Kanuni Nane (8) Za Kutumia Simu

  Рет қаралды 33,643

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 151
@marblelonertz
@marblelonertz 3 жыл бұрын
Now nimerud shule kitu cha kwanza naanza na mwalimu Joel Arthur nanauka Asante sana kiongozi now nazidi kuwa bora sana
@fasahaproductstv638
@fasahaproductstv638 3 жыл бұрын
Ungenigaia laki 1 asubuh hii ingeish mda mfup ila topic hii itabaki kuwa hazina kweny life yng na wengn (Thanks slots Nanauka)
@eliasmugume254
@eliasmugume254 3 жыл бұрын
Kwaupande Wangu ni zote kiukweli Na hii si kila mtu anaijuwa Kabisa Mungu Akubariki Sana
@breezyommy8336
@breezyommy8336 3 жыл бұрын
Kipindi hichi najifunza mambo mengi kupitia wewe Allah akubarik ✌❤
@yohanasimtenda748
@yohanasimtenda748 3 жыл бұрын
Hizi naweza kuziita busara au nikiendelea mbele zaidi hekima za kutumia simu. Asante sana brother 🙏🙏
@josej9888
@josej9888 Жыл бұрын
Nimejifunza kitu hapa! Ahsante
@breezonlinetv
@breezonlinetv 3 жыл бұрын
Asante Sana joel..... personal charting nimekutana nazo sanaaa........"Ooh nooo siuzi gari yangu chini ya milioni kimi"
@mussadismass9306
@mussadismass9306 3 жыл бұрын
Kwahili nilikuw hivo kabisa kuanzia leo nabadilika Asante San kwasomo zur joer mungu akupe umur mlefu zaid uzid kutuelemisha balikiw san
@sampro-v1l
@sampro-v1l 3 жыл бұрын
Upo vizuri sana kimawazo,, ivi huwa unayatoa wapi mkuu nanauka
@bushambalvenasbushambal-ot3eh
@bushambalvenasbushambal-ot3eh Жыл бұрын
asante kwasomo nzuri mungu akubari umekuwa ukiendeleya kunifunguwa asante
@marcelinaghuliku6408
@marcelinaghuliku6408 3 жыл бұрын
Huwa sipendi kupigiwa mara kwa mara na huwa nachukia sana Bora msg
@dominicemanuel748
@dominicemanuel748 3 жыл бұрын
Hahaha hahaha hahaha dah!!!!kaka hii imenichekesha Kweli.................... kuhusu waziri..dah!!
@fedharmmark6398
@fedharmmark6398 3 жыл бұрын
Ahxante kwa kutupa Elimu Mkuu , yan katika hzo zote nimekutana nazo na zinakera kweli , cm ianahitajika uxtarabu " Ubarikiwe Mkuu kwa kutuxtarabixha "
@danielmerere99
@danielmerere99 Жыл бұрын
Nashukuru sana kwa mada hii nzuri , nishawahi kutana na mtu kwenye gari anaongea kwa simu na sauti kubwa sana mpaka kerooooooooo
@robartzuri3261
@robartzuri3261 Жыл бұрын
Asanteh San joeli mm huwa najifunza Mambo mengi San kutoka kwako huwa nafunga na kuomba ili niwenze kukutana na wew live nitaijoy San ubalikiwe San
@mariethamtawa314
@mariethamtawa314 3 жыл бұрын
yaani umenisaidia sana jamani. Mungu akubariki. mimi binafi udhaifu wangu ni hiyo ya nane, nikiwa na dharura napiga mpaka apokee but nitajirekebisha. but again in general nimejifunza sana na Mungu anisaidie kubadilika.
@isacklusulo2975
@isacklusulo2975 3 жыл бұрын
Ee bwana eee!!!! Luna watu wanajua kupayuka Atari....
@gabenusmhomanga1923
@gabenusmhomanga1923 3 жыл бұрын
Nimeamka na asubuhi njema sana kwa somo zuri. Ubarikiwe sana.
@danchibomnyama5461
@danchibomnyama5461 2 жыл бұрын
Aiseeh kaka Joel hiyo ya mwisho ndoimenikuta yakupiga sm mara nyingi sana but nimejifunza kitu mungu akubariki sana
@mussalulenga9939
@mussalulenga9939 2 жыл бұрын
Nimependa sana somo hili ila mwisho nimechekaa had rahaa
@adnanomary1955
@adnanomary1955 3 жыл бұрын
Ni zaid ya elimu..
@joramjaphet3060
@joramjaphet3060 3 жыл бұрын
Aiseee hayo n Makosa ninayofanya, ntarekebisha
@jacobnduya798
@jacobnduya798 3 жыл бұрын
Asante sana kwa elimu nzuri. Mungu akubariki sana. Mimi nimefanya mengi ktk hayo lkn zaidi sana call multiple time.
@juliethfrank6626
@juliethfrank6626 3 жыл бұрын
Kaka Joel umeongea sawa kabisa,na kuna wengine pia wanakera wakiongea hawamalizi mpaka unachoka yaani unakuta mtu unaona kabisa mwisho na yeye anaendelea tu mkifika mwisho anaanzisha lingine mnarudi nyuma pia ni kero
@mariethamtawa314
@mariethamtawa314 3 жыл бұрын
asante sana mwalimu, nashukuru kwa somo hili
@yuleboymashati5219
@yuleboymashati5219 3 жыл бұрын
Asante kwa ushauri wako
@vailethpeter4958
@vailethpeter4958 3 жыл бұрын
BARIKIWA kikwweli najifunza sana
@samwelalex8417
@samwelalex8417 3 жыл бұрын
Ahsante, nmejifunza mengi
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 3 жыл бұрын
Asante kaka ya usumbufu!
@kassimulugajo6512
@kassimulugajo6512 3 жыл бұрын
siku yangu imekua nzuri sana leo kwa kuyafahamu haya
@jamesswai6583
@jamesswai6583 3 жыл бұрын
Uko vizur...Watu wanakera Sana kwenye matumiz ya simu.
@heavenlyonlinetv8187
@heavenlyonlinetv8187 3 жыл бұрын
Nimejifunza namna nzuri ya kutumia cm. Ahsante Brother Joeli God Bless You
@denizakituli4714
@denizakituli4714 3 жыл бұрын
zote nimekutana nazo
@danielkijobrighton8346
@danielkijobrighton8346 3 жыл бұрын
Yakupayuka Sanaaa na kupiga continuously
@sheilamwegio3963
@sheilamwegio3963 3 жыл бұрын
daaa big up San kak umenifanya nibadilike kimaisha nikiwa mdogo San mungu akuongoze
@petroomwisongoo5576
@petroomwisongoo5576 3 жыл бұрын
Daaaah see you at the top nimeipenda Sana hii kaka angu me nilishakutana na hii watu kuacha simu zao zikiwa na mlio Mkubwa Sana kwenye sehemu za watu wanaongea kuhusu Mambo ya msingi lakin hiyo simu ikianza kuita yaaani inavuruga KILA kitu kwanza ata yule alokua anaongoza maada pale kwenye meeting inabidi akae kimya kwa mda maana sio mlio Ni sabwoofer sasa ,,,
@salehali4saleh19
@salehali4saleh19 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kaka Joel,somo zuri sana hili
@dr.peterofficial6390
@dr.peterofficial6390 2 жыл бұрын
This so powerful brother Joel and nice to have you Tabora for a nice training you did to our office staff team
@mariamayoob8734
@mariamayoob8734 3 жыл бұрын
😆😁😆😂😂😂😂😂😂 msumbufu ata meseji azi pokelewi
@josephinemuyona7670
@josephinemuyona7670 3 жыл бұрын
Kelele yá simu inapo sana watu. Tujifunze kuokelea mbali ña wengine
@kelvinphillip1048
@kelvinphillip1048 3 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SAAANA KAKA NOW NAJIONA MPYA TOKA NIANZE KUKUFUATILIA
@anastasiamainaministries2700
@anastasiamainaministries2700 3 жыл бұрын
Asante Sana joel Mimi nachukia kuongea na mtu naye anachat ni Kero nimepatana nao Sana...kisha Kuna siku niliingia kwa gari simu yangu ilikua ina ita na volume ya juu Sana,mpiga daladala akaniambia zima simu ama ushuke😜🤣🤣🤣tangu siku hiyo simu yangu iko vibration 😜
@ngendakumanasalumdiki2847
@ngendakumanasalumdiki2847 3 жыл бұрын
Hahahah.......JOEL, nisemetu nakupongeza na Mungu akupe afia njama uzidi ku elimisha jamii.
@ronaldomselleronaldomselle6238
@ronaldomselleronaldomselle6238 3 жыл бұрын
Mm kama zote ila kwasoma ili nimejifunza kitu asante san kka joel nanauka mungu akubariki
@ngimbakuyi3250
@ngimbakuyi3250 Жыл бұрын
Asante Sana kaka joel, nimepata madini mazuri sana hapa, binafsi nimewahi kupigiwa na mtu sim zaidi ya mara 30 ilinikera Sana halafu nilikuwa kwenye kikao nilichokifanya japo sim ilikuwa silent nilimblacklist
@yunusomary8981
@yunusomary8981 3 жыл бұрын
Thanks Sana Brother for this Sharing, nimejifunza kitu cha msingi sana this morning.
@Ahmad-uo5kc
@Ahmad-uo5kc Жыл бұрын
Asante sana kaka kwa kufundisha somo hili
@danielmlwafu4380
@danielmlwafu4380 2 жыл бұрын
Asante! Kaka nimetambua makosa! Yangu
@hassanmustapher624
@hassanmustapher624 2 жыл бұрын
Ahsante sana kaka kwa ushauri huu mzuri
@hadijaelias135
@hadijaelias135 3 жыл бұрын
Asante kwa elimu hiyo
@danielmwanjefwele2570
@danielmwanjefwele2570 3 жыл бұрын
Nashukuru Sana mwalimu, umenifanya nianze safari ya kutoka kwenye Ulimwengu wangu niliouchukia kwa muda mrefu. Mungu akubariki
@emmanuelmakindi4409
@emmanuelmakindi4409 3 жыл бұрын
Wamasai bhn wanasumbua sana kwenye Gari wakiongea na simu hadi kero, hii elimu ingependeza iwafikie
@salehali4saleh19
@salehali4saleh19 3 жыл бұрын
Na wasukuma usiwasahau
@ramadhaniuseni9182
@ramadhaniuseni9182 3 жыл бұрын
Daaaah kama zote yan nimekutana nazo big sana
@selemanpaul2710
@selemanpaul2710 2 жыл бұрын
Hakika wew ni the best
@zainabozainaty6188
@zainabozainaty6188 3 жыл бұрын
Asante sana🙏🙏🙏
@allykindawite1924
@allykindawite1924 3 жыл бұрын
Hiyo ya kupauka,kuna watu kwenye Daladala anaongea Mambo binafsi bila Aibu mpaka matusi na Mambo ya kimapenzi.
@makungaonlinemedia1881
@makungaonlinemedia1881 3 жыл бұрын
Ahsante kaka Joel, kwa kwel Jambo hili lipo kwa watu wengi mnoo, Topic nzur sana. Nimejifunza.
@kinyagaibrahim8777
@kinyagaibrahim8777 3 жыл бұрын
Iyo ya kukuta missedcalls nying asee sipendi kweli bro joel
@pendomussasechambo3263
@pendomussasechambo3263 2 жыл бұрын
Asante barikiwa nimepata kitu
@lumo6933
@lumo6933 3 жыл бұрын
Duuh nimaisha tunayoishi nayo KiLa siku kaka...baadhi ya watu wanaongea mambo mengi wakiwa katika like ya watu Tena kwa saut kubwa
@arboghastkayanda561
@arboghastkayanda561 3 жыл бұрын
Obviously it's good lesson..!!! Blessed Joel nanauka
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 Жыл бұрын
Joel we noma, yani hata mimi nina Nr nimeisevu msumbufu, , yaani utakuta ana Call 5 ndani ya sekunde 30. Ni kweli usemavyo.
@khamisyasin3276
@khamisyasin3276 3 жыл бұрын
Ongera kwa somo zuri mi nimekutata na nyingi kama mtu kupayuka kwenye gari au pablic,kuongelea mambo ya ndani ambayo yanamuhusu yeye na yakujisifu,mtu unazungumza nae alaf anakuwa bize na mesej hili ndio hunikera sana.
@vumiliawambula1716
@vumiliawambula1716 3 жыл бұрын
kabisa yote nikweli kabisa barikiwa
@rehemagunda3968
@rehemagunda3968 3 жыл бұрын
Usubufu upon kwel
@lesusi7872
@lesusi7872 3 жыл бұрын
Wengine tunatoa kabisa sauti hta tukipigiwa tunaogopa kupokea mana ukitoa na kupokea watu wanaweza kuwaza unawaonyesha aina ya cm uliyenae
@josephmichael9555
@josephmichael9555 2 жыл бұрын
Wanaopayuka kuna jirani zangu wapo wawili mbaka nimewapa jina magari ya matangazo yani kama ni mpelelezi ni rahisi sana kuwajua hawa.
@reubenrichard6764
@reubenrichard6764 Жыл бұрын
Karibu Zote nimekutana nazo ila kali kabisa Ile kupokea sim Akafu kuongea kwa Sauti kubwa nimeiona sana😂
@breezyommy8336
@breezyommy8336 3 жыл бұрын
Nimevutiwa sana na kipindi chako Thanks bro
@bonneytv9441
@bonneytv9441 3 жыл бұрын
be blessed bro..naendelea kujifunza
@user-pw6ts5cv1l
@user-pw6ts5cv1l 4 ай бұрын
Nimecheka sana ni kweli anakua msumbufu dkt😂😂😂
@zachariakeboya4849
@zachariakeboya4849 3 жыл бұрын
Verynice lesson broo,, keep it up and God bless you
@doreenkissia1087
@doreenkissia1087 3 жыл бұрын
Nimekutana nazo zote
@abdallahally9025
@abdallahally9025 2 жыл бұрын
Hahahaaaa daa nimeipenda sana shukran
@evalineedwardsuzanne9862
@evalineedwardsuzanne9862 2 жыл бұрын
Asante sana nanauka
@TimmeMcharazo-ep9if
@TimmeMcharazo-ep9if Жыл бұрын
Kuna Hawa,wengine akipokea tu ni lugha ya kwao mwanzo mwisho..mpo mmekaa Mtu anaongea saa nzima ni kilugha tu hamna kiswahili hapo
@hijakuyu8738
@hijakuyu8738 Жыл бұрын
Wewe nikiboko
@charleslutambi5786
@charleslutambi5786 Жыл бұрын
ASANTE KWA MAFUNDISHO YAKII JOEL. NI KWELI KABISA KUNA JAMA ALIWEKA MLIIO WA GUNYAU AKIWA MKUTANONI SIMU IKAITA, KILICHOTOKEA NI BALAA
@risetalentacademy8503
@risetalentacademy8503 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Mr Joel
@aash4145
@aash4145 Жыл бұрын
Joel kaka yetu una busara sana,,, mungu akulinde kwakwel
@brightgabrieli8235
@brightgabrieli8235 3 жыл бұрын
Akika nimejifunza mengi sana kaka mungu akubaliki na akuongezee juudi na baraka.
@malackbayaga
@malackbayaga 3 жыл бұрын
Nimekutana na simu ya mlio mkubwa na watu, wa kupayuka, mtu anayepokea simu bila hata ruhusu wakati unaongeza naye😄😄
@yohanapyuza5965
@yohanapyuza5965 2 жыл бұрын
Nimeipenda hii kaka
@fikikenya1401
@fikikenya1401 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 kwani wamjua Manager wangu? Mana unaongea nikama wamsema yeye
@akshots_tz
@akshots_tz 3 жыл бұрын
Asante
@codaharxh._
@codaharxh._ 3 жыл бұрын
Content Nzuriii kila Sikuuu
@Laila-zl8lj
@Laila-zl8lj 2 жыл бұрын
Shukuran sana namie cjui kuongea taratbu nasim naongea sauti kubwa 😂kuanzia Leo nimejifunza🙏
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 3 жыл бұрын
Yes true..yani mambo ya cmu ni maudhi tuu!! I blocked many..of them
@liberatussylvanus5477
@liberatussylvanus5477 3 жыл бұрын
Watch niwasumbufu hasa wanatuma sms akikutumia ukamjibu anataka use season maana kuna baadhi wanajiunga sms zamwezi mzima nikero sana Mimi ukinitumia nikajibu mara moja inatosha
@mundesmokesen9314
@mundesmokesen9314 3 жыл бұрын
Yaani nimekutana na yote kaka
@juliusntandu4302
@juliusntandu4302 3 жыл бұрын
Kila kitu kaka
@eleneosindano5633
@eleneosindano5633 3 жыл бұрын
Mm nimekutana na wakupayuka kakaa
@omarysabih1659
@omarysabih1659 3 жыл бұрын
Nice one Mr Joel
@t-moredigital3968
@t-moredigital3968 3 жыл бұрын
Kazi nzuri
@issacmwambire675
@issacmwambire675 2 жыл бұрын
Super sana 🙏
@swabriissa2034
@swabriissa2034 3 жыл бұрын
Ow msumbufu anapiga yena nimeipenda hii kaka shukran sana
@macmax3152
@macmax3152 Жыл бұрын
Asante kaka joel
@abdulrazackkipingu5437
@abdulrazackkipingu5437 3 жыл бұрын
Exactly kazi nzuri
@gospelgarden1846
@gospelgarden1846 3 жыл бұрын
Personal topics hasa kwenye daladala, inakereketa Mimi nimewai kumpigia mtu mara nyingi hadi tukagombana😁
@Ufugaji
@Ufugaji 3 жыл бұрын
Powerful topic bro It's a real inspiration
@saidmkashari6002
@saidmkashari6002 Жыл бұрын
Hello Mimi ndio inayo nisumbua hatua ya nane.
@nwntz
@nwntz 3 жыл бұрын
Sio gari boda
Jinsi ya kutoka kwenye madeni sugu.
1:03:49
Joel Nanauka
Рет қаралды 109 М.
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 44 МЛН
UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - JOEL NANAUKA
9:15
Joel Nanauka
Рет қаралды 209 М.
Ufanye nini watu wa kupende zaidi?
9:09
Joel Nanauka
Рет қаралды 131 М.
Stress Inakusababisha Kukosa Mafanikio | Jifunze Kwa Nini
7:21
Vanessa FredyK
Рет қаралды 284
AMUA UNACHOTAKA LEO - JOEL NANAUKA
17:14
Joel Nanauka
Рет қаралды 100 М.
Siri 4 Za Kuvutia Watu Muhimu Kwenye Maisha Yako.
9:48
Joel Nanauka
Рет қаралды 156 М.
Dakika Sitini Za Mwanzo Kila Unapoamka
6:22
Joel Nanauka
Рет қаралды 74 М.
Jinsi ya kuacha tabia usiyoipenda.
8:54
Joel Nanauka
Рет қаралды 161 М.
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE
11:26
G Online
Рет қаралды 63 М.
Kwanini Watu Wengi Wanapoteza Ndoto Zao?
7:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 32 М.
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 44 МЛН