыл бұрын
Asante babu warioba afazar mpatikane wakukemea
@robisonikadogo73712 жыл бұрын
Asante baba walioba,wakutukuzwa ni mungu tu,atakama nimekosea karo ya mtoto nisifie tu
@michaelnehemia49322 жыл бұрын
Hongera mzee umeupiga mwingi
@esterkiyabo13292 жыл бұрын
🙏mzee Warioba kwa kuweka sawa mambo
@zabronisanga49192 жыл бұрын
Asante bashiru ujajali kuwa uliteuliwa na laisi kuwa mbunge umesema ukweli lakini nashangaa kuona wabunge tulio wachagua kwa kula majimboni Wana kukosoa wewe unae ongelea masilahi ya wa wakulima
@braystuskibassa38422 жыл бұрын
Mimi nadhani bado maisha ya watu wa kipato cha chini ni magumu mno Bashiru kazungumza na wengine pia wazungumze kama kero zipo siyo kumponda tu hakuna mtu mkamilifu duniani watanzania tubadilike na tusiwe wakusifia pia kunapokuwa na mapungufu pia tuseme
@b.warron46312 жыл бұрын
unafkii maisha chini ya huyu mama yamerudi kama kipindi cha hawamu ya Nne. Mambo ya kujuana yamerudi.... bashiru yuko sahihi
@fundigari2 жыл бұрын
Safi sana mzee warioba
@saidomar63442 жыл бұрын
Ameongea point nzuri Sana huyu Mzee, ama ni genius. I wish aandikwe kazi Yuko makini Sana.
@daudpaulo28672 жыл бұрын
Yani uwe na njaa ujisifie umekura no no no Rais amekua........zaid ya .....Tusifie mambo mema na tukosoe
@4hestatecompany202 жыл бұрын
Mzee wa katiba mpy saf sn
@zengomikomangwa92642 жыл бұрын
Mzee umetuelekeza vizuri
@kitoper.c.72872 жыл бұрын
Mzee umeongea vyema sana
@georgembise72342 жыл бұрын
Hongera sana mzee wetu mungu akubariki sana,wezi wapigaji wanyonyaji walijua na kuamini hii serikal ni nafasi yao sasa yakufanya wanayoyataka na wasiguswe na waliamini kwamba ni serikal ambayo wez au wapigaji awawez kuguswa kwa jambo lolote,ndio mana MAMBUMBUMBU AU VILAZA ,WAJINGA WASOJIAMIN KUTOKANA NA ELIMU ZAO WALIROPOKA WANAYO YAJUA WATU HAWA KIBAJAJI NA MSUKUMA ,KILA RAIS AJAE WANAENDA ANAVOTAKA AWATAKI KUMKOSOA WAKIHOFIA KUTOLEWA KUTOKANA NA ELIMU ZAO AWANA AKILI KABISA ,KUMBE NIWAPUMBAVU KABISA SIKUJUA KAMA WANA AKILI KAMA IZI NIMEPIGWA BUTWAA!!!HONGERA MZEE WETU WARIOBA!!
Njaa mbaya wanadhani bashiru bilaa ubunge haishi. Kwani aliomba ubunge , acha aseme kwa sababu anasikika kwa wengi, wachumia tumbo waendelee kumpinga
@mactweve33532 жыл бұрын
Mzee hongera saaaaaaaana
@saidipara41342 жыл бұрын
Mbona Rais wa kitaa (Ney) hawa hawamgusi 🤔🤔 tatizo hao ccm waseme ukweli tu pale kuna timu mbili.timu magu na timu mama
@michaelndilima62102 жыл бұрын
Safi sana nimekuelewa.
@zenj19862 жыл бұрын
Safi kabisa
@kelvinjeremiah78632 жыл бұрын
Kweli kabisa
@Jumamaduka2402 жыл бұрын
Warioba wewe ndo umeupiga mwingi sana. Kibajaji, Msukuma Kigwangala waendelee na msimamo wao lkn cha kuambiwa tunachanganya na zetu
@wadeelegbogun30152 жыл бұрын
Asante sana mzee warioba
@piusphilip3072 жыл бұрын
Kauli ya Bashiru ni nzuri. Lakini Kwa awamu hii ya mama Samaia haina mashiko. Ilitakiwa kutolewa kipindi kile cha JPM.
@genichenurdin4092 жыл бұрын
Mzee akili nyingi....nimekuelewa vizuri
@luityfridismtanda96752 жыл бұрын
Ni kweli
@japhetdaudmaneno84402 жыл бұрын
Kumbe "Old is Gold" wahenga walisema,hazina na busara za wazee ni za muhimu kwa Taifa 🇹🇿 , wawakilishi wa Bunge Leo imekuwa ni kusifia tuu,na si kutetea wananchi na huo ni unafiki,wasipowatetea wakulima
@Ba638282 жыл бұрын
Machawa watampotosha Mama.
@furahamwajeka74632 жыл бұрын
Ni kweli mzee warioba kusifu sio kweli
@moamedially10222 жыл бұрын
Safiii warioba
@robisonikadogo73712 жыл бұрын
Awa viongozi wanao msaidia raisi niwakuangalia kwa umakini ,mnataka kumwanbia raisi yakwamba sisi wananchi atuna changa moto,acheni kumdanganya,uzuri anawajuwa mnavo jikomba uyu raisi Yuko vizuri sio waree mliozoea kuwadanganya
@lingwamalagila30032 жыл бұрын
Mzee Kwa hili umekuwa na Hekima Kama Mzee Kwa kweli anashambuliwa kimakosa na wote wanatafuta madaraka tu Kibajaji,Musukuma eti Kigwangala
Mzee Warioba unasema nchi imetulia? Hahahahahaaaaaaa
@josephmwabange96332 жыл бұрын
Nafikiri Bashiru anakerwa na watu tena viongozi wanaosifu Sifu Kama ushabiki , mimi nafikiri tusizidishe ushabiki ,Ila tuwe wakweli moyoni maana sifa ni za Mungu peke yake na rais ni mtumishi wa Mungu kuongoza watu wa Mungu kufikia hatma zao kimaendeleo na kulinda raslimali za nchi kwa ajili ya wananchi husika ,lakini pia kumshukuru rais kwa Kazi kubwa anayofanya ni kumtia moyo ili azidi kufanya zaidi kwa Taifa lake na watu wake ,Ila anaupiga mwingi ni lugha ya kihuni ,tuendelee kumuombea rais wetu kwa Kazi kubwa anayofanya ,haya ni mapambano sio Kazi rahisi kabisa ,urais ni kujitolea kwa ajili ya nchi ,kukingia kifua nchi yako ,kupambana kuipeleka mbele zaidi kuliko nchi yoyote ! Mungu akubariki sana Rais wetu ,endelea kuwa na moyo wa Mungu ndani yako ,kutakuwezesha kushinda mengi magumu na kutuvusha salama!
@ishanshulinus80882 жыл бұрын
Mzee Tata warioba unatumia hekima na busara katika kushauri na kutatua matatizo ya hili taifa.nikweli nihaki ya kila mtanzania kukosoa na kusifia.tatizo la bashiru tunalopingana naye nipale alipotumia nguvu nyingi kupora mazao ya wakulima ikiwepo korosho kwenye awamu ya tano na kutuambia chama tawala lazima kitumie Dora kubaki madarakani na kupora haki ya demokorasia na kuiangamiza ktk utawala wa tano.pia bashiru na wenzake ndiyo walikuwa wanapenda kumsifia maguri na kudiriki kumuita mh mungu magufuri.kwahiyo tunachompinga bashiru ni unafiki wake wakutaka magufuri asifiwe kuwa mungu Ila mama Samia akiitwa ameupiga mwingi anachukia.
@mpurusaleh19942 жыл бұрын
Maelekezo ya Mzee jaji warioba ni sahihi , wasitake kutumia mazungumzo ya muh ,Bashiru kutamka kutuharibia au kutchafulia chama Kila mtu anaweza kusema analo ona yeye ili mradi hamtukani mtu swala la kundi lisilo jua maana ya kuvumiliana kisiasa basi likae kimya WASITUCHAFULIE CHAMA ,SISI CCM tunakawaida yakuelekezana (IDUMU CCM
@migerajacob5812 жыл бұрын
Mzee upo sahihi, endelea kusima mia ukweli,, katiba mpya nilazima tuwaondoe Hawa jamaa wasio kosolewa,,
@geraldsanzala81192 жыл бұрын
Vema Mzee ila ubongo wako kuendelea kuustore ndani ya ccm ni kujikosea walahi. Ila najua njaa mbaya.
@Mediemedie78382 жыл бұрын
Hakika Tanzania ilikuwa ibebarkiwa na viongozi wamaana wnye hekma na sizani baada yahawa tutakuja kuwapata viongozi wengine wa ainahii...tumuombe mungu na tuiombee Tanzania yetu
@josephamos66362 жыл бұрын
Safi
@frankminja23432 жыл бұрын
Heshima yako Mh.Warioba
@johnmalembo64642 жыл бұрын
Hekma za Mzee Warioba Bado ziko
@humphreyngawamba5832 жыл бұрын
Yaani kwa sasa kuna viongozi wanahisi kumkosoa raisi unaporomosha uchumi wa nchi duuh 😄
@penfordkipalo59662 жыл бұрын
Mtu ulikuwa CS , Katibu wa CCM Leo unashindwa kuheshimu Dola!
@kitojowetengere96412 жыл бұрын
Hizo ndo haja za msingi sana. Hakuna mahali Bashiru aliposema raisi hajafanya kazi yake...anachosema wakati wapambe wanaposema mama anaupiga mwingi wapo wakulima wanaoteseka. Na kweli wakulima wana teseka sana so waangaliwe...hiyo ndo hoja ya Bashiru ambayo inahitaji majibu. Siaamini kwamba mama yetu ni mtu wa misifa.
@TheMtandao2 жыл бұрын
Poor video ending
@oskamsafiri28142 жыл бұрын
Suala katiba mpya na time huru.mimi ninaipenda ccm Ila sehemu kubwa imeoza.ndio maana mnampinga bashiru
@pirminmatumizi54642 жыл бұрын
Kumjibu huyu mzee Warioba ( maana hujifanya ana hekima sana kuliko wengine, wakati siyo), kwa mnaoyajua "madudu" ya Bashiru, yawekeni hadharani. Watu hawamkosoi Bashiru kwa kauli zake, bali, wanamnyooshea vidole kwa tabia yake ya Unafiki, undumila kuwili, uongo, kigeugeu. Kinachomtesa na kumsumbua ni vyeo tu. Niliwahi tahadharisha 2020 kuwa huyu Mnafiki na yule "kabhujanja" Humphrey ni hovyo; Ni hatari sana kuwa na viongozi wa aina yao. Walikuwa wanakiua kwa kukipeleka pabaya Chama.
@andiqueantonio33772 жыл бұрын
Umeongea vizuri sana
@alliyrubea57312 жыл бұрын
Jamani kuweni wakweli!ni Rais gani aliyejifanya kama Mungu!rais aliyepita@hakuna aliyefurukuta lkn sasa mbona kila mtu ni msemajiiii!kunaniii!
@emmanuelmsangi16622 жыл бұрын
Hawajui lolote watu wanaangalia leo tuu
@elishakayagwa93712 жыл бұрын
Mzee kwenda zako umeshaisha na unaongea ujinga kumpinga Bashiru
@michaelndilima62102 жыл бұрын
Mzee unafraid sana
@stevenmabungi32452 жыл бұрын
Sawa mzee tumekuelewa kabsa
@gasparlubaga58662 жыл бұрын
Mzee huyu ni msomi mzuri sana na anajielewa vilivyo
@estabauna36042 жыл бұрын
Watanzania wenzangu, kiujumla Hali yetu ni mbaya sanaaa. Hawa wenye vyeo waacheni tu waendelee na hizo ngonjera zao wanazoziimba. Kikubwa tumuombe Mungu tukutane 2025 ni mwendo wa kumuua nyani tu. Ndugai alisema ukweli ikaonekana ajiuzuru leo Bashiru anaongea ukweli inaonekana na yeye ajiuzuru. Hii nchi inaelekea wapi? Basi hao Viongozi wasiotaka kuusikia ukweli inaonekana wanamatatizo afya ya akili pengine hawajielewi.
@mohamedimcheni20682 жыл бұрын
Bashiri oyeeeeeeeeeeeeeeeeeew
@yonaseni39452 жыл бұрын
Sahihi mkuuu
@njilelufasinza87032 жыл бұрын
He!
@gasparlubaga58662 жыл бұрын
Huyu Mzee anajielewa sana kwa kweli,ameongea kama mwana zuoni, na aliyebobeya kwa kweli
@venancemalima11812 жыл бұрын
Kibajaji kwa nn ma ueye hasijiudhuru maana huyu jamaa anadhani kwamba ana mamlaka sana kumzidi Mh.Rais.Dr.Bashiru katoa mawazo yake.Sasa watu wanalopoka ovyo.
@wolinet12 жыл бұрын
umefika wakati wa mabadiliko
@lilyjones35842 жыл бұрын
Mzee wa busara ameweka mambo sawa. Wachumia matumbo mpoo??? Msifanye watanzania mataahira. Hicho chama chenu mnakiua wenyewe kwa ulafi. Mliponea chupuchupu 2015, mmeanza tena!!! Dawa yenu inachemka.