Mke ndio Daktari namba moja wa Mume

  Рет қаралды 131,962

Kalamutz

Kalamutz

Күн бұрын

Sehemu ya nne ya Darasa la Ndoa na Ukht Fatma Mdidi

Пікірлер: 161
@maryambadru5381
@maryambadru5381 4 ай бұрын
Mashallah Allah atupe mapenzi na huruma ndani ya ndowazetu
@khadijahhamisi1882
@khadijahhamisi1882 Жыл бұрын
Japo hatuko wanandoa ila napenda sana mawaidha yako dadangu twajifunza mengi kutoka kwako inshaallah mungu atuajalie tune wenye kuzingatia kwa uwezo wa mungu
@زينبتنزانيا
@زينبتنزانيا Жыл бұрын
Mashallah Allah somo nzuri
@shangwefaida8470
@shangwefaida8470 Жыл бұрын
MashaAllah dada MUNGU akubariki nimependa madrassa Yako n'a nimekuelea saaaaaaana tu hâta mm napenda sana utulivu n'a penda maisha yenye kutulia Jo mana Huwa najitahidi kujenga amani ndani ya ndoa Yangu
@ggohf7004
@ggohf7004 Жыл бұрын
🤗👏safi sana mashaallah ujumbe umefika habar ziwafikia wanandoa ....Allah Skype umri mrefu mwenye khr na ww ili uzidi kutuzindua tunaopunza ndoa tukawa tunaishi kimazoea .
@isakaangero7924
@isakaangero7924 Жыл бұрын
Nakushukuru sana Endelakufundisha wakezetuwajuewajibu wao katika ndoa miminimependasana nashaulikiramtu afuatiliemasomoyako munguakupemaisha
@AmatySauda
@AmatySauda Жыл бұрын
Mmng Atujaalie wenye kusikia na kufuata. Jazaakillaahul kheyr Ukhty Mwema
@nasriwaziri1346
@nasriwaziri1346 9 ай бұрын
mashaallah ukhti nakuhitaji kibugumo una mawaiza maxuli sana allah akuhifazi
@NuruZubeir
@NuruZubeir 8 ай бұрын
Shukraan sanaaa ustadha nmejifunza mengi na haya nasaha alhamdulillah
@hamidasaid2544
@hamidasaid2544 Ай бұрын
Ma Shaa Allah Muhadhara mzuri sana
@mwajumajumasaidi4058
@mwajumajumasaidi4058 Жыл бұрын
Mashaallah Allah akuzdishie elimu uzidi kutuelekeza🥰🥰
@hamisamaundi5661
@hamisamaundi5661 Жыл бұрын
MashaALLAH mwenyezi mungu akujalie kheri
@AbdullahAlZaabi-on4tb
@AbdullahAlZaabi-on4tb 7 ай бұрын
Maashaallah.Allah.akulipe.kila.la.kheri
@borahhassan35
@borahhassan35 Жыл бұрын
Shukran sana kwa kutukumbusha maana wengi tunachukulia ndoa mazoea.asante kunisaidia kuboresha ndoa yangu.ALLAH AKULIPE HERI
@piliramadan875
@piliramadan875 Жыл бұрын
Asante sana dadate wangu kwa ukumbusho wako wa ndoa
@khadijahhamisi1882
@khadijahhamisi1882 Жыл бұрын
Mashaallah fathima asante sana kwa dhaawa hiyo inshaallah twaomba tuwenye kuyasikiliza na kuyafata kwa uwezo wa Allaah
@aminaally5436
@aminaally5436 Жыл бұрын
Aaamin yaarab
@salimhamid370
@salimhamid370 Жыл бұрын
Mashallah Mashallah jaza yako kwa allah ustadha
@jumanamala1326
@jumanamala1326 Жыл бұрын
Hongr dada kwa maada zuri swadakt allah akurehema
@aliyukishombo4800
@aliyukishombo4800 Жыл бұрын
MAASHA ALLAH, MAWAIDHA MAZURI AHSANTE UKHUTY KWA SOMO ZURI
@BatuliMaaoud-bg2yu
@BatuliMaaoud-bg2yu 6 ай бұрын
Mashaallah ukhut
@salmasaid7112
@salmasaid7112 Жыл бұрын
Maa shaa Allah jazakallahu kheyr Wanawake madini adhwimu
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 Жыл бұрын
MashaAllah barakallah fiik ukhty fatma 🧡🙏😍🥰🌹🌹
@kilimaentertainment1687
@kilimaentertainment1687 10 ай бұрын
Napenda sana mawaidha yako
@ayirwandafadhil2214
@ayirwandafadhil2214 Жыл бұрын
Masha Allah Mwenyezi Mungu akuzidishie
@taturamadhan5940
@taturamadhan5940 Жыл бұрын
Wanaumme ndo wameambiwa wao ndo watuhurumie na watuvumilie tumeubwa tukiwa wadhaifu mwanamme, wao ndo wasimamizi wakijitambua wanaumme wajibu wao,, wanawake ni laini sanna kutekeleza kimaumbile.
@eastafricaqualitychickenfa9916
@eastafricaqualitychickenfa9916 6 ай бұрын
Hamna lolote ata mkipata uyo mwanaume anojitambuwa hakuna kitu ni washenzi washenzi tu nyinyi mbwa
@MbaroukAbdallah-k8h
@MbaroukAbdallah-k8h 6 ай бұрын
ALLAH AKULIPE KHYR UKHTY
@nurdinamanzi177
@nurdinamanzi177 Жыл бұрын
Mashallah Allah s.w akulipe Kila la kher umepita kwenyewe
@BiubwaAljahadhmy
@BiubwaAljahadhmy 7 ай бұрын
Mashaallah tabarak rrahman
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 Жыл бұрын
Ww mwanamke w shoka w kiislamu Allah akuzawadie ucha mungu
@saidahassan3126
@saidahassan3126 Жыл бұрын
Mashaallah TABARAKALLAH kimeeleweka🥰
@zainabuibrahim8565
@zainabuibrahim8565 Жыл бұрын
Mashaallah Jazaakillahu khaira Shehat
@janembuma7868
@janembuma7868 Жыл бұрын
Hongera Mama kwa mafunzo mazuri sana,nakuelewa
@rallyscosmeticandgasaccess4839
@rallyscosmeticandgasaccess4839 Жыл бұрын
Kweli kweli 🧡❤💜 i love your class ,Mwenyezi Mungu akulinde na afya insha allah
@zayumar2955
@zayumar2955 Жыл бұрын
Jazzakallah Khair 💜❤️🌹🌹
@aash4145
@aash4145 Жыл бұрын
Sahihiiii mume kwanza,,, ❤️🌹wageni baadae
@yahyasuleiman6969
@yahyasuleiman6969 Жыл бұрын
Ma sha Allah Baraka Allah
@faridaabdi1960
@faridaabdi1960 Жыл бұрын
Mashaallah Allah akupe umri uendelee kutupa mafunzo nakuelewa vizuri
@hasnashaibu3009
@hasnashaibu3009 Жыл бұрын
ما شاء الله . بارك الله فيك وجزاك الله خير ❤️
@mussamanyara9467
@mussamanyara9467 Жыл бұрын
Anta kadhalka
@a.856
@a.856 Жыл бұрын
Jazakallah khayran
@FatumaBakari-c4m
@FatumaBakari-c4m 6 ай бұрын
Mashaallah tabaraqallah
@zamzamthwah4439
@zamzamthwah4439 4 ай бұрын
Mashaallah
@semkiwamganga4405
@semkiwamganga4405 Жыл бұрын
From Mombasa Kenya..ujumbe umefika
@kombogambare3574
@kombogambare3574 Жыл бұрын
Mkenya halisi mtoka mkoa wa Pwani, kusini mwake,Kwale county nikiwa nchini DUBAI,Hongera Dadangu kwa mafunzo yako nilifurahishwa na ulipo toa Maana ya mwanamke wa ndoa wakati gani anaryhusiwa kuvaa kikuku na ulipo kitolea mfano henzi za mtume
@aishadotto3640
@aishadotto3640 Жыл бұрын
Yaa Rabb nijaariye mume mbora ambaye tutaesikilizana na kupata utilivu wa mioyo yetu 🤲
@mohamedamour2735
@mohamedamour2735 Жыл бұрын
Amiina
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Amiin
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Mimi pia
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn Жыл бұрын
Amina insha allah mungu atubariki
@suleimandenis9090
@suleimandenis9090 Жыл бұрын
Nakupenda sana dada angu mungu akulipe akhera
@asilasaid6230
@asilasaid6230 Жыл бұрын
Mashaalwahu tabarakarahmani alwaukuzidishie Elmu
@sadasaid7212
@sadasaid7212 Жыл бұрын
MAA shaa Allah..naomba kuelekezwa lilipo hili darsa niwe nahudhuriq in Shaa Allah
@kalamuMedia
@kalamuMedia Жыл бұрын
Sehemu ya tano na ya mwisho imefanyika wiki ilopita Masjid el dawael Ilala
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 Жыл бұрын
@@kalamuMedia mtaa gn na hamdumish darsa mfno sehm rasm iv za wamama w kiislamu
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 Жыл бұрын
@@kalamuMedia ?
@fathefirst1935
@fathefirst1935 Жыл бұрын
Darsa linahamahama. Ila mara nyingi ni Kigamboni. Ila lipo darsa lake online WhatsApp kila siku.
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 Жыл бұрын
@@fathefirst1935 inshaallh
@maryamsalim3233
@maryamsalim3233 Жыл бұрын
Masha allah dada mm nataka nipate darasa zako kiila siku
@uwaniabu2238
@uwaniabu2238 Жыл бұрын
MashaAllah barakaAllah
@fatmasheealo9573
@fatmasheealo9573 Жыл бұрын
Mashaallah kabisa
@piliramadan875
@piliramadan875 Жыл бұрын
Mashaallah mashaallah
@hasanimavula306
@hasanimavula306 Жыл бұрын
Naomba ujengewe sanamu paleeee...
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 Жыл бұрын
Tuwe na fikra sahih
@hamidasaid2544
@hamidasaid2544 Ай бұрын
Wanaume wengine hawatowe haki yamwanamke hata moja utaishi nae vipi,
@abubakaralimohammed3388
@abubakaralimohammed3388 Жыл бұрын
Shukran kwa Elmu.
@AzizaNzovu
@AzizaNzovu 8 ай бұрын
Nampenda uyu bibi.
@ibrahimomar6999
@ibrahimomar6999 Жыл бұрын
Shukran kwa mafunzo haya Allah akupe shifa
@anduldullaomy3817
@anduldullaomy3817 Жыл бұрын
Masha allah
@jumaomary200
@jumaomary200 7 ай бұрын
@fadhilimollel6295
@fadhilimollel6295 Жыл бұрын
Katika eneo hili kwakweli Mwenyanzi Mungu amekuchagua uifanye kazi hii,Kama mtu hataelewa mafundisho haya,kaaaamwe hata mafunzo gani yatolewe hataelewa.
@chikujuma18
@chikujuma18 Жыл бұрын
Mashallah mola akuzidishie akupe afya njema uzidi kufundisha zaidi ya hapo
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 Жыл бұрын
Niko kenya, nilikumbatia haqi, kuamini nuru ya uislam,
@khadijashuvaleyusuf4728
@khadijashuvaleyusuf4728 Жыл бұрын
@@chikujuma18is 4rrYakina
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 Жыл бұрын
Allah atuaafikishe ktk anoyapenda na anoyaridhia
@mussamanyara9467
@mussamanyara9467 Жыл бұрын
Mawaidha mazur uloo nayo maasha allah nadhan ulookua nayo ana baraka kubwa maasha allah.
@reemareemo2698
@reemareemo2698 Жыл бұрын
Dada nakupenda kutoka moyoni mnoo
@mirhossin2693
@mirhossin2693 Жыл бұрын
Masha'allah Alahuu Akbaar
@salmamohamedi2075
@salmamohamedi2075 Жыл бұрын
Maxhaalah nakupenda ukhty fatma❤❤❤❤
@husnahusna2455
@husnahusna2455 Жыл бұрын
Mashaallah Maneno ya dhahabu
@AmiriRamadhaniMabewa
@AmiriRamadhaniMabewa 8 ай бұрын
Mawaidha swadakta
@hsduud5517
@hsduud5517 Жыл бұрын
Hi.too
@AishaNayimana-pp2pu
@AishaNayimana-pp2pu 10 ай бұрын
Ila ninaswala Moja hapo wanatofautiyana. Ikiwa mtoto. Anakubaliwa n'a baba n'a mama hawakumkataa mtoto hapo ndoa inakuwa ukty jaaribu kuwa unafatiliya Sawa sawa
@suleimandenis9090
@suleimandenis9090 Жыл бұрын
Dada unapatikana wapi? Dada uko wapi mimi nipo tabora nahitaji niwe na darasa kama unaweza kunifundisha nataka nice unipolar au wewe uje dada
@wardalwena5846
@wardalwena5846 Жыл бұрын
Huyu Ukhty angeanzisha ONLINE TV ya kwake mwenyew ingekua jambo bora Sana ni wazo tu lakin
@abdulkarimyusuf5506
@abdulkarimyusuf5506 Жыл бұрын
Allah akujazi kheri tele,akuongezee wingi wa ujuzi,na akupe umri mrefu ili izidi kutufunza
@mwinyimvuaomari5616
@mwinyimvuaomari5616 Жыл бұрын
Maashaa'allah tuipende dini yetu tukufu kwani imesheheni kila kitu chenye maslahi na wanaadam Asante sana ukhti kwa kutufundia hao wanawake wasiejielewa baadhi yao allah atuwafikishe sote kupata msamaha wake
@khadijaabdalla5937
@khadijaabdalla5937 Жыл бұрын
Alhadulillah tumejifunza ila ni vizur hata zikarushwa tuu sauti zenu tuu ma ukht ili kuelimisha jamii kuliko kudhihirsha sura zenu wazi wazi ktk mitandao kunawengine wanamaradhi humu wakiona sura +sauti wanaharibikiwa njiani ndo tukaambiwa mwanamke ni stara ila sautii tuu huwez kujua huyu Nani na yukoje hapo kwa screen weakening hata pacha inayojulisha elim inatosha.
@salafiyawomen5443
@salafiyawomen5443 Жыл бұрын
umesema kweli habbty.
@SophiaTaliani
@SophiaTaliani 2 ай бұрын
Ki ukwl hawa wanaume ht uwatendee jema lipi hawaridhiki na hawana fadhila kabisa msituseme tu wanawake ht wanaume wengi wao si waadili tena wao ndio wanachangia wanawake kuwehuka
@shakuruisaac8384
@shakuruisaac8384 Жыл бұрын
🎉❤ huyu ajengewe sanamu posta❤❤
@rqiyaabdallah840
@rqiyaabdallah840 Жыл бұрын
🤝
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 Жыл бұрын
Pole sana ktk dini ya kiislamu ilo Ni haraam
@ZulehaChampunga
@ZulehaChampunga Жыл бұрын
Assalamu alaikum,mwenye namb ya ukhty naomba jaman pls
@ashamjeni292
@ashamjeni292 Жыл бұрын
Mashallah ❤❤
@aminangalunda8348
@aminangalunda8348 Жыл бұрын
jaman madam kama nakuona vle ulvyokuwa unatufundisha kigambon Islamic club
@amanikayagwa6883
@amanikayagwa6883 Жыл бұрын
Allah akulipe kila laheri
@mifunga3414
@mifunga3414 Жыл бұрын
Mashallah
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Жыл бұрын
Sheikhat Mungu akujalie pia man isikua mawaiza kwetu kumbe shemej anapiga deki
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 Жыл бұрын
Usiwe jaahil
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 Жыл бұрын
Ewe mola wetu tuepushe na kua na watu majjaahil
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 Жыл бұрын
Amin
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Жыл бұрын
@@chonghoswe6255 kwan kumuombea dua Mungu amjaalie ni ujahili ndugu yangu. Au yeye kakamilika.. wangap wanasema LAA TAKRABU ZINAA alafu wana vimada. Sote tunatakiwa tuombeane kuepushwa na shari. Iblisi mwenyew alikua shekhe na hakuna shehe anamfikia kwa ELIMU mban kaasi. Ebo
@mlangaliromwenda6945
@mlangaliromwenda6945 Жыл бұрын
Kiukweli wewe nimwalimu bora wandowa zaidi hizi za kisasa. 🎉🎉
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 Жыл бұрын
Nilianza kuona clip zako mpaka leo nimekupata hapa nimefurahi nakupenda dada
@kalamuMedia
@kalamuMedia Жыл бұрын
Umefika nyumbani kwake,twakuletea mkeka uketi
@mussanangumi1734
@mussanangumi1734 Жыл бұрын
As/Aleykum mimi naomba ushauli mnisaidie Nina mke wangu hataki kunisikiliza nimejalibu kufanya kila Hali na Mali lakini bado Amani haipo mpaka sasa hivi imefikia hata salam namimi hataki lakini kitu kikubwa ninacho kiona ni baada ya kupata kibanda tu ndio kaanza kunibadilikia mpaka sasa hivi mimi nipo Oman 🇴🇲 nanilisha Wai kujanae uku lakini safari hii kakataa
@aminajuma4743
@aminajuma4743 Жыл бұрын
Mtafute huyo dada nenda page yao ya Instagram page yao inaitwa kalamutz hapo ikiomba namba zao ukaonyesha nia ya msaada wa ushauri Nina iman watakusaidia uweze kumpata huyu dada
@aminabashir1167
@aminabashir1167 Жыл бұрын
Shukran dada angu
@ahmadajafari2569
@ahmadajafari2569 Жыл бұрын
mashallha
@sikudhaniabdallah2631
@sikudhaniabdallah2631 Жыл бұрын
Dada
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 Жыл бұрын
Maasha Allah
@ahmadajafari2569
@ahmadajafari2569 Жыл бұрын
❤❤
@jeannettemurekerisoni1488
@jeannettemurekerisoni1488 Жыл бұрын
Mashallah sijaolewa lakini napenda san darsa zako zinanifunza gisi nitakavoishi maisha yang k dini
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 Жыл бұрын
Allah akupe subra y kukaa ktk vikao vya kher km iv na akup mume mwema
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 Жыл бұрын
Aamin
@abdulrahimsalim5333
@abdulrahimsalim5333 Жыл бұрын
Dada angu kama wanawake wangalikuwa kama hivyo tungalikuwa tunaishi peponi wakat tupo duniani
@kalamuMedia
@kalamuMedia Жыл бұрын
Elimu ni muhimu sana Akhi.Msomeshe Dini binti yako aijui vyema.Ataishi haya maisha unayoyaita ya peponi
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 Жыл бұрын
@@kalamuMedia hili sahihi tunaekeza ktk kuwasomesha sekula tuuu dini twaipga teke kw hofia maisha msibaa huu
@zaitunsalim1996
@zaitunsalim1996 Жыл бұрын
Mafunzo night mazuri ila ustadha Fatma mwanamke haifai kujianika mtandaoni hata bila niqab, dars zitolewe haswa lkn kilicho bora usichukuliwe na vedeo ukhty wangu hii ni tabarruj almuharram Ni vizuri maakhawaaty wahudhurie dars wafaidike lkn sio wewe kisambazwa kila kona mpaka KZbin bila hata niqab معذرة لاكن من باب الذكرى
@shabanimussa4269
@shabanimussa4269 2 ай бұрын
wewe unakaa wapi wewe? umesoma wapi hayo bidaa wewe tulia kwaza
@ummuhkhalfan5542
@ummuhkhalfan5542 Жыл бұрын
Assalm alaykm da Fatma nna shida na namba yako dada
@al-hidayahonlinetv3447
@al-hidayahonlinetv3447 Жыл бұрын
ahsant
@ramadhansalimu8164
@ramadhansalimu8164 Жыл бұрын
Allah akulipe kher
@mwanakonyaume3611
@mwanakonyaume3611 Жыл бұрын
Wanaume ni vicheche utanga tanga mwisho mwisho yakaisha wakarudia bibi zao
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Duu
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 Жыл бұрын
Kuna mambo wazee/jamii inahitaji kuyarekebisha kwenye malezi ya wtto wa kiume tangu wadogo ili kwenye ndoa zao wapate nusura bila ya hivyo dhambi za uzinifu hazitomuacha mtu. Mtto wa kiume analelewa kwenye uchafu huku jamii ikiona ni swa....vp ndoa itakua na amani kwake????
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Жыл бұрын
Dimoso wa kike Mashallah from morogoro but now iam in America . ❤❤❤
@kalamuMedia
@kalamuMedia Жыл бұрын
Dimoso wa kike ndo nini Akhi
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 Жыл бұрын
Kabisa 😊😊
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Nichukuwe nije America
@khamismussa5450
@khamismussa5450 Жыл бұрын
Vizur
@suleimandenis9090
@suleimandenis9090 Жыл бұрын
Nakupenda sana dada
@kuruthumuhamisi7161
@kuruthumuhamisi7161 Жыл бұрын
Umenena tunaishi tu
@jumarimo785
@jumarimo785 Жыл бұрын
Mashallah.Mawaidha kuntu kabisa.
@maryamsalim3233
@maryamsalim3233 Жыл бұрын
Unatupa mafunzo mazuri
@mariammbaruku782
@mariammbaruku782 Жыл бұрын
MashaLLAH
@SalumuMnzava
@SalumuMnzava 16 күн бұрын
Madamu ukowap
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 Жыл бұрын
Siku hzi w'me waliowengi wanataka wake wenye kufanya kazi ili wasaidiwe majukumu. Ssa nambie...mke karudi kazini au katoka kuhangaika na mabiashara yake kachoka km alivyochoka mume na km stress za kazi nayy anazo km alizokua nazo mume....kweli atakua na mda wakukaa jikoni kumpikia mumewe???
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 Жыл бұрын
Na ndio unakuta ndoa za siku hzi mitihani hakuna daktari wala nasi kila mmoja mgonjwa kwa sbbu w'me waliowengi hawajui nn maana ya ndoa. Wao huona ndoa ni kupata m'ke wakugawiana majukumu ambayo yy pekee hayawezi.
@ramadhanhaji2175
@ramadhanhaji2175 Жыл бұрын
Ukhty vp apo mwanake hatakiwi adhihirishe mapambo yke sasa ww tunakuona ktk vidole vyako umepaka hina hiyo ipo sahihi
Sifa 8 za mke mwema katika Uislamu - Ukht Fatma Mdidi
45:43
Kalamutz
Рет қаралды 56 М.
KISA CHA TAJIRI MZEE HAJAWAHI KUFANYA IBADA // SHEIKH OTHMAN MAALIM
29:51
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Кушать Хочу
Рет қаралды 3,9 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 223 М.
HILI NDIO LILILOWAFELISHA WENGI KATIKA NDOA ZAO
35:26
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 10 М.
KAMA USHAAWAHI SALITIWA NA MUME AU MKE DAWA YAKE SIKILIZA HII
31:50
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 582 М.
#KANUNI SABA ZAKUIFANYA NDOA YAKO IWE NA FURAHAPR.DAVID MMBAGA
35:53
Kwenye Ndoa ni Afadhali mgombane kuliko kuigiza, Hamtodumu
19:24
Madam Leila Abubakar
Рет қаралды 8 М.
UAMINIFU NIKATIKA FUNGUO ZA RIZKI / SHEIKH HASSAN AHMED
36:11
FADHAKKIR CHANNEL
Рет қаралды 60 М.
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47