MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOFANYA KAZI - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 36,246

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

Пікірлер: 90
@khadijashabaninimba7890
@khadijashabaninimba7890 Жыл бұрын
Kweli kabisa katika haya maisha km uwez kujionea huruma ww mwenyew hakuna atakaye kuonea huruma ✊
@AngelMassawe-nz9sk
@AngelMassawe-nz9sk Ай бұрын
somo zuri sana kwenye misiba kumbe pengo halizibiki kumbe bunda umekwenda kazi umemwachia nani huku tukivimaliza twajidai mapumziko na lawama usipojiongeza jembe tena linangoka ubarikiwe mwl ongezeka kimo kila upande
@HamadSaid-g9j
@HamadSaid-g9j 11 ай бұрын
Nikweli watu wingi hawana muda kupumzika mpaka linamfika kubwa zaid kwenye afya Asante ubarikiwe sana
@stanleyandrea5153
@stanleyandrea5153 Жыл бұрын
Mda wa kupumzika ni mzur unapata mda wa kutafakar maisha yako
@MairooGideon
@MairooGideon 6 ай бұрын
Ooooo something to congratulate is you are very fantastic man becoz you real have good intentions
@nassoromussa2423
@nassoromussa2423 Жыл бұрын
Hapo penye pengo kuzibika ndio watu wengi nibudi kufahamu ma'na tunajidanganya sana! Mara oh nikifa ww utanikumbuka! Utapata shida sana...
@mohamedkudura8114
@mohamedkudura8114 Жыл бұрын
Asante wewe ndo kocha wangu MUNGU akupe umri mrefu wenye mafanikio
@vickykwembe5842
@vickykwembe5842 Жыл бұрын
Nakuelewa sana mtumishi wa MUNGU
@AliyPius
@AliyPius 10 ай бұрын
Bro asante
@mahambagislain9618
@mahambagislain9618 3 ай бұрын
Asante Kaka M🎉🎉✍️🇨🇩
@frenkfarm1139
@frenkfarm1139 Жыл бұрын
uko sahihiiiiiiii kabisa ukipumzika kwaza unapata akili mpya nanguvu mpya unasonga mbele 💪
@rukiakishar1155
@rukiakishar1155 Жыл бұрын
Kaka naona kama unanisema Mimi maana mm nikipumzika naona kama napoteza muda Asante kaka nimejifunza kitu kikubwa sana
@alextzatv
@alextzatv Жыл бұрын
Ukishidwa kupat mda wa kupumzika unaweza ukapumzishwa na wao
@yusuphmwaigomole3104
@yusuphmwaigomole3104 Жыл бұрын
Kupumzika muhimu hapo kwenye pengo lako linazibika nimependa sana . kaka Joel hii imeenda hii
@frankmsangi
@frankmsangi Жыл бұрын
Asante san broo Mungu akubariki sana nimejifunza kitu kizuri san kupitia wewe broo🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏
@josephatkiliko2546
@josephatkiliko2546 8 ай бұрын
Sahihi Kbs mkuu.
@joshuajackson3827
@joshuajackson3827 10 ай бұрын
Uko sawa
@robertkastam9247
@robertkastam9247 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa, pengo la mtu kuzibika ni rahisi tu, kikubwa kujijali mwenyewe sio kuwafurahisha wengine tu
@EzekieliManyama-re7qg
@EzekieliManyama-re7qg Жыл бұрын
Nimekuelewa Sana,ni kweli
@MlekwaMasilamba
@MlekwaMasilamba Жыл бұрын
Truth!
@DEBORAMUNISI-fn1sr
@DEBORAMUNISI-fn1sr Жыл бұрын
True speaking brother
@kharifasiraji3446
@kharifasiraji3446 Жыл бұрын
6:11tatizo br joel inategemea unafanya kazi Gani sasa mfano ambao tumeajiliwa madukani inakuwa ni ngumu yani!! Ni kwer kuna muda mwingne unajiisi utaki kuendelea tena unajiisi upumuzike lakini utaanzaje kusema sasa mi naona maisha2 na je tufanyeje najua wapo wengi!! Tufanyeje
@luhanyamipawantobi6888
@luhanyamipawantobi6888 Жыл бұрын
Omba hata cku 1 kwa wik upumzike
@bernadetachari7648
@bernadetachari7648 Жыл бұрын
Kwahakika lazima tujihurumiye maana hakuna wakutuhurumia .napia tunapo haribu huu mwili tujikumbushe haukuna duka la speya pat za mwili kwahii dunia tujihurumiye
@Saumbish1606
@Saumbish1606 Жыл бұрын
Kwel kabsa mkuu❤
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 Жыл бұрын
Asante mi ndio maana huwa km nimechoka sipendi kufanya kitu na nikiamua kupimzika napumzika sipendi kabisa kuji overwork abadani lazima nipate kupumzika
@nurdininanjota4056
@nurdininanjota4056 Жыл бұрын
Thanks brother the best video🇹🇿🙏.
@leonardgeorge3244
@leonardgeorge3244 Жыл бұрын
nimepata funzo kubwa hapa
@ashaidd2912
@ashaidd2912 Жыл бұрын
,😂😂 balaa huyu ni Mimi kbs asante sana now nitaanza
@isabellahwepukhulu6744
@isabellahwepukhulu6744 Жыл бұрын
Very true bro
@mosesfrancis8495
@mosesfrancis8495 Жыл бұрын
Kabisa
@WapekeeMwashua-oo9fv
@WapekeeMwashua-oo9fv Жыл бұрын
Upo vzuri kaka endelea nakz zuri unatuamashisha vjanawako nunaoota kazitu
@JumlaMbulu
@JumlaMbulu 11 ай бұрын
Yes
@shukransanga1040
@shukransanga1040 Жыл бұрын
Nikweli kabisa nandomana jackma alisema nibora ufe ukiwa ufukweni mwa bahari kuliko ufe ukiwa ofisini
@ramadhanalmashamza3458
@ramadhanalmashamza3458 Жыл бұрын
Asante sana kaka kwa elimu uliotupatia ubarikiwe
@niriacatering172
@niriacatering172 Жыл бұрын
Shukrani sana
@gchalijabiri3845
@gchalijabiri3845 Жыл бұрын
Usipokua na muda wakupumzika pengine utapumzika na siku ukipumzika utapumzika mazima,,utapumzika moja kwa moja
@agnessruben7427
@agnessruben7427 Жыл бұрын
Hakika umenigusa...mie ndo... huwa sipumzki ...KAZ KAZ ..ila kwanzia leo ntajipa day off
@tukaesanatu2754
@tukaesanatu2754 Жыл бұрын
Ubarikuwe baba mungu akulinde,,una kweli kabisa
@imanimbuki
@imanimbuki Жыл бұрын
Be blessed
@yolandasebastian685
@yolandasebastian685 Жыл бұрын
Kweli kabsa unachosema ni sahihi Sana bila kujiulumia hamna anayekuhurumia.
@HamisiKianga
@HamisiKianga Ай бұрын
Duuuh!! Huyu mwamba ni shida kapiga palex2
@Georgemorisiamani-oy3hf
@Georgemorisiamani-oy3hf Жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@EmmanuelSimukonda-n6o
@EmmanuelSimukonda-n6o Жыл бұрын
Thank you brother jeol
@onnex90
@onnex90 Жыл бұрын
Waiting
@juliusjohnii7823
@juliusjohnii7823 Жыл бұрын
Shukran sana kaka .
@jemimasibonike-gn8gh
@jemimasibonike-gn8gh Жыл бұрын
Asant mungu akubariki
@LAZAROKAPANGA
@LAZAROKAPANGA Жыл бұрын
Naenda kumchana ikifika 15:00 nachomoka kazin
@bertinaafonsorapaz8345
@bertinaafonsorapaz8345 Жыл бұрын
Asante Sana kaka Joel
@johnbanda6601
@johnbanda6601 Жыл бұрын
Kaka hii ni kweli
@godlizenmolla2192
@godlizenmolla2192 Жыл бұрын
Can't wait
@jumasalumu6449
@jumasalumu6449 Жыл бұрын
Well done ,
@edisonjoseph4087
@edisonjoseph4087 Жыл бұрын
AHSANTE NIMEJIFUNZA
@jenniffermumo6327
@jenniffermumo6327 Жыл бұрын
TRUE TO THIS. ESPECIALLY TO EMPLOYERS. THEY SUBSTITUTE THE GAP IMMEDIATELY. KOS THE COMPANY OPERATION HAS TO RUN WITH OR WITH OUT U
@ednaednamillanzinia2826
@ednaednamillanzinia2826 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@elishafesto3185
@elishafesto3185 Жыл бұрын
Thanks brother
@PascalHaule-sv1wy
@PascalHaule-sv1wy Жыл бұрын
Napenda ukifundisha kwa video kuliko audio😅
@ponsianaprotas8990
@ponsianaprotas8990 Жыл бұрын
Asante sana Joel Nanauka.
@ponsianaprotas8990
@ponsianaprotas8990 Жыл бұрын
Leo nimefurahi sana Joel umeona comment yangu. Natamani uone na nyingine niliyocomment kuhusu kuchukiwa na watu
@loyceakuku6019
@loyceakuku6019 Жыл бұрын
ukweli kabisa joel
@ruwaidamabrouk1797
@ruwaidamabrouk1797 Жыл бұрын
Fact 100%
@janetfrancis7180
@janetfrancis7180 Жыл бұрын
Asante sana kaka
@erickathanas
@erickathanas Жыл бұрын
Nikweli bro maana Kuna watu ni wavivu na wanategea sana pindi unapokuwa mchapakaz utapata Kaz nying kutoka kwao
@StevenGalusi-t8m
@StevenGalusi-t8m 11 ай бұрын
Lete vitambu uku mara ndo nyumban
@abdirizakrashid8769
@abdirizakrashid8769 Жыл бұрын
hii nimeona binafsi
@twaalibkeya859
@twaalibkeya859 Жыл бұрын
❤🙏🏻
@MohamedAthumani-il5wn
@MohamedAthumani-il5wn 5 ай бұрын
Kaka nninashida navitabu vyako ambavyo umeandikambalimbal ntavipataje
@AbbasAbdul-hamid-em3lv
@AbbasAbdul-hamid-em3lv Жыл бұрын
Vitabu vyako vinapatkana wap
@paultibula3536
@paultibula3536 Жыл бұрын
Yamenikuta😢😢😢
@yvesniyongabo9437
@yvesniyongabo9437 Жыл бұрын
Ilinitokea hui kipindi fulani, ila kwa sasa nimeanza kupumzika
@joharissa2020
@joharissa2020 Жыл бұрын
Kaka Joel nataka kitabu ujibu wassp 😢
@KhadijSimai-xr5zu
@KhadijSimai-xr5zu Жыл бұрын
✌️
@FanuelIsaya-b1y
@FanuelIsaya-b1y 8 ай бұрын
🎉
@julianalaly2095
@julianalaly2095 Жыл бұрын
Kweli
@abrahammwambije2769
@abrahammwambije2769 Жыл бұрын
Uta kuja na vitabu sumbawanga?
@ngendakumanasalumdiki2847
@ngendakumanasalumdiki2847 Жыл бұрын
Nikweli kabisa.
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Asante sana
@StevenGalusi-t8m
@StevenGalusi-t8m 11 ай бұрын
🙏🏻🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@umememusicindustry7164
@umememusicindustry7164 Жыл бұрын
Sasa tutumie mda gan katika kufanya kazi ndio tupumzike maybe after every week au
@mnyamamkali6288
@mnyamamkali6288 Жыл бұрын
Kwel
@MariamuSalum-mx4dy
@MariamuSalum-mx4dy Жыл бұрын
Nikweli kabisa unacho kizungumza
@evaristfabian6125
@evaristfabian6125 Жыл бұрын
Bookshop yako iko maeneo gani hapa dar?
@benekatare3948
@benekatare3948 3 ай бұрын
Ila Dr. Joel kwanini utuseme kwamba tuna replacement? Ukweli mchungu huooooooo 😂😂😂
@abeidmbarouk6280
@abeidmbarouk6280 Жыл бұрын
See u at the top
@sunrisetv6110
@sunrisetv6110 Жыл бұрын
Kutoka 18:14-24 Yethro na Musa
@sunrisetv6110
@sunrisetv6110 Жыл бұрын
Pia ndiyo maana Mungu akaweka Siku Moja ya sabato ya jumamosi kwa Ajili ya kupumzika
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
🙌🏿☑️
@saidalhabsi9257
@saidalhabsi9257 Жыл бұрын
🇴🇲🤣🤣🤣huku baraa zito from Tanzania hakuna juma mos wala juma kumi
@leoncealex7343
@leoncealex7343 3 ай бұрын
Nimecheka😂 video editor aliyechanganya cuts ya secleton ambayo imekufa kwenye laptop aiseee🤣. Kuna kitu nimejifunza , HATA UFANYE KAZI VIP HAKUNA SIJU MAMBO YATAKAA SAWA TENGA MUDA UPUMZIKE THANKS
@baboudeira9249
@baboudeira9249 Жыл бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮
HATUA ZA KUJENGA MTAJI WA WATU - JOEL NANAUKA
15:16
Joel Nanauka
Рет қаралды 9 М.
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 46 МЛН
SIKILIZA SAUTI YAKO YA NDANI - JOEL NANAUKA
6:20
Joel Nanauka
Рет қаралды 33 М.
Jiulize maswali haya kabla ya kuacha kazi.
11:34
Norbypol TV
Рет қаралды 3 М.
VITU VINAVYOUA UWEZO WAKO/JOEL NANAUKA
7:08
Godly voice family
Рет қаралды 14 М.
UMUHIMU WA KUWEKA AKIBA YA FEDHA- Anthony Luvanda
13:31
TonyInspirationalTalk
Рет қаралды 5 М.
Mambo 5  Ya Kufanya Kila Siku Kama Unataka Kufanikiwa
21:53
Joel Nanauka
Рет қаралды 269 М.
LIFE WISDOM : IJUE NGUVU ILIYOPO NDANI YAKO - JOEL NANAUKA
15:34
Joel Nanauka
Рет қаралды 20 М.
Vitu Vinavyopoteza Focus Yako Kwenye Maisha - Joel Nanauka
14:16
Hamasika Tv
Рет қаралды 71 М.
EPUKA  HAYA KWENYE  ENEO LA KAZI - JOEL NANAUKA
10:44
Joel Nanauka
Рет қаралды 59 М.