Mbunge wa Kahama Mjini Jumanne Kishimba akichangia bungeni kuhusiana namna ambavyo Wizara ya elimu inatakiwa kuja na utaratibu wa kuwafundisha kwa vitendo wanafunzi mashuleni.
Пікірлер: 24
@amanafi12882 жыл бұрын
Yaan mawazo ya baadhi ya Wah Wabunge yameanza kugusa ualisia wa maisha yetu ya kawaida... Serikali kuyaunga mawazo hayo sasaa....
@mayrfrimi47592 жыл бұрын
Asante sana mbunge wetu kwa kulisemea hili jambo la shule, kwa niaba ya wa Tz wote tunaomba elimu ya msingi iwe ni miaka 4, na O - Level iwe miaka 4, na A- Level iwe 2 then chuo , tafadhali sana, bila kubadilisha system ya elimu yetu ya tz tutaendelea kubaki nyuma kama koti.
@innocentelphas4382 жыл бұрын
Yani huwa nikikusikiliza nahisi ww ndio mbunge pekee unaejua mazingira magumu ya wananchi, huwa ni kama ww ndio mzazi pekeyako ....unamahitaji na kuwawazia watoto wa watanzania wote kama wakwako!!! Wewe ndio yule kiongozi mzazi....ubarikiwe mbunge!!!
@vicentrogers94652 жыл бұрын
Huyu mbunge Genius 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@fortidaskashaigili74962 жыл бұрын
Mzee huwa anawaza nje ya box,na hii ni Kwa sababu ameishapitia field,SASA tatizo linakuja Kwa hao anao ongea nao ndio hawamuelewi na ikitokea siku wakamuelewa watakuwa wameishachelewa ,kama watu walivyoanza kumuelewa JPM Alf chuma akasepa.
@abdulkarimwajadi17592 жыл бұрын
Allah akuongoze Kishimba
@vicentrogers94652 жыл бұрын
Huyu mbunge ni Genius
@michaelnamji78042 жыл бұрын
Hakika kada ya ziwa watema madini ya hali ya juu🤝🤝
@michaelalfred582 жыл бұрын
Kishimba huwa nakuelewaga Sana,una hoja Safi za mtaani kabsa
@nasrahassan73462 жыл бұрын
Nakuelewa mh kishimba
@2514SRK2 жыл бұрын
Kishimba Kishimba Kishimba NAKUITA MARA TATU, Wewee UNA AKILI SANA TENA SANA. Language is not Substitute of Intelligency.
@gabrielmdem4271 Жыл бұрын
Kishimbaaa oyeeeee waereze hao wenye erimu uchwaraa
@barakaelmbise42292 жыл бұрын
Wewe mzee mm ntakuja kufanya utalii wa kukuona kama kivutio cha utalii maana wewe ni mtu adimu sana
@gabrielaniseti15372 жыл бұрын
Huyu ateuliwe awe Waziri au Naibu Waziri ELIMU.. TUTAPATA MENGI SANA.. ANAONEKANA ANA MENGI SANA KTK SEKTA HII
@hindisaidi50972 жыл бұрын
Asipewe uwaziri majukumu yatatofautika atakuwa anadil na wizara yake tu
@Voiceofpeopleotz3 ай бұрын
Huyu mzee anayo akili kubwa kuliko wabunge wote....
@abilahyusufu90012 жыл бұрын
Tukachukue Mitala ya china tukatundisha kiswahili bc itatusaidia sana
@hindisaidi50972 жыл бұрын
Mzee "hawezekani" anaendeleza darasa huru bungeni.tena wanasikiliza lakini sijui kama wanafahamu
@allyiasachogogwe37532 жыл бұрын
Kishimba anaongea vzr Sana,anawaza Sana nje ya box Ila,anashindwa kuelewa kuwa anchoongea hakiwez kuwa simple,Kama anavofkri,kubadr curriculum,sio leo Wala kesho,
@SimonShoo-m4bАй бұрын
0.00000 🧠
@alexaugustino46442 жыл бұрын
👏👏👏🌹
@japhetlaizer39192 жыл бұрын
Wazuri wa Mambo ya ndani
@mutuamulinge6158 Жыл бұрын
Haki mzee wetu Hilo la minyoo limenimaliza. Si Bure wanakuita profesa
@Voiceofpeopleotz3 ай бұрын
Alafu wewe ni profesa haswa kuliko hawa wenye vyeti.