JEE YAFAA KUWEKA 40 YA MATANGA

  Рет қаралды 52,766

Izudin Alwy Ahmed

Izudin Alwy Ahmed

Күн бұрын

Пікірлер: 76
@hemedjumaa390
@hemedjumaa390 3 жыл бұрын
Jembe langu Sheikh wang Izudin Allah akuhifadhi na akupe kila hitaji la moyo wako lenye kheri
@vincentronoh5389
@vincentronoh5389 3 жыл бұрын
Mimi mkirsto lakini hoja zako zilinibadilisha sasa Mimi nilislim juzi tu siku ya jumatano
@earlybakari7580
@earlybakari7580 3 жыл бұрын
Takbri.... Mashallah karibu katika dini ya ukweli
@rehemahamisi9971
@rehemahamisi9971 3 жыл бұрын
@@earlybakari7580 Allahu akbar
@ahmedbadi5822
@ahmedbadi5822 3 жыл бұрын
Usikose kusoma uislamu ni kama kazi fanya bidii uusome atafaulu sana
@hazaaahmadhazaa2770
@hazaaahmadhazaa2770 3 жыл бұрын
Assalaam Aleykum from Tz🤛🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@sitimzee5817
@sitimzee5817 3 жыл бұрын
Karibu sana ALLAH AKUPE HAMU YA KUIJUA DINI YETU.
@seifhabib5987
@seifhabib5987 3 жыл бұрын
Dini yetu ni nzuri Mashaallah na hasa ukipata mchambuzi kama ww Shekh wetu Mungu akuongowe zaidi.
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 3 жыл бұрын
Masha Allah , Mungu ampe nguvu na umri
@abdulmohamed6241
@abdulmohamed6241 Жыл бұрын
Masha Allah humuachi msikilizaji na maswala ya kujiuliza
@yusufseifu4967
@yusufseifu4967 2 жыл бұрын
ALLAH akuzidishie kila la kher na akusahilishie haja zako sheikh wetu izudin
@زينببنتسعيد-د9ح
@زينببنتسعيد-د9ح 3 жыл бұрын
Asalaam alleykum warahmatulah wabaraqatuu Maasha Allah sheikh umesema kweli mada muhimu Mwenyezi Mgu akuzidishie afya njema na umri shukraan jazzakah Allahu kheir barakallahu fik
@shabanijuma4162
@shabanijuma4162 3 жыл бұрын
sheikh Allah akubarik akupe hidayaa Ww na sisi amiin Sheikh umesema kweli tena sisi wagunya subhanallah tukikaa msibaan hatuondoki kumtiaa uzito tu aliefiwaa wallah ilhali takliif ni haraam
@Filamumaridhawa
@Filamumaridhawa Жыл бұрын
Sikuiz huku kwetu sio matanga tu ata maiti hajazikwa watu wasengenya
@mwidinijuma8214
@mwidinijuma8214 3 жыл бұрын
Mashaalh,hii dini haijaacha kitu
@khadijaomar6730
@khadijaomar6730 3 жыл бұрын
Shukran sheeh amiin.nimecheka hataa.Alhamdulillah
@nassimkassim8022
@nassimkassim8022 3 жыл бұрын
Ma shaa allah kanzu nzuri ustadh
@عبداللهمليلو
@عبداللهمليلو 3 жыл бұрын
Nakupenda sheikh wangu in shaaa Allah naomba ALLAH atukutanishe
@sherallysherally1203
@sherallysherally1203 3 жыл бұрын
Jazaakallahu kheran kathiira yaa Sheikhuna Al- Jaliil
@mustayoo
@mustayoo 3 жыл бұрын
Zote hizo zimeletwa na wakatholic.mambo hayo sio ya uislamu
@rahmatahmed1871
@rahmatahmed1871 3 жыл бұрын
Asalam Aleikum warahmatullah wabarakatu. ...jazak Allahu kheri InshaAllah yaa sheikh
@زينببنتسعيد-د9ح
@زينببنتسعيد-د9ح 3 жыл бұрын
Wa alleykum salaam warahmatulah wabaraqatuu
@halimaramadhan2975
@halimaramadhan2975 3 жыл бұрын
Walaykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 3 жыл бұрын
Wengine maiti ikitoka tu basi kama kuna harusi watu wenda na mziki kwa juu tena sio watu baki, subhanallah Imaan dhaifu.
@ibrahimmakame5304
@ibrahimmakame5304 3 жыл бұрын
Maiti baada ya kuzikwa yanabaki mambo 3 tu sadaka yenye kuendelea, elimu yenye manufaa na mtoto mwema anae muombea dua hyaa ndio marehem ana ya beba.
@ااجج-ط5د
@ااجج-ط5د 3 жыл бұрын
Shukuran jazzakal kheir sheikh
@salamamsusa801
@salamamsusa801 3 жыл бұрын
Mashaallah jazakallahu kheri❤️
@ruhinayakub4478
@ruhinayakub4478 3 жыл бұрын
Masha Allah sheikh Napenda mawaida yako
@binsaid2484
@binsaid2484 3 жыл бұрын
mshaallah sheikh allah akujaalie kheri zaidi inshaallah
@bellbell9294
@bellbell9294 3 жыл бұрын
Shukraan Sana sheikh wetu
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 жыл бұрын
Mashallah
@dotdots7868
@dotdots7868 3 жыл бұрын
Salaam aleikum, juzi nilikuota shehe,eti klikua na matanga ya mwanamme simjui nikakuona nikakupa mia moja.
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
Safi sana. Haya mambo yaliletwa na makabila wapenda nyama na kufilisi Mali za wafiwa. Wakamate mnyama wamchinje. Wachakure kila kitu ndani wapike
@soummohd2316
@soummohd2316 3 жыл бұрын
Kweli 😊😊😊
@abullahkabaka8774
@abullahkabaka8774 3 жыл бұрын
MASHA ALLAH ALEIK
@Ukhtyzuhura
@Ukhtyzuhura 3 жыл бұрын
Dini yetu haijaacha kitu wallah
@omarychinchi6413
@omarychinchi6413 3 жыл бұрын
Shukran sayyid tumekupata vzr kutoka mbauda arusha Tanzani
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 Жыл бұрын
Wengine wafanya ndio njia ya kula waondoke
@dadijamoahmed5287
@dadijamoahmed5287 3 жыл бұрын
Mashaallah
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 3 жыл бұрын
Shukran
@sabraham5308
@sabraham5308 2 жыл бұрын
Ya Allah.
@almashally8808
@almashally8808 3 жыл бұрын
ماشاءاللہ
@halimaramadhan2975
@halimaramadhan2975 3 жыл бұрын
Allah akupe umry mrefu na afya njema ustadh
@jannatfirdaus2500
@jannatfirdaus2500 3 жыл бұрын
Je kufanyaaa duaa baada ya edda?
@binsaid2484
@binsaid2484 3 жыл бұрын
salaam sheikh suali je yafaa kusoma hitma siku ya 40
@mkzanzibarfinest1233
@mkzanzibarfinest1233 3 жыл бұрын
wew inaonekana kiswahili kinakupiga chenga
@susanejd7775
@susanejd7775 3 жыл бұрын
@@mkzanzibarfinest1233 umenifanya nicheke kwa sauti😀😀
@Ahmedmshauri1494
@Ahmedmshauri1494 2 ай бұрын
Dah😂
@salmazkitchenfun1501
@salmazkitchenfun1501 3 жыл бұрын
shukran
@ibrahimmakame5304
@ibrahimmakame5304 3 жыл бұрын
Ukisoma kitabu cha itikadi sahihi ya tauhid ni kuwalisha wafiwa chakula sio wafiwa kuwalisha watu chakulaa
@freddybaziraomari
@freddybaziraomari 3 жыл бұрын
Shukuran
@nasrascreativity3710
@nasrascreativity3710 3 жыл бұрын
Hahaha
@mustayoo
@mustayoo 3 жыл бұрын
Sisi twamfuata mtume
@nassimkassim8022
@nassimkassim8022 3 жыл бұрын
Mazrui ndio nawapenda hivyo kukishafiliwa hakuna kukaa kwaregeshwa kila kitu
@hajrahibrahim1470
@hajrahibrahim1470 3 жыл бұрын
mashallah
@othmanmulendelwa9622
@othmanmulendelwa9622 3 жыл бұрын
Sheikh una jua matanga ni haramu kweli
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Tibitisha
JE MUISLAMU AFAA KUSEMA BWANA YESU ASIFIWE
11:02
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 46 М.
MKE ANA MUME WAWILI
9:55
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 33 М.
Мама у нас строгая
00:20
VAVAN
Рет қаралды 10 МЛН
Hoodie gets wicked makeover! 😲
00:47
Justin Flom
Рет қаралды 135 МЛН
Jahanam
37:51
Ahlul Sunnah
Рет қаралды 370 М.
TABIA MBILI APENDAZO MTUME
57:50
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 811
ALBADIRI NI HARAMU?
13:03
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 88 М.
SEHEMU AMBAZO NI KARAHA KUSWALI
21:19
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 1,1 М.
MAMBO YANAO PENDWA NA ALLAAH
57:25
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 1,2 М.
NININI NDOA
48:06
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 47 М.
JEE MTOTO WA ZINAA ATAINGIA PEPONI
11:53
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 28 М.
UMUHIMU WA KUMJUA MTUME
1:08:09
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 1 М.