Joel Nanauka: Kanuni 2 Kubwa Za Fedha.

  Рет қаралды 26,935

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

Пікірлер: 56
@Haleem_07
@Haleem_07 4 жыл бұрын
Brother Joel nakuombea kila siku kwa Allah akujaalie umri mrefu tena weny manufaa... 🔥 🔥 🔥 🤝🏻 🤝🏻 watanzanian katika mfumo wa vyama ving wagombanie watu kama hawa 5 tu... Basi tunapata Tanzania 🇹🇿 yenye maendeleo... 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🤝🏻 🤝🏻🤝🏻🤝🏻 your great...
@maggiepeter8936
@maggiepeter8936 4 жыл бұрын
Pay yourself first...Hii kanuni uliyonifundshaga naiishi mpk leo....Asante Mwalimu Joel
@magrethjohn4929
@magrethjohn4929 2 жыл бұрын
Kila siku nlkuwa natumia kanuni ya 1 lakin baada ya kuanza kufata mafundisho yako kwel yamenisaidia 🙏🙏🙏 uncle joel Mungu akupe wepesi Kwenye kila jambo
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 Ай бұрын
Asante sana.. mentor wngu nashukur kw.. kuendelea kujifunza..Kila...siku...🙏🙏
@charlesfaida1515
@charlesfaida1515 4 жыл бұрын
Hapo teacher nimekuelewa nimeshabadilika kwa kiasi kikubwa saana, nakushukuru Sana kwa kitabu chako cha elimu ya fedha na Muongozo wa mafanikio ∆God bless you brother 🙏
@christinen8291
@christinen8291 4 жыл бұрын
Asante sana. Tangu nianze kufuatiliya mafundisho yako hakika mimi ni billionaire kwa businesses. Siku moja nitapiga shukrani kaka yangu.
@Haleem_07
@Haleem_07 4 жыл бұрын
Yaan nakuelewa mpak basi nipo kidato cha nne acha nifanye uwekezaji ili niixhi maisha ninayo yataka.... 🔥 🔥 🔥 🔥
@samwelisamsoni6402
@samwelisamsoni6402 Жыл бұрын
Asante saa kaka nimejifunza mengi kupitia mafundisho yako
@francischangalima5017
@francischangalima5017 4 жыл бұрын
see you at the TOP , Nakufuatilia sana sanaa na niona many changes now in my life because of you.
@mariamkabale3424
@mariamkabale3424 4 жыл бұрын
Mada nzuri
@macksonkashingo5721
@macksonkashingo5721 2 жыл бұрын
Ubarikiwe brooo joel
@chrismassawe326
@chrismassawe326 3 жыл бұрын
Shukran Dr joel
@shukranjulius5910
@shukranjulius5910 3 жыл бұрын
Barikiwa zaidi kaka joel
@kalyweedy5106
@kalyweedy5106 Жыл бұрын
Ahsante sana nimejifunza kitu
@issacksheduli693
@issacksheduli693 4 жыл бұрын
You made alot to me. .nakumbuka 22/07/2017 at shamool hotel sinza. ...ndipo ulianzisha safari yangu ya mafanikio baada ya kutoka morogoro nakuja daresalam kwa ajili ya seminar. ..
@samwelnungu7482
@samwelnungu7482 4 жыл бұрын
Hongera sana
@Mkaambali
@Mkaambali 4 жыл бұрын
Asante
@mariamkabale3424
@mariamkabale3424 4 жыл бұрын
Madalali nzuri
@paschalkazimoto8420
@paschalkazimoto8420 Жыл бұрын
Sijawahi jutia mb zangu kwa kuangalia videos zako.
@malegesibwire4978
@malegesibwire4978 4 жыл бұрын
Somo fupi ila limejaa elimu ya uakika sana asante
@husseinkidedia4074
@husseinkidedia4074 Жыл бұрын
Genious🧠
@sb-ey2sk
@sb-ey2sk 4 жыл бұрын
Your right my brother
@kwawajanjaclassicwear
@kwawajanjaclassicwear 4 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri bro
@tonymartin7984
@tonymartin7984 4 жыл бұрын
Thanks bro
@ussikhamisussi4882
@ussikhamisussi4882 4 жыл бұрын
Ahsante kwa somo.
@muntarmubaraka71
@muntarmubaraka71 4 жыл бұрын
See you at the top nimekuelewa sana kaka joel
@djcoco_designer5739
@djcoco_designer5739 4 жыл бұрын
Safi Sana Joel Nanauka
@abelhilonga1095
@abelhilonga1095 Жыл бұрын
Dahhhh nilikuwa natumia kanuni no 1 sasa basi nitatumia kanuni no2
@norbethngailo6604
@norbethngailo6604 4 жыл бұрын
Good bless u
@nambananetv2490
@nambananetv2490 4 жыл бұрын
Akiba ni Uhai Aisee!
@Haleem_07
@Haleem_07 4 жыл бұрын
Tunasubir materials.... 🔥 🔥 🔥
@seurykaaya1089
@seurykaaya1089 4 жыл бұрын
Good job
@kakekofarniture.5375
@kakekofarniture.5375 4 жыл бұрын
Asante Kwa mafunzo matam na mazuri
@SAIDXDXDBFSUMA
@SAIDXDXDBFSUMA 6 ай бұрын
Assalamualaikum nilitumia kanuni ya juu kipato matumizi akiba sio hii kipato akiba na matumizi
@busagalafrank689
@busagalafrank689 Жыл бұрын
Shukurani sana kaka kwa kanuni hizi?
@fedharmmark6398
@fedharmmark6398 4 жыл бұрын
Ahxante Mkuu xkhz natumia kanuni ya akiba kwanza ndo matumiz
@dr.amos..ngailomd
@dr.amos..ngailomd 2 жыл бұрын
Nazidi kujifunza
@hon.kabalo1960
@hon.kabalo1960 4 жыл бұрын
This is so powerful..
@hammyyombe5229
@hammyyombe5229 2 жыл бұрын
🙏2
@TheLuasas
@TheLuasas Жыл бұрын
Maaaaaaaaaannnnn!!!!!!!😢
@almasimfaume704
@almasimfaume704 4 жыл бұрын
Short script heavy message.🙏🙏
@sumunimuhere9705
@sumunimuhere9705 4 жыл бұрын
Ok
@fidiuskalekezi2049
@fidiuskalekezi2049 4 жыл бұрын
Duh huwa kila nkiangalia video zako lazima nitoke nakitu hakika umenibadilisha kaka
@chambamalima9798
@chambamalima9798 4 жыл бұрын
Nipo dodoma, nawezaje kupata kitabu chako?
@eddahhawa7471
@eddahhawa7471 4 жыл бұрын
See you
@nurdinchilambo1486
@nurdinchilambo1486 4 жыл бұрын
#motivator
@ruttajames1263
@ruttajames1263 4 жыл бұрын
Mm siku zote natumia hyo ya kwnza kk hila nitajitaidi ni2mie no2
@sultanmwinngo9268
@sultanmwinngo9268 4 жыл бұрын
Achia vdio iyo Kaka. Tunaisubli
@Jifunze_TV
@Jifunze_TV 4 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@omarikisungu7630
@omarikisungu7630 4 жыл бұрын
💪
@testarguy8609
@testarguy8609 4 жыл бұрын
Nimekuelewa sana na hapo kwenye matumizi ndipo 98% tunapo fail
@jmedia9631
@jmedia9631 3 жыл бұрын
Mafanikio ni akili ya kutafuta na c yakudarasani #iyo nimeipata
@kelvintimasho556
@kelvintimasho556 4 жыл бұрын
🖤
@designdesign4426
@designdesign4426 4 жыл бұрын
Mbona ujasema utoe fungu la 10 kanisani
@testarguy8609
@testarguy8609 4 жыл бұрын
Fungu la 10 ni moja ya uwekezaji
@fundibombatanzania3457
@fundibombatanzania3457 4 жыл бұрын
Leta point izo mkuu
Maamuzi manne (4) muhimu sana kwenye maisha yako.
7:05
Joel Nanauka
Рет қаралды 110 М.
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 27 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,9 МЛН
Tabia 4 Zinazoleta Fursa Kubwa
6:36
Joel Nanauka
Рет қаралды 88 М.
Jinsi ya kutImiza malengo yako kwenye ulimwengu wa Sasa.
55:40
Joel Nanauka
Рет қаралды 107 М.
Maeneo Sita (6) Ya Kuzingatia Katika Kujenga Nidhamu - Joel Nanauka
12:01
JOEL NANAUKA - PERSONALITY COLORS
14:50
Joel Nanauka
Рет қаралды 13 М.
NJIA YA KUONGEZA PESA ZAIDI - JOEL NANAUKA
7:57
Joel Nanauka
Рет қаралды 57 М.
TENGENEZA MAISHA UNAYOYATAKA - JOEL NANAUKA
16:51
Joel Nanauka
Рет қаралды 128 М.
Episode 2 : Je,Ufanye biashara gani?
11:29
Joel Nanauka
Рет қаралды 88 М.
MAKOSA YA KIPESA YA KUEPUKA - JOEL NANAUKA
5:36
Joel Nanauka
Рет қаралды 167 М.
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 27 МЛН