Mzee Warioba: Uchawa ni Kukaribisha Udikteta, 'Haiwezekani Kurudi Chama Kimoja'

  Рет қаралды 9,165

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Akizungumza na waandishi wa habari katika Hotel ya Peackock jijini Dar es Salaam, leo Disemba 04,2024, Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ametahadharisha juu ya hali ya Udikteta katika jamii.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 34
@godfreymjuni3420
@godfreymjuni3420 2 ай бұрын
Mzee Mungu akubaliki sana
@newbornhaule
@newbornhaule 2 ай бұрын
Yumkini Mungu anakutunza kwa uzalendo wako kwa Taifa lako Mungu azidi kukulinda kwa upendo wako huu kwa Taifa
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 2 ай бұрын
Akili kubwa sana
@newbornhaule
@newbornhaule 2 ай бұрын
Mungu akutunze uishi miaka mingi sana.....
@newbornhaule
@newbornhaule 2 ай бұрын
Yumkini Mungu anakutunza kwa uzalendo wako kwa Taifa lako Mungu azidi kukulinda
@Hamy1109
@Hamy1109 2 ай бұрын
Kitu ambacho Nyerere alitukosea Watanzania ni kuleta mabadiliko ya mfumo wa vyama vingi halafu akaacha mfumo wa chama kimoja eti ndio usimamie chaguzi za ushindani. Hilo ndio kosa lake ambalo linagharimu nchi mpaka leo.
@songombingo108
@songombingo108 2 ай бұрын
Upo sahihi.
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 2 ай бұрын
​@@songombingo108 mfumo wa chama kimoja unasimamiaje uchaguzi?
@PhilbertCelestin
@PhilbertCelestin 2 ай бұрын
Ngumu kuelewa kama huelewi mambo ya chqguzi
@PhilbertCelestin
@PhilbertCelestin 2 ай бұрын
Hakika alikosea na haikuwa kwa bahati mbaya lengo ilikuwa ni kuilinda ccm isipoteze madaraka.
@petersilas4234
@petersilas4234 2 ай бұрын
Alijua anachofanya, nchi za Africa hazina muda mwingi wa kupoteza kwenye malumbano, tumechelewa Sana. Model ya China ndiyo inaweza kuleta maendeleo ya haraka Africa. Hapa Tanzania tuko vizuri na haitachukua muda tutawaacha majirani zetu mbali. Nyerere anaonaga mbali bwana.
@Ambagaye
@Ambagaye 2 ай бұрын
Tatizo la uchawa liliozagaa sana siku hizi liliasisiwa na CCM. Alianza chawa mmoja lakini sasa wamezaliwa chawa wengi sana kiasi kuwa hata DDT haiwezi kuwamaliza. Inahitaji Nyuklia kuinyoosa nchi dhid ya machawa.
@yustinochipembe1754
@yustinochipembe1754 2 ай бұрын
Odemba omba mdahalo MzeeWarioba vs Mxee Msekwa
@drnow1528
@drnow1528 2 ай бұрын
wewe mzee kaa kimya
@IbrahimJumanne-d5l
@IbrahimJumanne-d5l 2 ай бұрын
Wanaiaribu inchi yetu awa mavi ongozi wa sasa
@CajerMomade
@CajerMomade 2 ай бұрын
Mzee nenda ukapumzike
@ThomasAlute
@ThomasAlute 2 ай бұрын
Walisema tuzima zote tunawasha ya kijani hamukuelewa tu
@NelsoniJamily
@NelsoniJamily 2 ай бұрын
Funguka baba walioba mko wachache sana watu kama ninyi tusikie na butiko
@petersilas4234
@petersilas4234 2 ай бұрын
Mzee huyu hufanya makosa ya msingi sana wakati mwingine. Chukulia alipoleta wazo la serikali tatu wakati anajua hilo ni kuudhoofisha au kuua muungano. Nchi zote zilizoungana dola kubwa na ndogo lazima ile kubwa ibebe mzigo wa serikali yake na ya muungano. Angalia UK , pale Scotland na Ireland Wana mabunge na serikali zao, England serikali yake iko ndani ya muungano. Pia huko China kuna Tibet, Hong Kong. USA kuna Hawaii. Apumzike aache wengine wafanye kazi au ashauri bila kelele kubwa.
@WamboiMangore
@WamboiMangore 2 ай бұрын
Sijaelewa!.UCHAWA NA UKUPE UNA TOFAUTIANA?. MBONA KWENYE AZIMIO LA ARUSHA UKUPE ULIPIGWA VITA?
@AbdallahBakar-oc3ue
@AbdallahBakar-oc3ue 2 ай бұрын
Mzee ni muda wako wa kipumzika sasa usijipe mawazo ya vyama
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 ай бұрын
Pole....hujui kuwa kwa kadri waadilifu wanavyo zeeka hekma huongezeka.....ni baraka kwa waadilifu
@godfreykahabi1964
@godfreykahabi1964 2 ай бұрын
Haki yake kutoa maoni
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 ай бұрын
@@godfreykahabi1964 ni kweli Godfrey....hekma ikikosekana kwa wazee kwa vijana utaipata kweli.....wazee kama Warioba ni waadilifu KWELI kweli...huyu Mzee SI mwanasiasa...huyu ni mwanasheria mpenda haki....kumbuka aliwahi kuwa jaji Mkuu, waziri Mkuu, na mwanasheria Mkuu wa serikali yetu.....Bado tunahitaji busara zao kwa Taifa.....asinyamazishwe....iwe heri kwa nchi na watu
@Fesary
@Fesary 2 ай бұрын
Jamaa tulia,
@jeffmap4038
@jeffmap4038 2 ай бұрын
kwa haya yanayojiri ni muhimu kuongea maana wakati ni ukuta......Big up Mzee. una busara za kutosha.
Balozi Liberata Mulamula: Chanzo cha Mgogoro wa Congo (Part 1)
26:10
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
Godbless Lema Aliamsha Dude Bungeni, Hali ya Hewa Yatibuka
15:51
Global TV Online
Рет қаралды 589 М.
Prof Kabudi awarudisha wabunge shuleni kwa muda
25:42
Mwananchi Digital
Рет қаралды 308 М.
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН