Sijawahi kujutia MBS zangu kila nitazamapo videos zako your very important person to me
@Haleem_074 жыл бұрын
NGULIIIIIIIIIIIIIIIIIIII fanya ushushe mzigo... 🤝🏻 🤝🏻🤝🏻 from zanzibar... 🔥
@asyayahya74903 жыл бұрын
Kwa kweli aje asaaaaa nmekua nkimfatilia sana na ananbsdlisha haswa… especilly tbia yngu ya kughairisha kupnga malengo now now i need the books
@HALIMASALIM-b3b Жыл бұрын
BARIKIWA SANA MTUMISHI, MUNGU AZIDI KUKULINDA ILI TUPOKEE MAFUNDISHO YKO ZAIDI NA TUWEZE KUZIFIKIA NDOTO ZETU🎉🎉🎉 BARIKIWA SANA PAMOJA NA FAMILIA YAKO
@johnstonkayila57754 жыл бұрын
Nitaambatana na wewe mpaka nizifikie ndoto zangu, nivile watu hawafahamu lakini ukweli ni kuwa Mungu anakutumia kwa viwango vya juu sana
@lucialaurent-nq2zf Жыл бұрын
Yeap nimependa Imani yako kwa Jinsi hyo ni rahis San kufanikiwa haijalishi wat watakuangakiaje
@barakamafie2205 Жыл бұрын
Nikweli kabisa nambatana nawe paka niyafikie malengo yangu
@ADONIASBABU Жыл бұрын
Haisee kaka nimehangaika miaka yote hii kumbe ukweli ndo huu tangu leo natoka gizani coz darasa
@vickysteven1172 Жыл бұрын
Hakika nilimfatilia huyu nilifanya maendeleo kwa haraka saana kwa kufuata somo la nidhamu ya fedha
@pulcheriamayombo57803 ай бұрын
Nikweli Joel nimeanza kutoka taratibuu muvumili hura mbiv. u naomba somo la kuondokana na madeni such asante.
@mgallason...56864 жыл бұрын
Umenikomboa ndugu, ikiwemo kumfahamu zaidi Mungu, kaa ukibarikiwa zaidi Joel. I'm definitely #getting_the_right_stuffs from you.
@richardmartin64292 жыл бұрын
Nimefurahi kwa Ujumbe wako, nikweli kabisa upekee na uthamani wa Mtu uko kwenye potential yake. Ahsante
@rollahngimbwa6978 Жыл бұрын
Be blessed Kaka Joel🙏🙏💯 Kila siku naongeza fikra mpya 🙏
@shilingi4600 Жыл бұрын
Joel wewe mtu ambaye umepewa uwezo wa tofauiti sana na ,wenyezi mungu amekupa ,jambo la mhimu sana nililo liona ni Ile Hali ya kujitambua binafsi ndo inakufanya uwe tofaufi zaidi na watu wengine pia unatafta maarifa zaidi ya kutegemea maarifa ambayo ulishakwisha kuyapata ,na Hilo ndo jambo la mhimu sana,
@happinessrobert2921 Жыл бұрын
AMEN, we shall meet in the top one day. GOD BLESS YOU.
@meshackmwakajwanga83493 жыл бұрын
Mwenyez mungu akubarki kwa kile ulichonacho n kuweza kukitoa kwetu ss,tutegemee mabadiliko ndan y mtu mmoja mmoja ,mafundisho yko nichakula chakiroho n kimwili pia 🚶🚶🚶🚶
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Sauti yako. Ipo Ok
@gaitandaudy8561 Жыл бұрын
GOD BLESS YOU BROTHER Nimekuelewa sana kaka na nilikuwa naomba kuuliza nawezaje kukipata kitabu chako..
@joniajohn47164 жыл бұрын
Mungu akubariki sana.this is Gold
@jacquilinesandewa7084 Жыл бұрын
Sijajua kwanini nilikuwa sifatilii masomo yako🙆♂️🙆♂️ japo naamini bado sijachelewa.wewe ni baraka 🙏
@lizzybahati98334 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi Mungu akupe maono zaid na zaid
@abrahammwambije27692 жыл бұрын
Sikumoja Nita ugusa mkono wako nibarikiwe zaidi kwa Imani yangu umebadilisha maisha yangu sana na mitazamo.
@theresiachigali94822 жыл бұрын
Mungu akubariki sana endelea kubadirisha jamii na dunia zima wewe umekua msaada mkubwa sana kwangu
@NevestWisa Жыл бұрын
Thank you very much Brother..!! I'm blessed and starting now applying everything you said in actions ..😊❤🎉
@misahalinga80783 жыл бұрын
Eeeh hii hatar imeingia kweri kwer nishida aise, barikiwa bro
@JeremiahLando Жыл бұрын
Asante MUNGU kwa kukuleta Joel one day I will be more than you❤❤
@vickysteven1172 Жыл бұрын
Nice
@magretharcard4531 Жыл бұрын
Nimebarikiwa kwa kupata elimu ya juu ya maisha asante sana,
@blandinakiyenze64023 жыл бұрын
Asnte sana kwa elimu nzuri kaka, God bless you
@levocatusgatu42953 жыл бұрын
Asante xanaaaa Mr J najifunza mambo mengiii kupitiaa wew nahitaji nipate vitabu vyako minipo kigoma mujin utanisaidiajeee
@abdallahissa28392 жыл бұрын
Among of the powerful piece of truth. Thanks Nnanauka
@PillyMtimzi-df9ww Жыл бұрын
Joel nauka mm nitatoboa tu%
@MarcoPeter-y5nАй бұрын
MUNGU Akubariki sana Kaka madini safi
@ktdonat.onpassive10 ай бұрын
Hii video yako nimeipenda na kila kitu ulichozungumzia ni kweli
@evastesheni80244 жыл бұрын
asante sana kwa presentation nzuri yenye kutia moyo wa kushikamana na yale niliyoanzisha. Kanuni ulizozisema nazifanyia kazi. Mimi ni mjasiriamali. Nipo pamoja nawe.
@ElizabethMaiko-p3l Жыл бұрын
😢😢duuuuh blessing brother
@breshnyanjwa31024 жыл бұрын
Oooh really blessed, Amen
@MohammadNosibo2 ай бұрын
Oya kaka ukosawa sana mungu akuzidixhie afya njema
@hiland255fundi54 жыл бұрын
Elimu yako imekuwa msaada sana kwa jamii,amini kwamba mungu atakujaza baraka kwa kuikomboa jamii kwa taranta mungu alitoiweka kwako
@zebedayosanga3000 Жыл бұрын
❤
@bienfaitndethi71482 жыл бұрын
coach nakufata toka butembo congo,wewe ni no 1
@anastasiamainaministries27003 жыл бұрын
Naipeda mafunzo yako sana siku moja nitatoka kenya nihuthurie kikao chako...inshalah
@fadhilmilambo37733 жыл бұрын
Bro your so genius god continue bless you Amen
@timamahendo4172 Жыл бұрын
Napenda sana mafunzo yako...lakini bro kwanini unapenda kusema see you at the top
@CarolyneSimiyu-xq7qk7 ай бұрын
😮😮❤❤ great teaching
@AlexJefwa3 ай бұрын
Asante sana barikiwa 🙏👍
@farijanibakari9018 Жыл бұрын
Daaa!! Safi sana kaka nahitaji kitabu
@khamisyasin32764 жыл бұрын
Asante sana kila nikifuatilia napata faida
@yohanamagele36334 жыл бұрын
Wow ,Lazima niifanyie kazi
@Madam2555 ай бұрын
Kaka Joel Nanauka asante sana kwa hekima hizi I'm telling you since I started following you I'm not the same again My God bless i wish one day ntakuona face to face
@guccionesmo26974 жыл бұрын
Big up brother u have a lot of things may GOD BLESS YOU
@joycerichard10313 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki sana kaka, kiukweli unanifariji moyo. mafundisho yako yamenitoa hatua moja na ninaelekea hatua ya pili.
@emilianamshi293 жыл бұрын
nakuamin
@brackskinyozi32809 ай бұрын
🙏🙏 asante br Joel be.. blessed
@halimanyodulla29604 жыл бұрын
Yaani, mungu azidi kukubariki kaka Joel sana mana tokanianze Jiang alia video zako nazidi kujiamini na kuwa jasir
@estamichoromichoro5634 Жыл бұрын
Asante sana kaka , mm nitapataje kitabu chako kaka
@iconboy87334 жыл бұрын
This is Powerful Mr. Joel....video zako nyingi za Semina huwa zina madini mengi sana brow...Ubarikiwe mno.....Naomba uwe unazidi kuzirecord vizuri na kuzi appload videos hizi za semina zako ili tujifunze mambo mengi zaidi...Shukrani sana
@pascalinagilbert2652 жыл бұрын
Dah, Mungu akubariki sana, huwezi Amini nilikuwa nasikiliza nikiwa nimejilaza imebidi niamke ili niandike, nakufwatiliaga sana hakika umeubadili mtazamo wangu kwenye maisha. Be blessed.
@manasekutusha3423 жыл бұрын
I am appreciate u bro I will bring so many u a idea for those who fail to aquir
@bienfaitndethi71482 жыл бұрын
God akuzidichiye hekima na nguvu bro joel n
@FaricevitusiNkane3 ай бұрын
kk mungu aendelee kukulinda kwan umekuwa msaada sana kwa wanaokftlia na kuyafanyia kaz
@sadikiselemani15803 жыл бұрын
ubarikiwe kaka unatupatia maarifa makubwa sana
@tumainilatangujadidouglas7887 Жыл бұрын
Bro joil barikiwa sana,vitabu vyako na vipata vipi, Douglas Mombasa kenya
@yunusmbaroukmbarouk51503 жыл бұрын
Mm nashauri upendelee kutumia lugha ya kiswahili sna kwasababu wapo wengi wanaokufatilia hawajui lugha ya kigeni...Thanks
@hellyfridy Жыл бұрын
Ubarikiwe.🙏🙏
@agnesslucas47442 жыл бұрын
Kwakweri unaungusa sana moyo wangu japo siwezi kuhuzuria Mimi maana sipo Tanzania lakini nilikuwa naomba whasp ilinionge na ww kwamsaada wako nakuna binti yangu nimuunge kwenyehiro dalasa nimelipenda Sana tafadhari nisaidi Joel
Thanks my brother Joel seriously always I keep on getting something from your subjects and I can see how it's change my Life ,, Asante Sana Kaka mwenyzmungu azid kuku barik uendele kutupatia elimu ya maisha...
@winniewilson2855 Жыл бұрын
Thanks bro ubarikiwe mno
@Beatus-e9p11 ай бұрын
Good advice brother
@fulldesign64043 жыл бұрын
am blessed sana Bro.. Go bless you
@salimuwimana63944 жыл бұрын
Asante sisitu Burundi ninanufaikaje Na coaching yako
@stanfordchimola97922 жыл бұрын
Nimekuelewa sana kaka ubarikiwe
@PauloTago23 күн бұрын
Shukrani.sana
@frankriwa7457 Жыл бұрын
On top Joel
@RableRaphael2 ай бұрын
Unabariki muandishi
@ericktamba75653 жыл бұрын
Well said 💥💥💥
@francis43462 жыл бұрын
The treasures that lift men!
@nureinomar62383 жыл бұрын
Congratulations may God bless you abundantly
@fakisabour28182 жыл бұрын
Hatujawahi kupata kukuona zanzibar broo tnakuhitji
@claudjohn4 ай бұрын
Asante kaka
@vincentjumba6659 Жыл бұрын
Niko kenye but umenisaidia sana nikgepanda sana siku moja niuthurie mafundisho moja kwa moja
@angasyegemwampulo27612 жыл бұрын
You lift me up to be rich
@juharazanzi9973 жыл бұрын
Amina nakiitaji kitabu icho jamani
@maserogisunte18093 жыл бұрын
Thanks, be blessed
@ezranyamlundwa2034 Жыл бұрын
Thanks my brother
@MariaMsovela6 ай бұрын
Tumia kaswahili kama unamfundisha Kila mtu lakini unamfundisha mmoja tumia kingereza
@Tress-dr5rp Жыл бұрын
Yaani sikuachi nitangangana na wewe mpk ndoto yangu itimie ubarikiwe sana kaka joeli Leo hii naweza kuweka akiba nilikuwa na mikopo nikifanya biashara pesa yote inaishia kwenye marejesho Toka niaze kukufatilia biashara yangu inajizungusha yenyewe siamini kabisa najitaidi sana kufanya ibada ili nipate watu sahihi WA kujifunza kama wewe Mungu WA mbinguni na tumbo lilokuzaa libarikiwe
@faidaruzamuka22182 жыл бұрын
Una sema kweli
@uwimananadia60664 жыл бұрын
🙏🙏na anza kushukuru kabra sijaskia
@augusttesha87963 жыл бұрын
Uko vizur bro
@emilianapunda51173 жыл бұрын
Habari ya mchana...pole na majukumi .Naomba unisaidie nini nifanye Iko niweze kuwa nasoma vitabu...?
@edgardeus244 жыл бұрын
Thanks a lot teacher I learn everyday from you God bless you.
@nureinomar62383 жыл бұрын
Congratulations my mentor I get to learn a lot from you sir. How can I get the book timiza malengo yako am in Mombasa Kenya
@sharifarajabu72554 жыл бұрын
Shukurn kheri kwako
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Ahsante
@deogratiusmija1613 жыл бұрын
good idea brooo !!!
@zubedajumanne88193 жыл бұрын
Madini 🔥🔥🔥
@adelinakibejile46962 жыл бұрын
B blessed br
@johnmesaya59423 жыл бұрын
Du,kiukweli unatufungua kwenye vivungo vya maisha,mungu akubariki sana,
@priscadanny26233 жыл бұрын
Wow👌
@stevensamwel48543 жыл бұрын
Uko Tanzania kwa ajili yangu mimi na kwa wakati Asante
@augusttesha87963 жыл бұрын
Bro mungu akubariki sanaa
@dorcasmunisi86784 жыл бұрын
Nashkru sana kaka..naenjoy life kwa kujiamini..kila nikipata nafasi ya kuingia mtandaoni najikuta nasikiliza video zako tu..zimenijenga sana..hicho kitabu nakipataje?Niko tegeta-wazo
@zebedayokatamaduni96763 жыл бұрын
Mwl yaani nasikia utam moyoni akilini unaongea maneno makubwa asante