KIKWETE AMKUMBATIA NYALANDU KWA FURAHA BAADA YA KURUDI CCM, RAIS SAMIA ATIA NENO...

  Рет қаралды 21,754

Global TV  Online

Global TV Online

3 жыл бұрын

KIKWETE AMKUMBATIA NYALANDU KWA FURAHA BAADA YA KURUDI CCM, RAIS SAMIA ATIA NENO...
MKUTANO Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) umeanza mapema asubuhi ya leo Aprili 30, ambapo wajumbe wa kamati kuu ya CCM watapiga kura ya kumchagua Rais Samia Suluhu kuwa mwenyekiti wa Chama hicho taifa...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 71
@subiraibrahim8100
@subiraibrahim8100 3 жыл бұрын
Kikosi kimekamilika Tembo wataanza kupotea Mungu awalinde wanyama wetu maana daaah 🥵🥵🥵🥵
@pastorzakariatv1786
@pastorzakariatv1786 3 жыл бұрын
Nimecheka Sana posti yako hongera kwa kuona mbali.
@shadowhatory154
@shadowhatory154 3 жыл бұрын
JPM amekufa ameacha rasilimali za kutosha, Twiga, simba, Tembo na wanyama wengine wengi, sasa basi tafadhali usianze kuwauza, maana majambazi yanarudi kwa kasi sana mjengoni. Chonde chonde😳🤔
@dottokayuli8101
@dottokayuli8101 3 жыл бұрын
Jaman jaman mungu wangu
@seducerkapero7306
@seducerkapero7306 3 жыл бұрын
TUTAELEWANA TU...MDOGO MDOGO(kwa sauti ya DR.SHIKA)twiga alikunjwa akatosha kwenye ndege. labda hiyo inaweza kukupa picha of how serious these people are.
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 3 жыл бұрын
Kwa sasa naamini wame muuwa Mh Magufuli sina inani na huyo Mama
@sarahnyambaka5885
@sarahnyambaka5885 3 жыл бұрын
mama samia kwa maoni yangu .kikwete akae mbali na serikali hili kazi ya awamu ya nne imalizika kwa wakati.Katika inchi yoyote maraisi wasitaafu utoa u shauri akiwa hata kwake nyumbani.sasa hii ya kikwete ni ipi huyu ni mama anachekacheka nini sasa.
@staralive9260
@staralive9260 3 жыл бұрын
Jiulize kwa nini Kikwete ni mwenye furaha kuliko maelezo kwa nini amemkumbatia nyalandu Lazaro kwa bashasha kiasi kile!? Nchi inarudi ilikotoka mikononi mwa WAPIGAJI na wauza madawa ya kulevya. Nchi inarudi mikononi mwa mafisadi wa nchi hii. Dah! Kikwete tunaanza kuona malengo yako uliyotaka ili kuyafurahia na wenzako wafanye utakavyo! Tunashukuru Sana.
@naitwahazina6433
@naitwahazina6433 3 жыл бұрын
Halafu hana hata aibu wala kujificha ficha na amemshawishi Lazaro kurudi kundini kwasababu ameona wanyama wamezaliana ndani ya miaka mitano kwaiyo wanataka waanze yao lkn Mungu anawaona.
@barakashadrack7695
@barakashadrack7695 3 жыл бұрын
JPM kwa nn umeondoka mapema jmn naumia kwl kutuacha mapema
@brightluvanda2795
@brightluvanda2795 3 жыл бұрын
Mhhh! MUNGU wewe ndiye ,,unayeelewa nini kinachoendelea!!" Mi bado niko ndotoni!!"Rip magufuli!
@mwajumabakari3730
@mwajumabakari3730 3 жыл бұрын
Wapigaji wanakumbatiana
@robertsemaganga9168
@robertsemaganga9168 3 жыл бұрын
Uwe makini na hojazako
@abdulmelele7322
@abdulmelele7322 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@abdulijongo1355
@abdulijongo1355 3 жыл бұрын
Hii Ndio Siasa Hii Ndio Tanzania Kuwa Makin
@michaelmaziku991
@michaelmaziku991 3 жыл бұрын
Wapigaji wameanza kurudi maana JPM aliwabana,haya bwana Tanzania shamba la bibi hakuna jipya hapo Mungu atawalaani
@fatemaligalawa1918
@fatemaligalawa1918 3 жыл бұрын
Saana hapo Kikwete ndiofuraha yake
@neemajohn39
@neemajohn39 3 жыл бұрын
Makubwa tumevamiwaaaaaa
@shimbaalex8837
@shimbaalex8837 3 жыл бұрын
Mmevamiwa na nani tatizo mnaishi kwa mashaka sasa wewe ulikuwa unatakaje.Mama chapa kazi naamini wengi watarejea kupitia uongozi wako.ARUTA CONTINUAL
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 3 жыл бұрын
😳😳what a hell ??? 😢😢RIP Mh Magufuli 💔🇹🇿
@zonko0488
@zonko0488 3 жыл бұрын
Wezi wanarudi nyumbani
@robertsemaganga9168
@robertsemaganga9168 3 жыл бұрын
Uwe makini na hoja zako
@barakashadrack7695
@barakashadrack7695 3 жыл бұрын
Yaaan mm sielewi kinachoendelea siku hizi, hii mijambazi mbona inarudi sasa. Mh! Rais wetu Hawa watu sio wazuri na taifa letu
@beaugosseadam6831
@beaugosseadam6831 3 жыл бұрын
Rais wa awamu ya 6 kupitia Samia kamwambia rudi kundini mimi ndie mmiliki wa Remote control. Very soon Nchi itarudi zama zetu na ndo ilikua tamu kweli kweli. Viziwizi wote kama mpendwa wao alieondoka lazima waweke pembeni au wakubari kukaa kimya na kuwa watazamaji. JK anamwita NY Twiga na wanyama wengine wamezaliana wamekuwa wengi ..... maana kipindi chote cha miaka mitanu na ushe wametunzwa vizuri!!!
@kilalaurio9922
@kilalaurio9922 3 жыл бұрын
Du kazi imeanza.
@ishmaelpdaddy2862
@ishmaelpdaddy2862 3 жыл бұрын
Mafisadi wanarudi taratibu rest in peace magufuli baba
@ishmaelpdaddy2862
@ishmaelpdaddy2862 3 жыл бұрын
Tatizo mama hana options kawekwa na time Msoga anapangiwa yote sasa hii ni serikali ya hawamu nne inarudi taratibu eishi masikini Tanzania
@kingbuddah6372
@kingbuddah6372 3 жыл бұрын
Huyu mama mika yake ya kutawala imebakia mitatu tu akunachochote alichokifanya zaidi ya kukaatu nakutunga misemo
@gilbertlyaruu9420
@gilbertlyaruu9420 3 жыл бұрын
Acha ujinga ndio ameanza acha tumuone
@tanzanian8847
@tanzanian8847 3 жыл бұрын
@@gilbertlyaruu9420 dalili y mvua ni mawingu. Mwelekeo wa mama unaonekana
@omaryregga5315
@omaryregga5315 3 жыл бұрын
Mama kua makin sana mama etu hao weziiiii
@sarahnyambaka5885
@sarahnyambaka5885 3 жыл бұрын
Yaani NIKIKAA NAMKUMBUKA MarehEMU MAGUFULI. Huyu Mama Ni ajishauri MWENYEWE .AWACHE KUPANIC Mwisho atakuta INCHI IMEINGIA madeni
@naitwahazina6433
@naitwahazina6433 3 жыл бұрын
Halafu Kikwete saivi yeye ndio kama raisi yupo mstari wa mbele kwa kila jambo
@edwardloya3056
@edwardloya3056 3 жыл бұрын
Yaan had leo hjajua tu kam 2merud awamu ya 4
@seducerkapero7306
@seducerkapero7306 3 жыл бұрын
swali lako ndani yake kuna majibu.
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 3 жыл бұрын
😂😂 tupo awamu ya 4 habar ndio hiyo kupigwa tu, hakuna namna sura zao zipo nafuraha, CCM Mungu anawaona
@naitwahazina6433
@naitwahazina6433 3 жыл бұрын
@@edwardloya3056naamini mfano hiyo video hapo wanarudishana wenyewe kwa wenyewe lkn sawa Mungu yupo malipo ni hapa hapa duniani
@shadowhatory154
@shadowhatory154 3 жыл бұрын
Alama za picha zinanifanya nianze kuamini maneno ya waja 🤔😳 R.I.P JPM
@eliamaruma7846
@eliamaruma7846 3 жыл бұрын
Aiseee walaji njaa izo nchi itzdi kudidimia tu
@kingbuddah6372
@kingbuddah6372 3 жыл бұрын
Itakwisha tu
@reginapascal9282
@reginapascal9282 3 жыл бұрын
Pole xana mafisadi mmekutana
@robertsemaganga9168
@robertsemaganga9168 3 жыл бұрын
Uwe makini
@dennismwambenja6399
@dennismwambenja6399 3 жыл бұрын
@@robertsemaganga9168 halafu wewe ni nani kuwatisha watu ina maana wewe hujui hilo kundi ndilo lililoiharibu nchi awamu ya nne?
@charlesjoshua2938
@charlesjoshua2938 3 жыл бұрын
Mnafiki huyu jamaa alifikiri atapata urais kupitia upinzani
@raibethnicholaus1493
@raibethnicholaus1493 3 жыл бұрын
Rip Jpm. Wanarudi dimban
@daisykilatu7903
@daisykilatu7903 3 жыл бұрын
Mmm Dunia ina mambo sasa libarakoa lote hilo lanini!!! Nchi imevamiwa lakini Mungu hajawahi vamiwa R.I.P JOHN POMBE
@keffajacob8952
@keffajacob8952 3 жыл бұрын
Tutaona makubwa zaidi ya haya!...
@naomimiddleton5017
@naomimiddleton5017 3 жыл бұрын
Yetu macho tutaona mengi
@matakamataka9438
@matakamataka9438 3 жыл бұрын
Mmh mmekumbatiana wenyew mpige vzr nchi
@rendiman2878
@rendiman2878 3 жыл бұрын
yap, Nchi imerudi kwenye enzi za ujangili wa kuuza pembe za ndovu, twiga kupelekwa uarabuni, michanga kwenye makontena na kadhalika, kweli paka akiondoka panya hutawala.
@mwajumabakari3730
@mwajumabakari3730 3 жыл бұрын
Hahaaaa kweli kabisa tunalijua hilo
@matakamataka9438
@matakamataka9438 3 жыл бұрын
Naon umeludi kwafaida sio hasara
@mwajumabakari3730
@mwajumabakari3730 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 3 жыл бұрын
Sana utawala wa msoga ume rudi 😢😢
@rubensaitoti6839
@rubensaitoti6839 3 жыл бұрын
Mungu akulinde
@dinocastico8495
@dinocastico8495 3 жыл бұрын
Mkumbatieni tu.. ila kovu la pembe za ndovu sasa linarudi kuwa jeraha tena. Uzalendo uthibitishwe kwa matendo. Jamani mwana siasa ni mtu wa kuogopwa saaaana ndio hili nililo jifunza hapa
@subiraibrahim8100
@subiraibrahim8100 3 жыл бұрын
Huyu ni mwizi wa pembe alipokuwa waziri Tembo walikufa na malori yalikamatwa mengi sana lkn sm za serikali zilikuwa zikipigwa na malori yanaachiliwa
@dinocastico8495
@dinocastico8495 3 жыл бұрын
@@subiraibrahim8100 huu ni mtihani mkubwa katika taifa
@subiraibrahim8100
@subiraibrahim8100 3 жыл бұрын
@Dino Castico yani Mungu awalipue tu wameangamiza vijana kwa madawa yao ya kulevya wameua Tembo na bado wanachezea kodi zetu na kutuchekelea na bado mwinyi anapewa Benzi wakati aligawa kitaru kwa warabu huko loliondo wanasafirisha wanyama huku sisi tukifa njaa
@dinocastico8495
@dinocastico8495 3 жыл бұрын
@@subiraibrahim8100 wenye nguvu hawa nia na wenye nia hawana nguvu. Ila punda akisha choka ndio watajuwa kama hakuna dua wala ibada itayo saidia.
@sarahnyambaka5885
@sarahnyambaka5885 3 жыл бұрын
yaani hapa watanzania msikue na hofu mama kawatuliza wala amtawazikia tena ndio kaxi itaenda kwa kasi
@sopymoney5900
@sopymoney5900 3 жыл бұрын
Hii ndio Tanzania.
@jeffkigame1191
@jeffkigame1191 3 жыл бұрын
Wow
@joycekarim9184
@joycekarim9184 3 жыл бұрын
Midomo yetu wazi watarudi wengi mhhhhh
@issazakaria863
@issazakaria863 3 жыл бұрын
Mama songa mbele Vijana pamoja na wasio maskini kiakili tuko pamoja nawe
@sponsalfathedj8177
@sponsalfathedj8177 3 жыл бұрын
Mama kanawiri Maa shaa Allah
@naitwahazina6433
@naitwahazina6433 3 жыл бұрын
😄 😄 😄 😄 😄 😄 Nimecheka kwa sauti kumbe macho yako yanaona kama mimi
@stevenkipara9310
@stevenkipara9310 3 жыл бұрын
Mmmm....!
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 3 жыл бұрын
Umeludi kundini
@binzid9046
@binzid9046 3 жыл бұрын
Ccm oyeee
@timboxlee919
@timboxlee919 3 жыл бұрын
Mhhh
Mapping the Trump Shooting
6:12
fern
Рет қаралды 14 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 833 М.
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
Historia, Asili Na Maana Ya DAR ES SALAAM, TANGA / ZANZIBAR
14:44
Global TV Online
Рет қаралды 139 М.
Mtoto Yohana Tumpongeze Rais Magufuli wimbo wake mpya akiimba Mito ya Baraka Church
8:31
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 379 М.
NAPE ATINGA IKULU/AMUOMBA MSAMAHA RAIS MAGUFULI.
2:58
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 65 М.
DAY BREAK | Ruto picks Raila's Men [Part 1]
19:16
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 138 М.
Messi or Ronaldo ? 🤔🤯 #football #talent #wonderkid
0:18
Alex and Deme
Рет қаралды 15 МЛН
Он его сделал #футбол #football #shorts #trending
0:40
태권도를 가르쳐야 하는 이유
1:00
스포츠몽땅
Рет қаралды 42 МЛН
ОБХИТРИЛ NIKE НА 3,5 МЛН $🏅
0:48
MEXANIK_CHANNEL
Рет қаралды 25 МЛН
태권도를 가르쳐야 하는 이유
1:00
스포츠몽땅
Рет қаралды 42 МЛН
This Game Is Wild
0:21
MrBeast 2
Рет қаралды 65 МЛН