"KARIAKOO KUNA SIASA, WAFANYABIASHARA HAWAKUJUA KWANINI WANAGOMA, NAKUTUMA JAFO NENDA" - RAIS SAMIA

  Рет қаралды 4,756

Wasafi Media

Wasafi Media

24 күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 16
@Kabeya410
@Kabeya410 23 күн бұрын
Ni kweli mama, mimi nipo OMAN huku kuna biashara haruhusiwi kufanya mgeni mfano Mishikaki ni wenyeji tu Dereva tax wenyeji tu, dereva magari pickup mpaka tani 5 wenyeji, madereva mabasi ya abiria wenyeji, tu. Mgeni kama anafungua duka lazima mdhamini awe mwenyeji na kwenye leseni picha ya mwenyeji Mall, maduka kawaida, magari ya kubeba maji tank wenyeji tu sisi kwetu hakuna si vibaya kufanya hivyo pia mishahara makampuni lazima wawalipe wenyeji zaidi, kuliko mgeni ila kwetu ati mgeni ndo Mwenye mshahara kumzidi mwenyeji mzawa Kingine NAPENDEKEZA JAFO ILI KUONDOA MISONGAMANO KARIAKOO JENGENI MASOKO YA JUMLA NJE YA KARIAKOO MFANO BANANA KUNA UWANJA MKUBWA PALE HALI YA HEWA WEKA SOKO BIDHAA ZA SHAMBA BADALA WATU KUTOKA CHANIKA KWENDA KARIAKO WAISHIE BANANA TU KUTOKA KITUNDA, KIVULE MWANAGATI NK. KINYEREZI WAJE HAPO HATA PUGU PIA Nimekaa sauz afrika kule kuna mitaa imechorwa vibox pembe nne zina namba unakodi kwa siku au wiki machinga unaweka biashara yako kuna mitaa ya mitumba, na kuna mtaa wa biadhara ya matunda mboga nk. Samaki wanatizwa kodi ya kila siku.
@FrancisMushi-m7m
@FrancisMushi-m7m 23 күн бұрын
Yaani nimempongeza raisi kwelikweli, leo umejibu keep zetu kariakoo na kwa hili nikwambie maamuzi haha ni makubwa na kariakoo tuko na wewe, na Kama hili litatekelezwa sisi tutazidi kupongeza Mwenyezi Mungu akupe wepesi Sana kwenye Hili maana mnapoteza Kodi nyingi Sana kwa uwepo was hawa machinga Asante.
@magigesabai8674
@magigesabai8674 23 күн бұрын
machinga sio mtu ?
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 23 күн бұрын
Mkiondoa noti kariakoo wala hakutakuwa na shida yoyote
@omaryyusuf9405
@omaryyusuf9405 23 күн бұрын
Asante mkuu
@maulidimpili698
@maulidimpili698 23 күн бұрын
Kwel mama uko makn sana sisi watoto wako kuna watu wanalengo la kukuchafua lakn mung atakulinda
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 23 күн бұрын
Mh Jafo, you need to be innovative- mbunifu. haya anayosema Mama ni sawa kabisa ila isiwe unataka tuu kupokea kutoka kwake ya utekelezaji na wewe jiongeze..go ouit there and think what needs to be done then act accordingly. this is now your ministry, sit down with your subordinates and draw done a plan come up with tactics and strategies, divide amongst yurselves these tasks. You also need to involve enterprenuers for more ideas and w/nchi in general. you will be very successful..Jafo, our nation has a huge expectation from yu man!!!
@user-ku4xq4nd9v
@user-ku4xq4nd9v 23 күн бұрын
MITANO KWA MAMA 👍
@gabrielmchau8764
@gabrielmchau8764 23 күн бұрын
Kwa hili naunga mkono hoja, machinga na maduka hawaez kuwa pamoja af mambo yakaenda sawa kiukweli
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 23 күн бұрын
Machinga machinga machinga kubalini mpangwe
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 23 күн бұрын
Mama mtu😅 sisi chama cha CCK tunakupa maua yako
@musamwambara6835
@musamwambara6835 23 күн бұрын
Kuna mtu analala 😂😂
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 23 күн бұрын
Mh yani mtu agome halafu asijue angomea nn
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 23 күн бұрын
hilio kwangu ajabu kweli kaka yangu mwema..mie nashindwa kabis jmni labda mie ndo sielewi
@josephjosephat4792
@josephjosephat4792 23 күн бұрын
Kariakoo inahitaj kupangliwa kwa sasa kama anavosema Raisi ili ata watu wakigoma ijulkane wanagomea nn na mwenye makosa haonekane kirahs mtifuano wa machinga na wapangaj wafanya biashara kariakoo n mkal mno kiasi kwamba hawana interest Moja ya madai ata wakat wa mgomo. Yan hawa wanaongelea Kodi issues hawa wamachnga wanasema wapangaj wafanya biashara awatutak sasa n mixed issue kubwa mno
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 34 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 16 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 470 М.
Ronaldinho Gaucho Goals That SHOCKED The World
7:01
iLance7i
Рет қаралды 8 МЛН
LEVITATING MAGIC REVEALED 😱😳
0:18
Milaad K
Рет қаралды 33 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
0:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 12 МЛН
ПОМОГИ РАЗБУДИТЬ ПИЛОТА 😱😱
0:16
ДЭВИД ЛАВА
Рет қаралды 3,6 МЛН
Rang Pi Liya Mama 😂 #shorts #tiktokvideo #funnyshorts #comedy #ytshorts
0:46
Sukhasan Ka Rahman Bhai
Рет қаралды 22 МЛН