Kanuni Muhimu Za Fedha - Joel Nanauka

  Рет қаралды 21,446

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

Пікірлер: 99
@victorchiwai8831
@victorchiwai8831 Жыл бұрын
Hakuna hata Moja nimewai zingatia japo nashukuru ukurasa wako umenielimisha Tena sana
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 3 ай бұрын
Hakuna...hta..moja..nilio kua nikifatilia.. lakini..kwa..Sasa..toka.. nianze kukufatilia br... nashukur sana... naona madiliko.. asante sana coach Joel 🙏🙏
@_.sheisherself._
@_.sheisherself._ 2 жыл бұрын
Namahukuru mungu uu mwaja kanuni namba 2 nimeiwwza ila ii tatu 😒🤗
@pendocharles6370
@pendocharles6370 3 жыл бұрын
Yaani umenisaidia sana , nimepata kitu kinachoenda kubadili maisha yangu
@cellislove609
@cellislove609 3 жыл бұрын
cjutii kuku follow tangu nianze kukusikiliza nimebadilika sana kwaving sana mungu akubariki kwakunifikisha nilipo
@charlesshikoye5545
@charlesshikoye5545 3 жыл бұрын
Asante Sana kaka barikiwa🙏🙏
@jamalkhedira2398
@jamalkhedira2398 2 жыл бұрын
Asante sana...umenifunza kitu leo
@yonambughi2940
@yonambughi2940 3 жыл бұрын
Kanuni ya tatu imekuwa ngumu sana mm kuitekeleza
@joelinko6632
@joelinko6632 2 жыл бұрын
Wajina unaakili sana
@obadiachristopher3723
@obadiachristopher3723 3 жыл бұрын
Mm ninashidwa hiyo tatu napata shida sanaa ila asante
@ahmaditwaha1300
@ahmaditwaha1300 2 жыл бұрын
Matumiz kuongezeka zaidi kuliko kipato
@kastobenjamin7889
@kastobenjamin7889 3 жыл бұрын
nashndwa kutunza akiba khabsa kwasababu naroho ya huruma kwa watu wang wa karibu
@noelpeter2130
@noelpeter2130 3 жыл бұрын
Hiyo ya tatu ndio inanishinda sana
@deogratuskapunga6450
@deogratuskapunga6450 2 жыл бұрын
Nimeanza kuku fatilia kaka najifunza vituy ving
@immajuzo2440
@immajuzo2440 3 жыл бұрын
Shujaaa unatupa madini kila siku ubalikiwe sana
@hassanmeshack4940
@hassanmeshack4940 3 жыл бұрын
Daaaaah, shukurn snaaa. Kanunu 2 and 3. Nimezielewa snaa n huwa naziishi ktk maisha ilaa ss sema napokuwa naon matumiz y kila siku yamezid nakuw mpole.
@patrickButaman
@patrickButaman Ай бұрын
Sanks bro kazi yako njema sana
@tijaramakame6489
@tijaramakame6489 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka kwa huduma yako,mimi nilishajaribu 2 na 3 nimeshindwa plz nisaidie
@saluma7516
@saluma7516 3 жыл бұрын
Kanuni no tatu mm inanisumbuwa itabidi unisaidie
@mariamfrank9795
@mariamfrank9795 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@victorchiwai8831
@victorchiwai8831 Жыл бұрын
Santa Kwa ushauri wako (Nairobi)
@muhsinsalum4974
@muhsinsalum4974 3 жыл бұрын
Kanuni ya kwanza na ya tatu
@jameskimaro2915
@jameskimaro2915 3 жыл бұрын
Kanuni ya pili mkuu nimeipenda Sana.
@medsonstarlon0805
@medsonstarlon0805 3 жыл бұрын
Shukrani kwa elim hi Kaka
@godfreyhaule8331
@godfreyhaule8331 2 жыл бұрын
Kanuni ya 3 kwangu ni mtihani
@peterjanuary7972
@peterjanuary7972 2 жыл бұрын
Naaam 👏👏👏👏
@online1653
@online1653 3 жыл бұрын
Kuongeza matumiizi kutokana na kipato. Hapo nimepaelewa sana sanaaaa
@nelsonishengoma9548
@nelsonishengoma9548 2 жыл бұрын
Kanuni ya 2 nilikuwa sizingatii kabisa
@bernadette6266
@bernadette6266 3 жыл бұрын
Asante Sana Mungu akubariki
@peterprimy2011
@peterprimy2011 Жыл бұрын
Kanuni ya tatu
@felixjoachim9482
@felixjoachim9482 3 жыл бұрын
Kaka joel yani toka jana mpaka leo nakaa naludia ludia hii clip na kila ninapoludia nasikiliza kanuni ya kwanza tu ya passion, aisee kwenye passion nateseka sana na sio kwanda sijui passion yang nn apn najua fika kitu ninachokipenda ila kinanipa wakati mgum kukiishi kutokana na changamoto silizomo kwenye iyo passion yangu, naomba unisaidie kaka joel nifanyeje?
@jangamefilms
@jangamefilms 3 жыл бұрын
Pole sana. Amini juu ya uwezo wako.
@deviijackii1293
@deviijackii1293 3 жыл бұрын
Mm nkifatiliaga speach zako najiona mbali san
@benjaminkaizer2365
@benjaminkaizer2365 3 жыл бұрын
Kanuni ya pili ndo imekuwa changamoto kaka yaan napata mshahara but mpaka tarehe najikuta sina kitu
@priscardanier8264
@priscardanier8264 11 ай бұрын
Kwanzia leo ntajitahidi kutumia kanunu ya 2
@manenolugendo6396
@manenolugendo6396 3 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana
@MoshiroCatherine
@MoshiroCatherine 3 жыл бұрын
Kanuni namba tatu iko njemaa mno nitabadilika
@venajah3033
@venajah3033 2 жыл бұрын
Asant kaka nimekuelew
@melodyanne3249
@melodyanne3249 3 жыл бұрын
I'm here taking notes
@SalumMdumla
@SalumMdumla 4 ай бұрын
Kanunu ya tatu hiyo ni changamoti
@masasijunior1701
@masasijunior1701 3 жыл бұрын
Hili swala la passion naona sio kweli maana wakati mwingine unatakiwa ufanye usichokipenda ili ufikie malengo yako
@joshuapeter312
@joshuapeter312 3 жыл бұрын
Pamoja sana mkuu ila sasa darasa linaingia vizur muda ndio umetubania mwalimu
@bensonjohn5400
@bensonjohn5400 2 жыл бұрын
Je Unacho Kitabu Cha Maelekezo Ya Kifedha
@richardbahati4095
@richardbahati4095 3 жыл бұрын
Kanuni zote hizo Mimi kwangu zinanisumbuwa sana kaka
@jovinmutakumwa9611
@jovinmutakumwa9611 3 жыл бұрын
Ya kwanza kiukweli Nipo Hapo Brother Mungu mwema sana anazidi kutuongoza
@nestarmtewele4730
@nestarmtewele4730 3 жыл бұрын
Ahsante kwa SoMo zuri. Me huwa siwezi kuweka akiba ya asilimia kumi
@godlovemakule8151
@godlovemakule8151 3 жыл бұрын
Nashukuru kwa ushauri kaka, mimi kanuni namba tatu imenigusa naona nilikuwa kipato changu kinakuwa sawa na matumizi naomba msaada kwa hili
@kelvinpeter5661
@kelvinpeter5661 3 жыл бұрын
see you at the top
@dannymajaliwa5663
@dannymajaliwa5663 3 жыл бұрын
Dah hiyo kanuni ya 2 na ya 3 ni tatizo Sana aisee
@Senetalkim
@Senetalkim 3 жыл бұрын
Broo nakupataje
@AliMohamed-wp1op
@AliMohamed-wp1op 3 жыл бұрын
Bright Ideas👍
@samsonhaule3647
@samsonhaule3647 3 жыл бұрын
Mie huwa nafeli Sana, kwenye matumizi, Natumia kiasi kikubwa cha pesa.
@petersamson4834
@petersamson4834 3 жыл бұрын
Passion
@fredymuhuro4540
@fredymuhuro4540 3 жыл бұрын
Kanuni ya pili na kanuni ya tatu zimekua tatizo sana kwangu kaka..
@abuuabuu9615
@abuuabuu9615 3 жыл бұрын
Joeli mbn ujaweka program yakusave video wengne hua tunataka hata tukiwa hatuna M B tunaangalia !BOSS
@user-fc7wz9ww2g
@user-fc7wz9ww2g 10 ай бұрын
Kamini ya kwanza mm no shida
@mussadionizi9418
@mussadionizi9418 3 жыл бұрын
Ahsante sana kaka your simply right
@peterprimy2011
@peterprimy2011 Жыл бұрын
Kanini ya tatu
@gmaemba22
@gmaemba22 3 жыл бұрын
Joel umenifungua macho nataka kuongea na wewe tuwasiliane please. Thank you my brother
@chachamwema6915
@chachamwema6915 3 жыл бұрын
Kwanuni inayonishinda mimi ni kuweka akiba
@dominionbiginga4170
@dominionbiginga4170 3 жыл бұрын
Be blessed, kanuni ya kuongeza matumizi
@barakantindiofficial9471
@barakantindiofficial9471 3 жыл бұрын
Asante kaka mim huwa nashindwa Ku blans matumiz mpaka najikuta natumia kidg kidgo mpaka inaisha
@raymondemily724
@raymondemily724 3 жыл бұрын
Thanks kaka Joel.. Am speechless # See you at the top
@felixjoachim9482
@felixjoachim9482 3 жыл бұрын
Nimekuelewa vzr sana kaka joel
@farajiajali3030
@farajiajali3030 3 жыл бұрын
See you at the top🤙
@floraemeeelias7840
@floraemeeelias7840 2 жыл бұрын
Ka. ya 3
@bifosiiddi5770
@bifosiiddi5770 3 жыл бұрын
Asante sana brother
@awardhakimu4777
@awardhakimu4777 3 жыл бұрын
Kubana matumizi kazi inahitaji uwe mzoefu sana
@plustzafromusic4908
@plustzafromusic4908 3 жыл бұрын
Kaka Joel Natafuta kazi nimesoma business administration pia ninajua sound engineering kurecord sauti na kufanya sound track za movie...mixing and mastering na kufanya matangazo kwa njia ya sauti
@charzysimion9055
@charzysimion9055 3 жыл бұрын
Kanuni ya 3 lakin Leo nimejifunza kitu bro thanks🙏
@daudilitei9274
@daudilitei9274 3 жыл бұрын
Je naweza kupata kitabu Cha money formula softcopy na je Kama ni tapata kitakua shilingi ngapi
@josephinenoah8559
@josephinenoah8559 3 жыл бұрын
Thank bro
@techniciantheprogrammer5513
@techniciantheprogrammer5513 Жыл бұрын
Thanks
@jaynekinanja68
@jaynekinanja68 Жыл бұрын
Nasave kila ninapopokea mshahara 30%
@ngutitimolell3077
@ngutitimolell3077 3 жыл бұрын
Changamoto yangu ipo kwenye kutenga ⅒ ya kipato changu
@bigsamtv937
@bigsamtv937 3 жыл бұрын
Wow
@patrickjm9909
@patrickjm9909 3 жыл бұрын
Saving
@salumselemani1059
@salumselemani1059 3 жыл бұрын
Shukran kaka
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 3 жыл бұрын
Asante sana
@iddikhamis3309
@iddikhamis3309 3 жыл бұрын
Hongera sana brooo kwa elimu yako
@eliaskamanda6934
@eliaskamanda6934 3 жыл бұрын
thank you so mch
@geofreylaurian2573
@geofreylaurian2573 3 жыл бұрын
Ya pili nimeielewaa sana
@samsonhaule3647
@samsonhaule3647 3 жыл бұрын
Kweli kabisa Brother.
@asternjulius890
@asternjulius890 3 жыл бұрын
Najiona mshindi hapo zote nazifuata
@letionnews310
@letionnews310 3 жыл бұрын
Nimejifunza kitu kaka
@georgeatanas7466
@georgeatanas7466 3 жыл бұрын
Perkins son law kuiishi dah, kutunza fedha nikaz ngumu ndio maana daily najifunza kwako
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 3 жыл бұрын
Elimu haina mipaka
@calvinknight8976
@calvinknight8976 3 жыл бұрын
Brother me kuweka akiba na matumizi makubwa imekua kipengele kwangu nisaidie bro
@abilityemmanuel3000
@abilityemmanuel3000 3 жыл бұрын
Pamoja joel
@inyasiinvestment18
@inyasiinvestment18 3 жыл бұрын
Somo zuri lakini hako ka mziki kanao sikika kanapoteza utulivu wa kusikiliza maneno mazuri tunaomba utoe ,sauti yako inatosha mwamba
@saluma7516
@saluma7516 3 жыл бұрын
Asante kiongozi
@michaelabisay85
@michaelabisay85 3 жыл бұрын
Nakupongeza kwa somo lako
@sarahout-fitchannel1011
@sarahout-fitchannel1011 3 жыл бұрын
Ya pili na ya tatu
@ibrahimhaule5683
@ibrahimhaule5683 3 жыл бұрын
I like you
@adambiko5314
@adambiko5314 Жыл бұрын
3
@mwanaidihassan5868
@mwanaidihassan5868 3 жыл бұрын
I put Tenth but when facing problem i used it all
@tengarashid4703
@tengarashid4703 3 жыл бұрын
Hahahaha mwisho wa siku akibaki kitu
@Sharifarajabudebe
@Sharifarajabudebe 3 жыл бұрын
Brother tuandali kitabu cha kupanga bajeti
@amosmwanga4027
@amosmwanga4027 3 жыл бұрын
2
AINA ZA VIPATO NA UHURU WA KIFEDHA - JOEL NANAUKA
8:04
Joel Nanauka
Рет қаралды 16 М.
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 39 МЛН
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 47 МЛН
Kanuni Za Matumizi Ya Fedha
1:11:23
Joel Nanauka
Рет қаралды 55 М.
Faida Zilizojificha Kwenye Maumivu - Joel Nanauka
6:48
Joel Nanauka
Рет қаралды 34 М.
Wajue Maadui 4 Kwenye Maisha Yako
7:49
Joel Nanauka
Рет қаралды 143 М.
AINA SABA(7) ZA WANAUME - JOEL NANAUKA
10:42
Joel Nanauka
Рет қаралды 11 М.
UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - JOEL NANAUKA
9:15
Joel Nanauka
Рет қаралды 209 М.
EPUKA MTAZAMO HUU - JOEL NANAUKA
17:21
Joel Nanauka
Рет қаралды 16 М.
Vitu Vinavyowakera  Wanawake - Joel Nanauka
8:50
Joel Nanauka
Рет қаралды 183 М.
LIFE WISDOM : FIKRA 4  ZINAZOWAFELISHA WATU  - JOEL NANAUKA
13:05
Joel Nanauka
Рет қаралды 7 М.
CHANGAMOTO YA ENEO LA FEDHA KWENYE NDOA/MAHUSIANO - JOEL NANAUKA
49:41
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН