Chalamila apimwe,madawa ya kulevya na akili kiujumla,hauyuko vizuri
@THADEIMHABUKA10 күн бұрын
Hata kama hilo neno sio la leo je hilo neno ilikuwa ni haki kumwambia mwananchi kama yule mama anae enda kujifungua na akamwambia maneno yale.
@jumanneenos24814 күн бұрын
Acha mambo usiyoyajua afya ni yako kata bima, elewa anachokitaka
@jeremiaaugustino71873 күн бұрын
@@jumanneenos2481 Kwa hyo ni sahihi ambaye Hana bima....arudishwe akatafite vifaa? Uhai wake uneangalia hapo?
@jumanneenos24813 күн бұрын
@jeremiaaugustino7187 kwani akikuta vimeisha kabisa hapo wadokta wanatoa wapi??? Au haujui kama vinaishaga
@jumanneenos24813 күн бұрын
Ulaya kama hauna bima ya Afya huendi na hao ni nchi tajiri na wanakila kitu ambacho wangeweza kuhudumiana bure, tuache siasa, Kauli mbiu acha kulewa kata bima ya Afya
@jeremiaaugustino71872 күн бұрын
@ kama vinaisha.....inamaana serikali yako haipo serious....inamaana huduma hyo hapo haitakiwi kuwepo
@ShabanimusaMangi4 күн бұрын
Mungu akusaidie kwa majibu Yako kaka
@mosesibmshangamshanga788510 күн бұрын
Mwanza ulitumbuliwa kwa kauli hizihizi Uliwaambia wananchi nini kuhusu mabango
@EliasYeremia8 күн бұрын
Haufai kuwa kiongozi wa uma. Unafaa kuongoza familia Yako tu. Tutamkumbuka hayati Mzee wa majipu. Wewe ni jipu
@charlesmtangi90469 күн бұрын
Kutaka sifaa Kwa viongozi mpka unaalibu mkuu ivi kweli kulikuwa na ulazima gani kutoa kauli kama zile na sio mala yakwanza mwenyez mungu atakujibu Kwa ayo mnayoendelea kukufanyia Kwa watu maskini 😭😭😭😭
@mesharothuman24439 күн бұрын
Hili jamaa ni takataka kabisa period
@thabitdaudi98158 күн бұрын
Hii mavi kabisa bora takataka inawez kua recycled
@naturelle10975 күн бұрын
Na nyie mngekua kwenye hio nafasi mngesema zaidi yake
@gmaemba229 күн бұрын
Huyo RC anakichaa fulani sjitafakari. Ndio maana alitimuliwa wakati wa Magu.anakunywa sijui kitu gani😂😂😂
@salamasaleh70779 күн бұрын
Hajui maneno ya kujibu kwa wananchi wake sio haki kwa majibu aliemjibu huyo mama
@sethmwakangata18717 күн бұрын
ILA kauli YAKO sio nzuri ukweli ulikosea sana,naomba KWA busara omba msamaha tu.
@chrissamani79219 күн бұрын
Hufai kabisa kuwa mtetezi wa watu walioshindwa, hafai hata buleeee!
@melch30977 күн бұрын
Rais mwenyewe anapenda watu wanamna hii
@michaeljacob67116 күн бұрын
Hata hivo haka kajamaa kanakuwaga na Kauli mbovu..inamaana yeye hapo alipo anajua kesho ataenda hospital mgonjwa huwaga anaweza kujua kua leo nistumie hela kesho nitaugua ,,anaingiza siasa tuu kwenye afya za watu
@Tupena-ov7xq8 күн бұрын
Mtangazaji chawa
@KcmMohamedy10 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅 ww kiongozi mzuri sana watu wanashindwa kukuelewa
@EmmanuelAngetile7 күн бұрын
Wewe ndiye ulimwelewa kwamba mume wake akamfanyie operation, au unaropoka kama yeye.
@BrianJosephMsofe6 күн бұрын
Kama ni kiongozi nzuri subiria akitumbuliwa aje umwajiri wewe
@EllyMndeme-o3s7 күн бұрын
Safi kabisa upo sahihi hapo mimi nimekuelewa sana sana mkuu akiba muhimu
@mosesibmshangamshanga788510 күн бұрын
Umetuudhi sana ..omba lazi
@Africa_Yetu8 күн бұрын
Mke wake ni classmate wangu... Hata hivyo, sim support kwa ujinga huu alioongea.
@CeciliaRichard-j3d2 күн бұрын
Kumbe na vichaa wanavaa suti ila umetuumiza wanawake ote wew mwenyewe pengine hujui hata cm kamili za kujifungua 😭😭😭 usituchafulie CV
@mashakathobias19583 күн бұрын
Jitu zima hovyo.Hilo halikuwa jibu la kumjibu huyo mama mjamzito acha kiburi haya maisha ni kupanda na kushuka.
@danielmanko91648 күн бұрын
"Siasa?? Huo ufafanuzi hauendani kabisa na tukio husika. Aibu tupu Aibu kabisa!!
@SubiragaKabango7 күн бұрын
Daima mti wenye matunda hutupiwa mawe! Tatizo hao wanaomtukana kiongozi Chalamila wana hira na matunda yake!
@naturelle10975 күн бұрын
Kabisaaa
@JosfatiMwamengo7 күн бұрын
Kujifunguwa tanzania siyo bure tunatoa hela kubwa tunaona afali kwenda binafsi
@jamaliddiin935710 күн бұрын
MAMA ANAKUMULIKA TU UTAKAA BENCHI MUDA SI MREFU
@jdanny49710 күн бұрын
Kabisa aisee huwezi jibu hivyo kama mkuu wa mkoa
@kelvinmgaya-gp8jk9 күн бұрын
we ndo hujitambui hujui kuwajibu watu
@marianmartin74836 күн бұрын
Kaka hii umeharibu, kaka Chalamila wewe ni kiongozi. Inatakiwa kuwa mwangalifu sana kabla ya kuzungumzia jambo lolote. Kuwa makini sana.
@FadhiliMwaitete-ls2li10 күн бұрын
Huyoo sio mala kwanza huyoo ni muhuni afai kupewa uwongozi wowote mbeya alilikoroga mwanza nako aliharibu hivi amewaroga ametutukania mama zetu nawewe Samia kutukana pia simwanamke pia
@NixonJohnson-r4m9 күн бұрын
Huyu ni tatizo kabisaa na ndio maana hatusogei tangu uhuru ni barabara na maji mpaka 25000
@NasibuKitwana9 күн бұрын
HUYU JAMAA ANAONEKANA KUWA NI KIONGOZI WA KIMABAVU,NAKUMBUKA NENO ALILOWAHI KUSEMA ETI WATU WANYWE BIA ETI MADHEHEBU YANAYOKATAZA POMBE HAYAFAI!! HAFAI KABISA
@geraldemanuel36138 күн бұрын
Mnachagi magoli ya mama unafaida gani samia mfukuze kazi na ashitakiwe na kama atambeba samia muziabu kwenye kura mwezi kumi
@AbubakarMwansansu8 күн бұрын
Amna mfano wowote pumba tupu
@hamisimkoma738010 күн бұрын
Rais Samia tumbua hili jipu usipolitumbua awamu hii taipigia kura chadema kuliko chama chenye watumishi watovu wa adabu na wanaoteteana
@georgekyando8858 күн бұрын
Msitoe matusi elezeni ni wapi alikosea ili ajirekebishe
@DavidSemu-gu6wp3 күн бұрын
Screening ya kupata viongozi ni mbaya na baadhi ya viogozi alio watumbua Magufuli aliona ubovu wao bahati mbaya wamerudishwa kwa kuhisia kuwa walionewa na bado wanaonyesha matatizo yale yale mpaka walio wateua wanaona aibu, haishangazi kila siku kuna uteuzi mpya tatizo cheke cheke la screening ni bovu.
@nikundiweamosi50878 күн бұрын
Atakuja kupotea kwenye ulingo wa media hata wengi waliokuwa na kiburi hata ukiwafanyia watu vipi kwa cheo chako iko siku utajua dunia ni kubwa
@rithaurassa4 күн бұрын
Hujaogopa hata Mh. Mama Samia ni mama mwenzetu. Umetudharau sisi wa mama wa mtaan. Ungemheshim mama yetu mh. Samia ni mama.Hayo maneno kiongoz kama wew isingestahili useme.Mbona Raisi wetu anasaidia mengi mengi hajawahi kumkashif mwanaume wala mwamake?
@AgiripinaNisiphory9 күн бұрын
Ashibae hamjui mwenye njaa
@vestinamakoye29287 күн бұрын
Mkuu anaongea kweli watanzania hawataki ukweli'na wanataka kudanganywa
@hamisimkoma738010 күн бұрын
Huyu kiongozi ni mjinga mno kwanza ana mihemko na hana adabu
@FadhiliMwaitete-ls2li10 күн бұрын
Huyu sio mstarabu anakauli mbovu sana asijitete mbuzi sana Chalamila sasa raisi chukuwa atuwa kwa huyoo mteule wako
@naturelle10975 күн бұрын
Hawawezi kukuelewa maana hawajazoea kuambiwa ukweli. Tena hivi vya bure vingeondolewa kama alivyofanya Trump
@MosesSiwiti6 күн бұрын
Mama samia fanya kazi kama magufuli huyo jama apanaa mimi sjapenda omba msamaha kaka asiyekubali kushuka siyo mshindani uwe naadabu dogo agalia comed wanazotuma usoma
@SigradMligo5 күн бұрын
Ngoja tukusaidie ktk uelewa wa kodi na wanufaika wake na walipaji kodi
@silverytesha678810 күн бұрын
Waandishi wa kileo bhan😅😅
@loningoletayo845310 күн бұрын
Kauli uliyowatamkia watanzania ni kauli ngumu sana laiti ingekuwa wewe ni mwananchi ya kawaida ungeweza kuijua ugumu wa hiyo kauli,mama akajifungulie Nyumbani kwa bwana wake hiyo siyo kauli ya kiongozi mkuu ,kauli yako ni faraja
@DenisDenas4 күн бұрын
huyu kiongoz hatufai kabisa labda hzo kauli akaztoe kwenye family yake
@valentinoswenya7486 күн бұрын
Hapa anakitu 😂😂😂
@JumaKatara-r2b10 күн бұрын
Mifano ya kipumbavu wape mifano hiyo kwa mke wako unazani watu wote wana mfumo huo
@jeremiaaugustino71873 күн бұрын
Watoe tangazo nchi nzima kua watu waende na Kila kitu.....na list ya vifaa itangazwe na RAIS
@karolikisaka899110 күн бұрын
Aache uwongo ,kaona watu wamemjia juu anatuletea siasa. Ile kauli ni halali na itabaki hivyo. Swala la afya ni gharama kwani nani hajui.
@AfricaQueen5 күн бұрын
Huyu hafaiii hata Mara moja lazima ajiuzuluuuu 🫵🏽✍🏾Mshamba wa madaraka huyu mtu ,😏
@mosesibmshangamshanga788510 күн бұрын
Wewe ndo umeleta haya maneno kwenye vyombo vya habali. Yule mama alishasamehe
@MussaMbebe6 күн бұрын
Huyu jamaa alikuwa mwalim wa vichaa su
@Tupena-ov7xq8 күн бұрын
Hizo pesa za serikali unazo zisema utafikiri ni za familia yako. Pesa ni za walipa kodi na pia sio za samia
@danielmanko91648 күн бұрын
"Mume achukue kisu/mkasi akufanyie operesheni" ni katika kufikisha ujumbeeeeee. Jamani hao ndio aina ya viongozi wetuuu/wateuliwaaaa
@westmanmoses5415 күн бұрын
Matumizi ya lugha kwa kiongozi yafaa kuwa tiba kwa mgonjwa. Lugha lugha lugha basi.
@RamadhanyHamisi7 күн бұрын
Mimi bado sijamuelewa mkuu wangu wa mkoa waliomuelewa emu tuelezane 🤔
@abdulisike8 күн бұрын
Ww hufai unakauli chafu kaka
@bahatimaluba8258 күн бұрын
Acha maneno mengi jibu ulicho ulizwa wapmbe msamaha wanachi acha kujifanya kichwa ngumu haijalishi alikuwaje
@castoryaskofumkombwe47675 күн бұрын
Serikali haina vifaa wakati huo inatupa pesa nyingi kwa kununua magoli ya mpira, serikali hii ina viongozi wanaoangalia maisha ya watu? Chalamila, ni sera ya Taifa wajawazito kujifungua bure je CCM inasemaje hii , suala la maelezo yake kujitetea serikali kama imkamua kuwa makini na makini na sera zake hakuna ubabaishaji utajitokeza, hatakumsikikiza unasikia kutapika
@danieldede717610 күн бұрын
Walikuelewa kivipi umezoea kufokea watu Kila mara wewe jiangalie Mzee watu wanauelewa kuliko unavyodhani
@nicholasmkama28778 күн бұрын
Ingekuwa ukuu wa mkoa unapatikana kwa kupigiwa kura, huyu asingepata kura, labda za familia yake.. Tena na wao wangempigia kwa kuogopa wasijekisa huduma ya chakula,mavazi nk matibabu, we huduma
@PeterManyatha9 күн бұрын
Chalamila acha kulewa madaraka Kwa kauli zako za kipumbavu usicheze Na maisha ya watu wewe Je angekuwa ni mama yako amejibiwa hivyo wakati unalipozaliwa wewe? Au kajibiwe mkeo hivyo? Toa matope kichwani broo.
@paulcositantine6139 күн бұрын
We kweli umeshiba unawapa kibuli wajinga Wenzio
@Byme64345 күн бұрын
Achana na Mkutano Jibu vile sie Tunataka Ni Haki kuropoka vile ulivyoropoka?Kenge Mmoja Weeee😡
@TumainiMallya-x5x8 күн бұрын
Huyu chalamila nahisi Kuna mahali hayako Sawa kwasababu umemwambia akachukue bajaji wakati huo bajaji umekataza kupisha mkutano alafu majibu uliyo mpaa hayakuendena na wewe mama yako angejibuwa kipindi wewe unazaliwa ukisikia iyo kauli kiongozi alitamka ivo unajisikiaje
@kunyaobelela40628 күн бұрын
Hii nchi inaenda kinyumenyume. Watumishi wa umma wanatakiwa wawesubmissive kwa raia, lkn kwa nchi yetu viongozi wanakauli za hovyo sana. Anyway wote tu mavumbi na mavumbini tutarudi.
@malackedson77067 күн бұрын
Tatataka hili katiba inatuumiza watanzania wateule wa raisi
@DenisDenas4 күн бұрын
yan hatakujitetetea hawez kabisa
@chriskibira79238 күн бұрын
mtu mjinga kama huyu hafai kuwa kiongozi..achukue mfano kwa mwenzake paul makonda mkombozi wa wanyonge,huyu anafitina sijui hata chuo gani alisoma...ni mjinga sana hajitambui...kauli ndogo ya ushauri kwa mama inamshinda kujibu kiustaarabu..hafai kuwepo dar ahamishwe au atumbuliwe
@SubiragaKabango7 күн бұрын
Tambueni kuwa huduma za Afya hususani Ma Hospitalini hakuna huduma za Bure! Hizo ni Siasa tu na uchanguzi umekaribia mtaambiwa mengi!
@chrissamani79219 күн бұрын
Huyu ni mkuu wa mkoa wa kikoloni, yaani anajisahau kabisa kwamba yeye ni wakupita, ni kichaaaa kamili huyuuu!
@JosephMbele-x2r8 күн бұрын
Serikari ni sisi na wewe acha izo aya maisha apo mkuu wa mkoa to ivi duuu
@emmanuelamos45814 күн бұрын
Hujatumia hekima katika majibu yako.
@kaundasutikaunda77699 күн бұрын
MH POLE SANA , KWANZA UNAPOKUA KIONGOZI LAZIMA UJUE WATU UNAO WAONGOZA UELEWA WAO NI TOFAUTI TOFAUTI PIA HAO WAFANYAKAZI NAO WANA UELEWA TOFAUTI TOFAUTI..KWAHIYO UNATAKIWA KUWA MAAKINI SANA NA KAULI ZAKO ...KUNA KAULI ULIITOA KUHUSU BAR LEO HIITUNASUMBULIWA SANA MTAANI HUKU UKIWAAMBIA WANASEMA MKUU AMETURUHUSU...WAKATI MTU ANAFANYA BIASHARA KWENYE ENEO LA MAKAZI..SISI TUKAKAE WAPI ??UKIJA KWENYE HII MIFANO ULIOITOA NI KWELI WAPO WALEVI NA WANAFANYA VIGODORO LAKINI SIO MIFANO SAHIHI CHAMSINGI KAMA KIONGOZI UNAPASWA KUCHUNGA KAULI ZAKO ...TUNAJUA KABISA WAPO BAADHI YA WATUMISHI SIO WAAMINIFU WANAWEZA TUMIA KAULI YAKO VIBAYA...HAPA LA MSINGI CHUNGA SANA KAULI ZAKO MAANA SIO WOTE WANAO KUSIKILIZA WANAUELEWA SAWA. PIA HATA WABAYA WAKO WA KISIASA NJE NA NDANI YA CHAMA WANAWEZA ZITUMIA VIBAYA YKAJIKUTA UPO PEMBENI KAMA ILIII YA MWANZA.
@shaffhnkamia909610 күн бұрын
Ongelea mada yako mkuuu acha kusunguka mara matokeo mara kwenu kwanini umejibu mama wawatu kirahisi?????
@EmmanuelAngetile7 күн бұрын
Hiyo message imefika ya kila ya mume kuwa na mikasi na visu kuwafanyia operation
@IMANIMWAITEGE-ve8gr4 күн бұрын
Miaka yote kwenye uongozi wako huna kauli nzuri kwa wananchi
@MajutoElliasi8 күн бұрын
Mimi uyu mkuu wa mkoa simwerewagi sijui sisi anatuchukuriaje sisi ni mabos zake amejisahau
@Nasoro-do7qq8 күн бұрын
NYINYI MBONA FAMIRIA ZENU amzipereki katika IZO hospitari WW pare mawasiriano PIA uritukana ukatuambia tukome Kama turivyokoma Maziwa ya mama zetu RAKINI saw YOTE MAISHA tu
@comsmkemwa26718 күн бұрын
Ukweli usiopingika kuwa umekosa hekima! Kiongozi hukutakiwa kuijibu vile
@GeraldMbega-k5p6 күн бұрын
Wamelewa maharaja hawa.
@mamaabduly9 күн бұрын
UNAVYOHESABU NI KAMA WANANCHI HAWALIPI KODI.. HAYO UNAYOYAHESABU YANALIPWA NA KODI ZA WANANCHIIIIII .
@chrissamani79219 күн бұрын
Huko kwenye ulevi ulikuwa naye? Mkuu wa mkoa wa hovyo kuwahi kutokea nchi hii,
@stewartdyamvunye-wz6rn8 күн бұрын
Mfano huu wa mtu kutumia hela yake kwa shughuli zake zozote halafu inakuwa sababu ya kukwepa haki iliyowekwa na serikali kwa huduma fulani, ni kukosa hekima na kutetea serikali kukwepa wajibu wake. Basi Chalamila aweke tume ya kumpitia/kumkagua kila mmoja anayekwenda kwenye huduma ya serikali iliyotangzwa bure: polisi, shule, hospitali nk. kama jana alikula au alikumywa nini kwanza kabla ya kupewa huduma hiyo!
@comsmkemwa26718 күн бұрын
Nakuchukia sana chalamila.....sio wewe wa zamani
@CafeJohn-n9o8 күн бұрын
Kubari tu kauri uriyo tumia siyo nzuri kabisa wewe navidole pia uwa haviringani alafu wananichi wengi wanjuwa huma ya hospital huwa nibure kwahiyo wakiuriza kinatkiwa tu kuwaelewisha kiusitaabu siyo hiyo kauri uriyo itumia
@HenryKimaro8 күн бұрын
Watanzania wenye Akili tumekuelewa ww ni mtu katili mlevi wa Madaraka unafikiri Mungu ana dhihakiwa hakika utalipa km sio leo ht kesho ni siku pia utalipa tutamlilia Mungu ashughukike na watu waovu wa jinsi ya namna yako Mwanadamu ni mifupa mikavu endelea kumsifu na kumtukusa Mwanadamu Mungu anaweza kuangamiza mwili na roho pia hakuna vitu vya Bure ww ndio ukiegharamia hayo yanayyofanyika ? Misaada inayotilewa na wahisani sio kwaajili yenu Viongozi in short ww ni katili utavuna utakachopanda
@MACHAGGECHACHA7 күн бұрын
Hawakukuelewa ki vipi? Nanga wewe Chalamila. Akili ya uongozi huna. Umeshiba hela za wtanzania mpaka hujui sehemu yako ya kutolea mavi iko wapi mwilini mwako.
@jamaliddiin935710 күн бұрын
Kwa,hiyo watu wote ni walevi ?
@najimsharif96946 күн бұрын
Ulikosea ukweli ukubali sio kauli nzuri punguza kiburi hata kama kaunty yako inaongea vizuri hata huyo ungempa hiyo elfu 50 ungefanya laamana sio kumwambia achukuwe bajaji wende chumbani chukua mkasi na kisu mwambie mumeo sio kauli nzuri punguza kiburi.Madaraka yasikulevye tumbulule yuko wapi,machi yuko wapi,singa singa,john komba,magufuli,amina chifupa,mkapa,n.k jee wameenda na madaraka yao wadhifa zao,acauti zao acha dharau hivi kweli akushinde makonda kweli alikaa na wana dar es salam vizuri tu kila jumamosi jiji lifanyie usafi na kila mwisho wa jumamosi ya mwisho wa mwezi wenye maduka yote wasifungue maduka mpaka mufanye usafi wasooga mjini wasije,waendesha bodaboda bila ya kofia na vichati vyao hile vinavyomuonesha huyu bodaboda wa kituo gani mtu akiwa hana hatakiwi kuingia mjini mambo yalikuwa safi maisha yakaendelea watoto walotelekezwa na wazazi wao akawapabanisha alitoa semina pale mnazi mmoja wasenge hawatakiwi dar es Salam na kweli walipotea omba omba pia walipungua mjini kwa sababu waliambiwa wafanye biashara ndogo ndogo jifunze kupitia kwa wenzako sio kauli chafu ukahisi mama ndio atakuona bora na kama mama anapendelea na kauli hizo basi utaondoka na sifa mbaya mwingi alisema maisha ni storia huandikwa kwenye mioyo ya watu basi usiwe na historia mbaya mwani ulisema watanzania naombe munisamehe hasa wa dar es Salam kwa kauli niloitoka kukosea ni kawaida kwa binadamu ulimi ni kiungo kibaya sana ulimi unaweza kupenda na watu kupitia kauli zako na ulimi unaweza ukachukizwa na watu kupitia kauli zako.
@johnjescajohnjesca6 күн бұрын
Hizo hagharama ni kodi za wanzania
@annamathias13827 күн бұрын
Kwahyo na mamako angeambiwa hvo ungekua umekaa hapo na tumbo lako hilo? Huna busara kabsa unahisi uzazi ni kitu cha mchezo. Watu wengine wangebaki tu mtaani na sio kua viongozi 😒😒
@StanleyMacha9 күн бұрын
Kuhusu elimu wakubwa wote wanasomesha shule za English medium . Watoto wa masikini shule za kiswahili Kwa Nini tusianzishe English medium shule za serikali . Hilo nalo tulitazame pasitokee matabaka ya elimu kwa wananchi wetu
@kaguripenina638 күн бұрын
Hili jamaa linaboa hata kulisikiliza
@ngotosilasi20997 күн бұрын
Mwandishi naww mmekutana wehu ote hapo sijui unajifunza nn kwa kichaa
@Alexandermwaru5 күн бұрын
Unajua chalamila umesahau shida kumbuka ulikotoka
@johnjescajohnjesca6 күн бұрын
We jibu swali
@ngotosilasi20997 күн бұрын
Acha ujinga ww usizani unaongea na watoto angelikua nimke wako amefanyiwa hivyo ungefulahi kwani ww hufanyi shelehe au haunywi pombe acha ujinga unafaa kuchukuliwa hatua je huyo mama angepoteza maisha ungetoa wapi haya maneno
@MohamediKisengo8 күн бұрын
Hivi hao wanafunzi wake alikuwa anawafundisha nini.
@StanleyMacha9 күн бұрын
Kwa Nini viongozi nao hawachangii hizo huduma Kwa kuwa mnapata mishahara mikubwa .Kwa Nini wanaochangia ni wale wa kipato kidogo tu Jawabu ni bima Kwa wote na sio kulaumiana
@aleyidukury83338 күн бұрын
Kwan hawo viongoz wanatusaidia nn Kama mnatukana wake zetu ww mama yako alipasuliwa na kisu