Mungu akulinde Rais wetu mzuri. Mi ni mzaliwa was Mara na kwa sasa nipo Loliondo Arusha kikazi. Nimetokwa na machozi kwa jinsi unavyotatua matatizo ya wananchi kwa moyo wako mmoja. Natamani ufike na nyumbani kwetu Wilayani SERENGETI. Mungu akulinde sana nami nazidi kukuombea.
@saidiomali33246 жыл бұрын
safi sana Rais wa wanyonge.
@saloummlaula65426 жыл бұрын
nakukubali sana mh.
@sebastianmgassa88046 жыл бұрын
Hahahaaaa nimecheka sana eti Magoma oyeeee!Mzee hongera kwa kazi nzuri ubarikiwe sana!
@sabrinaiboma24443 жыл бұрын
Huyu mtu alikufa mapema mnooo yaaan kulikuwa na respect kazini watu nidhamu kwa sana ....Magufuli wetu💔😭🇹🇿✍️💞😭💔
@bettykarume56193 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@habilicharles44106 жыл бұрын
Huyu rais aliletwa na mungu kwenye uongozi Tumshukuru mungu kwa hili
@florianmtunzi98993 жыл бұрын
Amina
@alexdogan60576 жыл бұрын
Huyu mzee ni hatare Sana,
@shajonahamad23306 жыл бұрын
MWENYEZI MUNGU akulinde Rais wetu JPM
@goodluckruben52126 жыл бұрын
hongera muheshimiwa tatizoo watendaji wakoo ndo wanakuangushaa ila uko vizurii sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaà
@saidkabelele63256 жыл бұрын
MHS, JPM, hakika kwa speed hii hata sisi unatupa ujasiri wa kupiga kazi, Hapa kazi tu
@saumuhassan63656 жыл бұрын
Wallah
@alexdogan60576 жыл бұрын
One love 🙌🙏
@lusese16 жыл бұрын
Ndio Mzee Babaaaaaaaaaa sema nao haoooooo
@olivabazololivabazol44796 жыл бұрын
Akuna kamawewe
@saumuhassan63656 жыл бұрын
Shukuruni Mungu mnaweza kujieleza, mngekoma leo 😂😝😜
@kiyabonjemu98856 жыл бұрын
You are good in deed our hon president, cjui tutapata tena mwingine kama wewe???
@leilainnocent65326 жыл бұрын
Tuombe Mwenyezi Mungu atupe Makonda baada ya Magufuli
@gracerosi61796 жыл бұрын
Nakupenda Sana unamtazamo mengi wanakuficha hili uwe unayackia kwawananchi
@amandamapunda62016 жыл бұрын
Mungu akupe Maisha marefu Rais wetu tunakupenda na kukujali
@juliusmakongoro47263 жыл бұрын
Mungu wangu umetuachia nn maana kaondoka mutu mwema
@michaelcanisius16156 жыл бұрын
big up my president sikukuchagua ila nakukubali sana uchaguz ujao asbh sana kura kwako
@fraviansweetberty88193 жыл бұрын
Lakuongea nawananchi ndo lilikuwa linakufanya upte kujua matatizo ya wananchiii nakutatua shida zao tutakukumbk baba
@jamilahkihange93916 жыл бұрын
Nilikupenda nakupenda na ntaendelea kukupenda raisi wangu Dr magufuli piga kazi baba wanaokupinga watajibeba
@samsonsamwel23886 жыл бұрын
mh. Rais magufuli hongera sana kwa uchapakazi wako, tupo pamoja na ww, njoo na Simiyu
@fatumahamisi70023 жыл бұрын
Jahaz
@heshimakibali14316 жыл бұрын
tukombowe mheshimiwa rais wetu mpendwa, mkoa wa mara tuko nyuma hasa barabara, mfano barabara ya Butiama kuja Serengeti hadi Arusha.. inasua sua sana.. sijui mkandarasi gani
@sabrinaiboma24443 жыл бұрын
Huyu mtu alikufa mapema mnooo yaaan kulikuwa na respect kazini watu nidham
@charleskaflela57476 жыл бұрын
Uko vizur mkuu bila uso wa kaz hakuna kinacho endelea, chapa kazi
@barakachelango16952 жыл бұрын
Duu chema hakika hakidumu pumzika kwa amani Magu
@hassanhabibu6356 жыл бұрын
Yupo bungeni ester bulaya nadhani
@allymliloh17606 жыл бұрын
Niko UK napata furaha sana ninapoona Nchi yetu Tanzanian imepata Rais mchapa kazi
@BidayoTV6 жыл бұрын
Kweli hapa kazi tu, piga kazi mzee wetu tunakuamini mia mia!!!
@hamisaserega14396 жыл бұрын
Piga kazi mweshimiwa rais
@machelengamachelengafatuma68626 жыл бұрын
Unakieleeleeeee
@gillbertmapesa46036 жыл бұрын
Mheshimiwa Rais tunaomba uje mikoa ya nyanda za juu kusini ikiwemo Songwe na Mbeya wananchi kero chungu mzima.
@raageabdi31236 жыл бұрын
Tatizo la global Tv channel Yao ya Yutube ina adversity zaidi milioni 346.2
@hassangaudence18146 жыл бұрын
Sasa hawa wananchi wanazomea nini
@fraviansweetberty88193 жыл бұрын
Nimemic sana maswaliii yakooo jamniiiiiiii kwann mrad wa maji haujakamilikaaaa dah!!!! Nalia mwenyew tuuuu