LIFE WISDOM : HATUA-ZA-KUTOKA-KWENYE-UTUMWA - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 6,355

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 44
@gracegrace2561
@gracegrace2561 6 ай бұрын
Leo wa kwanza Mimi nangonjea kwa hamu
@elianzammari1421
@elianzammari1421 6 ай бұрын
Asante kaka unaifungua akili yangu kila wakati Mungu Akupe uzma na afya njema. Sku moja nitakupa shuhuda
@pialafrance7922
@pialafrance7922 6 ай бұрын
Kaka joel Mungu akubariki mno jmn umenifungua sana katk hili somo la utumwa ...Mungu akulinde siku zote😢
@fotunatamghoi4346
@fotunatamghoi4346 6 ай бұрын
Asante kaka .Joel nashukuru sana ninapoedelea kukusikiliza ,,mana unanionglelea mimi
@Jackiline-s4s
@Jackiline-s4s 6 ай бұрын
Unanipa nguvu sana kaka nilitaka kufanya maamuzi siku nyigi ila nilikuwa nashindwa ila asaiv nimepiga hatua moja kijitoa kwenye utumwa na unazidi kuniongoza ipo siku nitakuja kutoa ushuhuda mungu akubariki sana
@OmallyMbwana
@OmallyMbwana 3 ай бұрын
Hakika najifunza kila uchwao kaka joel nanauka mungu alikuleta kwenye taifa hili kwa kusud maalum tunajivunia wewe.
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 6 ай бұрын
Kiukweli namtukuza Mungu kwaajili yako kaka @Joel
@GloriaMushi-b9r
@GloriaMushi-b9r 6 ай бұрын
Maarifa mazuri sana🙏💯
@upendokiza6061
@upendokiza6061 6 ай бұрын
Mungu akubariki Sana kaka Joel kwa atua hiyo ya Kuto kulala kwa ajili ya sisi Jamii.
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 6 ай бұрын
Ahsante sana kwa maarifa makubwa
@winfridamwigilwa2107
@winfridamwigilwa2107 6 ай бұрын
Mungu akubariki kaka angu
@rosadamassawe8019
@rosadamassawe8019 6 ай бұрын
Mungu akubariki kaka Joel, kuna mahali navuka.
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 3 ай бұрын
Asante sana coach Joel nimejifunza kitu
@upendokiza6061
@upendokiza6061 6 ай бұрын
Asante Sana kaka joel, hapa USA kwenye Jimbo la OHIO, ninakupata vizuru nikweli kaka kutoka kwenye UTUMWA inaomba atuwa kubwa Sana kweli.
@heavenlight5084
@heavenlight5084 6 ай бұрын
Asante kaka Joel, Ni maombi yangu kwa MUNGU nitoke kwenye utumwa huu jamani.
@janetmbwana553
@janetmbwana553 6 ай бұрын
Shukran sana 🙏🙏
@onesmoalphonce3676
@onesmoalphonce3676 6 ай бұрын
Mungu akusaidie uwe wa kwanza kufanyia application ya elimu hio
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 6 ай бұрын
Asante studio
@avitus-thobias
@avitus-thobias 6 ай бұрын
Ahsante sana, Mungu akubariki sana, kwa kweli nimesaidika sana
@carolinekalume934
@carolinekalume934 6 ай бұрын
Thank you Joel! God bless you.
@SamwelInnocent
@SamwelInnocent 6 ай бұрын
Blessed
@dorahmatitu2554
@dorahmatitu2554 6 ай бұрын
Shukran sana Kaka!!! Mungu akubariki sana .
@petermponzi411
@petermponzi411 6 ай бұрын
Asante sana kwa ujumbe Ndugu Joel.
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 6 ай бұрын
Ameeen
@songweairport7602
@songweairport7602 6 ай бұрын
SIR JOEL
@madamrachel793
@madamrachel793 6 ай бұрын
Asante sana kaka Joel
@IRINE-k8q
@IRINE-k8q 6 ай бұрын
Asate sana
@ImmaMassawee
@ImmaMassawee 6 ай бұрын
Asante kaka, barikiwaa
@ElizabethAron-n3s
@ElizabethAron-n3s 6 ай бұрын
Asante ubarikiwe sana kaka
@RichardMgaya-g8m
@RichardMgaya-g8m 6 ай бұрын
Nashukuru Sana kaka joel
@veronicamwautenga7394
@veronicamwautenga7394 6 ай бұрын
Thanks somo xur
@zedhabari8140
@zedhabari8140 6 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@FaustineEdward-y2p
@FaustineEdward-y2p 6 ай бұрын
Shukran kaka
@andrew0502
@andrew0502 6 ай бұрын
Huyu mwamba yuko njema sana,but naomba nijibiwe hivi hawa motivational speakers huwa wamesomea vitu wanavyoongea ama huwa kuna fulani wanaoijua wao ya kutafuta contents + talents zao. Maana sifikirii km kuna kozi za kusomea chuoni hivi vitu wanavyoongeaga na si rahic kupata content za namna hii kwa namna nyingine tofauti na kusikiliza wanachoongea ama kusoma vitabu vyao
@danielmayunga1162
@danielmayunga1162 6 ай бұрын
😅😅😅😅Ni Mungu tu. Ila ni wasomaji sana wa vitabu na hivi ndo vipaji vyao.
@beatricemwita4380
@beatricemwita4380 4 ай бұрын
Wanasoma vitabu sana maarifa mengi yapo kwenye vitabu lkn pia Joel alisomea kabisa life coach hivyo wamewekeza sana kwenye usomaji wa vitabu na wewe ukiwa msomaji utaongeza maarifa ya vitu vingi
@jacksontumaini9108
@jacksontumaini9108 6 ай бұрын
See you at the top JAN
@alexlucas1571
@alexlucas1571 6 ай бұрын
See you at the top2024🇹🇿
@MSHINDICLEMENCE
@MSHINDICLEMENCE 6 ай бұрын
Trueth na mm kumbe ni m2mwa ila natak kuchange maixha yangu
@jamesshirima33
@jamesshirima33 6 ай бұрын
Barikiwa sana bro
@YalucLileZairois1643
@YalucLileZairois1643 6 ай бұрын
Sasa nilitaka uliza ili unisaindiye kwa mawazo, kama mutu anataka kuku kandamiza kupiya wivu wake nju yako, sasa hio nayo nikuingizwa kwenye utumwa?
@LeilaMjaka
@LeilaMjaka 6 ай бұрын
Wivu kupitiliza pia Ni utumwa mzur tu.
@luganokalinga8106
@luganokalinga8106 6 ай бұрын
Utumwa ni mzigo😂
@rijecollection9741
@rijecollection9741 6 ай бұрын
😂
LIFE WISDOM: BUILDING YOUR ABILITIES FOR SUCCESS - JOEL NANAUKA
13:56
LIFE WISDOM : FANYA HAYA ILI USIISHIWE   JOEL NANAUKA
15:54
Joel Nanauka
Рет қаралды 13 М.
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 36 МЛН
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 30 МЛН
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 5 МЛН
LIFE WISDOM : VITU VINAVYOUA MAONO YAKO - JOEL NANAUKA
13:07
Joel Nanauka
Рет қаралды 7 М.
LIFE WISDOM: UFANYE NINI ILI WATU WAKUPENDE ZAIDI - JOEL NANAUKA
9:10
VITU VINAVYOUA UWEZO WAKO/JOEL NANAUKA
7:08
Godly voice family
Рет қаралды 9 М.
LIFE WISDOM : MAJIRA YA KUTENGANA NA WATU - JOEL NANAUKA
15:50
Joel Nanauka
Рет қаралды 19 М.
LIFE WISDOM : MAENEO 6 YA KUFANYIA MAAMUZI - JOEL NANAUKA
11:28
Joel Nanauka
Рет қаралды 18 М.
LIFE WISDOM : IJUE NGUVU ILIYOPO NDANI YAKO - JOEL NANAUKA
15:34
Joel Nanauka
Рет қаралды 19 М.
LIFE WISDOM : VITA YA MAPENZI  - JOEL NANAUKA
14:48
Joel Nanauka
Рет қаралды 19 М.
LIFE WISDOM : MADHARA YA KUWA NA KIBURI - JOEL NANAUKA
14:28
Joel Nanauka
Рет қаралды 10 М.
LIFE WISDOM : DALILI ZINAZOONESHA UKO KWENYE UTUMWA - JOEL NANAUKA
14:11