BI RUKIA AKIIMBA "HUJAFA HUJAUMBIKA" KWA HISIA KUBWA, MANARA AMWAGA PESA, LAYLATUL HELWA

  Рет қаралды 88,518

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

Пікірлер: 272
@twahasuleiman-lo9vl
@twahasuleiman-lo9vl 8 ай бұрын
Rip sheikh NYundo... Angekuepo Marehemu Sheikh NYundo angekemea hii Subhanallah
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 8 ай бұрын
Tumuombe Mwenyezi Mungu (s.w) atujaalie mwisho mwema! Amin.
@MohamedAli-pb7gz
@MohamedAli-pb7gz 4 ай бұрын
Masheikh mlio hapo hivi mnafanya dhambi mkiona tu . SubhanaAllah.
@SaidOmar-sd2yo
@SaidOmar-sd2yo 8 ай бұрын
yaa allah tuongoze ktk njia ilio nyooka aamiin
@thedon8467
@thedon8467 8 ай бұрын
AMEEN
@FRESHII2024
@FRESHII2024 4 ай бұрын
Kumbuka kuna uislamu na waswahili, Tz hamna waislam Bali kuna waswahili, ndoa za mkeka nk ni uswahili mtupu , mnashindanisha Quran ili watu wapate tamaa ya kushinda ili wapate pesa sio pepo alafu mnajiita waislam, kingine Raisi wenu ni dini gani? Uislam haum ruhusu mwanamke kuwa raisi, sasa mjijue kua tz hamna waislam Bali kuna waswahili
@FRESHII2024
@FRESHII2024 4 ай бұрын
Kumbuka kuna uislamu na waswahili, Tz hamna waislam Bali kuna waswahili, ndoa za mkeka nk ni uswahili mtupu , mnashindanisha Quran ili watu wapate tamaa ya kushinda ili wapate pesa sio pepo alafu mnajiita waislam, kingine Raisi wenu ni dini gani? Uislam haum ruhusu mwanamke kuwa raisi, sasa mjijue kua tz hamna waislam Bali k
@zanlec7357
@zanlec7357 8 ай бұрын
Innalillahi wainna ilayhi raajioun. Kwakwel huyu jamaa ana dhima kubwa sana mbele ya Allah. Wapi mnaupeleka Uislamu ndugu zangu . Siku ya Kiama kuna mengi sana ya kujibu wewe Haji Manara . Usitumie Umaarufu wako kuiangmiza Dini ya Uislamu. Allah anifungulie mwisho mwema .aamin
@rajabubwakila1977
@rajabubwakila1977 7 ай бұрын
Kwa hiyo wewe ushapewa kazi ya kuhukumu watu waende motoni au peponi,hongera kwa kazi hiyo bwege mkubwa weww
@zanlec7357
@zanlec7357 7 ай бұрын
@@rajabubwakila1977 kwanz Nenda kasome Uislamu kisha utajua nini nmekiongelea hapo. Huwezi jua Uislamu umeamrisha nini na umekataza nini kama huna Elimu
@FRESHII2024
@FRESHII2024 4 ай бұрын
Kumbuka kuna uislamu na waswahili, Tz hamna waislam Bali kuna waswahili, ndoa za mkeka nk ni uswahili mtupu , mnashindanisha Quran ili watu wapate tamaa ya kushinda ili wapate pesa sio pepo alafu mnajiita waislam, kingine Raisi wenu ni dini gani? Uislam haum ruhusu mwanamke kuwa raisi, sasa mjijue kua tz hamna waislam Bali kuna waswahili
@Mamshika
@Mamshika Ай бұрын
Nampenda sana bi Rukia sauti yake huwa inanikosha sana Mungu ampe maisha marefu
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 8 ай бұрын
Maanara uwe na heshima usimtaje MTUME MUHAMMAD SALA NA SALAM KWEYE UCHAFU KAMA HUOWO
@MohamedAli-pb7gz
@MohamedAli-pb7gz 4 ай бұрын
SubhanaAllah.
@مريممحمد-ض8غ4ف
@مريممحمد-ض8غ4ف 2 ай бұрын
NIMAULIDI GANI HAYO! SUBHANAALLAHI WATTAALLAH!MUKIRUDI MAJUMBANI KWENU MUSWALI SWALATUL- ISTIGHFAAR !, MASHEKHE NA MASHEKHATI, MAUSTAADHI NA MAUSTADHATI! na wengineo mliopo hapo kwenye muhadhara huo na MOLAH! JALLIYAH AWAPE AFFUENI INSHAALLAHA naniukweli HATUJAFA! HATUJAUMBIKAH!, L'LAAHAULAH WALLAKUW'WAT'TA ILLABILLAHI SUBHAANAALLAH!!!!!.…..
@OmQrf
@OmQrf 8 ай бұрын
Innalillahi wainna ilahirajiun manara ww muongope mungu hayomambo na biziki taarabu mbona mnafanana subhanallah
@rukky4169
@rukky4169 7 ай бұрын
Allah atuhidi mana kila kukicha balaa zinazidi. Inna lillah waina ilaihi rajioun.
@barakakhemedi1250
@barakakhemedi1250 8 ай бұрын
Hiii hpn Kwa kweli mi baba mizima inashangilia na mikanzu vinanada na magita
@AllyAbdullah-z4i
@AllyAbdullah-z4i 5 ай бұрын
Subhanallah😢 msiba huu innalillahy wainnailayhi rajiuun
@AbdalallaBrahimam
@AbdalallaBrahimam 8 ай бұрын
Innalilah wainnailahim rajiuun mcheni Allah kesho Kwa Allah mtajibu Nini sisi tuna wakumbusha huu ni mziki
@luqmansaid-ip2dm
@luqmansaid-ip2dm 8 ай бұрын
Subhaanaallah Allah atuongoze haifai jamani hivi sivyo😢
@abulhakim2294
@abulhakim2294 4 ай бұрын
Subhanallah mm ni mtu wa maulidi nasikitika madhekhe wa tzd cjui muko wp , dini inapelekwa kwa njia hii dah, nyny mashekhe mutamjjbu nn mola wetu
@mwanapiliali8504
@mwanapiliali8504 7 ай бұрын
Hasbiyallaahu waniimal-wakiyl loh huyu kila cku zikenda anazidi tu kufanya kufru na wala hajali dah Yaa A'llaah tuongoze ktk njia iliyonyooka😢😢😢
@rizikirashid1199
@rizikirashid1199 8 ай бұрын
SubhanaLLAH Yarab tustiri waja wako kwani hii ni taarab sio Nashi mchanganyiko wa wake kwa waume ya ALLAH awaongoze walio potea
@MadamAsya2024England
@MadamAsya2024England 8 ай бұрын
Duh dini imefkia hivi malengo yavwenzetu yametimia kadri dunia inavoisha ndio tunazidi kuangamia,SUBHANALLAH.
@FatumaSaid-ry2eq
@FatumaSaid-ry2eq 7 ай бұрын
Allah tupe mwisho mwema mimi na familia yangu na kizazi changu huu ni msba mkubwa
@hawamhanga2951
@hawamhanga2951 8 ай бұрын
Mashehe wetu jamani wamekaa kabisa wana enjoy rabb tusitiri 😢
@Zainabkhamis-d2s
@Zainabkhamis-d2s 7 ай бұрын
Mc Haji Manara mashallah ❤❤❤❤
@KapondaZenaida-g3z
@KapondaZenaida-g3z 8 ай бұрын
Mashallah kazi nzuri
@zuleikhaissa684
@zuleikhaissa684 7 ай бұрын
Jamani muogopen Allah dunia mapito 😢
@jumamohamed4808
@jumamohamed4808 7 ай бұрын
Hapana hii sio sawa kbc
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 8 ай бұрын
Innaa lillaahi wainnaa ilayhi rajiun, ni msiba Haji manara musimcheze shere Mtume, yaani mnatangaza hadhara ya Nabii hlf mnapiga muziki, wapi mmetowa ktk hadithi au aya ya quran kwamba muziki ni ktk dini
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri 8 ай бұрын
Mungu hajakataa burudani za kistaarabu hapo hakuna matusi nyimbo inafundisha maneno ambayo hata mwenyezi mungu mwenyewe ameyapitisha na hiyo ni kama qasida tu hakuna ubaya mungu hajasema mufikirie kufa tu msifanye mambo mengine mumfikirie yeye tu,kuna mambo ambayo mungu hawezi kukupa adhabu kubwa kama utalifanya bila kukufuru kupita kiasi nyimbo pia zinapunguza stress zinafundisha kwa ameimba kumsifu mungu na mtume wake na akaimba hujafa hujaumbika hayo ni mafundisho makubwa ambayo mwenyezi mungu hawezi kukuadhibu eti kwa sababu umetumia vyombo tusiifanye dini ya kiislamu kuwa ngumu kiasi kwamba waislamu wajione wapo gerezani lakini kuna mambo yaliyofanywa na manabii hayawezi kufanywa na binadamu wa leo kwa mfano mtume Muhammad saw alifunga mwaka mzima haya wewe unaweza mtume aliongea na mungu alishushiwa wahai je wewe kwanza hii ndio njia sahihi ya muislamu kupata burudani.someni vizuri vitabu sio kutoa laana tu nyinyi ndio wale msiofanya kazi kwa kisingizio mungu yupo ataleta,
@muhamedali3902
@muhamedali3902 8 ай бұрын
Mh! Ndugu yang ww umesoma lkn naona elimu yako inakupoteza Yani Leo unattea mziki acha fikira potofu mwenyez mungu s.w. kupitia Qur'an na mtume wake Alisha eleza njia za kutowa mafundisho Na akabainisha haqi na batli na mziki ukazungumzwa ktk Aya tofaut za Qur'an mpk ukatolewa mfano wa muimbaji hata awe na saut nzr kiasgani bas nisawa na saut ya punda Yan hapa pamefanywa kufru kubwa Sana Tena et kwabaraka za mtume apo kunabaraka gan Ww unadanga nyika na hizo mbwembwe za haji manara na kujifanya shekhe anaushekhe gan kuuzalilisha uislamutu Et unafokea watu ww amesomawap dini acha izo ww,
@muhamedali3902
@muhamedali3902 8 ай бұрын
Nikweli mungu hajakataa lkn ilitupa muongozo ni burudani za ainagani alizo zridhia sio yyote unayo itaka ww Napia akabainisha burudani za ainagani hakuzridhia
@litimbaify
@litimbaify 8 ай бұрын
​@@saidbakar-qo6riandishi kubwa bila dalili ni ujinga
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 7 ай бұрын
Acha uongo wewe ..Mtume amesema sauti 2 zimelaaniwa duniani na akhera ...kwanza sauti ya mwanammke wakt wa msiba na nasuti za vinanda wakt wa furaha ...hilo ulijue kuwa haifai kupiga mnanda umelaaniwa..😢😢😢unasema tu kwa matamanio yako ya kidunia..?pole sana.kisha nakujulisha kua sauti ya mwanamke ni aura..yaani uchi....hapo anaimba mbele ya wanaume kibao haifai kisha wanapiga mnanda Allah awaongoze ktk njia sahihi.​@@saidbakar-qo6ri
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 8 ай бұрын
Nyundo kaondoka hawa ndio walikua wanamuelewa yule mwamba wakweli nyundo mungu amlipe mena alijua kuongea na hawa watu au na sisi watu
@ahmedabry293
@ahmedabry293 8 ай бұрын
Yarabb tunaomba utupe mwisho mwema ❤😢
@minnahhers7437
@minnahhers7437 2 ай бұрын
aamiiyn
@FatmaKombo-y8e
@FatmaKombo-y8e 8 ай бұрын
Mwenyezi Mungu haombwi kwa nyimbo
@saimalunde4002
@saimalunde4002 7 ай бұрын
Mungu anatukuzwa kwa nyimbo pia Ndio sababu malaika wanaimba nakumsifu
@MunaMohammed-j3m
@MunaMohammed-j3m 8 ай бұрын
Hii sio kabisaa astaghfirulaa
@khamishassan68
@khamishassan68 8 ай бұрын
Inalillah wainaillahi rajijn
@Moc.khalfan
@Moc.khalfan 8 ай бұрын
Me nilifikiri hii tv ni ya kiislam mwanzo na mwisho wa kuangalia tv hii ni Leo in Sha Allah
@Werema3760
@Werema3760 8 ай бұрын
Hii ni yawaenda mbinguni.
@Jamila-h1w
@Jamila-h1w 7 ай бұрын
Mtihani kwa kweli ata mimi pia nilizani ni tv ya mawaidha ya kiislam
@husseinyathuman87
@husseinyathuman87 8 ай бұрын
Innalillah waiina ilaihi Rrajiuun Mnasherehekea muziki dah
@RamadhaniMahamba-cx2so
@RamadhaniMahamba-cx2so 7 ай бұрын
mañara umeponyoka unachanganya dini na mitaarabu amakweli mmezidi 😊
@MustafaMabuzi
@MustafaMabuzi 3 ай бұрын
Hatari hii da innalilahi wainna ilayhi rajiun
@musababdullah5813
@musababdullah5813 8 ай бұрын
Tamasha la muziki wa pwani ingekuwa ndio jina zuri,kufungamanisha na dini ni utapeli😂
@meandme3437
@meandme3437 8 ай бұрын
Ushasema😂🎉
@Rukaiyahalmauly
@Rukaiyahalmauly 3 ай бұрын
Yaasalaam
@MadamAsya2024England
@MadamAsya2024England 8 ай бұрын
Yote mabaya yamekusanyika ktk hadhara hii,wanawake kuzihirisha mapambo yao mbele ya wanaume,kuimba mbele ya wanaume,kuchanganyika wanawake na wanaume.na mbaya zote ktk dini vinanda na magita yametokea wapi.subhanalllah Allah atupe mwisho mwema.
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 8 ай бұрын
hatari voo dini munaipeleka wapi bongo munamkabidhi manara mtu wa starehe za kidunia
@fatmasaid4114
@fatmasaid4114 8 ай бұрын
Wapotezwa na Haji Manara awapoteza tuu apoo
@fatmasaid4114
@fatmasaid4114 8 ай бұрын
Tubia na weyee tena Allah kakupendaa kakupa umri mrefu upate kutubia lkn wataka upoteza ta pumzi hunatena
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 8 ай бұрын
@@fatmasaid4114 hahahaaaa hili jamaa linapenda starehe za kidunia limepagawa wallahi
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 8 ай бұрын
@@fatmasaid4114 msiba voo
@faridapandu7579
@faridapandu7579 7 ай бұрын
😢😢😢 msibwa mkubwa
@jumahamisi9328
@jumahamisi9328 8 ай бұрын
Salaaaala, Miziki jamani katika uislamu haimo
@RahmaShemdoe
@RahmaShemdoe 7 ай бұрын
Hizi ni taarabu tu nyingine,sioni dini hapa.Innalillah wainna ilayh raaji'un
@shekhamohd4891
@shekhamohd4891 7 ай бұрын
Nyie mnajitia dhiki ya meneno ya huyu subhanallah huyu ata hajuwi km kuna siku ya mwisho na hisaab ndio maana hana khofu ya Allah yaarabb muhidi mja wako yaani anasifia kawacha ya akhera haya maulidi ya mtume au taarab subhanallah
@fatmarashidy280
@fatmarashidy280 7 ай бұрын
Huu msiba nlikuwa cjauona innallilah wainnallilah rajiun…Allah atupe mwisho mwema
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 8 ай бұрын
HASBIALLAH WANEEMALWAKILI HUU KWANZA HAPA NAOMBA TUJIFUNZE KITU KUNA BAADHI YA MDHEHEBI YANACHOCHEA WATU KUINGIA KWENYE MAMBO MACHAFU NA KUONEKANA NI MAZUR NA TABIA HII NDIO INAYOTUHARIBIA UISILAM WETU
@saimalunde4002
@saimalunde4002 7 ай бұрын
Muwe mnamuogopa mungu yaaani dhehebu lingine lichochee wewe kuharibiwa uislam kweli? Acheni kuhukumu hovyo mnajiona nyie ndio mna haki mbele ya MOLA JALAAL
@aboubakarmahmoudmashaka696
@aboubakarmahmoudmashaka696 8 ай бұрын
Kesho jiandaeni na majibu kwa allah
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 8 ай бұрын
Mwenzetu umeshayajibu nini??! Na kwa kiasi gani upo salama na msafi kwake JALALI?? ( MUHIMU MIMI NAWEWE TUOMBEANE DUWAA NJEMA (
@saimalunde4002
@saimalunde4002 7 ай бұрын
Tena wao ndio unaweza kufika huko ukawaomba hta tone la machozi wakudondoshee unywe hacheni kuhukumu hovyo
@saimalunde4002
@saimalunde4002 7 ай бұрын
Ina maaaana wote waliokaa hapo mnawaona niwajinga? Kumbukeni mungu tunamtukuza kwa nyimbo pia na swala acheni kuhukumu hovyo
@yunuskhams7216
@yunuskhams7216 8 ай бұрын
Na kuna dua na vinanda shekh
@HussainMaula-wr5co
@HussainMaula-wr5co 8 ай бұрын
Hapo mashekhe bado mpewe mirungi na shisha maana mnashangilia kama mpo mpirani SHEKHE NYUNDO ALLHA HUMA FIRAHU WARAHAMAHU MASKANA FIL JANAT ULISEMA UKWELI QASWAIDA NI NDUGU YAKE TAARABU.
@swalehbakari2667
@swalehbakari2667 8 ай бұрын
Dunia hii ina maajabu Nashukuru kwa elim yangu ndogo nilio pata Izo ni nyimbo wana wanafanya ni din
@DaudFataki
@DaudFataki 8 ай бұрын
Yule sheikh wazanzibar orhman maalim haya serikali na alhah magugu na dhahabu waonaje shekhe au unawaongoza wa mwamposa kaenikimya tu alhah analipa
@user-to6up4hg2w
@user-to6up4hg2w 7 ай бұрын
​@@DaudFataki maybe he don't see this tv thats why he's the best sheik
@abdallahally842
@abdallahally842 6 ай бұрын
We mlaji mirungi mmoja umeipendaa acha kujifanya hupendi wakati mnasaga mongokaa pamoja
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 8 ай бұрын
WAHUNI WAKUBWA NA MIKANZU YAO! 👀👀
@najaanassir3480
@najaanassir3480 2 ай бұрын
Hii ni laana wazi muhadhara wanaume na unaimba umejipodoa alafu unamtaja mtume saw na kumuomba Allah msamaha dunia ishaisha wallahi
@marthadkhan6459
@marthadkhan6459 5 ай бұрын
Tumuombe Mungu ameonyeshwa njia hiliyo bora na atupe mwisho mwema
@Zainabkhamis-d2s
@Zainabkhamis-d2s 7 ай бұрын
Rukia Ramadhani Bint Abiazi ❤❤
@AyzalRicco-mi6iu
@AyzalRicco-mi6iu 8 ай бұрын
Nyundo ragmallhah aliwahi kusema kaswida ni ndugu yake taarab Naam yametimia..
@hawalulanga839
@hawalulanga839 8 ай бұрын
Allah atupe mwisho mwema Amini tunako enda siko
@tabujuma9046
@tabujuma9046 7 ай бұрын
Mimi ni mpenzi wa khaswida lakini kwa hivi Subha Allah
@halimauwesu
@halimauwesu 6 ай бұрын
Jaman watu mnamodomo michafu khaaa😢😢😢
@hailinhelen4675
@hailinhelen4675 8 ай бұрын
inasikitisha kwa kweli waislam tumekuwa hatujui dini kiasi hichi tunajirusha steem kwa matamanio ya dunia inna lillahi wa inna illayhi rajuun
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 7 ай бұрын
Si hatujui vo..ni tuna dharau maarisho wallah mtihani
@nassorkhamis6233
@nassorkhamis6233 8 ай бұрын
Mbna hamna tofauti na wakatoliki
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 7 ай бұрын
Apo wakatoriki wenyewe wakasome
@zalbak2738
@zalbak2738 8 ай бұрын
Halafu hii channel tujue mojaaaa iko upande gani duniani au akhera
@CoachHafidh
@CoachHafidh 8 ай бұрын
Daah...hii ndo kazi ya babdeo kumbe....bora Abu khaula alivyokataa mahojiano nae...😢
@abdab8466
@abdab8466 7 ай бұрын
Hi ni makosa,ndivo Allah anavoombwa kusamehe makosa
@MuhammedFoum-kr5kc
@MuhammedFoum-kr5kc 8 ай бұрын
Dahhhh nyimb kweny maulid dahhh😢😢😢😢😢😢
@abiabi9353
@abiabi9353 8 ай бұрын
Kwani nini tofauti ya nyimbo na kaswida
@Sheba4651
@Sheba4651 8 ай бұрын
​@@abiabi9353Ni ndugu tu mjomba na shangazi
@ImaniBalankwaya
@ImaniBalankwaya 8 ай бұрын
manara Allah Aqbaru nynyi mwaichezea dini ndo nni ushenzi huu hivi hmna KAZI za kufanya nynyi madhwarimu et n hajji innalilah wainnailaih rajjiun mmelaaniwa Allah awangamize 6:51 😢😢😢😢
@bouryschamata3093
@bouryschamata3093 8 ай бұрын
Wanaiga wakristo sasa bado kusema Yesu Mungu tu
@saimalunde4002
@saimalunde4002 7 ай бұрын
Sasa hapo wakristo wamefanya nini tena hebu acheni kuhukum jaman wote tunasoma maandiko tunaamini ila hakuna hata mmoja Aliyefika mbinguni akaiona hiyo kweli tusihukumu kbsaaa maaana hakuna aliyekufa akarud akayashuhudia hayo
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 8 ай бұрын
Haji😂😂😂😂😂😂bugatiii
@lydiamsheri4095
@lydiamsheri4095 7 ай бұрын
Ni kweli ni mwimbaji mzuri.Nilimsikiza zamani
@HabibuSalumu-iv5wl
@HabibuSalumu-iv5wl 7 ай бұрын
Tujaribu kutofautisha kaswida na Taarabu japo yatakuwa ni maneno mazuri ya Mwenyezi Mungu.
@alush3138
@alush3138 8 ай бұрын
Hajimanara hujulika N upokindigani allh akuhidiiiii
@issahajjiira5411
@issahajjiira5411 8 ай бұрын
Mbona hapa wengi wanafiki
@solomonOsam-d1t
@solomonOsam-d1t 2 ай бұрын
Ujumbe Mzito
@yasminjuma9146
@yasminjuma9146 8 ай бұрын
Kaka angu hata ukiumwa unasikiliza nyimbo badala ya kufanya dhikri na dua.. jitahidi kaka ktk ibada. Nakupenda sana
@yuhm504
@yuhm504 8 ай бұрын
Eti wamekutana walevi, waimba mziki wamevaaa hovyooo utadhani wakristoooo hahahahah
@JAMALIKWENDA
@JAMALIKWENDA 8 ай бұрын
Sana, mi nimejiuliza kwani apa, ni kanisani wanaimba kwaya au,
@Jamila-h1w
@Jamila-h1w 7 ай бұрын
Inna lillah waina ilayhi rajiuun
@Mussajuma1515
@Mussajuma1515 7 ай бұрын
Allah awaongoze kwenye heli
@Harunery
@Harunery 6 ай бұрын
Taarabu hizi mmeziweka kwny dini babdeo ujiandae kwa ALLAH
@SoudShuraim
@SoudShuraim 7 ай бұрын
Manara wachizika naona
@mwanapiliali8504
@mwanapiliali8504 7 ай бұрын
Yaani kila cku zikenda watu wanafanya uzushi tu katika dini dah inasikitisha sana mhm haramu inafanywa halali mwanamke anaghani sauti yake mbele ya umati wa wanaume na wao wanashangiria kwa mayowe na kanzu kubwa makoti na kofia dah 😢😢😢😢😢
@ashahamad-mq3iz
@ashahamad-mq3iz 8 ай бұрын
Jamani Ogopeni siku ya Mwisho Watu wazima Bado munaikumbatia Dunia Rudini Kwa Allah wetu mutakwenda kujibu kulioyatenda
@ConfusedBalkhHound-on2mx
@ConfusedBalkhHound-on2mx 5 ай бұрын
Hili baba zima nalo halijielewi
@khamiswapemba9019
@khamiswapemba9019 8 ай бұрын
Wacheni uhuni hizi sio qaswida ni majimbo kama majimbo mengine tu msitupumbaze endeleeni kupotoka na kuupotesha umma ila yote haya mtalipa mbele ya Allah
@nassor8819
@nassor8819 7 ай бұрын
Qaswida my bro ni lugha ila ni nyimbo kama nyimbo nyingine
@albalsam01
@albalsam01 4 ай бұрын
Asalamu alykum Vipi hali ndg ktk imani Samahani shida kubwa yake hapo nini ..?,tunaomba mtufahamishe
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 8 ай бұрын
Babdeo miladu ni chaneli ya kidini au ya muziki, mbona hamueleweki mbona mnachanganya nyama ya nguruwe na ng'ombe
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 8 ай бұрын
Ukumbusho tu🙏🙏🙏
@MkaliWagoka-bz6im
@MkaliWagoka-bz6im 8 ай бұрын
Hizi sio Kaswaidaa,,Haya ni mambo ya pwanii,, .
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 8 ай бұрын
hili manara linapenda starehe za dunia wallahi sasa linaingilia na dini munaliangalia tu linapotosha umma kwa matamanio yake lipate pesa za kumnunulia zai lisa vichupi na vipendo vya kuoneshea mitandaoni
@msarama5406
@msarama5406 8 ай бұрын
Wenyewe wanajiita kipenzi vya mtume😂
@alwyhissa7358
@alwyhissa7358 8 ай бұрын
Baada ya harmonise now Manara, Allah tuongoze😢
@fatmamansour676
@fatmamansour676 8 ай бұрын
😅😅😅Eti kutoka kule anamimba kama kawaida huyo
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 8 ай бұрын
@FatmaKombo-y8e
@FatmaKombo-y8e 8 ай бұрын
Rukia ramadhani mama tubia tena umri ushakuwa mkubwa huo tena tubia
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 8 ай бұрын
Dah kweli acha tusemwe sasa nitaarabu au mauridi?
@FatumaSaid-ry2eq
@FatumaSaid-ry2eq 7 ай бұрын
10:52
@kessyshabani
@kessyshabani 4 ай бұрын
Jariyr bin Abdullah (Radhwiya Allaahu 'anhu) amesema kuwa Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alisema: "Yeyote atakayeanzisha katika Uislam Sunnah iliyo nzuri atakuwa na ujira wake na thawabu za yule mwenye kufuata hilo bila kupunguziwa chochote katika ujira wao. Na yeyote atakayeanzisha Sunnah mbaya atapa madhambi na dhambi za wale wenye kufuata baada yake bila ya kupunguziwa chochote katika madhambi” [Muslim].
@athumanmfangavu7320
@athumanmfangavu7320 7 ай бұрын
Kizazi chakuhukumiana kazi ya hukumu niyake jallah jalal
@saimalunde4002
@saimalunde4002 7 ай бұрын
Aswaaaaaa waaaambie
@sabriabdalla9562
@sabriabdalla9562 6 ай бұрын
Innalilahi wainna ilaihi... haram, haram, haram.
@nassor6333
@nassor6333 8 ай бұрын
""Zanzibar mara mia kwa ubora kuliko Saudi Arabia ushafahamu"" "bora uifate Jamaica kuliko Saudi Arabia " 😂😂😂 kuna mashekhe walisema hayo maneno sasa najiuliza haya yanayofanyika hapa kwetu hawayaoni?? Yaani Masalafi ndio wenye uisilamu wa kweli.
@rajabubwakila1977
@rajabubwakila1977 7 ай бұрын
Kazi mnayo mlokamilika kabla hamjafa
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 7 ай бұрын
Manara mwenyewe ana laana iliyopitiliza bastaad
@RashidiSamandeko
@RashidiSamandeko 3 ай бұрын
Hawa mungu anawasubiri kueachoma tu hakuna malipo mengine ni Moto tu huwezi kuchanganya supu na mkojo ukanywa
@saidybhoky-lb7hg
@saidybhoky-lb7hg 8 ай бұрын
ndy tukisema maulidi nikama tarabu wanasema sisi tunampinga mtume wetu na kutuita wahabi tatz watu hawasomi dini
@mfalmekima5318
@mfalmekima5318 7 ай бұрын
Katoka kukanyaga mavi karukia mikojo sijui ndo kuna tofauti ipi hapo dah mitihani bilisi kweli anatuweza
MARYAM HAMDUN AMTOA MACHOZI BABDEO - KASWIDA MRIDHI - LAYLATUL 2024
15:00
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Music Video)
2:50
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 2 МЛН
YAHYA BIHAKI AKIIMBA KASWIDA YA JIRANI, LAYLATUL HELWA 2024
11:03
BABDEO MILADU
Рет қаралды 23 М.
MSAANI RUKIA RAMADHAN NAE AJITOKEZA MBELE YA VIONGOZI.
25:33
SUNET TV
Рет қаралды 10 М.
MUHAMMAD KHAMIS AMLIZA UST SAID, AONESHA UWEZO KUBWA, MUZDALIFA 2024
32:21