WAKILI MWABUKUSI AMJIBU MWANASHERIA MIMI SIYO MTU WA KUTISHWA AKITAKA AFUTE MPAKA VYETI

  Рет қаралды 300,117

KUSAGA TV

KUSAGA TV

11 ай бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZbin : www.youtube.com/@kusagatv6320...
Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

Пікірлер: 1 300
@nicholaschalle8288
@nicholaschalle8288 11 ай бұрын
Mungu Akulinde Sana, Mtanganyika Mzalendo, Hawatashinda kamwe.
@patientlazaro6930
@patientlazaro6930 11 ай бұрын
Nimeipenda bure Mwabukusi go go brother. Tunahitaji watu kama hawa kwa Tzs ya sasa
@dainessgaspar6042
@dainessgaspar6042 11 ай бұрын
Yaani wewe wakili mwabukusi, ndiye unatakiwa kuwa raisi wa nchi hii, maana unauzalendo wa ajabu , mungu akulinde Sana mpigania haki za watu wa mungu, kwa hili mungu atawaua wote wanaotaka kudhulumu watu wa mungu.
@omaryramdhani9823
@omaryramdhani9823 11 ай бұрын
LABDA RAISI WA UKOO WENU NA FAMILIA YAKE
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 11 ай бұрын
​@@omaryramdhani9823Kwaani ili uwe rais unatakiwa uweje,je Samia ana lipi la kumzidi huyu wakili
@ambakisyemwakinunu2002
@ambakisyemwakinunu2002 11 ай бұрын
​@@mwassamwassa7264huyo itakuwa ni mzanzibar wanafurahia Mali za Tanganyika ziiuzwe , ila wamekwama vibaya
@ambakisyemwakinunu2002
@ambakisyemwakinunu2002 11 ай бұрын
​@@omaryramdhani9823umejua kampeni yenu ya udini na uzanzibar kama unaona mkataba unafaa kwanini Zanzibar bandari zake hazimo? Au yenyewe sio Tanzania?
@KapalataKitaulo-iu8by
@KapalataKitaulo-iu8by 11 ай бұрын
Mzee anaongea fact tupu apewe maua yake
@yusufunguruko8080
@yusufunguruko8080 11 ай бұрын
Watanzania tumpe support huyu mtu, hata body language yake inaonyesha wazi ni mzalendo wa kweli anaeumizwa na uporaji wa rasilimali zetu tulizopewa na M/ Mungu Kwa nchi yetu - Let's God bless you comrade Mwabukuzi, keep it up, we are with you !
@salaekson6771
@salaekson6771 11 ай бұрын
tumtumie Pesa aweke number
@Byme6434
@Byme6434 11 ай бұрын
Hata Mm nimetaka kusema hivyo Anapambania Nchi Yetu
@ayoubshaibu8123
@ayoubshaibu8123 11 ай бұрын
Mi simpi support hakuna kitu hapo
@shinipapaya846
@shinipapaya846 11 ай бұрын
Ogopa sana vyeti kutoka kwa mabeberu
@ibrahimnyabwa8088
@ibrahimnyabwa8088 11 ай бұрын
@@shinipapaya846 Wale wote wanaompinga Mwabukusi ni wasaliti, watuachie nchi yetu, wakawe vibaraka kwa mabwana zao. Wananchi hebu tuamke, hicho kipenga kimelizwa!!! Mtama wa MAMA UNALIWA NA NDEGE, HEY!!!!
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 11 ай бұрын
Barikiwa sana Wakili Mwabukusi,Mungu akutie nguvu,zungumza ukweli kwa ujasiri wasidhani kukufutia uwakili watafuta karama na kipaji chako kichwani mwako, wao wanaotumia vibaya mamlaka za kudhaminiwa na kodi za wananchi kwa kiburi, hila,ubinafsi na ubabe ipo saa watalipa gharama(Isa33:1). Mungu akulinde uingiapo, utokapo na wafilisti wetu hawa.
@josephkassulamemba1788
@josephkassulamemba1788 11 ай бұрын
Kuna baadhi ya vituko vya nchi hii, hata ibilisi anatushangaa mno Mara, siyo raia..... Mara, hana vyeti..... Kuna siku tutasikia Kuna mtu/ binadamu alizaliwa bila baba na watu watoa ushuhudia.....
@hassanrcharokiwa
@hassanrcharokiwa 11 ай бұрын
❤Mwambukusi Umesimama Imara Hongera!! Anatakiwa kila mmoja mwenye akili timamu asimame imara kama wewe!!
@BobNgagi2023
@BobNgagi2023 11 ай бұрын
Shida ya Mwabukusi hajatuambia shida yake hasa ni nini, manake si kawaida mtu anatokwa na jasho hivyo eti kwa sababu Serikali imeingia mkataba na wa uwekezaji na kampuni ya nje, tena hiyo bandari ipo KM 1000 na kwake Mwabukusi, tena mikataba mibovu zaidi ya hiyo ilikuwepo na inaendelea kuwepo 🤔 Waliokarubu na bandari wenyeji ambao walitakiwa kuwa mstari wa mbele Wazaramo wapo kawaida tu, hivi mtanganyika ni Mwabukusi peke yake, wengine siyo Watanganyika au hawana uchungu ? kwani akiongea kwa staha na heshima kama mtu aliyesoma atapoteza nini, au yeye ni mtanganyika pekee mwenye uelewa, wengine wote hawaelewi ndiyo maana hafanyi fujo na hizo furugu zake. Manake hapo anaonekana yupo tayari hata kutoa uhai wake kws ajili ya bandari, ndiyo maana sisi wengine anaotuita hatujitambui, tunajiuliza Mwabukisi, hivi ni hili hili la bandari tu au kuna linalomsumbua huyu ndugu yetu msomi kuliko sisi sote ??🤔🤔
@sultansallah8772
@sultansallah8772 11 ай бұрын
Kwan ww huna akili timamu
@BobNgagi2023
@BobNgagi2023 11 ай бұрын
@@sultansallah8772 Manake huyo mwenzetu anajifanya yeye ndo mtanganyika, ndiyo msomi ndo mwenye ulewa, hivi kweli inaweza kuwa hivyo ? na kwa nini sasa, na kwanini bandari tu ?
@UmmSudays
@UmmSudays 11 ай бұрын
​@@sultansallah8772😂😂😂😂
@user-xi9lj1gz2p
@user-xi9lj1gz2p 10 ай бұрын
Yuk very rch
@methodjasson2159
@methodjasson2159 11 ай бұрын
Asante baba Mwambukusi wewe ni mtu muhimu sana katika Tanzania yetu Mungu akubariki sana,❤❤❤❤❤❤❤
@mussanyanda3451
@mussanyanda3451 11 ай бұрын
Awe Raisi tu Amrithi Anko
@benedictmwaibasa2856
@benedictmwaibasa2856 11 ай бұрын
Mwabukusi, hongera sana kwa msimamo wa kutetea hoja ya mapungufu ya mkataba wa bandari na TP World. Wanao jaribu kukutisha wanavyeti vingi vya shule lakini hawajaelemika na kuijua dunia inayowazunguka, hili nitatizo la wenzetu wengi!
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 11 ай бұрын
Kweli kabisa Hongera sana Mwambukusi huyo mwanasheria hajijui anachosema tuliwazoeza kuwaita waheshimiwa wakati wanaposetutisha. Hongera sana Mwambukusi Mungu akutie nguvu. Ukijua kweli itakuweka huru Kweli kweli
@thomastarimo
@thomastarimo 11 ай бұрын
sisi tuko nyuma yako na maombi ya ngufu na mungu atakusimamia na huyo chawa anayekutishia atafuta vyeti vyako sisi tuta muomba mungu amfute duniani na maombi yetu ssis umma ni motto ssis atutishwi na chawa yoyote
@leonardmwayeya13
@leonardmwayeya13 11 ай бұрын
Kweri nchi hii nimajambazi viongozi au mafisadi ndo wachochezi wasababishaji wavurugo wao ndowanao kamata watu kwanguvu pasipo kufata Sheria mwabukusi anatumia Sheria hajianzishi tu mnataka kanyag,Anya vyeti inaonesha nijinsigani hamna taaruma yauongozi bari mnatupereka pereka tu hakuna mnachokijua kwenyeuongozi tunajua bandari nikikweti rostom samia makamba tunajua mkabinafsishe zazanzba wajinga wakubwa warafi
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 11 ай бұрын
Mwambukusi Wewe ndie Mtanganyika mzarendo wa kweli big up sana
@frankmungure7674
@frankmungure7674 11 ай бұрын
Wakili MUNGU amekuinua Kwa Watanzania kuwafumbua macho MUNGU akulinde Malaika wake wakuzingire AMEN
@imanhaonga6687
@imanhaonga6687 11 ай бұрын
Amen amen amen
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 11 ай бұрын
Hakuna kitu kizuri katka maisha kama kujikubali! Huyu ni wakili mahili anaejikubali kuliko! Mtu umesoma kwa garama lazima ujikubali mwanangu!
@fadhili7046
@fadhili7046 11 ай бұрын
Very true brother
@user-cf7yo3il6g
@user-cf7yo3il6g 11 ай бұрын
Oml😅
@boniventuremasalu4405
@boniventuremasalu4405 11 ай бұрын
​@@fadhili7046😅😅😮
@boniventuremasalu4405
@boniventuremasalu4405 11 ай бұрын
​@@fadhili7046😊
@kitosio
@kitosio 11 ай бұрын
Hakuna mwizi hapa. Baba wewe unatetea kitu kingine tofauti na bandari. Nyny Ma Chadema hamtakubali maendeleo mpaka kiama.
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 11 ай бұрын
Jamaniii huyu wakili Mwambukusi apewe ulinzi mkubwa Mungu wa mbinguni tulindie huyu binadamu ni zawad nzuri ulitupa aweze kututetea wanyonge asante sana
@albertbunyinyiga7581
@albertbunyinyiga7581 11 ай бұрын
Sio atutetee wanyonge na wewe utoke sio una andamania sebureni na Instagram
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 11 ай бұрын
Wananchi wa mbeya mlindeni mtu huyu haraka hata kwa mikuki mlindeni
@meryshekoloa961
@meryshekoloa961 11 ай бұрын
Herengwila tutaweza tumuombee kumlinda ngumu Sana tungemlinda magufuli na wakifuta vyeti elimu yake ipo kichwani
@osodowilberforce2321
@osodowilberforce2321 11 ай бұрын
Kweli kabisa Bwana Wakili,hata sisi hapa Kenya tunakuunga mkono kabisa kwa kupigania demokrarasia na Tanzania.
@maryfranknamkumba9182
@maryfranknamkumba9182 11 ай бұрын
Ahsanteni sana wakenya for standing up na sisi against hawa mapanya road called ccm. Love you sana ❤️🙏🏾
@hajihassan5433
@hajihassan5433 11 ай бұрын
Wewe utaunga mkono kwa sababu hii ni vita ya panzi na Kenya pamoja na majirani wengine ni kunguru mtanufaika tu.
@thomasdunstan8263
@thomasdunstan8263 11 ай бұрын
​@@hajihassan5433 weenawe hamnakitu
@asitaa6jula
@asitaa6jula 11 ай бұрын
Wakenya walishaamka siku nyingi, Sasa ni zamu yetu TZ kuamka
@muharamiesther5908
@muharamiesther5908 11 ай бұрын
RIP JPM🙏🇹🇿 Tunakukumbuka kwa Mema Sasa
@davidcurtis175
@davidcurtis175 11 ай бұрын
Sasa ndio tutamkubuka vizuuuuuri Magufuli aliposema niombeeni watanzania hii vita ya kiuchumi ni hatari sana kuliko vita ya kupigana bunduki, maana nilikoswa koswa sana na sumu niktaka kuacha ila mzee mkapa akaniambia umeingia humu huwezi toka na kweli sijatoka na kama wataniua waniue tu ila siwezi kuwaacha watanzania wakaibiwa mali zao ni bora nife kwakupigania haki za watanzania kuliko kufa kwa kuwanyonya watanzania, na nikifa mtanikumbuka kwa mema yangu. Dah!!! Masikini leo hii viongozi wamekosa weledi wamekuwa na viburi na kutosaheshimu hata kidogo raia inasikitisha sana.
@allyzumo5832
@allyzumo5832 11 ай бұрын
Kwani uovu kwa sasa uko wapi
@shabanadam4476
@shabanadam4476 11 ай бұрын
Stop nonsense 🎉we live in presents time
@kambanimwanyulu7570
@kambanimwanyulu7570 11 ай бұрын
Uandiikeni kwa kiswahili tupate nakala huku shamba tuelewe kilichomo
@adamsonjared4127
@adamsonjared4127 11 ай бұрын
Ciping
@rashidsaid6313
@rashidsaid6313 11 ай бұрын
I am an Engineer but for the tips you have spoken, I appreciate you my brother. This country needs interlectual people like you. We are together to this Issue.
@filbertkumburu8015
@filbertkumburu8015 11 ай бұрын
Very good wakili mwabukusi, damu ya Yesu ikushade fully all the way
@edwinmakingi3631
@edwinmakingi3631 11 ай бұрын
Very good Mwabukusi, I understand what you stand for, carry on brother, God is with you.
@BITUROKAZERI
@BITUROKAZERI 11 ай бұрын
Mkuu ana watoto na familia wenzako
@Adye255
@Adye255 11 ай бұрын
Ndo hcho watanzania tunakwama ubnafsi tuu ndo kinatuludisha nyuma tunaaminishwa kuwa tunaamani lakn ukwel atuna amani
@richimuniko3578
@richimuniko3578 11 ай бұрын
Kaka watanzania tumekuona kweli Wewe nimzaledo. Nakufananisha na Magu.
@jeremiahgosso689
@jeremiahgosso689 11 ай бұрын
Tuna kuunga mkono Mwakabusi, big up.
@nassoroyahaya821
@nassoroyahaya821 11 ай бұрын
Nothing new to this Guy,,,,I disregard him he doesn't deserve some one going contrary to the government if he wants to go to Chadema let him be an opposer and not to be a freedom fighter through papetism behind the scine!
@mwenem8130
@mwenem8130 11 ай бұрын
Huyu ana elimu na Akili ya kipekee, jasiri haswa. Mwanasheria Mkuu anatetea tumbo lake, aache ujinga wake, na amejionesha ujinga wake ktk kazi God Bless my Brother Mwabukusi, wanaume wa Mby hatutaki ujinga hata siku moja.
@annamtapila5761
@annamtapila5761 11 ай бұрын
We need people like this man to stand for our country.
@fredybanda2861
@fredybanda2861 11 ай бұрын
Exactly this is man of action
@desolz3809
@desolz3809 11 ай бұрын
Fact
@patrickKitambo
@patrickKitambo 11 ай бұрын
We should all unite and stand for our country, it doesn't take someone it takes all of us
@abdulhussein7774
@abdulhussein7774 11 ай бұрын
Big up brother wewe ni mwanaume wa shoka
@pendokimathi99
@pendokimathi99 11 ай бұрын
Wananchi 2po pamoja na watetezi wa haki za mali ya nchi yetu atutaogopa uongozi wowote juu ya mali zetu Bandari yete urithi wetu tusiogope
@AndrewMasaga
@AndrewMasaga 11 ай бұрын
Unafaa kupata uraisi tunahitaji watu Kama Hawa Mungu akulinde
@nisagurwemkambeni-li5uo
@nisagurwemkambeni-li5uo 11 ай бұрын
🎉🎉🎉 naanza na maua yake kwanza jamanii Nikimskiliza huyu mwamba maana nimwamba kupaza sauti kwaajili ya tanzania kwa namna hii nimarachache sana. Au ndo tukumbuke utabiri wa yule shehe Nini? aaaah! au ndo nakumbuka maneno ya nyerere kusema WATANZANIA WASIPO PATA KINACHO WAFAA KUTOKA CCM WATAKITAFUTA PENGINE!! Kweli Kwaajili ya watanzania Magufuli number 2🎉🎉
@shenamtukufu1224
@shenamtukufu1224 11 ай бұрын
Tanzania Ina watu mazee
@user-vw7zr9qy3k
@user-vw7zr9qy3k 11 ай бұрын
​@@nisagurwemkambeni-li5uonataman awe rais
@alexvenas2699
@alexvenas2699 11 ай бұрын
Haswaaa
@alphoncembasa592
@alphoncembasa592 11 ай бұрын
Safi sana wakili . Raisi wangu Samia Pokea maoni ya Watanzania wenzako wenye mawazo mazuri Kwa maslahi ya Taifa . Mungu akulinde Mama na Raisi mpendwa
@knight6757
@knight6757 11 ай бұрын
👀
@nelsonjastin2601
@nelsonjastin2601 11 ай бұрын
Watawala jifunzeni kujibu oja Kwa oja sio vitishoo na utekaji cheki mwaka Kila mwaka anaibuka mzalendo mpya
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 11 ай бұрын
TATIZO LA WATANGANYIKA WANAHESHIMU WATU KWA SUTI (MAVAZI) NA VYEO BADALA YA MATENDO!!! AFADHALI KUMHESHIMU PANYA ROAD KULIKO KUMHESHIMU MWENYE MAVAZI YA THAMANI SANA CHEO KIKUBWA SANA LAKINI NI MLA RUSHWA, MTOA RUSHWA, MUWAJI, FISADI N.K HERI UMHESHIMU KIBAKA KULIKO KUMHESHIMU MTU ANAYE TENDA MATENDO HAYO, KWA SABABU MATENDO HAYO NI MABAYA NA YA HATARI KWA NCHI KULIKO YA PANYA ROAD NA KIBAKA, MTU HUYU AMIDHAMINIWA NA WANANCHI KWA CHEO CHAKE NA ANA KIAPO CHA UWAANIMIFU KWA MUNGU. UTAMLINGANISHAJE NA PANYA ROAD NA KIBAKA!!!? NAKUHAKIKISHIA NI AFADHALI PANYA ROAD NA KIBAKA KULIKO HUYU HATA KWA MUNGU ADHABU YA VIONGOZI HAWA NI KUBWA KULIKO YA PANYA ROAD NA VIBAKA!!! ULIZA KWA MTU YEYOTE MWENYE UFAHAMU WA MUNGU!!! WANA MATENDO YASIYO NA STAHA YAANI UFISADI HALAFU WANADAI KUPEWA STAHA WAPI NA WAPI?
@user-qo2nf6vm7k
@user-qo2nf6vm7k 11 ай бұрын
Mungu amchukue haraka iwezekanavyo
@kawiche4911
@kawiche4911 11 ай бұрын
RAISI ANALEA WEZI HATUTARUDI NYUMA DPW MKATABA HATUUTAKI
@yayananajota5838
@yayananajota5838 11 ай бұрын
Strong together forever 🇫🇯🇹🇿
@PascalinaMushi-je9jn
@PascalinaMushi-je9jn 11 ай бұрын
Yaani wewe baba Mungu akufunike na malaika wakuzunguka mpaka hiyo mijizi ishangae your very strong Mh. Wewe nimfano wa kuigwa na watanzania wote.😢😢😢
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 11 ай бұрын
Safi sana Mwabukusi, mwenyezi mungu azidi kukulinda, Time of fear is over.
@labancharles8453
@labancharles8453 11 ай бұрын
Mwenye haki wangu ataishi kwa amani.
@aikandeshoo5354
@aikandeshoo5354 11 ай бұрын
I strongly stand for your strong stand brother
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 11 ай бұрын
When a person says, (it doesn't matter any more) muogope huyo mtu ni hatari... huyu ndio amefika mahali hapo... Big up, they can't stop this, they can't stop him. Bravo brother!
@mikbete
@mikbete 11 ай бұрын
We have been living in fear but not this time. You are a brave soul Mwabukusi. I am very much impressed with your name, particularly KAJUNJUMELE, Dem don' know what dat meams. Fear has never helped us, God hate fear, we must hate fear to be free as we were born to .
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 11 ай бұрын
Be strong enough to resist that why we say religues leader and opposition have chance to backup you with full force if feel this our yang generation home and school kids teach wakers union to join because education matiriol on English been crush with ccm gavmentment only lie to us Swahili lntanationel langwege who told you lie cross boder you stating fighting with English they lie to us line tanzania don't travel
@BobNgagi2023
@BobNgagi2023 11 ай бұрын
You guys live in self proclaimed fear. To be frank now is the most comfortable time, if you are really not biased , we lived in fear during Magufuli, when everyday people in theirb thousands if do not die, they disappear and some bodies were found floating in rivers
@jacobmakono4399
@jacobmakono4399 11 ай бұрын
Yes Sir!
@patrickKitambo
@patrickKitambo 11 ай бұрын
You're wise
@mikbete
@mikbete 11 ай бұрын
We are not talking about regimes, you don' know the fear we are talking about, we have lived in fear ever since. We are talking about social total participation in deciding their fate. There is a price for everything any way! We only require to be extraordinarly careful.
@marthaswai1185
@marthaswai1185 11 ай бұрын
Mama uliyemzaa huyu mtu,mjumbe wa mbinguni,libarikiwe tumbo lako.Wanyakyusa hoyeeer
@claudiajames2003
@claudiajames2003 11 ай бұрын
Whoever is near Mr Kanjunjumele right now may you hug him on my behalf aseee....huyu ndio Mtanzania tunaemtaka!!!!!!!!! For real
@innocentraymond3301
@innocentraymond3301 11 ай бұрын
when you know your value as human beings,and understand the value of your knowledge, +why are you alive in this world the outcome automatically comes like this man! live long chief God almighty is watching over you and the legacy will live longer coz God is GOD of generation yet n born!
@abelmirwatu544
@abelmirwatu544 11 ай бұрын
Huyu mwamba ananifanya nijiamini sanaa....
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 11 ай бұрын
Sahihi sana Mwabukusi Mungu akutie nguvu na Mungu huyohuyo akutiae nguvu awatie upofu
@annasaye8782
@annasaye8782 11 ай бұрын
❤ Don't give up our dearly, I will always continues pray for you
@Byme6434
@Byme6434 11 ай бұрын
🙏🙏🙏
@laxfloop
@laxfloop 11 ай бұрын
Ndio tunarudi pale pale...taifa la vyeti!...Huwezi chukua elimu ya mtu hata siku moja...sawa hatopractice lakini atakuandama kwa elimu aliyokuwa nayo tayari hatakama sio wakili...ishu ni ELIMU mtu anayo!!! Big up sana my brother...Tuko pamoja na wewe.
@AhadiLete-no4ik
@AhadiLete-no4ik 11 ай бұрын
Of course brother
@victorphilibert1629
@victorphilibert1629 11 ай бұрын
Akasome circular za nje ya nchi
@christophermatupila7165
@christophermatupila7165 11 ай бұрын
safi sana mzalendo wa Tanganyika,Mungu wangu wa mbinguni akulinde aya madaraka waliyobayo mbinguni hayafiki yanaishia apa Duniani
@philibertsimon
@philibertsimon 11 ай бұрын
I get you man you are so strong
@ziyadanyandwi2908
@ziyadanyandwi2908 11 ай бұрын
Ubarikiwe sana mzalendo wa kweli mwenye uchungu na nchi yake juwa kwamba huko peke yako tuko wengi nyuma yako tunaopinga uovu unaofanywa ktk nchi yetu
@zaydamos874
@zaydamos874 11 ай бұрын
Mwabukusi nakuomba ktk Kila swala lazima nikuombee Dua ktk vipindi vyote vitano vya swala zangu mbaka na kisimamo Cha ucku lazima nikuombee Dua na Allah akuzidishie ujasir brother kwa uzarendo wako nakuomba Mambo yakikaa sawa kwa uwezo wa Allah ugombee urais tunaitaj mzalendo ndio akae ikuru na kuiongoza Tanzania inshallah nikutakie ulinzi wa Allah na yupo pamoja nawe kwa hili tutashinda brother
@faza4023
@faza4023 11 ай бұрын
Allah akubariki na wewe
@zaydamos874
@zaydamos874 11 ай бұрын
Amin
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 11 ай бұрын
Watu kama hawa ni wachache sana Tanzania jaman unauchungu na nchi ya Tanzania Mungu akubariki sana
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 11 ай бұрын
Kweli
@allyzumo5832
@allyzumo5832 11 ай бұрын
Mwenda wazimu tuuu huyu
@MjombaOg-py2ls
@MjombaOg-py2ls 11 ай бұрын
@@allyzumo5832 acha ukuma ww
@lucasmasumbuko2098
@lucasmasumbuko2098 11 ай бұрын
@@allyzumo5832 mwenda wazimu ni wewe na family yako
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 11 ай бұрын
Kwanini unaaema hiyo?.? Kosa lake Nini???
@emmanuelfari8924
@emmanuelfari8924 11 ай бұрын
+MUNGU+ akutie nguvu na kukutunza daima hadi mwisho wa kusudi lake YOHANA 14:14🙏🙌
@frbm1729
@frbm1729 11 ай бұрын
Tupo nyuma yako.Big up sana.Mtanganyika mwenzetu.
@josephatbayyo2507
@josephatbayyo2507 11 ай бұрын
Hongeraa Wakili Mwabukusi mm nimekuelewa, na hivi sasa ww ndiye mtu sahihi atakayetufusha watanzania dhidi ya udhalimu huu hatari unaofanywa na wantazania wachache dhidi ya mustakabali wa bandari zetu kwa waarabuuu, ombi letu kwako Mungu awe mlinzi wako daima utuokoe hila za shetani. Aminaaa !!!
@sophiamasalu4429
@sophiamasalu4429 11 ай бұрын
baba ulikuwa wap sku zote jaman watanzania tunakupenda na tunakuombea Mwenyezi Mungu akusimamie na akupe maisha marefu endelea na msimamo wako
@allyzumo5832
@allyzumo5832 11 ай бұрын
Aliwahi kucmamia yapi tangu enzi hzooooo kaibuka leoooo
@vickytorry100
@vickytorry100 11 ай бұрын
Kila jambo na wakati wake, Mungu ametutunukia Wakili Mwabukusi.
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 11 ай бұрын
Kila mnabii nanyakati zake
@JacobMassawe
@JacobMassawe 11 ай бұрын
Tunakuombea tukokukuunga mkono tunakusikiliza
@isaliisu3408
@isaliisu3408 11 ай бұрын
Hamna kitu watanganyika ni njaa tu namkumbuka sana Devid kafulila nafikiri ilikuwa ishu ya EPA kama sikosei lkn baadae kaunga mkono juhudi
@khaliduhadi2336
@khaliduhadi2336 11 ай бұрын
Safi sana mwanasheria msomi uliyebobea Tanganyika one very good my brother tuko nyuma yako
@severinimkini4116
@severinimkini4116 11 ай бұрын
Very good mtani, you deserve extra credit. Umenena yaliyo ya haki, ni vema kila mwenye wasi wasi na chochote kuhusu Bandari,achukue Mkataba asome, bila kusomewa.
@renatuskanuthy5743
@renatuskanuthy5743 11 ай бұрын
Hiki kichwa kimerithi ujasiri wa babu yake.Hawa ndio vijana mwl nyerere alikuwa akiwahitaji sana
@theodorymwalongo7509
@theodorymwalongo7509 11 ай бұрын
Mungu akubariki na kukulinda mzalendo wetu Mwambukusi. Ndaga fijo
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 11 ай бұрын
Huyu Mwamba apewe Ulinzi na Mungu 🙌🙌🙌🙌
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 11 ай бұрын
💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 AMINAAAAAA. MWABUKUSI MWANA WA MUNGU. ALIYE HAI. ROHO WA MUNGU YUPO PAMOJA KUKUTIA NGUVU NA UJASIRI ZAIDI NA ZAIDI NA ZAIDI KWA JINA YESU TUPO PAMOJA KUWAOMBEA USKU NA MCHANA HADI KIELEWEKE AMIN AMIN
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 11 ай бұрын
👆NA WEWE
@knight6757
@knight6757 11 ай бұрын
🤲🤲
@dorcasfaith5050
@dorcasfaith5050 11 ай бұрын
Ninaomba Mungu awalinde mliojitoa mhanga,mkono wa Mungu usiwaondokee,ukawe juu yenu kwa ulinzi mkuu
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 11 ай бұрын
Mungu akulinde Papaa Mwabukusi. Mahakamani ni sehemu ya ku translate law🙌
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 11 ай бұрын
Ww ndo falaja ya watu wengi mungu akubaliki sana
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 11 ай бұрын
Sisi tusiojuwa Sheria kusoma Wala kuandika tunakutakia afya njema tunakutakia Kila la kheri inshallah mwenyez MUNGU awe pamoja na wewe.watanzania tunaomba duwa zenuu inshallah.
@ahmedhamis
@ahmedhamis 11 ай бұрын
Umeandikaje kama hujui kusoma na kuandika
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 11 ай бұрын
@@ahmedhamis nimemaanisha sisi wa darasa la7 elimu ya awali uelewa wetu ama uelewa wangu ni mdg sana mpk tufahamishwe Kwa uweled ndio tunajuwa ama ndio najuwa nchini kwangu kunanini kina hoendelea sio km wewe Ahmed uliofika chuo na degree zako utakuwa umenielewa
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 11 ай бұрын
@@ashurakiswamba7085 Usijione mnyonge uwezo wa akili ya mtu ni kujitambua, kusoma ni kupata maarifa ya kuboresha kile ulicho nacho.Kama hujitambui elimu yako ni bure. Kuna wasomi wana mpaka PhD lakini hawajitambui na ndio wamelifikisha Taifa letu hapa, wanachojua ni wizi na ufisadi.
@leganmichael6148
@leganmichael6148 11 ай бұрын
Hongera sana kaka, hakika unatetea masirahi ya Taifa. Tunajua wanao tetea matumbo yao na vizazi vyao na kuwasaliti watanzania maskini na wasio na nafasi kama wao.
@johnpella8703
@johnpella8703 11 ай бұрын
Asante Mungu kwa kutupa wtu wazalendo, jasiri na wakweli miongoni mwetu.
@jericomwamsiku9088
@jericomwamsiku9088 11 ай бұрын
Daa pole Sana na Mungu akubariki kwa kuipigania nchi yetu Mungu atakulipa, Ila ombi langu kwako tunaomba ugombee ubunge Jimbo analogombea Tulia ackson , tutarudisha fadhira
@user-rj6tg7wd4t
@user-rj6tg7wd4t 11 ай бұрын
True
@oswaldmtei38
@oswaldmtei38 11 ай бұрын
Waooow please ikifika chukua fomu ya ubunge. Unafaa Sana Mwabukusi. Tunakuitaji sanaaa Mungu akulinde na akutunze.
@jacksonmwakosha3655
@jacksonmwakosha3655 11 ай бұрын
Mtanganyika ambaye anajitambua hatishwi big up bro for saying the truth wamezoea kutisha watu
@mabulamasunga7378
@mabulamasunga7378 11 ай бұрын
You are very bright guy. You are the ones who can bring hope to our future survival.
@nicksonngaamanya1946
@nicksonngaamanya1946 11 ай бұрын
exactly
@gataonyango9294
@gataonyango9294 11 ай бұрын
Mungu akulinde sana,hakika umenipa sprit ya tofauti juu ya kupigania haki
@Ufalme_
@Ufalme_ 11 ай бұрын
Mungu akusaidie Mwabukusi ,,,,,hakika unastahili pongezi,,,,,yaani nchi ingekaa chini itatue changamoto za huu mkataba,,,, wanataka kumuonea Mwabukusi pasipo sababu yeyote.
@allychambo9116
@allychambo9116 11 ай бұрын
Mara zote umenijenga kuwa imara na kujiamini.aliyekuumba ndio atakuumbua na sio yoyote.wanadhani wataishi milele na tamaa zao za kujisahau.Allah akujaze ushujaa kupitia ww nasi tunasoma na tutapata vyeti ktk kujiamini na kujitambua.ya my role modo!
@mkubhimkubhi
@mkubhimkubhi 11 ай бұрын
Na ahsante sana wakili! Tupo nyuma yako. Thanks God we do still got people who have integrity and would NEVER be anybody's PUPPET. KIBARAKA hasa anayetokea katika nchi kama hii ya TANZANIA ni hatari KULIKO hata yule wa enzi ya UKOLONI na tena anamshinda mbali sana hata yule aliyekuwa wa MAKABURU wa Afrika Kusini.
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 11 ай бұрын
Vzr sana mungu umemchukua magufuri ametuletea magufuri zaid yamagufuri tumechoka kuteswa watu wachache wenye kuangalia familia zao
@xvoodxx
@xvoodxx 11 ай бұрын
Kama wananchi na sisi lazima tumtetee. Tusiishie hapa kwenye comment section.
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 11 ай бұрын
Manyangau ni wengi mno ukimuondoa Zelesky now wapo Tz ni vibalaka wa Samia na magaribi😮😮😅😅
@SalomeYegela
@SalomeYegela 11 ай бұрын
Tuko pamoja
@bakarikarakara
@bakarikarakara 11 ай бұрын
Mwabugusi ninamkubali kiukweli nikidume mwenyezimungu akuongoze kwa mema Inshaallah
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 11 ай бұрын
MUNGU akutunze wakili wetu. Hakika tungekuwa na mawakili 10 tu wanaojielewa kama ww kwenye hili taifa tungefika mbali sana. Kaz yako n njema❤❤❤
@ahmedzahor2975
@ahmedzahor2975 11 ай бұрын
Si muukate kila mtu na kwao
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 11 ай бұрын
Aisee huwa unanifurahisha sana kaka, ila Mungu yuko nawe pia cc wananchi tupo nawewe.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 11 ай бұрын
I am impressed with you Mwambukusi. Tunakupenda sana endelea tena tunaweza kuwaondoa ofisi wanazo lingia. Tutasimama na wewe. Achana na hao hawana lo lote wala hawana kutuweza sasa.
@jonathanmaengo4281
@jonathanmaengo4281 11 ай бұрын
Huyu mtu angekuwa kwa nchi zinazowadhamini watu wenye busara kama huyu angelindwa sana .. huyu mtu ni next level
@user-gb1gl8bd4t
@user-gb1gl8bd4t 11 ай бұрын
Big up bro, keep it up
@user-oq7ez9ow7v
@user-oq7ez9ow7v 11 ай бұрын
Hongera wakili mzalendo. Mungu akuimarishe na akuongezee ujasiri wa kupambania rasilimali za taifa letu.
@judicatendengerio-ndossi1583
@judicatendengerio-ndossi1583 11 ай бұрын
Semeni yote lakini moja kwangu ni kudai fidia ya kututumikisha utumwani kama wanavyodai nchi zingine walipwe. Sehemu ya utajiri walo nao hao waarabu ni jasho la babu zetu . Hivyo sakata la bandari ni fursa (blessing in disguise) ya kuanzisha madai ya fidia. Dr. Slaa umenena na umetuamsha. Ubarikiwe kwa hilo maana ni kwa faida ya wote.
@amos878
@amos878 11 ай бұрын
Outstanding brother wewe ni mzalendo wa kweli big up bro!!
@mrdeniskomba6199
@mrdeniskomba6199 11 ай бұрын
Upo njema sana kamanda, Mungu yu upande wako.
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 11 ай бұрын
Mungu ibariki Tanzania, Mungu mlinde mwakabusi. Tuko pamoja maana wakati huu ni wa ukombozi.
@cleversanga7791
@cleversanga7791 11 ай бұрын
Mungu awe pamoja nawe Mr.wakili huu ni uzalendo wa Hali ya juu sana
@mickgeofreyjoachim1580
@mickgeofreyjoachim1580 11 ай бұрын
😂😂😂😂daah!!kiboko sana broo,mwakani nalazimika nikasome sheria because you have become my rolemodal
@alexkihongola798
@alexkihongola798 11 ай бұрын
Hata mimi, lazima niingie class.
@samigenge9762
@samigenge9762 11 ай бұрын
Huyu ndo kidume wa taifa
@anaclethmuyabaga8994
@anaclethmuyabaga8994 11 ай бұрын
Watanzania wanyonge tuaminikua mungu amesikia kilio chetu magufuli mungu amemfufua tuzidi kuomba wewe sio mwabukusi ni magufuli mungu katurejeshea kizuri turicho kipoteza amina
@nestanesta5704
@nestanesta5704 11 ай бұрын
Hichi kichwa ukikiweka na lissu ni hatari kuliko hatari yenyewe🙏🙏🙏🙏
@AndrewMasaga
@AndrewMasaga 11 ай бұрын
Ni kweli kibovu Sana ni sawa na kusema tumeanza kufingwa minyororo ya mababu zetu watumwa
@leokamil6284
@leokamil6284 11 ай бұрын
Kweli wakoloni weusi
@user-yp7nv3mg4b
@user-yp7nv3mg4b 11 ай бұрын
Nimerudia Mara ya tatu kuangalia,nitarudi tena kuiangalia hii na tena
@user-xi9lj1gz2p
@user-xi9lj1gz2p 10 ай бұрын
Haha anaelewek
@sophiaamnaay9726
@sophiaamnaay9726 11 ай бұрын
Hakika upo imara. Mungu akutie nguvu. Simamia unachosikia nafsini mwako.
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 11 ай бұрын
My brother Amani una hekima ya kipekee Mungu azidi kuwatia nguvu kwenye hiki kipindi viongozi wenu wanakipitia🤝🙏
@jofreyjulias3745
@jofreyjulias3745 11 ай бұрын
Nichelwa Sana kukufahamu mtu kama wewe na kukubali nahisi wewe ni magufuli wapili kwangu mungu akulinde Sana wewe hawawzi kukuelewa ilamimi nimekuelewa kutoka moyoni
@heriethkitururu4401
@heriethkitururu4401 11 ай бұрын
Waliosoma na elimu yao inaonekana uyu ni mmojawapo ❤ hata hatutaki kuona cheti chake
@silverirene9993
@silverirene9993 11 ай бұрын
Hakika Mungu ni mwema tupo sana pamoja nawewe na Mungu aweze kumpa Upeo mkubwa Raisi wetu Samia Hassani akuchukue wewe uwe mshauri wake mkubwa hakika nchi ii itaweza kuwa nzuri sana kuliko kubaki na awa wachumia matumbo yao awana uruma na wanachi wao Amina sana Mwambukusi Mungu anakulinda sana na watakao kufatata wakafie mbali yan!
@user-de2rg9kk7u
@user-de2rg9kk7u 11 ай бұрын
Chuma Cha Kazi mwabukusi shujaaaa wanguu!
@amos878
@amos878 11 ай бұрын
Hongera baba we stand with you all the way sir !🙌🙌🙌
@altonkanjolonga2380
@altonkanjolonga2380 11 ай бұрын
Long live Brother,your only hope of our Country
@user-sw1dv1iq6h
@user-sw1dv1iq6h 11 ай бұрын
Hicho Ni kichwaa na kaa la moto. Msichezee mtaumbukaaaa. Hongera Kwa tumbo lilokuzaa na maziwa ulonyonya Mtetezi wetu . Sema yote
@rogasianmassaweinjiliniuwe1212
@rogasianmassaweinjiliniuwe1212 11 ай бұрын
Mungu ata0igana na hao waporaji wa hii nchi yetu Mungu mlinde Mwabukusi na awe na Moyo mkuu
@bihawahamisi438
@bihawahamisi438 11 ай бұрын
Mungu akusimamie baba unatufaa Sanaa wanyongee🙏🙏
@kastulideemay6721
@kastulideemay6721 11 ай бұрын
Mwenyenzi Mungu akulinde kwa kuwa tayari kuitetea nchi yetu ❤❤❤
@frankbeyanga9841
@frankbeyanga9841 11 ай бұрын
Ubarikiwe wakili wetu mzalendo na mpenda haki, Mungu akisimamia kwa ajili ya masilahi ya watanzania
@paterinishayo-ef4sx
@paterinishayo-ef4sx 11 ай бұрын
Kuna watu wana vipaji wamesoma shule na wakaelewa na kuna walioenda kujaza madawati kwa kukariri notes wakapata cheti tuu ila kichwan hakuna lolote ni umbumbumbu mtupu ni kuwaza wizi na kujitajirisha haraka kwa mali za umma huku wakipata njian wanapewa salute na kulindwa kumbe ndio mwizi mkubwa anatakiwa anyongwe hadharan bigup Advocate ikiijuwa kweli utaishi kwa yaliyokweli amen
@user-cb2fo5oi7m
@user-cb2fo5oi7m 11 ай бұрын
Mungu mungu atakulinda Mimi atakulinda kwa maana kilio chako kisikike Hadi mbinguni na mungu atato ukumu juu yao
@emmanueljoseph3812
@emmanueljoseph3812 11 ай бұрын
Brother unachosema ndyo uhalisia wenyewe wala Watanganyika hatu shaka na wwe kabisa tuko nyuma yako tunakufuata Tukikuombea sana Mungu azidi kukuongezea ujasili.
@shizmansamuel022
@shizmansamuel022 11 ай бұрын
Hii ndo sheria ya kwanza ya maisha jiamini mwenyew usimwamini mtu mwabukusi hakika huyu ni mwamba🙌🙌
@valentinamichael4283
@valentinamichael4283 11 ай бұрын
Mungu akulinde Mungu ndio mambo yote ubarikiwe
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 14 МЛН
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,7 МЛН
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 24 МЛН
Mbarikiwa ahoji. Je kikwete atakamatwa na simu yake...
20:02
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 314 М.
A Muslim Man Enters a Church - They Laughed
39:53
Sabeel Ahmed
Рет қаралды 898 М.
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01