Woteeeee mnaomchukia kiboko ya wachawi mjue kuwapiga kitu kizitooo😂,ila mimi nampenda kibokoo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ishi miaka baba na mungu azidi kukupabaraka
@APPOSTLEIbrahimuNangale13 сағат бұрын
Makonda mtu wa mungu usimtaje taje mtu wa mungu pambana kuzimu umekubali kuitumikia
@mwanyongamama440721 сағат бұрын
Watanzania tumtake Bwana na nguvu zakeeeeee Ktk Jina la Yesu Kristo Aliyehai
@RubensaroSaro-ip6byКүн бұрын
Hatutaki ujio wako, wala hatujakuambia tunashida na pesa wala upako wako MUNGU aliye hai atakuadhibu Kwa viboko vikali unamajigambo ya kizimu kabisaa
@nelsonnyamle19 сағат бұрын
CHEKI ALIVYONYOA KWANZA ETI MTUMISHI WA MUNGU SHINDWA KABISA
@user-nf5zd7wg1f21 сағат бұрын
Sikupendi weewe ni Ibilisi live. Ulimrubuni mke wangu akakuletea laki 5 na hukumuombea zaidi ulimwambie aandike majina katika karatasi utayaombea mwenyewe hayo majina baadae. Haufaai kabisa ww ni nabii wa kuzimu.. Mwenye jicho haambiiwi tazama.
@hellenyosse130221 сағат бұрын
Usichanganye wana wa Mungu
@DaimonMwapelele19 сағат бұрын
Shetan wewe pumbavu pepo wewe ndio mchaw mwenyewe
@sandrangoma-jn9qw2 сағат бұрын
Wachawi na washirikina wanachukia sana mtumishi ambae anatabiri Coz anatoa siri zao uko juu baba fufua walio kufa kimsukule ndani ya Arusha
@NghobokoSalehe-kv3qmКүн бұрын
Ewe inchi(ardhi) na Anga (mbingu) ARUSHA,Kwa Neno la Bwana msipokee uchawi,Uganga na unajimu naviamuru kwa Damu ya Yesu Kristo na kwaJina la Yesu Kristo visifanikiwe,Nalituma Neno ZABURI 107:20 , Amina.
@user-kv8jh5kr5h19 сағат бұрын
Pumbavu zako shetan wwe, utakufa vibaya ww
@user-zm7kk1tr5l4 сағат бұрын
Tunamtaguta mungu lakini kwa apa apana sasa najiuliza hizo pesa yeye anazipata wapi waumini wezangu tuweni makini apa tunapigwa
@saimongilala893812 сағат бұрын
ww pumbavu zako taper mkubwa ww
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp5 сағат бұрын
Mbona hajaongea vibaya kWa makonda
@dubai8594Күн бұрын
HUYU NI SHETANI MZIMA MZIMA
@hellenyosse130221 сағат бұрын
Mtumwa wa shetani hatukutaki aes
@erickmsigala1387 сағат бұрын
Hivi ndiyo vinabii vipumbavu vya kuchomwa moto vinawataabisha watu kwa utapel
@LusajoKabuka16 сағат бұрын
Ushindwe Tena ushindwe makonda mungu akupe macho ya ndani ya rohoni huyo huyo no no Tena noo ameni
@WansolaLuther-tq8qmКүн бұрын
Sifa tu, sikupendi kabisa.
@RoseMayige-gn9qb19 сағат бұрын
Paul Makonda Yesu.akufiche usikutane na huyu agent..