Ni mwezi wa pili Sasa tangu nianze kukufuatilia kwenye mitandao , na huwa najitahidi kukuelewa na kutekeleza kila ninacho amini kutoka kwako ,. Kiukwel nimeanza kuona mabadiliko kwenye kipato ata lifestyle yangu. Na kama hii elimu ningeipata miaka miwili iliopita, naamini ningekuwa mbali kiuchumi. Nakuombea kwa mungu usije choka kuelimisha ,nakutegemea mwalimu wangu And I Promis You To See Me At The Top💪
@joelnanauka4 жыл бұрын
Ahsante kwa mrejesho huu, tuendelee kujifunza zaidi
@emmanuelhawela62812 жыл бұрын
@@joelnanauka .l
@SaveraRwezaura Жыл бұрын
KAKA JOEL NANAUKA ASANTE WA USHAURI MZURI MUNGU AKUBALI@@emmanuelhawela6281
@michaelkarunda51203 жыл бұрын
Nimekufuatilia kwa kipind kifupi sana na kukuelewa, nimejilaum why nilichelewa kukufamu mapema?... Upo safi sana brother.
@yakubufadhil25602 жыл бұрын
Joel nakupenda Sana Kwa ajili ya Allah,upo vizuri Sana kwenye kufatilia mambo, ebu Kaa chini uangalie ukweli kuhusu ni ipi dini sahihi Mbele ya Mungu Kwa wanadamu woooote?
@bernadetachari76482 жыл бұрын
Kaka kwelimughu akupenghuvu sana maana kizazi chaleo chahitaji mtukama wewe
@nover80353 жыл бұрын
Yote hayo nayafanyaga naturally and automatically....who aim I!? smart person or!?
@joelnanauka3 жыл бұрын
👍👍👍
@emmanueljohn89704 жыл бұрын
Kwa Kweli Ubarikiwe sana Mtu wa Mungu, umekuwa Mentor mzuri sana Kwangu yaani najifunza mengi mno Toka kwako. Hata Kibari nilichonacho najua Ni Mungu tu Amewatuma ninyi ili muishape Jamii.
@ghostelmendez72063 жыл бұрын
Katika walimuuuuuu wote niliowasikiliza ......Huyu mwalimu nanaukaa nakupenda bure silipii chochote lakini najifunza mungu akulinde na akutunze ,.,,.,.,.,..,.,.,.,,.,..,.,.,..,.,.________
@joelnanauka3 жыл бұрын
Nashukuru sanaaa
@mosesjackson_tz3 жыл бұрын
I have heard alot of motivational and inspiration speeches from experts and gurus , but this guy @joel nanauka is outstanding....
@shukranizakaria26463 жыл бұрын
Hhh&&&hhhbh&hhhhhbhh&
@nimrodmulangi8074 Жыл бұрын
Pamoja na yote, hili la kuwatambua majina yao umenisaidia zaidi, hapa ni moja ya maeneo nitaanzia kazi zaidi. Mwl wangu Ubarikiwe.
@mfuranzimaadolphe730 Жыл бұрын
Naanzia leo
@martinjuliusadam9703 жыл бұрын
Umeokoa fikra, sasa si mtumwa kifikra... Ahsante bro Joel "#s60 see you at the top"
@jimboulaya3 жыл бұрын
Ahsante sana kwa kweli katika jamii yetu issue ya kukamata simu wakati wa maongezi muhimu ni tatizo sana na unaikuta hata kwa hao wanaoitwa mastaa, utakuta anafanyiwa mahojiano muhimu ila yuko busy na simu. It's very unprofessional, jengine kukosea kutamka majina, hatufanyi bidii kumtamka mtu vile inavotakiwa, hata wewe mtaalamu hapa umeteleza kidogo 3:25 ni Inatamkwa kwa kiswahili Deil Kaa-nih-jee na sio Dale kama kwenye ma-dale.
@andrewsteven53753 жыл бұрын
Sijuti kupoteza MB zangu kwako hakika napata kitu kila ninapokusikiliza
@the_white_43.4 жыл бұрын
safi sana....Guys karibu sikiliza wimbo wangu mtam kwa link kzbin.info/www/bejne/b5qrgnZ-h5mJbcU
@christophernilongo61543 жыл бұрын
Nakubali Sanaa mafundisho yako brother, hata ukipitia sekunde chache tu lazima ujifunze kitu
@mokolainko01sandawe492 жыл бұрын
Nimejifunza VITU BORA kabisa leo
@newtondangote69544 жыл бұрын
Thank you brother Joel, Hakika nimejifunza kitu kwenye video hii, zaid zaid nikuweka mkazo tu! Though sikuwahi kufikiria Nguvu iliyopo kwenye kumuita mtu jina lake.
@joelnanauka4 жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻 Ahsante snaa
@sharifamtilly10143 жыл бұрын
Nashukuru mungu hivyo vyote ninavyo Ila nitaongeza kuwa active listening. Coz watu hupenda kunishikirika na kuipenda kazi yangu .
@DarpopTanzania4 жыл бұрын
Jana kanisani hapa Kijitonyama.kuna mchungaji ndio ilikua mara ya kwanza kumuona.ila alivyosalimia kwa smile zuri.zaidi ya nusu ya kanisa tuli smile na ni mwanaume.Real smile inaambukiza
@joelnanauka4 жыл бұрын
Mfano mzuri sanaa huu
@BalumileMatabaАй бұрын
Nimejifunza makosa hayo madogo madogo niliyokua nayafanya aisey 😢😢 Asante sana Brother
@gladymsuya13103 жыл бұрын
ila wewe kaka n smart umenyoa vizur kwel😅🔥
@Bruno-ed1ps3 жыл бұрын
Wadada 😂😁
@sarahmsangi72433 жыл бұрын
Wachache Sana wanaweza kusifia Kama ulivyomsifia,watu Kama wewe wachache Sana,unanikumbusha one day nilikuwa nimevaa travota yangu nimenyoa vizuri,Sasa dada mmoja alikuwa na boy wake akaniangalia akaniambia uvumilivu umenishinda hakika kaka nimevipenda viatu vyako ,vinauzwa shilingi ngap nikamnunulie huyu mume wangu nikamwambia elfu arubain na tano
@bernardeliamani40622 жыл бұрын
Brother Asant umenijenga mno me kwaupande wangu kumskiliza mtu kwa umakini san
@jackmahuni27094 жыл бұрын
Inatakiwa niongeze juhudi kwamaana napungukiwa juhudi yakufanya kazi ninayoipenda
@ANANIUSELIAS Жыл бұрын
I have heard alot of motivational and inspiration speeches from experts and gurus , but this guy @joel nanauka is outstanding....Moses Jackson
@MerryLaurent-ug6jm4 ай бұрын
Kweri kabisa Kaka angu yaani unaongea ukweri yaani mi ni mtu wa tabasamu yaani muda wote nipo na tabasamu . Watu wengi wananipenda sana,yaani ata mtu akinikosea mimi nimwepesi sana kusahau na kuruhusu mambo mengine yandelee UBARIKIWE SANA KAKA ANGU. umenifanya niamini ni kweri kabisa unacho zungumza
@joackimvisent45822 жыл бұрын
Nimekutana na changamot iyo kazini na nikijikuta watu wengi kukaambal na me niwachache wap pamoja na me nimejifunza kitu ap
@mawam64623 жыл бұрын
Sahih
@agnesgervas80703 жыл бұрын
Najifunza vtu vng kutok kwako Ise cikuwahi ona kijana km ww tabia yngu imebadilika kupitia vpindi vyako nimejifunza vtu vng hasa kuheshim watu
@abdallahzaidan_01436 ай бұрын
thanks bro,every single word is maningful
@VanessaTyson-y7t Жыл бұрын
Nafulahia sana tabasam ongera sana kwa mafundixho
@MeshakiKisalu-dt8vo Жыл бұрын
Meshaki kutoka kigoma nataka kukuuliza maana ya hamasa nakuomba unijibu
@kasabwapeter86533 жыл бұрын
asante sana KAKA hakika wewe una faha katiya watu makini zahidi.
@AidaMakwaruzi3 ай бұрын
Asante sana kaka Nafrahishwa sana Nimejifunza kitu
@Elizabeth-i9z3 ай бұрын
Nimeanza wiki hii kukufatilia masomo yako ni mazuri barikiwa sana kaka
@omaryshafii11743 жыл бұрын
Cha kwanza uwe na hofu ya Mungu mtu anapokuja na tatizo ulichukue kama la kwako utaweza kufanya hayo yote Mungu akubariki kwa somo zuri
@jn_mustonez7842 Жыл бұрын
Yaani kaka hivi vyote vinanitokea Sana sababu ya tabasamu,
@paulpeter46847 ай бұрын
Thank a lot for that taught us in side of life education do again 🙏🙏
@officialjmashup1048 Жыл бұрын
Mm nina tatizo lakununa yaan nakuwa kama mzee nawakati ni bint mdogo
@samirijumajuma57242 ай бұрын
Nimeamza kukufuatilia kaka nakuelewa kidg kidg
@beatricecassian32333 жыл бұрын
Unakuwa wapi Nije nikusikilize joel
@mrtricks37423 жыл бұрын
Uuuuwi!!! Njoooni TAMU YA TANZANIA FULL MAUJANJA 👉👉 kzbin.info/door/AKnPTHatgINPkA0g0hbatw
@mrtricks37423 жыл бұрын
Uuuuwi!!! Njoooni TAMU YA TANZANIA FULL MAUJANJA 👉👉 kzbin.info/door/AKnPTHatgINPkA0g0hbatw
@burundisgottalent21844 жыл бұрын
Sasa ni lazima ufanye ju watu wakupende? Kama hawanipendi mi najua Mungu ananipenda, sioni lazima yakujipendesha kuwatu? Samahani nipe ushahuri please.
@petermganga8390 Жыл бұрын
Oy bro umenibadilisha sanaa pamoja sanaaa
@vairethsimkoko32013 жыл бұрын
Hakika nimejifunza mambo mengi na naamini mfumo wangu wa maisha utazidi kuwa na matokeo mazuri,ubarikiwe sana.
@angelalwisa33213 жыл бұрын
Waooo I like it... Mtu wa Mungu yaani KILA nikikusikiliza uwaga najifunza Sana na kubarikiwa mnoo
@medysaid27433 жыл бұрын
Mbona mm nafanya ivo lkn cpendwi
@NsajigwaMwakanyamale5 ай бұрын
Kaka nashukuru sana maana nilikosa kaz kisa nilikua nmenuna
@ruteminayo17783 жыл бұрын
Tabasam
@grolyqueen58332 жыл бұрын
Naanzaa la kumpa mtu nafasi ya kumsikilizaaa
@atuenemsalilwa25483 жыл бұрын
mimi napenda kusikilizwa jamani?
@sevenlord7q.e.d1824 жыл бұрын
Tabasabu kwanza ur not fully dressed til u smile
@joelnanauka4 жыл бұрын
Kabisaaa
@wemajoashi35493 жыл бұрын
Asante umenifungua hakir
@suzanedgar51133 жыл бұрын
Asante sana. Kwa kweli nilikuwa si mtu wa kutabasamu
@ziyadanyandwi29083 жыл бұрын
Asante sana nimejifunza kitu
@ElizabethAron-n3s8 ай бұрын
Kusikiliza na kuita jina la muhusika
@othmanmuhammad16504 жыл бұрын
Fantastic, you killed it!.this video is outstanding and fascinating,.My favourite part {listening and smiling} I've seen this work perfectly to me all the time,.The video is flawless and exceptional, keep up a great work brother,.Thank you,.!.
@joelnanauka4 жыл бұрын
Much appreciations 🙏
@othmanmuhammad16504 жыл бұрын
@@joelnanauka indeed, you deserve it,.
@faudhiasalum72793 жыл бұрын
Brother 😘
@ismailsaid61383 жыл бұрын
Tabasamu ndyo la kwanzo
@esthereppah18592 жыл бұрын
Tabasamu. Mimi nimefaulu
@rashidkhamis69782 жыл бұрын
I'm here 2022/sept
@projestusrweyemamu8406 Жыл бұрын
UKO SAHIHI NDG YANGU.
@AbeliMgula Жыл бұрын
Keep up my brother
@mrtricks37423 жыл бұрын
Uuuuwi!!! Njoooni TAMU YA TANZANIA FULL MAUJANJA 👉👉 kzbin.info/door/AKnPTHatgINPkA0g0hbatw
@leticialupembe6956 Жыл бұрын
Asante Joel kwa somo zuri nitaanza na tabasamu tangu saa hii
@elishadeulitv27114 ай бұрын
Nimepona
@mohamedbabu11993 жыл бұрын
Leo nimepata faida kubwa Sana simu imekuwa tatzo kwangu da nimepata kujifunza kiukweri Leo somo hili nimelipenda
@MariaMosi-xi4hh5 ай бұрын
God bless you 🙏
@mwashighadijames30183 жыл бұрын
Thanks bro Joel,am from Kenya hakika hayo yote nayafuatilia kweli na mimi namshukuru mungu napendwa kweli,smile is the way of showing how you are interested to others, sio kununa mda wote
@joelnanauka3 жыл бұрын
Hongera sanaaa
@LucyPeter-c6p9 күн бұрын
Kisikiliza kwa makini
@farajamshauri Жыл бұрын
Kweli somo zuri
@NancyKahindi-qy8vh Жыл бұрын
Asante sana kaka joel
@maryambassumbul58812 жыл бұрын
Ntaanza na smile🤨
@herimailo8183 Жыл бұрын
Brother asante sana
@donaldssixmond35332 жыл бұрын
Good idea broo
@achilawikachele4053 Жыл бұрын
Mungu akulipe kaka
@julianambone95842 жыл бұрын
Thanks 🇰🇪
@henrishfundi501910 ай бұрын
bro na kukubali san
@hildamushashu5056 Жыл бұрын
Tabasam itanisaidia
@theodosiaadrian30723 жыл бұрын
Nitaanza na hamasa
@bernardmollel87282 жыл бұрын
Thanks sir
@bernardmollel87282 жыл бұрын
Thanks sir
@magrethmicheal4663 Жыл бұрын
Kutabasamu kaka😂
@YohanaAshiloi5 ай бұрын
Ndio kapten
@alexcharles7599 Жыл бұрын
Brother 🎉
@francedamas52432 жыл бұрын
uko pow kaka
@subimayala55303 жыл бұрын
Kweli kabisa
@zahraalbaloochi284117 күн бұрын
Be blessed
@vanebichanga94663 жыл бұрын
Hapo umenena ukweli kuna boss wangu aliwa spell jina langu vizuri nilijihishi vibaya sana.so let's try to be attentive
@ndoakikristo77774 ай бұрын
Amazing❤
@تةامممن2 жыл бұрын
Thanks
@restutamjuni47392 жыл бұрын
Asante
@projestusrweyemamu8406 Жыл бұрын
Asante
@FrankMathias-ux2ki6 ай бұрын
cheer up
@sugarkheri46802 жыл бұрын
Asante Na barikiwa Sana
@isayasijia-z3g5 ай бұрын
Kaka joel wewe ni mtumishi wa Mungu kwa eneo hilo Kwa kutabu chako cha Mkombozi wa familia na speech ya usisubiri kuanza anza sasa my life has changed totaly My God keep you my brother🙏🙏🙏
@felediafrancis68133 жыл бұрын
Kutabasamu
@mbelwakattolwiiza22283 жыл бұрын
Ahsante Sana kwa somo zuri Sana nakupenda Joe Nanauka