Ambae Hamuelewagi Huu Sheikh Basi Hatagaelewa. Shukran Sheikhe Unajuwa Kuelewesha kbsa👏
@mohamedhemed30165 жыл бұрын
Allah akupe pepo ya Firdausi kwa elimu mzuri unayotuelimisha
@bahashachembea69223 жыл бұрын
Aamiin yaa Rabbi
@zakasaid24025 жыл бұрын
Sheikh nakukubali xana yani unaelimisha vzr sana Allah azidi kukupa muongozo wahapa duniani na kesho akher inshallah
@muhamadhalimah50445 жыл бұрын
Allah akupe afya njema na umri mrefu wenye na baraka uzidi kutuelimisha....Jazzakallahu kher sheikh
@mansourahtwaha76634 жыл бұрын
Insha'allah allah akupe swiha njema nakupenda kwa ajili ya Allah💕
@katore198211 ай бұрын
Assalamualaikum warahmtullah wabaraqthu ustadhi... shookran jazzakaAllahukheir... Allah akujaaliye ilmu zaidi utujuze dini yetu aamen yaRabb
@zaituniluboge88974 жыл бұрын
Nimekuelewa shekhe shukran
@dinademona73755 жыл бұрын
Aki hii ndo ilokuwa inanipatashwiwishi Alhamdulillah nmeelewa Masha'Allah Tabaraqallah
@nillannillan-lq5ox Жыл бұрын
maashaallh nakupenda sana allah akujalie maisha malefu mgunya mwezetu tuko newala mtwara TZ
@ukhtysakinaa76645 жыл бұрын
Shukran sheikh kwa mafundiso , Allah akulipe kiheri fi dunya wal akhera
@Ukhtyzuhura5 жыл бұрын
Jazakhallah khayraa ustadh wetu kwa darsa yenye umuhimu mkubwa Allah akulipe badali
@hudishehdadi77902 жыл бұрын
Maa shaa Allah. Haya mas ala ndio masheikh zetu mwatakiwa kutuelewesha na kutukumbusha mara kwa mara. Mambo yenu ya radd hayatusaidii yanaleta fitna tu ktk dini
@jimjam41625 жыл бұрын
MASHA ALLAH. ALLAH akuzidishiye barka amin amin amin.
@uthmanali69035 жыл бұрын
Masha Allah Sheikh
@monnyselly23175 жыл бұрын
Shukran jazeel
@ololosokwani1140 Жыл бұрын
Mashallah
@zainaburajabu28635 жыл бұрын
Mungu akulipe zidi usome utusomeshe shekh
@swafiamohammed17085 жыл бұрын
MashaAllah umefahamisha vizuri
@saidibrahim1236 Жыл бұрын
Mashallha
@akidasalim97985 жыл бұрын
Shukrani shekh
@zahrasalum80415 жыл бұрын
Shukran jazakallah khayra
@mussaomary71735 жыл бұрын
mashallah.umenitoa usingizini.
@nasrahabonimana37215 жыл бұрын
Shukran
@manyotaskipper57655 жыл бұрын
Nimekufaham Shukran
@abdullydully20144 жыл бұрын
Allah akupe kila la kheri
@abullahkabaka87743 жыл бұрын
MASHA ALLAH ALEIK
@talibhabil29915 жыл бұрын
asante kwa elimu
@hussainomar18495 жыл бұрын
Naam sheikh
@khamismfaume49785 жыл бұрын
Allaha akuzidishie kheli shehe
@faizmusaabdallah64305 жыл бұрын
Shukran kwa darsa
@allymbarok1125 жыл бұрын
حَيَّاك اللّٰه ورعاك
@herietiadamhaule70115 жыл бұрын
Yani shekh wangu udumu
@alisaid82135 жыл бұрын
Twaib
@fahadislam88134 жыл бұрын
Nauliza je yafaa kuswali kwenye misikiti yenye makaburi
@user-ql2om7qj3v5 ай бұрын
Wewe toa dalili ya hadith wazungumza vibaya
@rehemajuma26714 жыл бұрын
Samahani naomba kuuliza kuswali sunna inalazima
@mohdomar37735 жыл бұрын
Assalam alaykum shekh tupe na ushahid wa hadithi au quran
@hindujuma725 жыл бұрын
je shekhe si makosa kumfuata nyuma ya fatiha na jee Imamu akiendelea na sura nyengine na wewe unatakiwa usome sura nyengine
@sarahmushi82955 жыл бұрын
Assalaam Aleikum Warahmatullah wabarakatuh. Kama nishawahi kukosa rakaa nafidia vipi?
@mayyahissa39895 жыл бұрын
hyo time hukujuwa huna dhanbi lakini frm now imam akimaliza inuka uendele na swala utimize yaliyokukosa
@sarahmushi82955 жыл бұрын
Shukran.
@pilinasoro86765 жыл бұрын
Suratul fatiha inasomwa wakati gan baada ya imamu kusoma na kuitikitia Amina au imamu akiaanza kusoma suratul fatiha na maamuma pia anaanza kusoma na wanamaliza kwa pamoja na kuitikia Amina kwa pamoja naomba kufahamishwa
@OfficialJouma5 жыл бұрын
Pili Nasoro Suratul fatiha utaisoma baada ya imam kumaliza kuisoma suratul fatiha
@OfficialJouma5 жыл бұрын
utasoma fatiha baada ya imam kumaliza kusoma surah hiyo (kwenye swala ambazo imam anasoma sura kwa sauti, ila swala ambazo anasoma kimya kimya, imam akisema tu takbiratul ihraam na ww utasema hivo alafu utaanza kusoma suratul fatiha hapohapo)
@nassorsuleiman83875 жыл бұрын
Haya mas-ala yana khilafa kunawengine wanasoma baada ya kusoma yani kama mwalimu anamfundisha mwana funzi yani imamu akisoma bismillah na ww unasoma baada yy kuimaliza bismillah Na kunawengine wanasoma baada ya imamu kumaliza kusoma surat-lfatha kiukweli haya mas-ala ni ya fikhi yana kilafu sana
@yunusshamba14675 жыл бұрын
mashallah
@nassirhussein69085 жыл бұрын
@@nassorsuleiman8387 toa maelezo vizuri nassor
@mody-guyngido27925 жыл бұрын
Asalam Aleikum nilikua nauliza Kama ni swala ya Maghrib baada ya Imam Kusoma Alfatha je yafaa pia mimi nisome Alfatha baada ya yeye kumaliza Kusoma Fatha??
@ukhtysakinaa76645 жыл бұрын
Naam yafaa
@hafidhharoub43225 жыл бұрын
Mohammed Abbas Ngido shukran ustadh napenda darsa zako
@mody-guyngido27925 жыл бұрын
@@ukhtysakinaa7664 shukran Jazzakallahu Khair
@ukhtysakinaa76645 жыл бұрын
@@mody-guyngido2792 amiin kwa sote
@mody-guyngido27925 жыл бұрын
@@ukhtysakinaa7664 Amin
@yusuphkea575 жыл бұрын
Hapo hajaweka wazi hata kidg maana kuna Aya pia hadithi zipo sas inaonekan hajasoma haya mas -ala kabisa lazima uwaweke watu wazi kwa ushahidi zaidi maana kaja upande mmoja tu hajui kama kuna ikhtilafu au n shekhe wa aina gani huyu????? Din ipo ivo kweli? Hii darsa irudiwe n alete hadith zilozo eleza haya mambo. Hii tu hauto elekwa kiuhalisia nd maan watu wengi hawawasikilizi watu wa ain hii maan hata kusom aya au hadith hii n swala gani?