Wasome Yohana Sura 10 Mstari 30 Yesu anasema Mimi na Baba tu Umoja , Yaani Roho . Yohana 10 Mstari 36 na 38 Yesu anasisitiza Baba yu ndani yangu .
@JordanRichard-s2d4 ай бұрын
Kazi nzuri ndacha Mungu akuzidishie nguvu yakumtumikia vyema Amina.
@Julius-i6e4 күн бұрын
Ndacha,mungu akuongoze,kuzidi ufunze watu ukweli.
@zionlinkmedia94012 күн бұрын
Rafiki yangu Ndacha Wacha Mungu akutumie kuwapasha habari waislamu sababu ni kupotea wamepotea. Nitajiunga nawe tuhubiri pia Nina kipawa hicho.
@EVA.ERICNAMUFWAKAGEАй бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Ndacha
@PeninaElia-v3n4 ай бұрын
Barikiwa ndacha
@RubeniBernardАй бұрын
Ndacha nakuita tenaaaa natenaaaaaaaaa ndachaaa weweee nitishio kwa hawa jama mungu anakupenda maana wakristo sisi tunaee mwamba we2 yesuuu
@njuhinyararaofficial4 ай бұрын
💪💪barikiwa zaidi mwalimu Ndacha...🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Mundyboy85415 күн бұрын
Ubarikiwe mwalimu ndacha....wa kubali wasi kubali yesu ni mwana wa mungu na yesu ni mungu
@VitavyakirohoTV2 ай бұрын
Mungu akubariki Sana mwalimu ndacha
@HappyHappy-k4j3i25 күн бұрын
acheno ushamba wsislam kuulizs maswal yakijinga eti wakristo swalilao ambalonigumu ukiwauliza munguninani ngojanikujulishe mungu nibabayetu mwenyenguvu zote mwenyenguvuzite hanamwiliwala hakuumbwa naanakaa mahali popote upo
@markkemboi530112 күн бұрын
We glorify God for that Grace brother Ndacha
@peacemwesiga23 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤ndacha jeshi la Mungu mtu mmoja uzuri katika kweli Ya Kristo hata Iweja ❤❤❤❤❤❤
@GilbertNhigula25 күн бұрын
Wakolosai Sura 2 Mstari wa 9 Unasema Katika Yesu kristo Unakaa Utimilifu Wote wa Mungu kwa jinsi ya Kimwili .
@RobertWesley-z7u10 күн бұрын
Mungu akubariki ndacha
@GilbertNhigula25 күн бұрын
Wasome Waefeso Sura 4 Mstari wa 9 Unasema Aliye Shuka ndiye Aliye Paa juu Sana Kupita Mbingu Zote , Nae alitoa Wengine , Mitume , Manabii , Wainjiristi , Wachungaji na Walimu .
@constantinennonjela392228 күн бұрын
Ndacha nakupenda sana maana unaondoa utata wa waislam
@charlesboniphace22494 ай бұрын
waalimu wengi wanashindana na mwebrania mmoja ,😂😂😂😂
@MasaRobert-u3t21 сағат бұрын
Mungu akurinde mutumishi amin
@EvaristEmmanuel-rd7hr4 ай бұрын
Kazi yako njema pastor ndacha
@martinmkoba3614 ай бұрын
Ndacha unajua mpaka unajua tena
@GilbertNhigula25 күн бұрын
Ndugu Zetu Wasome hii Kwa Makini Watajua Kuwa Mungu ni Nani na Yesu kristo ni Nani !. Yohana 16 Mstari 7mpaka 16 .
@tsumamartin68784 ай бұрын
Ndacha dume la mdhahalo East Africa yoooote
@mjombawallace49664 ай бұрын
Africa yote Kwa sababu kizungu inakaa inamlemea kiasi lakini tungemupa Fair mpaka uharabuni akonane na Ustadi Zakir 🤝🤝🤝🤝 lakini Roho wa mungu yupo nae
@Mapenzi26354 ай бұрын
Yumkini, duniani kote.
@GilbertNhigula25 күн бұрын
Soma hii Mathayo 26 Mstari 38 Yesu anawambia Wanafunzi wake kuwa Roho yangu Ina huzuni Nyingi Kiasi cha Kufa . Jibu , Kumbe Roho ni ya Yesu kristo , .
@GilbertNhigula25 күн бұрын
Wasome Yohana Sura 4 Mstari wa 24 Unasema Mungu ni Roho na Kweli .
@0badiaMwasongwe-rt1wr4 ай бұрын
Yaan walimu wa kiislamu hawajielewii mwenzao anafindishaa wao wanapigaa kelelee tuu baada ya kusikilizaa yaan hata kwa akili za kawaida unaona kabisaaa wamepungukiwaa na HEKIMA
@CharlesMbise-hc2sz4 ай бұрын
Ndacha ni moto wa kuotea mbali, Tanzania nzima hakuna mtu mwenye uwezo wa kufanya naye mjadala
@JeanMuzaliwa-bs6qh4 ай бұрын
kbs kbs umenena
@MdNasr-jm8pj4 ай бұрын
Usilolijua litakusumbua IPO siku mtajua dini ya khaki na mtajua huyo Yesu ni Nani Kwa Mungu
@JeanMuzaliwa-bs6qh4 ай бұрын
@@MdNasr-jm8pj huo ndio wimbo tunajuwa kwa kila muislamu quran 3:19
@francisjoseph10744 ай бұрын
Ndacha ni mwalimu mzuri ILA kuna MTU anaitwa bishop ngonyani , anajua maandiko sio mchezo uliza swali lolote ndani ya biblia unalolijua wewe ,
@francisjoseph10744 ай бұрын
@@MdNasr-jm8pj nyie makafiri , njooni kwa Yesu acheni ujinga
@haronokesa954511 күн бұрын
Funza waislamu
@0badiaMwasongwe-rt1wr4 ай бұрын
Yaan kuna mwalimu wa kiislamu anachekachekaa tuuu kama Juhaaaa
@FridayMwassa4 ай бұрын
Ndivyo walivyo,
@GilbertNhigula25 күн бұрын
Ndacha Wamalize na hii , Wasome Kwanza 1Timotheo 3 Mstari 16 Unasema Mungu Alidhihirishwa Katika Mwili na Kuchukuliwa juu Katika Utukufu wake .
@sedekiantibahoha2245Ай бұрын
MNG akubariki San ndacha upo siku watakuerewa tu
@GilbertNhigula25 күн бұрын
Ndacha Wasome Fumbo ili , Yohana 18 Mstari 20 Yesu anasema Mimi nimesema Waziwazi ulimwenguni . Soma Matendo 1 Mstari 2 Anasema Aliwagiza Mitume kwa Roho Mtakatifu Wale aliyo wadhiirisha Nafsi yake ,. Yaani Roho Yake.
@Simonsimolo-x7h8 күн бұрын
Amaze😂
@MuslimYouthman4 ай бұрын
Jambo ambalo ni gumu sana kwa wakristo ni kuwauliza mungu ni yupi hapo pazito sana
@FridayMwassa4 ай бұрын
Hata hujui kutofautisha Kati ya Mungu na mungu, Mungu ni mmoja na YESU ni mwanawe wa pekee
@MuslimYouthman4 ай бұрын
@@FridayMwassa kutofautisha kati ya mungu na mungu vipi wakati mungu ni mmoja tu na mungu hajasema ni mwana wake hayo ni madoido ya wakristo soma pia Jeremiah 31:9 Ephraim mwana wa.... zaburi 89:27 Daudi mwana wa.... 2samuel 7:14 watoto wa Daudi wana wa...... jibu ni kwamba mungu hana mwana wala hafanani na yeyote KITABU CHENU KIMEANDIKWA NA WATU KILA AINA UKWELI NA UONGO UMO NDANI PIA SOMA AMRI YA KWANZA USIWE NA MIUNGU WENGINE ILA MIMI MUNGU ANAKUAMBIA HAKUNA MIUNGU WAWILI,WATATU MUNGU NI MMOJA TUU ELEWA WALA HANA MTOTO KAMA NI KUZALIWA BILA BABA KUMBUKA ADAMU AMETOKEA BILA BABA WALA BILA MAMA
@michaelthobias99672 ай бұрын
Rahisi kwa ndacha mana anasoma mandiko hatoi kichwani
@DAVIDMAGHANGAАй бұрын
Asante ndacha
@josephbills20994 ай бұрын
Sasa mbona wa Islam hawasikiriziyaani wanahangaika tu ndo maana wanashindwa kuelewa
@SemaStudio-jn1yv4 ай бұрын
Absolutely, ukifuatilia vizuri. Waislam hapo lengo lao sio kuelimika. Lengo lao ni kuwafundisha wasikilizaji dini yao inasema nini. Kwa hiyo hawawezi kupatana hata mara moja wala kuelewa kinachozungumzwa hapo.
@jakuabdull344 ай бұрын
Tatizo hapana cha kusikilizwa hapo ndacha anaconda tu
@GreyAloyceАй бұрын
@@josephbills2099 ndo man wakifika Jukwan wanazunguka to man hakuna wanachofanya
@JordanRichard-s2d4 ай бұрын
Ndacha anawapa mafunuo walimu wa kiislam, maana hua mashekh wanasoma biblia bila kujua imejaa ufunuo, ndio maana neno lililopo waefeso litakua na muafaka kamili kutoka ata kitabu kingine . Mafumbo yaliomo yana maana sana kwny biblia pengine yangekua wazi ?. Wenye fitina wangefanya yao kama wale waliopewa rushwa na mafarisayo waseme yesu ajafufuka ingali alifufuka.Tunae roho wakuyafumbua mafunuo haya yote ndio maan kwetu ni rahisi kwakua yesu hukaa ndani yetu, sasa kama autamuamini!! Wapi roho wa Mungu tuliopewa na yesu atakufunulia haya yote. Ni ngumu kidogo kwa muislamu kufunuliwa , kwasaab ili sharti upate ufunuo au uponyanyi sharti uamini. Itabidi uamini kwanza alafu ndio upokee uwezi kupokea alafu ndio uamini maana Mungu wako sio mwizi kusema ngoja atoe pesa kwanza alafu ndio nimpe moyo wangu kama ambavyo tunafanyaga kwny biashara . Ndio maana yesu hakutenda kitu pasipo mtu kuamini. Hio ndio mbinu ya Mungu . Na mbinu ya shetani ni rahisi sana kuijua mfano ubunifu wa maneno na unafiki maana heshima ya mnafiki yatokana na ubunifu wa maneno ,, Ona sasa walimu wao wanashindwa kutulia na kusikia mwenzio akiwapa mafunuo,,, lakini ambapo angekuwepo juu mwenywe alikua akiongea maneno yake akiitaji asikilizwe. Basi kubalini na kumkiri yesu kristo yakua ni Bwana .
@YunisnafulaTaabuАй бұрын
Ndacha sambalatisha iyo horoo ya akina delila
@MwamvuaHamis4 ай бұрын
Pole sana ndacha ulie mwalim lipofu yeah amefumdisha iman ya mungu mmojakwa wana wa islaeli imani ya utatu mtakatifu amefumdisha paulo mtume wenu
@FridayMwassa4 ай бұрын
Weka andiko, umekalilishwa na vishehe njaa mbumbumbu mzungu wa reli
@martinmkoba3614 ай бұрын
Ukitaka kujua waislamu wameishiwa wote wanajifanya wanachati wake kwa wanaume.hawa watu wanam chukia ndacha kama ukoma aisee mpaka wameacha mchezo wakusilimisha waislamu wenzio kujifanya wakristo😂😂😂😂
@AidanoSilvestreSabiniSabini4 ай бұрын
Uyo mpumbafu anacheka nini? Mbona akai vizuri.
@mandelasamson84019 күн бұрын
Huyu unayechekacheka unafurahishwa na nini wakati mnapigwa nondo
@MathayoCharles-z2uАй бұрын
Tazama ndacha yupo pekee anawabuluza mashee wengi wanafuata mkumbo
@HappyHappy-k4j3i25 күн бұрын
halafu minashangaa mashehe wengi miwaganga wakienyeji au misahafu ndoina elezaivyo
@DAVIDMAGHANGAАй бұрын
Mwalimu endlea kuwafunulia
@CharlesMbise-hc2sz4 ай бұрын
Ndacha safiiiiii
@mjombawallace49664 ай бұрын
Kiboko yao huyu amejaa roho wa Mungu 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@leomika84733 ай бұрын
Ili risilam lenye kikanzu Cha udongo linakenua vimeno.tu badala yakusikiliza mafundisho ndomaana yanakuwa mabishi
@يونيسيونيس2 ай бұрын
Mbona Waislamu huwa wanapiga makelele
@AdamKibona-xe6pgАй бұрын
Mtu mmoja anashindana na watu mia 😅
@MaulidMau-v9p4 ай бұрын
Mimi niwafahamishe Makafiri kua neno (innalilahi wainailahi rajiun) maana yakeni kua (sisi wote ni WA mwenyezi mungu na tutarejea kwake)
@OLUNGAJOSHMAH4 ай бұрын
Andiko gani
@leonardchoma37654 ай бұрын
Uislam ni taka taka tu.Allah,hana Uwezo wowote.
@khatibal-zinjibari69564 ай бұрын
@@OLUNGAJOSHMAHIko kwenye Qur'an. Kwenye Biblia haimo.
@FridayMwassa4 ай бұрын
@@khatibal-zinjibari6956weka hilo andiko.Mnakopi kwenye vitabu vya wayahudi kuhalalisha dini yenu
@HappyHappy-k4j3i25 күн бұрын
sisi tuna msubili yesukristo nyie mnamsubili nani hatauniue sitoki kwenyeimani yangu manandonjia yakwel nauzima wa milele
@servantofgod4340Ай бұрын
huyo mbaba kwenye meza ya waislam alievaa dera la ugoro mbona anakenua na kurukaruka kama chizi😂
@mahsneermohammed21074 ай бұрын
Tunafaa tujuwe mtu huwa hapotei peke yake mpaka apoteze na wenzake ili asiingie motoni peke yake
@SostenesMabala-tt8pt24 күн бұрын
Ndacha hujui chochote wala dini huna
@AidanoSilvestreSabiniSabini4 ай бұрын
Kwanini uyo anangaka shana? Mbona akai vizuri na Shafi?
@presenttruthloudcryforthel533815 күн бұрын
Hizi ni dhana tu ,,mbona mnatuletea kitu ambacho hamna ushahidi ,,mitume walisherehekea wapi ama iliandikwa wapi story za sherehe ya kuzaliwa kwa Yesu kwanzia mwaka uliofuatia mbona mnasingizia katika io siku
@MdNasr-jm8pj4 ай бұрын
Yesu sio mwana wa Mungu hana mtoto hakuzaa wala hakuzaliwa
@0badiaMwasongwe-rt1wr4 ай бұрын
Huyo ni Allah ambae hana mtoto lkn MUNGU alieumba mbingu na nchi mwanae ni YESU KRISTO.
@HONJEB4 ай бұрын
@@0badiaMwasongwe-rt1wr exactly
@JohnOuya-w7j4 ай бұрын
Lakini shetani anakizazi ebu fikiria,nakumbuka mwenyezi mungu Ana uwezo,anasema kuwa na inakuwa tafakari
@martinmkoba3614 ай бұрын
Kwanza Allah ni ibilisi wala sio Mungu😂😂
@whatmakesthisthingsimpossi74874 ай бұрын
@@MdNasr-jm8pj so tukuamini wewe ama Mungu......mungu anasema msikizeni mwanangu.....nawewe unasema hakuzaa na hakuzaliwa......tena ...tukumini ma tuamini mungu?
@complex75824 ай бұрын
Nendeni mkasikilize Ndacha alivyojibiwa
@newforcejv97214 ай бұрын
Hatuna muda uwo nyny mnarusha vipande kwenye media zenu vya wahadhiri wenu tu
@complex75824 ай бұрын
@@newforcejv9721 😆 😂 zipo zote babu
@martinmkoba3614 ай бұрын
Tumemsikiliza shafii alivyojibu hana lolote
@mjombawallace49664 ай бұрын
Wewe kama sharbik wake tuambie Basi 😂😂😂 Mimi ni nacho jua Hawa masheik hupiga kelele tu ka Ndacha anaubiri ,haeana adhabu ata kidogo
@complex75824 ай бұрын
@@mjombawallace4966 ndacha kapiga kelele mpaka koo limekauka
@BadJunior-v7g4 ай бұрын
maashaallah mashekh hata hawan presh coz kitabu chetu hakin shak ndan yak kulik hich chao kinachojikataa chenyew n ubay hakiwajui zaid ya watu wa israele😅😅😅😅😅
@adinanihashim74 ай бұрын
Huyu ndacha hamna kitu anafoka sio kama shaffy jana aliumbuka sana me nilikuepo
@martinmkoba3614 ай бұрын
Kwanza Allah sio Mungu hivi unalijua hilo😂😂😂
@BadJunior-v7g4 ай бұрын
kila shekh anamtak yey na akimshindwa anapoint mwingin 😅😅😅
@mjombawallace49664 ай бұрын
@@martinmkoba361kabisaaaa sio mungu alafu nafikiria hautijui 😂😂😂😂
@mjombawallace49664 ай бұрын
@@BadJunior-v7g anataka kuwafunza neno la mungu Nyinyie Wana wa Ismael 🤣🤣🤣
@MohamedMohamed-u3t1n4 ай бұрын
Mada ya jana walikua wakisaidiana ndacha na mwamkemwa leo hawawezi kusaidiana hoja mana huyu anasema ni mwana mwankemwa anasema huyo yesu yeye ndio baba na yeye ndio mwana acheni ubishi ukristo hauwezi kuwa dini mnaunga unga sana maandiko
@WAREENG126 күн бұрын
Huo uislamu wenu ndio HAKUNA KABISA. Yaani hata Muhammad aendako HAJUI, wala atakavyofanywa HAJUI!
@AmiriahmadingerezaNgereza4 ай бұрын
Ivi nyie wakristo mnaakili Gani Alie waambia mungu kazaa ni nani mpaka mnasema yesu ni mwana wa mungu Yan kama amuwezi kuelewa
Tatizo lenu mnajua kuzaa kwa NGONO tu ndio maana mnaahidiana KUPEWA WANAWAKE 72 peponi. Akili fupi sana. Na kumbuka pia dini yenu ililetwa ili KUUPINGA UKRISTO. Ndio maana hata shahada yenu imeanza na hayo hayo. Uislamu ulikuja zaidi ya Miaka 600 baada ya ukristo, na kabla ya ukristo ulikuwepo Uyahudi. Wayahudi HAWAKUAMINI kuwa Yesu ni mwana wa Mungu ila WALIKIRI kuwa YESU MWWNYEWE KAJIITA MWANA WA MUNGU. Walau hawa Ni WAKWELI japo HAWAKUBALIANA na jambo husika. Ninyi mambo ya Msingi ya Yesu mnayapinga ili tu muendelee kudanganya watu
@MohamedMohamed-u3t1n4 ай бұрын
Paulo ndio kawafundisha hayo yesu mwana wa mungu mrumi huyo kawapoteza
@WAREENG126 күн бұрын
Sikiliza ndugu yangu:- Unapoongea UONGO ili kuitetea DINI elewa tu hiyo dini unayotetea inakuwa SIYO YA MUNGU BALI SHETANI kwa kuwa Mungu HAENDANI NA UONGO. Umesomewa hapo mafungu Yesu mwenyewe anasema ni Mwana wa Mungu halafu unasema ni Paulo, hivi Paulo alikuwepo wakati wa huduma ya YESU duniani?
@GilbertNhigula25 күн бұрын
Wasome hii Mathayo 5 Mstari 11 harafu Wasome na Tito 1 Mstari 16 .
@MidoMidomore4 ай бұрын
Baada ya Poul kutengeneza ukrito,wafuasi wamekosa pa kushika
@noorbawaazir90354 ай бұрын
Ttzo la ndacha katoka nje ya makubaliano ya vitabu vipi kutumia..na waislam wangetumia vitabu vya watu wengine pasingetosha hapo.😅
@mjombawallace49664 ай бұрын
Si ata akawa jibu bila malalamiko uuuhm
@mrx86084 ай бұрын
Alafu mwl ndani nikushauri jambo Hawa jamaa wao wanafundishwa kulingania dini iwe Kwa kweli ama uwongo pls mda wa kuachan nao hao sasa hubir injili Kwa watu ytosha bro imni zetu diff sana hawaamini ufufuo
@mjombawallace49664 ай бұрын
Auburi mpaka walie
@sosdododo56534 ай бұрын
Ikiwa yesu mwenyewe mara ni mungu mara ni mwana wa mungu hata hamujijui muna jicontradiction wenyewe na hio bible yenye errors thousands ndani yake,,muhim ikiwa yesu mwenyewe hajui siri za mungu nani mwingine atajua yeye yesu asema hajui kitu ila mungu peke yake ndio ajua ,,wakristo watu walopotea mungu awasaidie wamepotea nawazidi kupotea
@barakamwantolwa43364 ай бұрын
@@sosdododo5653 Soma kitabu chenu...mumeambiwa mambo ya kiroho ninyi hamuwezi...waulizeni
@sosdododo56534 ай бұрын
@@barakamwantolwa4336 alhamdulillah sisi tuko na kitabu natuna kifwata vizuri hakina ubabaisho hata kidgo kuna sura ikhlas inatujulisha mungu mmoja peke bila kupoteza nafasi yeye tu ,,,sasa njoo kwako wewe na wakristo wenzako muko na kitabu GANI?
@charlesboniphace22494 ай бұрын
Yesu ni complex usipokuwa mkristo na roho wa Mungu ukakosa Yesu kwako huwezi kumuelewa
@sosdododo56534 ай бұрын
@@charlesboniphace2249 wapi yesu alisema yeye ni complex usimbandikie mambo ya urongo,,alafu very simple yesu alijitambulisha yeye ni nani kwa John 17,3,,manake hapo alisema kuhusu internal life kama kuna jambo lanyongeza angeliweka hapo lakini hakuna isipokua yeye ni mtume ame tumwa full stop
@ianak44 ай бұрын
@@barakamwantolwa4336 Umeshajichagulia fungu lako, ndio maana jambo hili limefichwa usilielewe, upo jangwani huoni njia (ambayo ni Yesu). Yesu alishafunuliwa siri zote na Baba yake na hata unayoyawaza wewe anayajua "Luka 5 21Waalimu wa sheria na Mafarisayo wakaanza kujiuliza: “Nani huyu anayesema maneno ya kufuru? Hakuna mtu awezaye kusamehe dhambi ila Mungu peke yake!” 22Yesu alitambua mawazo yao, akawauliza, “Mnawaza nini mioyoni mwenu?"
@BadJunior-v7g4 ай бұрын
kam roh wa mung unafunuliwa kwenu mlio amin kuw et yes n mung mbon kutwa mnajazan kwa mabast wa uwong😂😂😂😂 si mmefunuliw n mu g yup ndan uen mbon mnamapepo n majin kwa makanis 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅