Kwenye Makomando tupo vizuri tuna ma special forces shupavu tupo vizuri kwenye swala la Makomando 💪💪🇹🇿🇹🇿💪💪💪
@RabihuHussein2 ай бұрын
Kazi nzuri sana JWTZ. Ila kwenye hizo ndege mbona kama sijaelewa vzr!🙄🙄
@HamisiKungongo2 ай бұрын
Allah amlinde raisi na awaongeze katka majukumu zao ahli sunna tunawaombia Dua viongozi wetu kazi njema
@kijomkudevic81942 ай бұрын
nikiangalia mindset za watu wengi hazijui vitu maana wanalinganisha jeshi letu na nchi zenye machafuko na kubeza wanajeshi wa TZ, ipo hivi ukiona nchi ipo kwenye machafuko inamaana wanajeshi wake wameshindwa kitekeleza majukumu yao mpaka machafuko yanatokea, ila ukiona kupo shwari basi ujue kazi wanafanya bila shaka
@labanhezekiel56272 ай бұрын
Mhh, ngoja tunyamaze tu, ila pia Kenya unaizungumziaje...?.
@Emmanuel-b4g1n2 ай бұрын
Wewe niya Tima wa akili,serekali ni raiyaa na wanajeshi bila shaka pia Wana sikiliza
@EbroniMboka2 ай бұрын
Hawatekelezi majukumu yao ndo mana Kuna vita aisee kweli uelewa wako ni mdogo sana, Nyerere alifanya kazi nzuri sana ndo mana atakumbukwa miaka yote kumfanya kila mtanzania kuwa mzalendo, Yani Tanzania mkipanga Siri mkiwa 2 lazima Kuna mmoja wenu ataenda kuivujisha tuu ndo mana vyombo vya ulinzi vya Tanzania huwa havipati tabu kupata data kamili,kwa hiyo ndugu yangu usikalili kwamba askali wetu wanatekeleza vizuri majukum yao ndo mana hakuna machafuko kiufupi ni kwamba usijisifu una mbio msifu na unaemkimbiza askali wetu wana mbio Sana ila laia Wake hawana mbio ni ngumu Sana kuja kutokea machafuko hapa kwetu kwa Sabu laia wetu hawana mbio
@kijomkudevic81942 ай бұрын
@@EbroniMboka ukiangalia histori ya jeshi letu utaelewa, maana limepigana kukomboa baadhi ya nchi na habari walipataje huko na ikiwa sio ndani ya TANZANIA?
@kijomkudevic81942 ай бұрын
@@Emmanuel-b4g1n swali lako halieleweki
@djarudkellz2 ай бұрын
Tzd nisawa kbsa inafurahisha alakini Rwanda 🇷🇼 nayo nisawa sana
@petronyereresaliboko40472 ай бұрын
Hongera jeshi letu la tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 lakini hatuombei vita
@joshuason5572 ай бұрын
Hongera sana jwtz lakini robot dogs are the one working now and drones ziko wapi ✌🏿✊🏿
@stn48732 ай бұрын
All in All, Mbwa ni Askari pekee muaminifu na asiepokea rushwa.
@elisdotenv2 ай бұрын
Bravo Brothers, We need to pay more taxes though, we still need Sophisticated and More Elite Equipments,
@VictorDominick-qg5qq2 ай бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏🎉🎉🎉. God bless TANZANIA
@josephelias73642 ай бұрын
Hongera sana jeshi letu
@fatmafatu11282 ай бұрын
Wamefanya kazi gani?
@jeffhard57732 ай бұрын
Wamefanya kazi ya kujenga hofu ndani ya nchi ili waendelee kutawala. Au sio bi fatma
@JoyceJulius-r6g2 ай бұрын
Naupenda sana ujeshi
@puritdana2 ай бұрын
Anyway leo kulikua nini tz hongera jirani
@PeterJustin-ke5mk2 ай бұрын
Good operation
@shaddybmc83422 ай бұрын
Mbwa wa nyuma nimemkubal sana yuko vizur
@josephsokhia2 ай бұрын
Tuombe mechi ya kirafiki na Uganda tena
@IreneMerchades2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@rayisadesigns26462 ай бұрын
Nenda kaombe we na familia yako 😂😂😂😂
@rayisadesigns26462 ай бұрын
Kama kuuwana ni utamu nenda kapigane we na familia yako... 😂😂😂😂
@rizikiminga30102 ай бұрын
Jieshimu basi
@HasaniHamadi-j5x2 ай бұрын
Hapo sawa marekani na Israeli wakija tunawamaliza😂😂😂
@EbroniMboka2 ай бұрын
Islael mhm
@gilbertkalanda93542 ай бұрын
Jeshi letu linatupa heshima sanaa
@AminaJackson-w5h2 ай бұрын
Mbona nimeogopa🙆🫢
@worldtechlab2 ай бұрын
Onyesheni equipments siyo sarakasi za kaole group hapo. Onyesheni ma ballistic missile ma equipment ya maana.
@nyandichearts2 ай бұрын
Bongo movie hiyo na makomandoo wa mchongo😅
@stn48732 ай бұрын
Naona mbwa wamerudi sasa jeshini, maana enzi zile tupo kwa Mujibu wakufunzi walikua wanatania wanasema ooh huku mbwa walikuepo zamani ila kwa beto la huku wakakimbilia polisi😂😂😂😂 kule ndio wanapaweza huku msoto mkali, daaah! Majeshini utani kibao.😂😂😂
@georgedaniel49622 ай бұрын
Umeona tena kwa dharau eti kama unataka mbwa nenda polisi mmmh sio utani ila walijikuta wao ni Miungu watu kumbe wote mbwa mwitu.
@georgedaniel49622 ай бұрын
Du huyo wa nyuma analindwa na nani!? Achana na sniper.Polisi wako juu kwa hilo.
@MashakaMagesa2 ай бұрын
Ongera ziende kwa Brigedia General Afande Barati ndiyo alikuwa mkufunzi wa makomando 92
@SalumJohn-h2s2 ай бұрын
Wale hawana ata mafunzo lakin mtaisoma namba😂
@jifunzenacomex2 ай бұрын
Movie ya kibongo au 😅
@EmmanuelLucas-of3pc2 ай бұрын
Mnaonaje tukiomba pambano la kirafiki na Palestine.ngoma inaweza ikatika droo au vipi? Tujuane kwenye Comment 🤣😂
@alphoncewilliam43252 ай бұрын
Ao ni nyau tu tutawafumua
@SalumJohn-h2s2 ай бұрын
Tuombe match ya kirafik na Afghanistan 🇦🇫 😂
@MupenziVedaste72 ай бұрын
Laik
@DerickNgowi-mf5pe2 ай бұрын
Mbona kama mbwa koko
@LatifaCharles2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@TumainiMbati2 ай бұрын
Kwa mbwa bado sana
@noonelike63822 ай бұрын
Wapo slow Sana, wanazingua
@jasonwatz74572 ай бұрын
Wewe unajua alolote? Au umeshiriki mafunzo yoyote? Ujuaji tu
@noonelike63822 ай бұрын
@@jasonwatz7457 Kwa hivyo we unasemaje Sasa??..
@fahadrashid97542 ай бұрын
Mbona zile movie tukiangalia wakishuka kw kamba ivo huwa hawaikusanyi coz huo mda wanakusanya kamba adui kama yuoo chini anajua mumeshuka na muko busy na kukunja kamba anawashambulia chap
@jasonwatz74572 ай бұрын
@@noonelike6382 hamna kitu unafahamu, youtube general
@jasonwatz74572 ай бұрын
@@fahadrashid9754 hizi ni demo, kwenye mazingira halisi ya kazi hawashuki taratibu hivyo, kuna kitu kinaitwa fast roping na slow, kila moja ina mazingira yake
@robertmatabalo54542 ай бұрын
Kuna comment nyingine za ajabu mnaomba mechi mh huo Ni ufahamu mdogo
@jomiAfrica2 ай бұрын
Hao mbwa ninoma
@Yesunijibuu2 ай бұрын
jinsi nchi ivyopoa utadhani haina watu wa kazi yaana hapa hata akija putin na majeshi yake hawachomoki
@mohamedleonard7602 ай бұрын
sema mbwa vita
@thedriver.michael.39752 ай бұрын
Kuna mahelkopta yasiyo na rubani vifaa vyetu
@PatrickJulius-uy3yb2 ай бұрын
Mimi nasubilia kije kinuke warafu serikali iseme vijana turioko mtaani tuingie vitani nahic hiyo itakuwa vita ndani ya vita😅
@deniccgabriel61532 ай бұрын
Tunawaacha wage wenyew kwa vile wanatuteka wao msaada wa nin
@epieluambano2 ай бұрын
Tunajitangaza subili tuvamiwe ndio tutajua tunaguvu au la
@stephenomulimi61672 ай бұрын
Sarakasi tuuu
@vincentndonye79892 ай бұрын
Kuna potokea vita ndiposa tutaons ushuvapu wenye...zingine ni show tu
@JEAN-PIERREHAKIZIMANA-q5d2 ай бұрын
😊l
@abassabass5292 ай бұрын
toooo slow
@rasnchimbi2 ай бұрын
Mikwara ya chaguzi zimekaribia😂
@SalumJohn-h2s2 ай бұрын
Kweli
@hassanmfaume45222 ай бұрын
Kama mkwara jaribu kuleta za kuleta😅😅😅
@jasonwatz74572 ай бұрын
Maadhimisho si mikwara
@SualeheDali2 ай бұрын
Tuombe Rússia tumbambane nae
@CaliforniaU.S.A2 ай бұрын
Eeeeh 😅
@Mmms1w1Yyy1h1y12 ай бұрын
Vita ya ivio isha pita na wakati!sasa hivi ni ndege isiyo kuwa na rubani ma bomu ya masafa marefu
@IssaManjapa2 ай бұрын
Ww usiwe kama fara usikalili vita boy
@alexkazimoto70592 ай бұрын
😂😂 wew huenda hujielewi wew
@LionelJr232 ай бұрын
😊😊😅😅
@Mmms1w1Yyy1h1y12 ай бұрын
@@alexkazimoto7059 nyinyi ndiyo amjielewi!naongea ukweli nyinyi mnakuja juu
@J4UPro2 ай бұрын
Safi sana @@IssaManjapa
@makamekhalfan59682 ай бұрын
tuomb urus kupamban nae bc
@dallasmusic64652 ай бұрын
Kombora moja nchi nzima na ndio itakua mwisho wa Tanzania🇹🇿😂😂😂
@Niget-us1np2 ай бұрын
@@dallasmusic6465kabc
@SADICKITHOMAS2 ай бұрын
Russia wana MIG 31 inapiga km 750 west wanaweweseka na wehu w Kremlin